MREJESHO |BINTI ALIYEKUWA AKILALA NJE MJAMZITO APATA MISAADA HII |AFURAHI SANA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 319

  • @sharinv8864
    @sharinv8864 3 ปีที่แล้ว +51

    Huyu mama aliye jitolea kuishi na huyu dada mungu ambariki sana.

    • @kiehbhzh7044
      @kiehbhzh7044 3 ปีที่แล้ว +3

      Allah awabariki wote mliomchangia pamoja maxmamo tv Allah awatangulie kwenye mipango yenu ya kimaisha

  • @ااجج-ط5د
    @ااجج-ط5د 3 ปีที่แล้ว +7

    Mwenyezi mungu awabariki nyote mliomchangia kurengesha furaha ya huyu dada .Na mwenye aliomuifadhi huyu dada mwenyezi mungu akubariki sana .pamoja na Zahiri na team yake Barikiweni sana

    • @allamki2661
      @allamki2661 3 ปีที่แล้ว

      Kaka zahor Mungu atakulipa duniani na akhera na wowote alitowa msada in sha Allha mtapata badiliyake na uyu dada mumsaidie amepata roho ya imani kumsaidia

  • @prettynayally2177
    @prettynayally2177 3 ปีที่แล้ว

    Mdada mzri sana lakin huu mtihani mungu akulinde mbado mdg snaa

  • @amourabdallah2978
    @amourabdallah2978 3 ปีที่แล้ว +16

    Mungu atakuzidi kukufungulia kaka Zahir uongezewe pale palipopungua pamoja na timu yako "jazakha llah kheir

  • @felistersmejumaa5188
    @felistersmejumaa5188 3 ปีที่แล้ว +35

    Wa kwanza from kenya

  • @hadharaalli5201
    @hadharaalli5201 3 ปีที่แล้ว +2

    Allah atawalipa zahir kwa yahayo mnayoyafanya in shaa Allah nampenda huyo dada anatabasabu kila wakt ingawa anamagumu yalio mpitia mungu amjaalie furaha hivohivo kwenye shida na raha ni mtu wa kutabasabu t penda sana

  • @jamilasalimvilog6752
    @jamilasalimvilog6752 3 ปีที่แล้ว +29

    Yani huyu dada hata namhurumia yani kulala inje kisha ana kifua pole sana mdogo wangu utapona inshallah🇰🇪🇸🇾

    • @safiyasafiya5014
      @safiyasafiya5014 3 ปีที่แล้ว

      Vipi kulala nje umesahau alikua akilala kwa wamasai nje na mimba yake

    • @safiyasafiya5014
      @safiyasafiya5014 3 ปีที่แล้ว

      Hapo bado nimeisha ona kitu ila tumuombee ajitambue tu

  • @razikimustapha4731
    @razikimustapha4731 3 ปีที่แล้ว +1

    MA SHAA ALLAH ALLAH AFUNGUWE KHEIR ZAIDI JAMAN MSIMLAUM HUYU BINTY BADO MDOGO DADA MSAIDIE KUMUHFADH MUNGU ATAKULIPA

  • @aminamarie2387
    @aminamarie2387 3 ปีที่แล้ว

    Zahir mwenyezi mungu atazidi kukubariki Kaka 🇸🇨 na wenzako wote munaoshirikiyana,na huyo Dada mungu ambarili na Ampe moyo huo hui wakusaidiya mwenye kuhitaji msaada,

  • @hamidaa4372
    @hamidaa4372 3 ปีที่แล้ว +3

    Maa shaa Allah tabarakallah mungu awazidishie wote mliojitolea na kaka zahhir wetu na Tim yako mungu awahidadh

    • @estherponda790
      @estherponda790 3 ปีที่แล้ว

      Amina Amina ubarikiwe kka zahir na Team maximum nawoote mliochanga

    • @estherponda790
      @estherponda790 3 ปีที่แล้ว

      Kaka zahir,wapi kigo mnyama

  • @shamzone388
    @shamzone388 3 ปีที่แล้ว +30

    Zahir na team yako allah awabarik kwa kila la kheir na baraka...allahuma amin

  • @mouwanahamisi8216
    @mouwanahamisi8216 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah mung azidishe kher kwa KL wenye kujinyima Na kutoa mung awazdishie walipopunguz hongeren kaka Zahir Na team yako mung awazdishie mioyo ya subra

