SAFARI YA GIFT YAWADIA......

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 24

  • @lilianalmas5911
    @lilianalmas5911 2 ปีที่แล้ว +3

    Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi katika kazi yako da Flora. Mungu ni mwema 🙏🏼

  • @aliciahmbura5943
    @aliciahmbura5943 2 ปีที่แล้ว +4

    Wakwanza likes zangu jameni pamoja sana da flora.🇰🇪

  • @zainabubalama8869
    @zainabubalama8869 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole Sana Mama gift Mungu akutangulize katika safari yako Mwenyezi Mungu akupe faraja mkapate matibabu vizuri

  • @wemayisambi277
    @wemayisambi277 2 ปีที่แล้ว

    Mungu afanye njia

  • @meckitidisliweta2811
    @meckitidisliweta2811 2 ปีที่แล้ว

    Dada froha Mimi piah n mmoja wa wafuatiliaji mnoh mungu akubalik kwa kutoa mda wako San kwa ajil yetu wanadam.hata mim natamn siku moja nifwate nyayo zako kwa kuguswa n maisha ya kusaidia watu wahitaj lakn dada kwa upande wa kusin hiii Hali zipo nying mnoh natamn siku moj uje usaidie N watu wa huku maaan watu hawajui wap watapat msaad lkn kwa kuja kwako kupaza saut n huku kusin c kwamb hakun shida zipo nying mnoh Ila watu hawana msaada wa kukimbilia

  • @gracesimiyu7992
    @gracesimiyu7992 2 ปีที่แล้ว

    Quick recovery doughter Gift ,,, with God everything is possible trust in him he is the most powerfull

  • @bernadetamodest6170
    @bernadetamodest6170 2 ปีที่แล้ว +3

    Atapona tu kwa uwezo wa Allah,jope moyo mama Gift.

  • @arnesyaurio6346
    @arnesyaurio6346 2 ปีที่แล้ว +2

    Mwenyezi Mungu awatangulie katika safari hii 🙏🏼

  • @gracesimiyu7992
    @gracesimiyu7992 2 ปีที่แล้ว

    God is powerful

  • @sophiajuma6798
    @sophiajuma6798 2 ปีที่แล้ว +1

    Mama Gift usivunjike moyo hakuna jambo linalo mshinda mwenyezi Mungu 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @martha4788
    @martha4788 2 ปีที่แล้ว

    Da Flora kila heri popote uendapo na Kila anaekukejeli mabaya yamrudie !!

  • @kingsleymagara2674
    @kingsleymagara2674 2 ปีที่แล้ว

    most love to dada frorah God blessings woman

  • @rukiyyarukiyya6317
    @rukiyyarukiyya6317 2 ปีที่แล้ว

    Pole dada mwanao atapona in shaallaah

  • @fariarizaq7528
    @fariarizaq7528 2 ปีที่แล้ว

    Atapona inshaallah kwa uweso wa Allah pole sana mum

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 2 ปีที่แล้ว

    Mtihani pole mama gifiti unapo kuwa na mtoto mgonjwa lazima watu wakunyanyase miye mwe nyewe nina nduguyangu ni mlemavu wa viungo basi watu wanatusimanga na kutuambiya kama mungu kafanya hiyo basi sijui makusudio yao ni nini au wao wamesha umbika au vipi

  • @penninaaori4720
    @penninaaori4720 2 ปีที่แล้ว +1

    mama gift pole Sana mwanao atarudi kawaida hutaami Ni Nina huzuni Kwa majirani wanao sema kuwa mtoto ka huyu afungiwe ndani ilihali ya kucheza kama wengine Gift atakuwa Sawa Mola awalinde

  • @abelyphilimon8415
    @abelyphilimon8415 2 ปีที่แล้ว

    Huyu dada ni kama mm maana hata mwanangu akiumwa hata mafua nalia tuu mpk apone,,mungu akutie nguvu mungu amponye mwanao.

    • @hakimalia2275
      @hakimalia2275 2 ปีที่แล้ว

      𝒎𝒊𝒎 𝒏𝒂𝒍𝒊𝒂𝒈𝒂 𝒌𝒂𝒎𝒂 𝒎𝒘𝒆𝒉𝒖 𝒋𝒂𝒎𝒂𝒏

  • @elividamalinzi2863
    @elividamalinzi2863 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu mwema, atapona2 marikia Gift, mama Gift jipe moyo dada.

  • @vivianvivian8585
    @vivianvivian8585 2 ปีที่แล้ว +1

    Wa Kwanza leo

  • @arnesyaurio6346
    @arnesyaurio6346 2 ปีที่แล้ว

    Eee Mungu nakuomba umponye 🤲 malaika Gift 🙏🏼🙏🏼

  • @glorymsopa4221
    @glorymsopa4221 2 ปีที่แล้ว

    Kiukweli nikiwa kama mama najikuta nalia mno ila mungu nimwema atapona jmn niwajina wa mwanangu binafs nakuombea g apone

  • @rehemshehoz8704
    @rehemshehoz8704 2 ปีที่แล้ว

    Kwa uwezo wa Mungu atapon

  • @gracesimiyu7992
    @gracesimiyu7992 2 ปีที่แล้ว +1

    Quick recovery doughter Gift ,,, with God everything is possible trust in him he is the most powerfull