LOVENESS Wa JUA KALI Afunguka A-Z - "LAMATA Ndio ALINIITA, NINA KILO 90, NIPO SINGLE"..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 167

  • @joycekasimbazi9817
    @joycekasimbazi9817 11 หลายเดือนก่อน

    Yaani huyu dada ni intelligent nampenda na anajielewa

  • @ramlabaruani4202
    @ramlabaruani4202 3 ปีที่แล้ว +15

    Nakupenda loveneess kujiamini ni tiba kwa mwanadamu kutojiamini ni maradhi

    • @veronicadaniel1122
      @veronicadaniel1122 3 ปีที่แล้ว

      Mungu nisaidie kupona kutokujiamini ni ugojwa mkubwa mno hasa mwanaume akijua hujiamin

  • @asiaisaka2898
    @asiaisaka2898 3 ปีที่แล้ว +14

    Anasauti zuri mashaallh

  • @lusekeloemanuel5313
    @lusekeloemanuel5313 3 ปีที่แล้ว +2

    We jua naenda kufatilia hiyo move ya jua kali kajili yako ujue;😍

  • @rafidhaally9857
    @rafidhaally9857 4 ปีที่แล้ว +20

    Anasauti ndhuri sana

  • @rukiakhamsin9220
    @rukiakhamsin9220 3 ปีที่แล้ว +10

    Masha Allah, anajiamini🥰🥰🥰

  • @chantalmulasi5663
    @chantalmulasi5663 3 ปีที่แล้ว +6

    Ahana unene wakutisha sema kifua chake niki pana na mashavu tu. and she's beautiful as well.

  • @christineambasa814
    @christineambasa814 3 ปีที่แล้ว

    Alaaaaah na siako na sura mbaya sana hiyo mimi noooo

  • @fetychina3273
    @fetychina3273 3 ปีที่แล้ว +2

    Umeniamasisha weacha tu love you mdada💋❤❤❤

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 4 ปีที่แล้ว +15

    Kujiamini 💪

  • @esteremmanuel5225
    @esteremmanuel5225 3 ปีที่แล้ว +5

    Kibonge sana Lakini mwepes

  • @husnamtuveta8056
    @husnamtuveta8056 3 ปีที่แล้ว +1

    Duh Ana sauti zuri mashallah

  • @minzagabriel1493
    @minzagabriel1493 3 ปีที่แล้ว +3

    Yani nampenda mno love😂😂😂

  • @happinessmwanga4224
    @happinessmwanga4224 3 ปีที่แล้ว +4

    Nampenda sana love

  • @fadhilamohamed8304
    @fadhilamohamed8304 3 ปีที่แล้ว

    Mpenda chocolate mwenzangu😂😂😂tukutane tiptop

  • @firdaussheikh4817
    @firdaussheikh4817 3 ปีที่แล้ว

    Love you love nakukubali

  • @sekelamwangosi3289
    @sekelamwangosi3289 3 ปีที่แล้ว +4

    Kunenepa sawa napenda ila sio ka ivo😭

  • @samsunggalax8258
    @samsunggalax8258 4 ปีที่แล้ว +14

    She is beautifull

  • @kettyym9859
    @kettyym9859 3 ปีที่แล้ว +1

    I love you girl 😍😍😍

  • @agnessathanass5369
    @agnessathanass5369 3 ปีที่แล้ว

    Natamani sana kuwa muigiza

  • @nasmawaziri1939
    @nasmawaziri1939 3 ปีที่แล้ว +3

    Naikumbuka sket yk ya shule ya kijani huuuuuh na ucommedy wako safiiiiii

  • @bilalbizimana980
    @bilalbizimana980 4 ปีที่แล้ว +7

    I was confidence🙈

  • @likimaro6
    @likimaro6 3 ปีที่แล้ว +1

    It is about time waandishi mjitambue. Yaan asilimia kubwa ya maswali ya mwandishi ni kuuliza juu ya unene tu?? Seriously?

  • @aoman5214
    @aoman5214 4 ปีที่แล้ว +6

    Mbona hapo unapomuhoji naona Kama kapungua au anafanya mazoez??