  • @abdularuffin9308
    @abdularuffin9308 3 ปีที่แล้ว

    Allah akuzidishie Sana zahir Huseen Mungu hatakuacha Kwa Upendo wako

  • @annamwangaza605
    @annamwangaza605 3 ปีที่แล้ว +21

    Huyu dada Mungu amemjalia kucheka ndio majaliwa yake Na ni vizuri imemsaidia kiafya tumsamee

  • @matatomlik1846
    @matatomlik1846 3 ปีที่แล้ว +1

    Maashallah maashallah maashallah kaka Zahir allah azidi kukupa moyo huu huu uzidi kuwasaidia watu amiin yaa rabb

  • @liberathalaurent7494
    @liberathalaurent7494 3 ปีที่แล้ว +3

    Hongeren Tim maxmam kwa Kaz nzr mnayoifanya, Kaka zahir nmemmic kalombo jmn

  • @gracekaniki789
    @gracekaniki789 3 ปีที่แล้ว

    Kiukweli zahri sipend siku ipite nisione kazi zako uwa nachukia utanadhani nakulipa. Nakukubali sana mdg wangu nakuangalia from German

  • @munamohd963
    @munamohd963 3 ปีที่แล้ว +12

    Alwah akubari kaka dhahir.na wale wote wanojitolea.

  • @happynesskibona2679
    @happynesskibona2679 3 ปีที่แล้ว +26

    Huyo Dada aliyempokea Mungu asaidie kwa kila kitu pia hata ukimwangilia uso wake unamoyo wa huruma Dada usikate tamaaaa uwe karibu na huyo mdada ni mwanao Mungu amekupa jipe moyo

  • @joslinchuwa1298
    @joslinchuwa1298 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu azidi kukubari sana kaka zahiri kwa huduma ya kufia wahitaji ,mungu akulinde kaka usife moyo ,

  • @aishajeanine3552
    @aishajeanine3552 3 ปีที่แล้ว +1

    Masha'Allah Mungu awabariki sana kk zahir kwakazi unaofanya 🙏🏿

  • @asaa3219
    @asaa3219 3 ปีที่แล้ว +7

    God protect you from Evo eye,, and give you long life kaka, God bless you all with your team

  • @rehemajaif5318
    @rehemajaif5318 3 ปีที่แล้ว +10

    Wewe zahri ulinyonya kaka mungu akujalie sana

  • @chunaabdullah1333
    @chunaabdullah1333 3 ปีที่แล้ว

    Allah akupe umri mrefu kaka Zahir ww na familia yako

  • @vero57
    @vero57 3 ปีที่แล้ว +4

    Fabi, umeweza vizuri sana 👍👏👏😃

  • @saumusuleiman9521
    @saumusuleiman9521 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah awalipe nyooote muliochangia kimali na ushauri na mujue kuwa muliojitolea apapiti patupu mungu anawalinda kupitia huo msaadawenu pamoja na timu ya maxmam Allah awape Afya njema muzidi kusimamia jamii na awaepushe namahasidi miongoni mwao fadina nadadake usia kwako hasina usirudie tena uovu huo baadhi yawaume akishakuharibu huna thamani tena kwake umekuwa tayari nidasta wewe anaenda kwa wengine BilaKumsahau dada uliemuhifadhi binti Allah akulipe kheri

  • @sharinv8864
    @sharinv8864 3 ปีที่แล้ว +17

    Mimi kwakweli mm huwa nashangaa sana yaani mtu anakuja kucomment tu hapa eti huyo dada kakosea wewe ni nani kuukumu mwenzio wangapi wamezalishwa na wanaume wa watu wacheni ujinga hapa tuko kwa ajili ya kusaidia jamani kama huna la kucomment heri unyamaze .mungu amjalie huyu dada kile tutapata tumchangie apate chumba mahali Hawa yuko wakae nae wafanye biashara atleast akae mbali na huyo kijana.zahir mungu akubariki sana mm ni mkenya lakini mm hukuombea sana .

