KISUGU AKISHINDANA KUIMBA MASHAIRI NA FUMAU/HAKUNA MCHEZAJI WAO TUNAEMUHITAJI/KIBU,AZIZ KI,CHAMA,MAX
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 2 พ.ค. 2024
- Leo May 03,2024 katika uwanja wa Azam complex kutachezwa mchezo mmoja wa NBC PREMIER LEAGUE ambao utazikutanisha Simba SC dhidi ya Mtibwa Sugar
- กีฬา
Mpira ni furaha sio chuki l…… I’m happpy to see them together like that 😊
Unaulizwa swali Moja, ww majibu 1000...... Unapewa hongera unaanza kujieleza.
😂😂😂😂😂😅😅😅
Huyu jama ni kiherehere
Mzaramo huyoo
Kizugu daaa hongera sana umeweza
😅😅😅😅..nimecheka sana kisugu kuimba shairi
HAHAHAAAAA....! MPIRA SIASA BHANAAAAA...!
Hupo vizur mpaka mafuta😂😂
huu ndio utani bhanaa hadi raha, watu hadi mashairi wametungiana duuh...hahaha
Wanajua kabisa wachezaji wa Simba niwazuri sema wao ndo wanawaroga ili waonekane wabaya wawasajili wao
Imeweza knoma
subirini kidogo🤣🤣🤣🤣
Naipenda simba
Mfamau kqpinga kaludi papepale kayakanyaga😅😅😅
KISUGU ni mngojwa
Endeleeni na vijana msimu ujao
Nafurahi kuona Madunduka wanafarijika sasa
Huyu jamaa ni wale madalali
Uyu jamaa sijui katokea wapi ajui kuchambua mpila ata kidogo yy yupo kwaajili ya kutetea tumbo lake
Weweeeeee Hamuuzi Ila Mikataba Imekwisha!SEMA UKWELI😂
😂😂😂
mungu ibariki simba ❤❤❤,Ila viongozi wajiulu kwasababu ndani ya miaka mitatu hakuna kombe lolote
Mfamau au Fumau 😂😂
BURUDAN KWAKWEL....! LAHA SANA TANZANIA.
RAHA
Kisugu kuwa mwana sport usikalie ubishi tu hivi ni kweli hakuna mchezaji wa yanga anayewaza fit kwa makolo we chizi kweli
Unabwabwaja
Dalal wa vyote pia simwelewag