KUHUSU ISRAEL NA PALESTINA TUNDU LISSU KAWAZIDI MBALI SANA MAASKOFU NA WACHUNGAJI AIBU HII

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ธ.ค. 2023
  • Video from Nabii Eliya Ilyaas

ความคิดเห็น • 55

  • @ayshasaid1547
    @ayshasaid1547 6 หลายเดือนก่อน +2

    Husema siku zote ni dhurma tu na je yesu amesema uuwe kama wewe taufa teule asante lifu kwa kuwafungua masikio wasiojielewa

  • @JacksonMartin-pb2vq
    @JacksonMartin-pb2vq 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mhhhhhh huyu ni lisu nimjuae mimi hakika kweli Mungu hupitia binadamu kufikisha ujumbe 😢siamini maneno haya yenye hekima kubwa yanayohitaji tafakuli kubwa yametoka kwa lisu hongera mh

  • @samwelingasa1638
    @samwelingasa1638 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana wasayoni wametufisha sana hii moja ya siri ya dunia

  • @emmanuelmutuku7434
    @emmanuelmutuku7434 6 หลายเดือนก่อน +1

    Umesema kweli Mungu hayuko Israel tena,ndio maana wanadhani vita za nyama damu bado zitawafanya kuwa watu wa mungu na marekani ni kiungo muhimu kwa hizi vita hili wawe na ushawishi

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 6 หลายเดือนก่อน

    👍👊✌️.

  • @imranjuma1197
    @imranjuma1197 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli Mwalimu wangu💯

  • @kikalarashid9003
    @kikalarashid9003 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa mara ya kwanza, nimekubaliana na huyu mtu. Kumbe yuko vizuri tu!

  • @salunhokhan2194
    @salunhokhan2194 6 หลายเดือนก่อน +2

    Siwezi amini kama hayo ni maneno ya Lissu mwana siasa. Allah akbar! Nimemkubali sana kwa kuwa anaelewa hayo.

    • @TheGame-nz7um
      @TheGame-nz7um 6 หลายเดือนก่อน

      Kwan nan alikua mchokoz kwenye hiyo Vita!? mbna walivouwawa waisrael 1000 tar 7/10/2023 hakuna mtu alielaani hicho kitendo!? em acha wamalizane hao wanapiganaga Karne na Karne kabla hata ya uislam na ukristo .

  • @josephinegravasiano8860
    @josephinegravasiano8860 6 หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa usemayo ni sahihi, Mungu yupi anapenda kuona upande mmoja ukiumizwa, maana yeye hapendi dhuluma .

  • @mwakatundujr1674
    @mwakatundujr1674 6 หลายเดือนก่อน

    Na kamwe siwezi kwenda kinyume na MAANDIKO MATAKATIFU. I stand for Israel forever

  • @rommyshabby3959
    @rommyshabby3959 6 หลายเดือนก่อน +1

    Tindu lissu nimekuelewa sn hapa

  • @barick
    @barick 6 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @salunhokhan2194
    @salunhokhan2194 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli . Siwezi amini kama hayo ni maneno ya Lissu. Allah Akbar!

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 6 หลายเดือนก่อน

      Lisu mbona yupo vizuri, hapendi dhulma, na anafaa kuwa rais wa Tanzania.

  • @mwakatundujr1674
    @mwakatundujr1674 6 หลายเดือนก่อน

    6 Haya ndiyo asemayo Bwana; Kwa makosa matatu ya Gaza, naam, kwa manne, sitaizuia adhabu yake isimpate; kwa sababu waliichukua katika hali ya kufungwa kabila nzima, wawatie katika mikono ya Edomu;
    Amosi 1:6
    7 lakini nitapeleka moto juu ya ukuta wa Gaza, nao utayateketeza majumba yake.
    Amosi 1:7
    8 Nami nitamkatilia mbali mwenyeji katika Ashdodi; na yeye aishikaye fimbo ya enzi katika Ashkeloni; nami nitaugeuza mkono wangu uwe juu ya Ekroni; na mabaki ya Wafilisti wataangamia, asema Bwana MUNGU.
    Amosi 1:8

  • @daudluswema-mx3ok
    @daudluswema-mx3ok 6 หลายเดือนก่อน

    fungua wakristo lissu,kama hajasikia kwako basi wamelogwa na aliewalogo kakufwa,barikiwa sana lissu