    • @anasana8093
      @anasana8093 3 ปีที่แล้ว

      Umesema kweli kabisaa kwanza hakuna mume wa mtu

    • @aminaissa9709
      @aminaissa9709 3 ปีที่แล้ว

      Labda huyo anaye commet huu upuuzi saa hizi yeye anawake watatu kwao lakini kawaida nyani aoni kundule Mungu awasamee hakuna mkamilifu duniani kila mtu ukosea

    • @upendoabraham2942
      @upendoabraham2942 3 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa asihukumu mwenzio usije kuhukumiwa

  • @christinammassy1550
    @christinammassy1550 3 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana Zahiri. Huyu bint ni rahisi kuishi naye hana kiburi. Safi sana

  • @dottohamisi9844
    @dottohamisi9844 3 ปีที่แล้ว

    Hongera sana kaka zahri kwa kazi m🌹mzuli

  • @samsungoman5626
    @samsungoman5626 3 ปีที่แล้ว

    Mungu awabarik mliochangia

  • @zulfadioniz9727
    @zulfadioniz9727 3 ปีที่แล้ว +1

    Nicee Mungu awabarikiii

  • @kiri5807
    @kiri5807 3 ปีที่แล้ว +1

    nice pram . iko so simple , km clinic unatembea itakufaa vizuri

  • @safiyasafiya5014
    @safiyasafiya5014 3 ปีที่แล้ว +1

    Mie nnamuhisi hasina bado tena kampata mama mwemaa akimdharau akampoteza atajuta hasaa
    Asione kapata sehem yakujistiri akaona poa tu amheshim sana amsaidie kazi za nyumbani amnyenyekee ampe moyo mie kama hawa nimeishakutana nao yaani unamsaidia kisha unajuta maana kumfukuza unashindwa inakua mtihani

  • @bahatihassan5413
    @bahatihassan5413 3 ปีที่แล้ว +5

    MashaAllah kaka Zahir Allah akuzidishie palipopungua kwakaz unayoifanya ila napenda tabasam la hasina mashaAllah

  • @nasraabdallah850
    @nasraabdallah850 3 ปีที่แล้ว +3

    Alhamdulilah Allah awajaalie wote walio jitolea

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 3 ปีที่แล้ว +2

    Baba zahiri mungu akupe maisha marefu,huyo bint asirudi Bukoba awe na dada huyo mwema sana.

  • @kamikazisalma5209
    @kamikazisalma5209 3 ปีที่แล้ว

    Manshallah tabarakallah ❤️❤️❤️❤️❤️❤️Ongerasana kaka Zahir pamoja na dadayetu kurudisha furaha yauyo binti.

  • @mamymamiza2924
    @mamymamiza2924 3 ปีที่แล้ว +2

    Daaa huyu mama wa kichaga anaroho nzuri Sana ubarikiwe

  • @swaumuramadhani7889
    @swaumuramadhani7889 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabaliki wote walowachangia
    Na Allah azidi kukuongoza kaka zahir 🤲

  • @frdausmwawughanga9047
    @frdausmwawughanga9047 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah m mungu akubarl Kaka

  • @estertiffathomas5651
    @estertiffathomas5651 3 ปีที่แล้ว +2

    Kaka zahir mm napenda misemo yko sindio eeeh na unaposem bolae Mungu akutinzeee kaka zahir

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si 3 ปีที่แล้ว

    Allah akubariki from Iraq

  • @violethswai8061
    @violethswai8061 3 ปีที่แล้ว

    Zahiri, inabidi utafute duka/maduka ya jumla ya kuchukulia vitu mara kwa mara na wakupe discount ili kusaidia kupunguza costs za manunuzi. Hongera sana kwa kazi nzuri, God bless you.

  • @dalianakerefu490
    @dalianakerefu490 3 ปีที่แล้ว

    Kazi nzr mnafanya mungu awabariki

  • @janethmagemakwakeliinauma3581
    @janethmagemakwakeliinauma3581 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera kaka zahir

  • @zawadimdete4870
    @zawadimdete4870 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda sana mungu akubaliki

  • @salmahjumah6819
    @salmahjumah6819 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah mung awabarik maximum tv

