TUNDU LISSU- URAFIKI WANGU NA RAILA ODINGA ULIINGIA DOSARI ALIPOMUUNGA MKONO MAGUFULI...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 พ.ย. 2023
  • #jambotv
    TUNDU LISSU-UAMUZI WA RAILA ODINGA KUMUUNGA MKONO ALIYEKUWA MGOMBEA MWENZA MAGUFULI KULIPONZA URAFIKI WETU...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►TH-cam: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

ความคิดเห็น • 17

  • @mamafaiza1720
    @mamafaiza1720 7 หลายเดือนก่อน +3

    Safi sana mh rais wangu tundu lissu

  • @josephmakutano7067
    @josephmakutano7067 7 หลายเดือนก่อน

    Uchaguzi watZ siyouchaguzi nikiinimacho tu,nimambo yakishenzi kabisa TZ yaccm ninchi yenye watawala wapumbavu wakufikili, hawana akili yakufikilia maisha yavizazi vijavyo vilevile wanadhani mabilioni yawizi yatawasaidia milele upumbavu usiyoelezeka

  • @mashimbazephania3511
    @mashimbazephania3511 7 หลายเดือนก่อน +1

    Raila wala hana habari na wewe wala hata hajawahi kukutaja raila na jpm ni mda mreeefu wanajuwana

    • @simonmwasile4377
      @simonmwasile4377 7 หลายเดือนก่อน

      Inakuhusuje wewe? Wewe ndiye msemaji wake?

    • @babagwamaka1105
      @babagwamaka1105 7 หลายเดือนก่อน +1

      Huo ndio ukweli anajikosha tu JPM na Odinga kitambo,wapambane na Mwenezi 😂😂

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 7 หลายเดือนก่อน

    Hakuna uzuri wowote .Hata wewe Tundulisu ungefanya hivio ungekuwa kiongozi.unasema hivio kwakuwa huna nafasi yoyote

    • @wanainchitvrdc6705
      @wanainchitvrdc6705 7 หลายเดือนก่อน +1

      Mawazo Yako ni akili za ki CCM . Na ukiwa na akili za ki CCM nyeupe kwako ni nyeusi . Na nyeusi kwako ni nyeupe .

    • @katunduhamisi9333
      @katunduhamisi9333 7 หลายเดือนก่อน

      Mawazo ya kijinga yamejaa kichwa chako

    • @simonmwasile4377
      @simonmwasile4377 7 หลายเดือนก่อน

      Lione nalo hili, hovyoooo!!

  • @dorothmsuya1686
    @dorothmsuya1686 7 หลายเดือนก่อน +1

    Huwezi kuwa Raisi wa nchi yetu wewe! Tulia wewe ni mmarekani!😂😂😂

  • @dorothmsuya1686
    @dorothmsuya1686 7 หลายเดือนก่อน

    Rais hafukuzi watu bali anawahamishia sehemu salama na kuwajengea makazi bora. Huyu jamaa ni mropokaji tu! Anautaka uraisi kwa hali yeyote ile! Mpuuzeni. Tanzania 🇹🇿 ni nchi salama kabisa!❤❤❤