WAFAHAMU WAJITA/ HISTORIA YA KABILA LA WAJITA/HILI NDIO KABILA MASHUGHULI LENYE MKUSANYIKO MKUBWA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • #RkSimulizi #Simulizi #HistoriaYaWajita

ความคิดเห็น • 40

  • @julianajosia7144
    @julianajosia7144 ปีที่แล้ว

    Asante sana kutujuza historia yetu

  • @MlingaStesen
    @MlingaStesen 8 หลายเดือนก่อน +3

    Asante kwa historia hii nzuri proud to be jita

  • @laurentsamwel8174
    @laurentsamwel8174 2 ปีที่แล้ว +1

    Historia ya kabira la wa nyamwezi

  • @thomasbutingo17
    @thomasbutingo17 2 ปีที่แล้ว +6

    Ukinambia wajita ni sawa na wakwaya,wakerewe na waluli apo sawa lkn c ayo makabila mengne uloyataja

    • @stanleybupambambogo3334
      @stanleybupambambogo3334 2 ปีที่แล้ว +1

      Nadhani wewe una ufahamu wa leo na jana; yeye amechimbua ya leo, jana, juzi, juzi ile, mtondo, mtondo-go na kadharika, na kadharika... Naamini hii ni fursa kwako ya kujifunza na kuongeza ufahamu juu ya historia ya kabila lako kuanzia ulipo kurudi kule ulikokuwa huna ufahamu nako... Hiyo ndo njia nzuri ya kujifunza historia ya jambo lolote husika.

    • @georgemark1470
      @georgemark1470 ปีที่แล้ว

      Nadhani hujui kinyarwanda, kiganda na hayo alotaja. Wajita wanasikilizana na hayo makabila. Mie mjita mnyarwanda akiongea au maganda namwelewa uzuri sana.

  • @sylvesterngazila5764
    @sylvesterngazila5764 2 ปีที่แล้ว +2

    Apo upo sahii tusiojua historia za makabila yetu tutafahamu

  • @kazikazini1042
    @kazikazini1042 2 ปีที่แล้ว +1

    Bwire mganda, Makori mkenya .Tatizo jina likionekana linafanana au linaelekea kufanana na maneno ya kijita bas anakuwa mjita. Kazi nzuri lakini epuka dhana ya "kujaza" .

  • @VeronicaEmmanuel-e7n
    @VeronicaEmmanuel-e7n 7 หลายเดือนก่อน +1

    I thank God to be jita

  • @ashakusaga3250
    @ashakusaga3250 6 หลายเดือนก่อน

    Nnacho jua me ni mjita tena Timba kbsaa from Tz habar ya nmetokea wap achana nazo utachanganya watu.😅 ila waambie me n Mtanzania OG

  • @tabulugoe9966
    @tabulugoe9966 11 หลายเดือนก่อน

    Hujui wewe historia unapiga piga tu huwezi kutaja historia ya wajita bila kumtaja balozi Nimrud Lugoe na Antony Mtaka Wakuu wa mikoa

  • @mohameda.i.baranyikwa6551
    @mohameda.i.baranyikwa6551 7 หลายเดือนก่อน

    Tafadhali tuletee historia hlisi ya Wajiji wa Ujiji, Kigoma Tofauti na uongo usemao kwamba wao ni Warundi au Waha

  • @mrsjoelkinyota8500
    @mrsjoelkinyota8500 2 ปีที่แล้ว +2

    Waha na wajita wapi na wapi uongo mtupuuuu

    • @davidibrahim9138
      @davidibrahim9138 ปีที่แล้ว

      Usibishe wewe kijita na kiha tofauti ni ndogo sna au we ndo haujui

    • @melchizedeks.massola4832
      @melchizedeks.massola4832 ปีที่แล้ว

      @@davidibrahim9138 Waha na Wajita wapi na wapi? Uongo mtupu

  • @BenyJob-ql5zx
    @BenyJob-ql5zx ปีที่แล้ว

    chinuno magoti ni baba ang nimesikia ad nikamkumbuka nimeumia sana leo hiii ayupo na amewah kua mbunge dah Yesu yupo nae