  • @neemalambert7536
    @neemalambert7536 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki🙏🙏

  • @shadrackndossy8181
    @shadrackndossy8181 3 ปีที่แล้ว

    Naomba usije ukafanya. Sajar

  • @hadijalukas5959
    @hadijalukas5959 3 ปีที่แล้ว

    wallah huyu dada anasauti tamu kinyama na nimependa anavojiamini safi, ila swali rangu moja tu kwa wanaume. ikitokea ukapata namba ya huyu dada ukawa unawasiliananae kwa simu mahaba kama yote harafu mwisho wa siku ukaja kuonananae live utafanyaje? sitaki matusi nataka jibu rinaroendana na swali

  • @aminaissa9756
    @aminaissa9756 3 ปีที่แล้ว +6

    Wallah anafanya juakali inabamba mno especially yy na bibi.....😅😅😅

    • @evaristerchiza2197
      @evaristerchiza2197 3 ปีที่แล้ว

      Mnoo mm nampenda jmn na bib mpogoro🤣🤣🤣

  • @happymwashiwawa3764
    @happymwashiwawa3764 3 ปีที่แล้ว +1

    Minakilo 96 ila sipo mnene ivo niwakawaidaa

  • @yunusrnb5227
    @yunusrnb5227 3 ปีที่แล้ว

    Nimependa sauti yake 😋😍😘

  • @leahmushi4536
    @leahmushi4536 3 ปีที่แล้ว +3

    jmn kama mnaikumbuka ile muvi ya kanumba BIG DAD kunakipande pale kanumba wapo super market halfu sofia akamtoroka badae kanumba akamkuta sofia yupo na mtoto flani hivi bongee wanakula ice creem mbona kma ndo huyu dada🤔🤔

    • @naycute5568
      @naycute5568 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣wamefanan sana na cjui km cyo yy

  • @minazsaid2470
    @minazsaid2470 4 ปีที่แล้ว +5

    I like her kwakweli

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 3 ปีที่แล้ว +11

    Huu siyo unene wa kawaida anatatizo la kiafya linalomfanya mwili kunenepeana. Alishawahi kujieleza zamani kidogo.

    • @fjojoly
      @fjojoly 3 ปีที่แล้ว

      kasahau

  • @aoman5214
    @aoman5214 4 ปีที่แล้ว +4

    Nampenda Sana anavyoongea

  • @salhamrisho8138
    @salhamrisho8138 3 ปีที่แล้ว +2

    Nampenda mnooh

  • @hadijamwanana2471
    @hadijamwanana2471 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwanashelia wangu nicoment nn hapa

  • @lukmanalbimani3030
    @lukmanalbimani3030 4 ปีที่แล้ว +8

    Unene sio maradhii dada fanya diet ww ni mnene jibadilishe . Thats too much

    • @fjojoly
      @fjojoly 3 ปีที่แล้ว

      more than too much

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 4 ปีที่แล้ว +3

    Mmerekebisha mwanzo mliweka yalikuwa makelele matupu

  • @neemaphilip8617
    @neemaphilip8617 3 ปีที่แล้ว +6

    Huyu mtangazaji anamdadisi sana mpaka ananikera kkhaa yeye akioni nahilo nyonyo kama ananyonyesha wafungwa mxiuu🥵

    • @nrwawanndeny7394
      @nrwawanndeny7394 3 ปีที่แล้ว

      Acha mawazo ya bangi wee mtoto wa kike.We ulishawahi kunyonyesha majambazi?

  • @simplyfay5308
    @simplyfay5308 4 ปีที่แล้ว +3

    Gabby kapungua sahv nahs yupo kwenye diet kali Sana😊

    • @zakiahaji1683
      @zakiahaji1683 3 ปีที่แล้ว +1

      Kpungua kwel

    • @simplyfay5308
      @simplyfay5308 3 ปีที่แล้ว

      @@zakiahaji1683 kumbe umemuona ee mpnz qu kafanya lipo suction

    • @zakiahaji1683
      @zakiahaji1683 3 ปีที่แล้ว

      @@simplyfay5308 😂

    • @simplyfay5308
      @simplyfay5308 3 ปีที่แล้ว

      @@sharamata1119 Gabby wa empire wale wamarekani

  • @marymungi2104
    @marymungi2104 3 ปีที่แล้ว +5

    Jamani mbona mwepesi me mdogo wangu ana kilo 110 na kazalia 2002

    • @zolongOne
      @zolongOne 3 ปีที่แล้ว

      😂😂

  • @eveladakalegele5344
    @eveladakalegele5344 3 ปีที่แล้ว +1

    Umenifanya na mm nijiamini

  • @hannansdeliciousfood4261
    @hannansdeliciousfood4261 3 ปีที่แล้ว +2

    Paambe kibonge mwenzangu weee...