    • @mwakatundujr1674
      @mwakatundujr1674 6 หลายเดือนก่อน

      6 Haya ndiyo asemayo Bwana; Kwa makosa matatu ya Gaza, naam, kwa manne, sitaizuia adhabu yake isimpate; kwa sababu waliichukua katika hali ya kufungwa kabila nzima, wawatie katika mikono ya Edomu;
      Amosi 1:6
      7 lakini nitapeleka moto juu ya ukuta wa Gaza, nao utayateketeza majumba yake.
      Amosi 1:7
      8 Nami nitamkatilia mbali mwenyeji katika Ashdodi; na yeye aishikaye fimbo ya enzi katika Ashkeloni; nami nitaugeuza mkono wangu uwe juu ya Ekroni; na mabaki ya Wafilisti wataangamia, asema Bwana MUNGU.
      Amosi 1:8

  • @martinisadru9899
    @martinisadru9899 6 หลายเดือนก่อน +2

    Hao waparestina ilitakiwa waangamizwe tangu zama za joshua,! Akakahidi amli ya MUNGU, parestina ndio wafiristi hao.

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 6 หลายเดือนก่อน

      Tatizo lako wewe shetani lazima uwapende mashetani wenzako

  • @ABCD-ly3rq
    @ABCD-ly3rq 6 หลายเดือนก่อน

    Sio wote wanaokubali vita lkn wale wanaopenda mali na ubinafsi ndio wanaongoza vita nchi nyingi zitakumbwa na hili swala Yohane alisema yeyote anae mkataa kristo ni mpinga kristo chunguza islaeri wenyewe uone km hawampingi ndipo utapata majibu

  • @twahaismail9440
    @twahaismail9440 6 หลายเดือนก่อน +2

    Tundu lisu ww ni msomi mwenye akili timamu sio msomi wa kuunga juhudi

  • @allenshetuli9100
    @allenshetuli9100 6 หลายเดือนก่อน

    Ungeeleza nawao walioanza kuuwa waisrael ipoje

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 6 หลายเดือนก่อน

    Wewe nimtu wa siasa

  • @designdesign4426
    @designdesign4426 6 หลายเดือนก่อน +1

    Lisu nimekupenda bure uko na akili minngisana

  • @johnjulius6986
    @johnjulius6986 6 หลายเดือนก่อน

    NABII ELIAS....., huwa nakupinga sana...., lakini naelewa analosema LISSU ni sahihi...
    Maana hawawi wote waisrael waiochaguliwa....ni wale waliotoka kwa Ibrahimu tu...(Imani).
    Hawa wajiitao wayahudi ni sinagogi la shetani..., kwanza wanaikataa Neema ya Yesu. na hawataki Injili ihubiriwe...

    • @nabiiilyaaseliya2551
      @nabiiilyaaseliya2551  6 หลายเดือนก่อน +2

      Wewe hunipingi bali una CHUKI TU NAKUFAHAM VZR SANA NASHUKURU WANAFUNZI WANGU WANAKUJIBU MARA KWA MARA. YAANI UNANICHUKIA TU HATA SIJUI SABABU 😂
      Kwani Tundu lissu nami ninachofundisha utofauti upo wapi?
      Ulisema nawashawishi kwa bendera tu. Sasa leo unakubali LISSU NA MIMI UNANIPINGA WAKATI TUNAONGEA KITU KIMOJA😂🤣

    • @imranjuma1197
      @imranjuma1197 6 หลายเดือนก่อน

      @@nabiiilyaaseliya2551Mwalimu kazi yetu ni moja kumzoom tuone mwisho wake, kila siku yupo hapa kukupinga ila iko siku ataelewa unacho kisema lakini atakuwa kasha chelewa

    • @selemaniigosha
      @selemaniigosha 6 หลายเดือนก่อน

      Kwani lisu anajua nn? Maandiko matakatifu hayajui anabwabwaja tu

  • @user-cf2kr7lb1w
    @user-cf2kr7lb1w 6 หลายเดือนก่อน

    Waislam na Wakristo wataungana kumpiga Adui yao mmoja hiyo ni dalili ya kiama

  • @omanbarka1588
    @omanbarka1588 6 หลายเดือนก่อน

    Kwan hao magaidi hamasi si ndio walio anza uchokozi kuwavamia izlaheli na kuwauwa waizraeli wengi tu au hilo we lisu hulioni we unawaona izraeli wanawauwa waparestina tu Ee

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 6 หลายเดือนก่อน

    Kama biblia inahalalisha kuwa Wayahudi ndio watu wateule wa Israel tujiulize maswali, jee watu waliobakia wote duniani wanahaja gani ya kuishi, na jee Mungu wa Wayahudi ni mbaguzi? Nahitaji jawabu lakini pia watu wajue kuwa asilimia 65% ya Wayahudi hawaamini Mungu. Kama watu hawaamini Mungu watakuwa na uhalali gani wa kumiliki ardhi kwasababu hawamuamini Muumba?

