Nimewahi kuunda kitu kama hicho nikishirikiana na Ndugu yangu. Alikamatwa akafungiwa Msivya, Kugoma. Baada ya hapo, sijarudia chochote imepita miaka 17.
Kijana Wa Kimaskini Ambae Hana Kitu Ila Ana Kichwa Chenye Maarifa Na Begi Lililobeba Ndoto..Endelea Kupambania Ndoto Zako Hata Kama Watu Wakikubeza Ipo Siku Utaushangaza Umma
Kuna jamaa Dodoma Kijiji Cha mapinduzi alitengeneza redio kama ya huyu jamaa ikasound kilometa kazaa, pia alitengeneza jenereta ya kidumu na ikafanya kazi, mtaften tu ana vingi vya kufurahisha.
Sasa kuliko wawe wana zunguka na mgari kupiga kelele kutangaza si bora watumie njia kama hzo tu .... Alaf radio zengine nazo wazi automate kuwa endapo kukiwa na tangazo zina switch automatically...
Uyuuu ni zaidiiii ya lile roboti lenu la mchongo
Congresheni 😂😂all de best mchizii
Good job, Mimi nawafahamu wabunifu wa kituo cha Rádio wawili katika kijijini kwetu from Mozambique
Hongera sana Rais mpe taff
Kijana anapambana kweli pia anasauti anajuzi
Ninachoipendea Millady ayo huwa ana ufatiliaji kwa interview zake. Iwe ya habari nzuri au mbaya lakini hili ni kubwa mno🎉
Unakipaji sana
Namjua huyu mwana, mwaka huu mwezi wa pili tulikuwa nae pale MAKUMBUSHO akatupa show zake
Talent ila apa kwetu utafugwa tz yetu mungu atusaidie ❤
Mungu/MUNGU sio mungu
Nimewahi kuunda kitu kama hicho nikishirikiana na Ndugu yangu. Alikamatwa akafungiwa Msivya, Kugoma. Baada ya hapo, sijarudia chochote imepita miaka 17.
Mtihani sasakwanini wanafanyahivyo nakipajikixuri maashaallah
maskini wakaua ndoto za ndugu yako ka masihara vile,pole
Inaniuma Sanaa watu kama nyie mkikatazwa kufanya ubunifu Mzur wa kufurahisha, kufundisha na kushangaza Dunia.
This man is incredible🎉🎉🎉
Genius ✊
Daaah very talented
Mtangazaji samahani, darasa la sita na chuo sio kipaji
Mnyama mkali sanaaa
😂😂😂😂nacheka kwa furaha mungu akujalie sanaa sana
Ubunifu tena .ila hongera swala la kurusha mawimbi mbona vifaa vyake vipo kwenye zile mnazo tumia MP3 ZA MAGARI YENU
Kusema ukweli huyu jamaa ananifurahisha sana napenda anachokifanyanya, Mungu amubariki afike mbali.
❤❤❤❤mungu mbariki
Mungu akusimamie utimize ndoto zako upo vizuri
Bro Mungu atakuinua uko vzr sn
Mtangazaji sio kweli unamihemuko sana hahaha
Maashaallah tabarakallah❤
Good man woow
Kigoma tuchange tumsomeshe mchiz 🎉🎉🎉
Kabisa aniii
Kiukweli serikali zetu za kiafrika matatizo ni mengi vichwa vimejaa rushwa tu.
big up mkali
Ela unapigaje
Kijana Wa Kimaskini Ambae Hana Kitu Ila Ana Kichwa Chenye Maarifa Na Begi Lililobeba Ndoto..Endelea Kupambania Ndoto Zako Hata Kama Watu Wakikubeza Ipo Siku Utaushangaza Umma
Songa mbele kijana🎉🎉
Inabidi Hawa watalamu wetu wapewe sapoti sana
Karibu mbeya mwenyeji nipo hapa mi nkukubali xan fanyyyya uje engener
Andika namba yako hapa ili nikupate nijehuko
Hapo badala ya kumsaidia utasikia amekamatwa na kufunguwa!!😂😂😂😂
Yeah kama ameingilia frequency lazima akamatwe 😂
Good talented
Transmiter umepataje
Yani tatzo LA Tz tunaamini sana elimu ya karatasi kuliko kuamni genius
Sijui wana shida gani
Kwasab huyu dogo ilitakiwa awe mbali sana
Mtangazaji: Ulikuwa chuo kwa miaka mi3
Mtangazaji tena: umesoma kwa miaka mingapi?😂
Sasa huyu ayo anakwama wapi kumtumia kubuni mitambo ya ayo radio
Atafungiwa amni mm 😂😂😂😂
Tatizo litakuja kwenye kuingilia frequency za watu..
Kwan wewe unaledio
Naitaji namba yake uyo
Kuna jamaa Dodoma Kijiji Cha mapinduzi alitengeneza redio kama ya huyu jamaa ikasound kilometa kazaa, pia alitengeneza jenereta ya kidumu na ikafanya kazi, mtaften tu ana vingi vya kufurahisha.
Naomba namba zake huyo zubeli
Huyu ni bora kuliko yule roboti au mdoli
Sasa kuliko wawe wana zunguka na mgari kupiga kelele kutangaza si bora watumie njia kama hzo tu .... Alaf radio zengine nazo wazi automate kuwa endapo kukiwa na tangazo zina switch automatically...
huyu jamaa nilimuona mbezi terminal anaonesha maonyesho
#TRA MTEJA WENU
Naomba namba zake
Bahati mbaya sana, una akili na kipaji kuliko waalimu wako😀😀🤣🤣🤣
Nataka namm nitengeneza kama hii nini na nini kinatakaiwa?
Tuma namba
Wivu onyesha cha kwako. Hii ndio ngozi nyeusi negativity in everything
Africa hakuna ishu wenzetu wachina ua wanawaendeleza
Huyu mtu akisafiri kwenda Russia,UK, USA harudi lazima wabaki nae ku copy idea tu
Hakunaga ubunifu apo tulifanya sana utotoni kinacho msumbua dogo ni ujuaji tu
Enzi za utoto wako ulikua unapapara
Acha wivu
Roho mbaya
hakunaubunifu ni uchafu
We eee K
We pimbi we umebuni nn