  • @leylahleylah4599
    @leylahleylah4599 3 ปีที่แล้ว +3

    90 sio kweli

  • @kilizajumainn826
    @kilizajumainn826 3 ปีที่แล้ว +4

    Ata sura yaonyesha bado mdgo

  • @divinebernard1047
    @divinebernard1047 3 ปีที่แล้ว

    Wamefanana kweli Ila yy sasa machavu njo atari

  • @malikiatumain5320
    @malikiatumain5320 4 ปีที่แล้ว +7

    Kiro hajadanganya maana kinacho mfanya mtu awe na uzito mkubwa Ni mifupa sio nyama

  • @zakstv7368
    @zakstv7368 3 ปีที่แล้ว +4

    Hana kilo 90 huyu

    • @khadijaiddy1165
      @khadijaiddy1165 3 ปีที่แล้ว

      Kabisa mpnz huyo anazaidi ya hzo kilo coz mi nna kilo 92 lakin ukiniona hata siko hvyo nna unene wa kawaida

    • @atienogeorge4478
      @atienogeorge4478 3 ปีที่แล้ว

      Labda kama ni kilo 190 lakini sio 90

  • @jesusjesus7477
    @jesusjesus7477 3 ปีที่แล้ว +1

    Mbona mtangazaji umekazania mwili wa mdada wawatu maswali kibao ni mwili mwili 😏😏😏😏

  • @pesangwasalim5258
    @pesangwasalim5258 3 ปีที่แล้ว

    Kitufe

    • @nainaiblack6736
      @nainaiblack6736 3 ปีที่แล้ว

      Dada lamata anasaidia wengi ana moyo 2a huruma sana

  • @mamrathyomari9084
    @mamrathyomari9084 4 ปีที่แล้ว +2

    😗😗

    • @zainabmputa3414
      @zainabmputa3414 4 ปีที่แล้ว

      Mungu akusimamie ila kwenye kilo umeongopa

  • @emilyibraimo5032
    @emilyibraimo5032 3 ปีที่แล้ว

    Mbona mtoto mzuri hataki. Mume

  • @tusajigwemathias3758
    @tusajigwemathias3758 3 ปีที่แล้ว +3

    Alafu mbona ana line ya drip??? Anaumwa jamaniii

  • @adelinadeogratias1841
    @adelinadeogratias1841 3 ปีที่แล้ว

    😍😍😍😍😍

  • @esmahnguzo8448
    @esmahnguzo8448 3 ปีที่แล้ว +1

    Yeye na bibi wanafanya jua kali ina bamba

  • @divinebernard1047
    @divinebernard1047 3 ปีที่แล้ว

    Siyo mnene wasana Ila machavu njo inakera atari

  • @hawaynatimam982
    @hawaynatimam982 3 ปีที่แล้ว

    Uyo anaeuliza maswali naona anazunguka tuu

  • @praxedadominic5193
    @praxedadominic5193 4 ปีที่แล้ว +1

    Nampenda mnoooo 🤣❤️❤️

    • @sulemohd4812
      @sulemohd4812 3 ปีที่แล้ว

      Mazoezi huyo atakaa swa

  • @happynessmarki2780
    @happynessmarki2780 4 ปีที่แล้ว +4

    Mate Helen Herman old tanga

    • @nasmawaziri1939
      @nasmawaziri1939 3 ปีที่แล้ว

      Aseeeeee alikuwa na vtuko toka shule huyu😀😀😀

  • @chidybwax8080
    @chidybwax8080 3 ปีที่แล้ว +1

    Mbona mdg San Hata kilo zake za kawaid San

  • @dianalisakafu1602
    @dianalisakafu1602 3 ปีที่แล้ว

    Hellen wak shoga ake nakpnd

  • @neemarupia1062
    @neemarupia1062 3 ปีที่แล้ว +1

    Bado mdogo mwili unarakiwa upungue asijiendekeze kula na kulala lala.

  • @dorisfabian3703
    @dorisfabian3703 4 ปีที่แล้ว +2

    Ana kilo 90 na yuko single wajameni

  • @namsamson3443
    @namsamson3443 3 ปีที่แล้ว +3

    Huyu mtangazaji anataka amwambie unajisikiaje na hilo umbo lake na wakati yeye mwenyewe umbo liko kama la huyo anayemuinterview. Ajiulize yeye mwenyewe kwanza anajisikiaje alivyo kabla hajamuuliza Love

  • @TheMandela21
    @TheMandela21 3 ปีที่แล้ว

    mtu inafanya mazoezi just to be physical fit

  • @rosedaniel1981
    @rosedaniel1981 3 ปีที่แล้ว +5

    Hapo kakaa ama kasimama jmn😅😂

  • @angelbwija9547
    @angelbwija9547 3 ปีที่แล้ว +1

    Punguza bugali dada yangu

  • @shosemanjira9015
    @shosemanjira9015 4 ปีที่แล้ว +5

    Duh ni unene hau kitukoo,kilo ni Zaid ya 110

  • @marysaguda5378
    @marysaguda5378 3 ปีที่แล้ว +1

    Jaman mi mwenyewe Nina kilo 94

    • @mimiapa8436
      @mimiapa8436 3 ปีที่แล้ว

      @@Pilijoson kilo zahusiana nini na umri na wewe??

