Mahakama Yabariki Uchaguzi TLS, Mwabukusi Afunguka 'Nitashiriki Uchaguzi'

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2024
  • #ijuesheria #tlsagm2024 #tlselection2024 #mwabukusi #tls

ความคิดเห็น • 92

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 หลายเดือนก่อน +18

    Watanzania tunamshukuru Mungu sana,Viva Mwabukusi, viva mawakili wasomi kwa namna mlivyoisimamia sheria iwape haki zenu,tunwaomba mumpe mwenzenu kura za kutosha huyu mwanaharakati nguli wa watu wadogo na Mungu awabariki na sisi wadogo tunazidi kumuomba Mungu amfunike kwa mbawa zake,awe salama asionwe na hawa wadhalimu wa taifa Amina.

  • @malugukushaha6764
    @malugukushaha6764 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana Mwabukusi, unatakiwa pia ugombee na usipika wa bunge la Tanzania

  • @sammykateregga6238
    @sammykateregga6238 หลายเดือนก่อน +7

    VIVA Mwambukusi endelea kupigania utawala wa sheria na si vinginevyo na Mungu akutangulie

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm หลายเดือนก่อน +3

    Maw akılı ingawa kwa shida, hongera sana kwa kuungana kwa hili.Bila sheria safi, bila wanasheria kuwa pamoja na kuwa kitu kimoja, nchi nzima inayumba. Hongera sana mawakili wote. Tuko pamoja kinchi na kitaifa
    Tanzania itashinda kwa umoja kama huu. Wote tujipongeze.

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 หลายเดือนก่อน +7

    Mwambukusi tunakuombea Mungu siku zote anafurahishwa na watu wanaojali mambo ya jamii. Mwambukusi unajali sana mambo ya jamii na watu wote kwa ujumla.Mungu akuepeshe na nia za hawa waovu

  • @luganomwaigomole7441
    @luganomwaigomole7441 หลายเดือนก่อน +11

    VIVA MAWAKILI..VIVA MWABUKUSI ❤

  • @raymondnlelwa427
    @raymondnlelwa427 หลายเดือนก่อน +4

    Viva kiongozi wa wanyonge Viva Kajujumele Mwabukusi viva! MUNGU wetu akakuinue katika katika viwango vya juu zaidi.

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b หลายเดือนก่อน +1

    Amen mawakili muache uchawa mupe mwabukusi afute uchawa kwenye chama chenu mungu akutangulie

  • @EmmanuelAngetile-gn2td
    @EmmanuelAngetile-gn2td หลายเดือนก่อน +3

    Hongera na tunakuombea ushinde huo urais

  • @bonifacemeela5247
    @bonifacemeela5247 หลายเดือนก่อน +4

    Hawa ndo Mawakili sasa Hongereni sanaa 😊

  • @TitoRufizi-xb2ub
    @TitoRufizi-xb2ub หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana wazalendo

  • @user-qb6dx2kv3z
    @user-qb6dx2kv3z หลายเดือนก่อน +4

    Hongera mwabukusi watanzania tupo nyuma yako tukikuombea

  • @Anithawilielemi-uh3ww
    @Anithawilielemi-uh3ww หลายเดือนก่อน +2

    Safi sana kamanda wangu Mungu akutangulie

  • @rogersiddy
    @rogersiddy หลายเดือนก่อน +7

    Bora wasingemfungia kbs kugombea hivi ndo kwanza wanampa kick ya kushinda asubuhi kweupeeeee ili akawakomeshe maccm😂😂😂😂😂

  • @NicholausFungo
    @NicholausFungo หลายเดือนก่อน +1

    Nakukubali san kaka Adv Mwabukusi, haki yako ni lazima kuidai

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq หลายเดือนก่อน +7

    Safi kabisa wewe ni mwanasheria anae jiamini

  • @manyamalima1916
    @manyamalima1916 หลายเดือนก่อน +4

    Ukamiliki na kutawala katika jina la Yesu

  • @Francis-kx1sb
    @Francis-kx1sb หลายเดือนก่อน +2

    😮utapita mungu akubariki

  • @mosesbarnaba7851
    @mosesbarnaba7851 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu akutangulie mwabukusi