  • @estherwafula6932
    @estherwafula6932 3 ปีที่แล้ว +7

    Mungu awajalie mema kaka zahir

  • @aminaabdallah9117
    @aminaabdallah9117 3 ปีที่แล้ว +1

    Maashallah zahir mungu akuekee sihaba ♥️😍

  • @azminzahir2870
    @azminzahir2870 3 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki Sana timu ya maximum tv na wote wanaojitolea

  • @chrismasiakidasi4300
    @chrismasiakidasi4300 3 ปีที่แล้ว +17

    Mimi wa kwaza jamani naomba like zangu😊

  • @zoowenazuena4215
    @zoowenazuena4215 3 ปีที่แล้ว +2

    Yani watanzania mungu awabariki sana mnajitolea sana kwamsanda 🤲🙏🙏🙏🇹🇿

  • @jamilasalimvilog6752
    @jamilasalimvilog6752 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah kazi nzuri kaka zahir kwani saa ngapi tanzania saa hii jamani

  • @consolataraymond4822
    @consolataraymond4822 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu awabarik wote waliojitolea🙏🙏🙏

  • @khadijatwaha7333
    @khadijatwaha7333 3 ปีที่แล้ว +2

    Maashaalla kaka zahir Mwenyez mungu akuzidishie

  • @fatumakassim716
    @fatumakassim716 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu ajalie mtoto na mama .pamoja na dada hapo unaemsaidia .pamoja na timu zahiri mashallah mashallah ❤

  • @divavlog2764
    @divavlog2764 3 ปีที่แล้ว +2

    Awww!!!! Nice..... mashaallah

  • @mamymamiza2924
    @mamymamiza2924 3 ปีที่แล้ว +3

    HUYU Dada mungu amsaidie ampe kila lenye kheri na yy mana anaubinaadam

  • @upendoabraham2942
    @upendoabraham2942 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabariki wote mliomchangia, pia Asina nakupenda Sana kwa ucheshi wako mdogo angu umenifundisha Jambo

  • @rukiamussa8403
    @rukiamussa8403 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu awabariki timu mzima ya maximum tv na wale wote waliojitolea kumsaidia huyu binti na ww mama Uliyejitolea Allah akulipe kheri nyingi usivunjike moyo Mungu Kwan Mungu amekuchagua wewe

  • @judithkatoto3316
    @judithkatoto3316 3 ปีที่แล้ว +1

    Kaka Zairi mungu qkubariki judithi kutoka zanzibar

  • @happynesskibona2679
    @happynesskibona2679 3 ปีที่แล้ว +10

    Jamani asirudi kijijini abaki mjini ili huyu Mama ni mpole atamsaidia sana Tena atakuwa yuko naye kwa karibu sana wala asimwache akae naye hapo kwake mbaka awe mtu Wa kujielewa huyu ni mtu mzuri sana tumwombee dua

    • @mwana4599
      @mwana4599 3 ปีที่แล้ว

      Watu kama Zahir ndio wa kupata Tuzo hapa Tanzania na huyu Mama. Huyu binti ajifunze hao marafiki zak walimtupa akiwa na shida sasa anataka kuwafuata. Aachane nao.

  • @neemandayishimiye7744
    @neemandayishimiye7744 3 ปีที่แล้ว +3

    Kaka zahir mungu akulinde nakilabaya akupenanguvu yakujitolea vp Kaka mama Happy anaendeleaje na yule mama namwanae alobakwa akawa amejifunguwa naumri wamyaka 13 maendeleoyao yakoje?

  • @halishmwarua2957
    @halishmwarua2957 3 ปีที่แล้ว

    mashaallah walochanga mungu hawabariki wazo langu kaka zahir hakikatiwa hiyo card ya afya muhimbili wazo tu kaka fabin ndio mtaalamu wa vigari sio

  • @chainbre275
    @chainbre275 3 ปีที่แล้ว +3

    Hongera kwa huyu mama kwa kweli ana roho Safi

  • @mmnn7366
    @mmnn7366 3 ปีที่แล้ว

    Jazakah Allahu Kher

  • @queenkomba7938
    @queenkomba7938 3 ปีที่แล้ว +2

    Kaka dhahiri mm naomba watu wasimuhukumu huyu dada, kwanza Ni mwanamke shujaaa mimba inachosha na alikuwa na uwezo wa kuitoa Nina maisha yakaendelea unajua huyu dada nimemsoma Ni mtu aliyekuwa na upendo kwa mpenzi wake, Ila sema kijampo hakikupata mjambaji tumtie moyo. 🙏🙏🙏

