Wabunge wengine tukiwachaguwa wakifika Bungeni nikunofaika na mishahala yao tu mama utasema sana utaonekana mchawi Bungeni maana hayo unayo yazungumza ni nyeti sana hasa kwa kigoma ni waoga sana wakati Bandari ya kibirizi inategemea Uvivi njoo une leo kibirizi kama nchi iliko vitani.
Mungu akubaliki sana mbunge wetu
Ukombali dada ❤❤❤
Wabunge wengine tukiwachaguwa wakifika Bungeni nikunofaika na mishahala yao tu mama utasema sana utaonekana mchawi Bungeni maana hayo unayo yazungumza ni nyeti sana hasa kwa kigoma ni waoga sana wakati Bandari ya kibirizi inategemea Uvivi njoo une leo kibirizi kama nchi iliko vitani.
Dada Mungu akumpe mingine na mingine
Mheshimiwa Mimi Niko Kigoma Ila nakuombea Kwa YESU wangu uendelee kuwA mbunge awamu ijayo,
❤❤❤
Aisee unaakili nyingi
Umeongea
ALLY MOHAMEID 🌹
EE mola iponye nchi yangu wakubuke watu wako
Wewe ni jembe