  • @mjinjamanani5885
    @mjinjamanani5885 2 ปีที่แล้ว +1

    Niko nyumbani leo

  • @PeterMarmo-ie8wx
    @PeterMarmo-ie8wx 11 หลายเดือนก่อน

    Mkama mashauli napenda Sana kabira angu la kijita❤❤❤❤❤

  • @SalustiaMisana
    @SalustiaMisana 4 หลายเดือนก่อน

    Wajitaaaaa oeeeeeeh,😂😂😂😂

  • @EdwinMagoti-q6g
    @EdwinMagoti-q6g 10 หลายเดือนก่อน

    Napenda kusimlia waluli

  • @mwizarubisylvester9772
    @mwizarubisylvester9772 ปีที่แล้ว

    Naomba unitafutie nyimbo ya kasaunga na kama itawezekna uitaftie maelezo ya kile kilicho imbwa

  • @KusagaMasatu-zc3el
    @KusagaMasatu-zc3el ปีที่แล้ว

    Hapo vema

  • @easternyerembe7271
    @easternyerembe7271 2 ปีที่แล้ว

    Alaa kumbe! Nlikua cjijui

  • @FrankMachumu-z2b
    @FrankMachumu-z2b 9 หลายเดือนก่อน

    Asate sana kaka

  • @vedastushamis390
    @vedastushamis390 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana

  • @dianamseka1233
    @dianamseka1233 3 ปีที่แล้ว

    Andika na Historia ya Wasukuma

  • @MagrethKagere-uw5xn
    @MagrethKagere-uw5xn ปีที่แล้ว

    Kabila la wamwera

  • @gloriamackanja2562
    @gloriamackanja2562 2 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana

  • @easternyerembe7271
    @easternyerembe7271 2 ปีที่แล้ว

    Abharamba

  • @eliasaphmulebya8304
    @eliasaphmulebya8304 2 ปีที่แล้ว

    👏👏👏

  • @onionpeeling5822
    @onionpeeling5822 ปีที่แล้ว

    Jita wana ukaribu zaid na kabila la Igbo pia . Ni wabantu tu hao ..

    • @georgemark1470
      @georgemark1470 ปีที่แล้ว

      Wajita wote si wabantu bali walipofika Musoma na kuchangsnyika na wakwaya na waruli waliongea lugha yao. Kuna wenye asili ya toka Sudan na Ethiopia. Wako kama washombe na pua ndefu, ni warefu.
      Vijiji na majina yanaingiliana na watutsi Pia. Mfano nawajomba zangu wajita mara nyingi niliwashangaa wako kama waethiopia na wasudan. Ndo nikaelezwa asili yao toka huko. Tusilazimishe mambo historia inajulikana.

    • @onionpeeling5822
      @onionpeeling5822 ปีที่แล้ว

      @@georgemark1470 yupi huyo amelazimisha kitu??🤔

    • @onionpeeling5822
      @onionpeeling5822 ปีที่แล้ว

      @@georgemark1470 inaenda mbali zaidi ya ututsi or uethiopian .. Inaenda hadi kabisa kwenye kabila la kihebrania ndugu .. Hebrew .. WaJita inasadikika wana chimbuko hilo

  • @mukakachisumo8597
    @mukakachisumo8597 3 ปีที่แล้ว

    Saw

  • @zerapeter3451
    @zerapeter3451 3 ปีที่แล้ว

    Kwel

    • @dominickmsyangi644
      @dominickmsyangi644 2 ปีที่แล้ว

      Umemsahau Thomas Lisso alipapata mastas ya education miaka 1961

    • @joshuaongaga2064
      @joshuaongaga2064 ปีที่แล้ว

      Muriyoo wajita😂😂