  • @faridaabdallah2213
    @faridaabdallah2213 3 ปีที่แล้ว +1

    punguza kucheka mdgo wangu, mana tunaroho tofaut mwengine atapuuzia hata kutowa mchango wake,

  • @zainabzz7241
    @zainabzz7241 3 ปีที่แล้ว +1

    Uyu mama mungu ambariki sana tena ampe Moyo uwo uwo

  • @zbbyjmoh6943
    @zbbyjmoh6943 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah jmn mungu Atupe moyo huo huo jmn

  • @mdzainb3722
    @mdzainb3722 3 ปีที่แล้ว +2

    Huyu anaemlaumu huyu binti itakuwa hajasikiliza vizuri maana huyu dada kaelezea kwa uzuri na pia wagundue wanaume wanahizo tabia za uwongo mmi siwezi kulaum sema tu awe na msimamo amsikilize huyu mama anakaanae huyo ni mama kwake msisitizie hilo amuheshimu sana

  • @vincej9275
    @vincej9275 3 ปีที่แล้ว +3

    Asante sana Zahir na crew yako yote. Asante sana mama wa ziada Pia wote waliochanga mchango wao. Let's continue helping her.

  • @chrismasiakidasi4300
    @chrismasiakidasi4300 3 ปีที่แล้ว +7

    Tatizo nikwamba watu wengi wakisha hamishia mabag kwa wanaume basi tunasema mke lakini ukweli nikwamba yule alie funga ndoa ndio mke kwahiyo sioni kama huyu bint anamakosa Mungu atakufanyia wepesi Inshaallh 🙏

    • @maximumtvonline
      @maximumtvonline  3 ปีที่แล้ว +2

      Kweli kabisa..

    • @hellenewillamba78
      @hellenewillamba78 3 ปีที่แล้ว +1

      Ila hiyo ni kidini ila kiserikali ni mke au mume

    • @consolataraymond4822
      @consolataraymond4822 3 ปีที่แล้ว +1

      @@hellenewillamba78 serikal ni Bora kulko mungu?????

    • @chrismasiakidasi4300
      @chrismasiakidasi4300 3 ปีที่แล้ว

      @@hellenewillamba78 kwahiyo unataka kuniambia tu heshim selikari kwamba uzizi ni haki na tumuache Mungu?

  • @tresiakaovela9109
    @tresiakaovela9109 3 ปีที่แล้ว +3

    Huyu Dada sio wakumuhukumu kwsababu bado mdogo kabisa napia nimcheshi

  • @joanithamwaudama9928
    @joanithamwaudama9928 3 ปีที่แล้ว

    Hongera sana

  • @hajerprondi6732
    @hajerprondi6732 3 ปีที่แล้ว

    Allah awajalie team muzima ya zahir hssein

  • @patriciacleopatra3695
    @patriciacleopatra3695 3 ปีที่แล้ว +4

    Zahir kamsemo kako (sindio eeh🔥🔥🔥

  • @ashaa497
    @ashaa497 3 ปีที่แล้ว +11

    Mashaallah alhamdulillah good

  • @faridaabdallah2213
    @faridaabdallah2213 3 ปีที่แล้ว +1

    anapenda kucheka huyu kipindi akihojiwa sijuw niutoto🤔🤔🤔🤔🤔

  • @maryamjuma1087
    @maryamjuma1087 3 ปีที่แล้ว +12

    Wallah huyu dada asije akasahau hisan kwayuo mama alie msaidia km kina fadina

    • @tamemahmad9902
      @tamemahmad9902 3 ปีที่แล้ว +1

      Umeonaeee, binaadam tukishapata tunasahau tulikotoka

    • @aminaismail4221
      @aminaismail4221 3 ปีที่แล้ว

      Kabisa

    • @missijju1228
      @missijju1228 3 ปีที่แล้ว

      ACJE KUA kama SOFIA TENA AKAE KWA ADABU NA HESHIMU AMHESHIMU KAMA MAMAKE

  • @leylahbillah4876
    @leylahbillah4876 3 ปีที่แล้ว +3

    Maashallah Allah akupe Umri mrefu inshaallah

  • @aminaabdallah9117
    @aminaabdallah9117 3 ปีที่แล้ว +1

    Kaka zahir bora aende hos maisha kulala nje hapo nyuma kifua limepungua baridi hicho

