Viongozi na wazee wa Yanga hongereni kwa kazi nzuri. Ila Ndugu viongozi suala la madeni limekuwa la kujirudia na sijui ni kwa nini linajirudia? Tulimalize hili tusonge mbele. Daima mbele Nyuma Mwiko.
Hakuna Kampuni au Jumuiya yoyote kubwa Duniani Ambayo Haidaiwiii nakumbuka ili uwe na Mafanikio lazima udaiwee Swala la kudaiwa ni Jambo la Kawaida Serikali Yetu inamadeni mpaka mtoto anaye zaliwa tayari anadaiwa
Hapana, Acha waandike kwenye Miranda nasisi tujue club yetu inaendaje. Mambo ya zamani Mzee wangu mli felli. Muacheni engineer afanye kaxi. Yanga yenu mlitupa presha tipu nyinyi. Engineer nakusifu bro.
Viongozi wetu makini mitano tena mungu awasimamie naawaongoze katika majukumu yenu inshallah
Nawaombea sana viongozi Mungu awatoe nguvu mzizi juwa na umoja kutokuwa na tamaa kama Makolo,na wazee wetu wazidi kuwa nasi, yanga hoyeeeeeee!
Uyu Rahisi ni very humble Sanaa yaani anawataja viongozi hajitaji yeye
Mtu mwingine ungekuta anasema mimi nitafanya😀😀😀😀
Yanganaipendasana nakuombeni mnilipiekadiyauanachamaa miminaiombeasanayanga popotewalipo❤❤
MUNGU NI MWEMA HONGERA SANA KILA LA KHERI KWENU NYOTE KAZI NJEMA BARIKIWA SANA YANGA
Sauti leo haiko sawa daah
Kwa mwenendo huo furaha haiwezi kupita mbali.
Viongozi na wazee wa Yanga hongereni kwa kazi nzuri. Ila Ndugu viongozi suala la madeni limekuwa la kujirudia na sijui ni kwa nini linajirudia? Tulimalize hili tusonge mbele. Daima mbele Nyuma Mwiko.
Ivi makolo hawanaga tim ya uwongozi wao mbona hatuwaonagi
Saut haijawa vzr rekebishen
Kam unanipenda yanga like hap
Mbona hakuna wazee wa kike?
Mmefeli sana sauti
ILA MARA ZOTE MEDIA DEPERTMENT INAFELI KWENYE SAUTI ZA VIPAZA Ni tatizo sugu nishasema nakusema lkn bado hembu lishughulikieni hilo linatutia aibu.
safi sana viongozi wetu
Ni jambo zuri sn , hi isiwe mwanzo iwe muendelezo
Timu yenye Uongozi pekee YANGA 🔰🔰🔰🙏
Anzisheni kipind cha IJUE YANGA
Hao wazee wetu wawe wanatupa moja mbili kwenye YANGA TV
Wazo zuri... Ila kiitwe "HII NDIYO YANGA" itanoga zaidi
Good advice
Ali kamwe ole wako upelekwe kwa wazee utakuja kusimulia😂😂😂😂🎉🎉🎉
Sauti tu imezenguwa
Historia hupeleka mbele timu
Tunataka mambo kama hayo, inatakiwa vikao vifanyike kwenye makao makuu ya timu zote tz, siyo kukodisha club kwa w/biashara.
UKO SAHIHI KABISA LAKINI KUNA VIKAO VINAVYO HUSISHA WANACHAMA WENGI LAZIMA TUTATOKA NA KWENDA KUKODISHA KUMBI KUBWA
Guy's mbna sauti yakoroma wekeni sawa jmny
Yanga makini viongozi makini mipango mikubwa daima mbele?
Vikao vyawazee tu lipen maden kwanza barua zakufungiwa mbna zimekuwa nyngi?
Fuata yko ukifuata ya Yanga utachelewa Tanya Yako,madeni hta nchi inadaiwa
Fanya
Ukikuta hudaiwi jua umekufa. Ona simba, hawadaiwi, wamekufa.
Hakuna Kampuni au Jumuiya yoyote kubwa Duniani
Ambayo Haidaiwiii nakumbuka ili uwe na Mafanikio lazima udaiwee Swala la kudaiwa ni Jambo la Kawaida
Serikali Yetu inamadeni mpaka mtoto anaye zaliwa tayari anadaiwa
Sauti hakuna
Nice
Naam
Daima mbele
Hapana, Acha waandike kwenye Miranda nasisi tujue club yetu inaendaje. Mambo ya zamani Mzee wangu mli felli. Muacheni engineer afanye kaxi. Yanga yenu mlitupa presha tipu nyinyi. Engineer nakusifu bro.
NAWAPATA VYEMA TOKA JUBA SUDAN YANGA DAIMA MBELE NYUMA MWIKO
Sauti inakoroma
Ally Kamwe chukua Maua yako
Sauti ndogo Sanaa, mzee mangara hasikiki, Ally Kamwe tuandikie majina yote
Kwa hiyo isingekuwa busara za wazee tungukula wiki daa nimelia sana
,😂😂😂
Agenda mh
Raha😂😂😂😂😂
Kam unanipenda yanga like hap