  • @samwelimwalindu3735
    @samwelimwalindu3735 หลายเดือนก่อน

    Nikikuona nafalijika sana baba yangu mpaka nyumbani kwenu hakika utafikambali

  • @NicholausFungo
    @NicholausFungo หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akulinde

  • @FilbertMsongela-xt9tq
    @FilbertMsongela-xt9tq หลายเดือนก่อน

    Pamoja sana mwamba

  • @AsteriaMasika-st5pk
    @AsteriaMasika-st5pk หลายเดือนก่อน +2

    Waoo wakili msomi well come

  • @dillonfoya
    @dillonfoya หลายเดือนก่อน +2

    Hii imekaa vizuri Tunatakiwa tusome kwa Wasomi

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh หลายเดือนก่อน +1

    Tunataka viongozi kama hawa ambao hawatetereki na kuongozwa ktk nafasi yake juu ya kuisimamia sheria viva mwabukusi

  • @bogoheidaso2628
    @bogoheidaso2628 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana kaka kuitafuta haki yako

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x หลายเดือนก่อน

    Anatuliza mpira kutumia kifua anaweka chini anaangalia pakupiga
    Pasi inapenyezwa hatariii mwabukusiiiiiiiiiiiiiiiss. Goooooool

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 หลายเดือนก่อน +2

    Wakili Mwambukusi uwanga sichoki kukusikiliza. Mungu akutangulie

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 หลายเดือนก่อน +1

      Hayumbi na anasimamia anachokiamini

    • @anosiata8242
      @anosiata8242 หลายเดือนก่อน +1

      @@adelinelyaruu3036 ni kweli

  • @medsonulendo4221
    @medsonulendo4221 หลายเดือนก่อน

    Hakika nchi hii tukipuuza sheria zetu haki itatoweka

  • @uredmwasembo8579
    @uredmwasembo8579 หลายเดือนก่อน

    Mwabukus ni mwamba Sana viva mwabukusu

  • @juliusjohnii7823
    @juliusjohnii7823 หลายเดือนก่อน +1

    B Mwambukusi. ✊✊✊✊✊✊

  • @salummohamed2689
    @salummohamed2689 หลายเดือนก่อน +1

    Ni wakati wa wanasheria wetu kujipima kama kweli wao si watu wa kununuliwa kirahisi hivi.

  • @wechemakambo2182
    @wechemakambo2182 หลายเดือนก่อน +1

    Dah huu mtindo wangu wa kukonyeza gizani ngoja niuache,haya mambo ya kuvimba macho km mchina yasinikute😂😂😂

  • @prospermalala6636
    @prospermalala6636 หลายเดือนก่อน

    Mungu yupo pamoja nawe MH Boniface mwambukusi wakili msomi mwenye uelewa ktk shughuli za kuielimisha, kuifundisha jamiii iliyopo mbele yako ielewe kinachojiri nchini kwetu Tanganyika, spana zinawabana Kwa ajili ya manufaaa ya wananchi waliowengi wameanza kuyaelewa hayo unayoyasema 🙏🙏🙏🙏🙏

    • @ClementLushino
      @ClementLushino หลายเดือนก่อน +1

      Wengi wa wasomi wetu wanaweka elimu wao kwy tumbo, uchawa kuitaji uongozi wakuteuliwa sifa tu lkn si kwa ajili ya nchi na wananchi, Mwambukusi ni wakili msomi na mtetea nchi.

  • @charlesboniphace2249
    @charlesboniphace2249 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani Africa tutaendelea kuwa watumwa wa waarabu na wazungu .

  • @user-jf7rg1ux9l
    @user-jf7rg1ux9l หลายเดือนก่อน

    Genius man of the peaple

  • @kennethmanangwa8189
    @kennethmanangwa8189 หลายเดือนก่อน

    Hii nchi haipendi kuwathamini wasomi wake.Wangekua wanawatumia kwa ushauri mbali mbali ungekuta tuko mbali sana.