  • @fatumakassim64
    @fatumakassim64 3 ปีที่แล้ว +2

    Duuh kweli kunawatu wanautu sna juzi tu lkn leo watu wamejitolea mungu awaongeze time yote

  • @amourabdallah2978
    @amourabdallah2978 3 ปีที่แล้ว +4

    Mimi nimempenda sana huyu mdada aliozalishwa ni mchangamfu mcheshi na anacheka sana

    • @tatotato506
      @tatotato506 3 ปีที่แล้ว

      Watu wanataka.awe analia

  • @faridaessa7844
    @faridaessa7844 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana kaka zahir

  • @binthkhamisi1097
    @binthkhamisi1097 3 ปีที่แล้ว +5

    Masha Allh maxm tv

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 3 ปีที่แล้ว +1

    Kido yuko wapi

  • @saranasser542
    @saranasser542 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah Mashaallah

  • @mtitagirloriginal9472
    @mtitagirloriginal9472 3 ปีที่แล้ว +3

    Zahir hiyo laki na thamann ningeipata mim nisingehitaj chakula na nisingejal kam nin mtoto kwa maan nam nimepitia maisha hayo nilikopa elfu 60 nikaanza biashar ya kuuza mishkaki na ndiz za kukaanga jion' uji nauza asubuh nilikua kama mtumwa lakin nilishinda vita mwambie akuze akil maish ndivyo yalivyo magum ni weng tunapitia ila ndio akili tunatofautuan sikuhiz wanawake akili zimelala yaan ajiongez jins ya kuvuka magum anawaz msaada hata kam haumwi mim nikiumwa nitaomba msaad ili nitibiwe lakin kuhus maish magum mungu aniepushe

  • @mariamfaki1166
    @mariamfaki1166 3 ปีที่แล้ว

    Sema huyu mama mungu atamlipa kumuokota huyo dada inatakiwa uwe na moyo mungu akubariki sana

  • @jestinamagembe2125
    @jestinamagembe2125 3 ปีที่แล้ว +1

    Jaman huyo bint ameumbwa kutabasam na kucheka na moyo wake sio wa kuweka vitu moyon,kikubwa Mungu ampe afya njema na mwanae na huyo dada Mungu am'bariki

  • @mamaeliya5611
    @mamaeliya5611 3 ปีที่แล้ว +2

    Huyo mama anamoyo wa kukaa naye amweshimu awapende wadogo zake akipata nguvu amsaidiye huyo mama usafi asikae tu akimalisa amwandaye mwaneye ndiyo akatafute riziki

  • @مريمحمد-و5م
    @مريمحمد-و5م 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyezimungu akubariki kk

  • @zamzamzam3920
    @zamzamzam3920 3 ปีที่แล้ว +1

    MaashaAllah❤️

    • @salummohammed7849
      @salummohammed7849 3 ปีที่แล้ว

      Zamzam samahani sana nakuwomba uniunganishe na uyo mama anaye mshulikiaa hasina namawongezii mm niko Zanzibar Namba yangu ya CM hii 0785298700 tupopamoja

  • @mesajuma4843
    @mesajuma4843 3 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah

  • @aishachambo3293
    @aishachambo3293 3 ปีที่แล้ว

    Dada anaroho nzuri sana

  • @tibajumaomary6423
    @tibajumaomary6423 3 ปีที่แล้ว +1

    Zahir upo powa

  • @raziaamisi2048
    @raziaamisi2048 3 ปีที่แล้ว +3

    Kaka zahir vp zaina

  • @semenimohamed8156
    @semenimohamed8156 3 ปีที่แล้ว +5

    Hao wanasema ttz wanawake hatupendani ukweli kabisa yye katongozwa na mwanaume hakuwa muwazi angekua muwaz sidhani kam huyo msichana angekua nae mana wanaume wanasir hawag wa kweli

  • @batulimabewa6953
    @batulimabewa6953 3 ปีที่แล้ว +1

    M/ Mungu awaongezee pale palipo pungua wote mliochangia