  • @sekundambilinyi5450
    @sekundambilinyi5450 3 ปีที่แล้ว

    Kweli! Sidibe mtupu

  • @mayralily9063
    @mayralily9063 3 ปีที่แล้ว +1

    Nampnd sn

  • @neemamdami7466
    @neemamdami7466 3 ปีที่แล้ว +2

    Amtafute dada anajiita Vj kupungua atakuwa mrembo haswa

  • @maryamdullazy3276
    @maryamdullazy3276 3 ปีที่แล้ว

    Dogo lake la old tanga moja

  • @deboraramadhan8663
    @deboraramadhan8663 3 ปีที่แล้ว +1

    Unaongea vizury chibonge mwenzangu

  • @ummukulthummohd5403
    @ummukulthummohd5403 3 ปีที่แล้ว +3

    Kwa kg 90 sio kwl

    • @tusajigwemathias3758
      @tusajigwemathias3758 3 ปีที่แล้ว

      90 kazidi huyo hahahaaa mie mwenyewe simfikii unene ila Nina kilo 98.. Labda sbb wanasema unaweza ukawa mnene lakini mwepesi au mwembamba lakini mfupa mzito

    • @hfafjjhdfgh1545
      @hfafjjhdfgh1545 3 ปีที่แล้ว

      @@tusajigwemathias3758 uyo hapungui kilo 130 kilo 90 uongo

    • @deboraramadhan8663
      @deboraramadhan8663 3 ปีที่แล้ว

      Amesema kipindy cha nyuma jamani sio kwa sasa anasema hajapima kwa muda mrefu kidogo

    • @justinamukama3327
      @justinamukama3327 3 ปีที่แล้ว

      Mlisoma wapi? Uzito siyo unene uzito ni mifupa ya mwili

    • @ummukulthummohd5403
      @ummukulthummohd5403 3 ปีที่แล้ว

      @@justinamukama3327 hata km uzito ni mifupa ila kwa 90 sio kwelii

  • @fatumamwalimu5765
    @fatumamwalimu5765 4 ปีที่แล้ว +6

    Huyo ni zaidi ya 90,anagonga mia 110 huyo

    • @rashidkalimbo2451
      @rashidkalimbo2451 4 ปีที่แล้ว +1

      Nafikiria hilo pia, by now she must over 💯 kg...

    • @daimavlog
      @daimavlog 4 ปีที่แล้ว +1

      Anakipaji, ila ushauri si mbaya, pungua kidogo kwa afya yako bado mdogo.

    • @daishajumanne5990
      @daishajumanne5990 4 ปีที่แล้ว +1

      Nilitaka kushangaa namna alivyo eti kilo 90 hapana ni zaidi

    • @sikudhanimohammad7692
      @sikudhanimohammad7692 4 ปีที่แล้ว +3

      Tisini ni uongo aise

    • @rashidkalimbo2451
      @rashidkalimbo2451 4 ปีที่แล้ว +3

      @@sikudhanimohammad7692 By the way, mweeleweni, amesema the last time anapima uzani alikuwa 90kg, hajasema current, So this means that current weight she can be even 150kg because hatujui previous alipopima weight yake akapata 90kg nilini....

  • @fastlady3099
    @fastlady3099 3 ปีที่แล้ว

    Huyu mifupa mepesi

  • @travisorotu4206
    @travisorotu4206 3 ปีที่แล้ว +1

    0

    • @salamadaud7025
      @salamadaud7025 3 ปีที่แล้ว

      nampenda sanaa sana love

    • @hellenmonyo8013
      @hellenmonyo8013 3 ปีที่แล้ว

      sound's good

    • @aminamuba3750
      @aminamuba3750 3 ปีที่แล้ว

      Nampenda old tanga tulikua tunafrah sana

    • @khadijahemed6388
      @khadijahemed6388 3 ปีที่แล้ว

      Mbona kamshikilia mwili wake akati nae kibonge llooh