  • @martinisadru9899
    @martinisadru9899 6 หลายเดือนก่อน

    Huyo tundu lisu, mwanasheliya na bibilia ni mambo 2 tofauti, nikukumbushe neno katika bibilia, hao Israel walipo ikaribia kaanani, MUNGU aliwaamuru ku uwa wenyeji wote wa kaanani, MUNGU pia ali wataazarisha kwamba! Wakimwacha hata mtu 1 ktk inchi hiyo! Hakika itakua mwiba katika maisha yao yote, na, bahati mbaya joshua aliacha mbegu ya wa kaanani, na ndio hao waparestina, na hakika imekua mwiba hadi sasa, shida Israel ni wakahidi sana, ndio maana hawaishi kwa raha ktk dunia hii.

    • @alvinmassive1556
      @alvinmassive1556 6 หลายเดือนก่อน +3

      Wale Israel wa Netanyahu Sio waliotajwa ktk bibilia. Wale wanao uhararisha ushoga na usagaji na mauaji sio wale walio tajwa ni taifa teule

    • @chazy7ya216
      @chazy7ya216 6 หลายเดือนก่อน

      Wekabendera ya israel mpaka chooni

    • @mabadamabada8631
      @mabadamabada8631 6 หลายเดือนก่อน

      Weka bendera yao mpaka bafuni kwako, afu endelea kuamini hao wazayuni ndo watu wa Mungu, Utajikuta Jehannamu

    • @EliyaUhaula-ck3pu
      @EliyaUhaula-ck3pu 6 หลายเดือนก่อน

      Hivi ikatoke vita kati ya Tanzania na Israel wewe utakaa Upande Gani kwenye hiyo vita

    • @martinisadru9899
      @martinisadru9899 6 หลายเดือนก่อน

      @@alvinmassive1556 pole sana mjomba, kwakua huwajui vizuli Wana wa Israel, Ndio hao hao! Ndio maana bibilia ya zamani ilishuka Kwa ajili Yao kabla kutufikia mataifa mengine, walianza ushoga kabla YESU kuja duniani, mfano katika bibilia imezungumzia juu ya hukumu Kwa wafiraji na wafirwaji, ukihitaji andiko nitakupatia.

  • @hemedisufiani3219
    @hemedisufiani3219 6 หลายเดือนก่อน

    Huna lolote wewe fanya siasa tu

  • @norbertokumu4996
    @norbertokumu4996 6 หลายเดือนก่อน +1

    Israeli ni Taifa teule la Mungu. Mkristo ambaye haungi Israeli mkono siyo mkristo.

    • @kamanapomo7029
      @kamanapomo7029 6 หลายเดือนก่อน

      Hauna akili

    • @hanskidd2290
      @hanskidd2290 6 หลายเดือนก่อน

      Foooool

    • @alvinmassive1556
      @alvinmassive1556 6 หลายเดือนก่อน

      Utakua we shoga

    • @Hussein-gx4qu
      @Hussein-gx4qu 6 หลายเดือนก่อน

      utaungaje mkono watu ambão hata huo ukristo wako hawautaki hata kuusikia na huyo yesu wako pia hawamtaki mpaka Leo labda utakua hujui wayahud wametunga Sheria pale teriavivi ukisikika tu una mtaja yesu au kumuhubili yesu na ikithibitika kuwa umefanya hivyo unaenda jela miaka miwili Hilo Halina ubishi Sasa wewe mkristo nikuulize unajipendekezaje Kwa watu ambão hawakutakini kwa namna yeyote we huoni kama huo ni uhamnazo?

    • @Hussein-gx4qu
      @Hussein-gx4qu 6 หลายเดือนก่อน

      huo ni uhamnazo acha ujinga