  • @benedictgamuya8855
    @benedictgamuya8855 หลายเดือนก่อน

    Well done....

  • @MohammedAwadh-gq9si
    @MohammedAwadh-gq9si หลายเดือนก่อน

    Utashiriki ila hutagombea! Muda umepita ,

  • @emanuelsinyinza
    @emanuelsinyinza หลายเดือนก่อน +3

    Mawakili siyo wanasiyasa wamesoma tofauti na tasisi nyingine kama walimu na ndiyo tasisi yenye watu wa shida kwa masilahi

  • @frankbutati8343
    @frankbutati8343 หลายเดือนก่อน

    Mwabukus ni mzarendo sana

  • @brunonsungwe8389
    @brunonsungwe8389 หลายเดือนก่อน

    Safi

  • @KudraWanguvu-em1xw
    @KudraWanguvu-em1xw หลายเดือนก่อน +3

    Walarushwa wakubwa pili ni mandumila kuwili

  • @salumhassanallymkurdistan7006
    @salumhassanallymkurdistan7006 หลายเดือนก่อน +1

    MWAMBUKUSI TAFUTA CHAMA UJIUNGE ILI UPATE JIMBO LA KUGOMBEA URASI AU UBUNGE

  • @yordanyona1234
    @yordanyona1234 หลายเดือนก่อน +2

    Wanasheria wenyewe tu wanakiuka sheria ...kwa kwweli inatia aibu

    • @zxcvbnmmkh
      @zxcvbnmmkh หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 Hiyo ndio mbuzi kala mbuzi sasa.

  • @madengejr
    @madengejr หลายเดือนก่อน

    Viva mwabukusi

  • @dominicmyumbilwa1657
    @dominicmyumbilwa1657 หลายเดือนก่อน

    Product ya Mbalizi Secondary School Mbeya

  • @migerajacob581
    @migerajacob581 หลายเดือนก่อน

    Tupo pamoja ,,Go,! Go! you fix it,,

  • @user-nm8ym6iq7n
    @user-nm8ym6iq7n หลายเดือนก่อน

    Mwabukusi unamshauli nn mh mpina kwenye hili la bashe?? Mwabukusi, mii namwambia mpina ukipiga ya nyonga piga malizia na umber cat 😂😂😂😂😂

  • @stephenwakunyala4004
    @stephenwakunyala4004 หลายเดือนก่อน

    Mwabukusi Mungu awe upande wako

  • @christophermboya7676
    @christophermboya7676 หลายเดือนก่อน

    Mungu hajamwqcha mwenye haki

  • @user-bp7nb7yp2o
    @user-bp7nb7yp2o หลายเดือนก่อน +1

    Mwaghanile mwebhakubhusokelo ugwankaja nu gwamunjini

  • @akramissa3393
    @akramissa3393 หลายเดือนก่อน

    Simamia haki Mwabukusi, wewe utairekebisha TLS. Ilishaoza upande mmoja, kakate palipooza kunusuru palipo safi

  • @brigethsauzand3926
    @brigethsauzand3926 หลายเดือนก่อน

    Naomba upite Kwa kishindo Sababu uwezo unao na ninaamini unapenda haki utakuwa upande wa watu wanaoonewa na wenye nazo tapeli anakutapeli Kisha anaenda kukushitaki mwenye haki kweli!!

  • @muharamijuma1569
    @muharamijuma1569 หลายเดือนก่อน

    Haha Wenzakò Hawakutaki Halafu Unataka Kushindana na TULIA ITISHA MAAN DAMANO JITADĤIMININÌ BABU

  • @christianlutego1288
    @christianlutego1288 หลายเดือนก่อน +1

    Dah!! Wasomi wote Tz wangekuwa km hawa jamaa Tz ingesimama imara

  • @emanuelsinyinza
    @emanuelsinyinza หลายเดือนก่อน

    Mijitu kama hayo yanayo pindisha ukweli kukandamiza mawakili wetu washenzi hii ndiyo lugha inawafaa .sasa tuwaitaje tunasema njia ya kwenda mbinguni ni kuacha mabaya wanatokea watu wanasema hapana njia ya kwenda mbinguni tuzurumu sasa tuwaiteje wadhambi .

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 หลายเดือนก่อน

    Kaka pole duh

  • @mikelabia716
    @mikelabia716 หลายเดือนก่อน

    ❤❤😮xx

  • @matipukamatipuka9654
    @matipukamatipuka9654 หลายเดือนก่อน

    Ndugu yangu wameshakupiga kiufundi hapa

  • @lusajomwakajoka4955
    @lusajomwakajoka4955 หลายเดือนก่อน

    Kuutaka uraisi tuu ila kutetea bandara aaaah

  • @juliusmlula1658
    @juliusmlula1658 หลายเดือนก่อน

    Walimwengua Kwa utashi wa kisiasa aibu sana Kwa waliomwengua🎉😢😅😊😂

  • @ayububrantaya6624
    @ayububrantaya6624 หลายเดือนก่อน

    Nawe umeshiba😂😂😂😂

  • @Youngchimodzi823
    @Youngchimodzi823 หลายเดือนก่อน

    Intelligent people always face resistance from myopic minds. In remembrance of
    Albert Einstein.

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko หลายเดือนก่อน

    Utashunda kwa nyingi mafisadi hao

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 หลายเดือนก่อน

    Mimi siyo mwanashariA LAKINI kweli CCM inharibu kila kiwanda, campany, groups hata bunge. Kilicho baki ni matokeo ya CCM tu.

  • @msongojumbe486
    @msongojumbe486 หลายเดือนก่อน +1

    Pull up your socks

  • @George-jz3jg
    @George-jz3jg หลายเดือนก่อน +2

    TLS ni ka-taasisi kakisanii sana kama kale kanaitwa tume za haki za binadamu hutu ni tu-taasisi vichaka vya maovu ya serikali

    • @jasonwatz7457
      @jasonwatz7457 หลายเดือนก่อน

      Huna hata idea tls imeanzishwa under sheria gani na function yake ni nini, rudi ukasome kwanza

  • @mohamedamini4268
    @mohamedamini4268 หลายเดือนก่อน

    wote loyer mna babaishana sisi je?

    • @eliajimmy95
      @eliajimmy95 หลายเดือนก่อน

      Nchi hii imeharibika kila kona

  • @davidkawesa3594
    @davidkawesa3594 หลายเดือนก่อน

    Kukonyeza gizani

  • @godwinkasaizi882
    @godwinkasaizi882 หลายเดือนก่อน

    Mnatia aibu Mawakili

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi หลายเดือนก่อน

    👇🏿
    #katibampyanisasa #TUSIKUBALIKUSHIRIKICHAGUZIBILAKATIBAMPYA !Hiyo ni kushiriki Dhambi(kujikabidhi kwa shetani) !✍🏿

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b หลายเดือนก่อน

    Tuko pamoja wajinga wapo wa nao kumbatia ccm

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 หลายเดือนก่อน +2

    Unajifanyaga unajuwa sheria Leo umepingwa chini huna lolote

  • @brigethsauzand3926
    @brigethsauzand3926 หลายเดือนก่อน

    Naomba upite Kwa kishindo Sababu uwezo unao na ninaamini unapenda haki utakuwa upande wa watu wanaoonewa na wenye nazo tapeli anakutapeli Kisha anaenda kukushitaki mwenye haki kweli!!

  • @emanuelsinyinza
    @emanuelsinyinza หลายเดือนก่อน

    Mijitu kama hayo yanayo pindisha ukweli kukandamiza mawakili wetu washenzi hii ndiyo lugha inawafaa .sasa tuwaitaje tunasema njia ya kwenda mbinguni ni kuacha mabaya wanatokea watu wanasema hapana njia ya kwenda mbinguni tuzurumu sasa tuwaiteje wadhambi .