MANENO YA AMBER LULU YAMLIZA TUNDA KWENYA BABY SHOWER

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 182

  • @maimunaabdalla7146
    @maimunaabdalla7146 3 ปีที่แล้ว +5

    From 🇰🇪 tupo wengi Amber lulu tumekosa watu wa kutudekeza tukiwa waja wazito,but worry not my siz,our kids will gv us da happiness we missed frm there dadies.bravo bravo bravo umber 001k

  • @Agnes-qq4np
    @Agnes-qq4np 3 ปีที่แล้ว +70

    Ambar kaongea point ukiwa mja mzito mzazi mwenzako akiwa karibu na wewe ni raha sana

    • @fetychina3273
      @fetychina3273 3 ปีที่แล้ว

      Yah ila amber alikuwa ana ruka ruka sana kwaiyo mwanaume alikuwa hana uhakika kama kiumbe nichake au sichake dawa nikiwa mwaminifu na kutulia na mwanaume mmoja

    • @nuruemmymkayula861
      @nuruemmymkayula861 3 ปีที่แล้ว +1

      @@fetychina3273 my frend kanusha kbsa hyo kaul yako, hat walotulia tuli kwenye ndoa zao yanawapata Kama hayo ya ambalulu Tena saa ingine hat kuongozana na wake zao wakiwa wajawazito hawatak kabsa weee hayajakukuta we

    • @joharichaima4309
      @joharichaima4309 3 ปีที่แล้ว

      Tena raha ambayo uwa aiwez kuelezeka

    • @leilatmussa6533
      @leilatmussa6533 3 ปีที่แล้ว

      Sana

    • @belak999
      @belak999 3 ปีที่แล้ว

      @@fetychina3273 utakuwa ulikuwa unampeleka kuruka ruka, watu kujifanya mnawajua watu kuliko wanavyojijua, bora hata ungesema mwanaume wake hakujua thamsn ya mtoto wake alivyokuwa tumboni

  • @sheillamwinyi7349
    @sheillamwinyi7349 3 ปีที่แล้ว +24

    Mwanao atakupa love ulilokosa amber lulu

  • @elizabethmwandu6937
    @elizabethmwandu6937 3 ปีที่แล้ว +15

    Daaaa jamani kumbe amberlulu una akili namna hii yaani maneno yako yana hekima na busara ndani yake big up amberlulu Mungu akutunze wewe pamoja na mwanao🙏

  • @carolineprosper6279
    @carolineprosper6279 3 ปีที่แล้ว +2

    Never been a big fan @amber lakini umenigusa❤️Mungu akupe hitaj la moyo wako amber. Everyone deserves some love...

  • @zaitunirashidi5532
    @zaitunirashidi5532 3 ปีที่แล้ว +12

    The only thing I love about Tanzanian ni tunafata upepo🤣🤣🤣pa kuchamba watu wanachamba vilivo pa kutiana faraj ndo tupo vzr so big up guys

  • @uwitekamimy3431
    @uwitekamimy3431 3 ปีที่แล้ว +11

    Kweli kbs 😭 Hii inauma sana 👏🏻

  • @maisarakaitaba4347
    @maisarakaitaba4347 3 ปีที่แล้ว +31

    Kumbe uaga anaakili janani!!! waoooh

  • @mercyken9710
    @mercyken9710 3 ปีที่แล้ว +10

    Amber love utaipata kwa mwanao tena true love.

  • @caizieejereya6903
    @caizieejereya6903 3 ปีที่แล้ว +12

    Amber amegrow mind Sana🙌

  • @vanessalaizer4363
    @vanessalaizer4363 3 ปีที่แล้ว +6

    Poor Amber omg mie nilivokuwa na mimba nilidekezwa jamani adi nilikuwa nawakera wengine. I feel for Amber😢😢😢

  • @patriciacarlo7236
    @patriciacarlo7236 3 ปีที่แล้ว +12

    Ur the best amber ❤️❤️❤️

  • @leanahbusanga8272
    @leanahbusanga8272 3 ปีที่แล้ว +15

    Amber lulu nakupenda bure 🥰🥰🥰

  • @naajpatrick9882
    @naajpatrick9882 3 ปีที่แล้ว +12

    Some love ❤️ to amber ❤️❤️❤️💋

  • @deboraramadhan8663
    @deboraramadhan8663 3 ปีที่แล้ว +22

    Umeongea ukweli mtupu dear amba lulu tungepata wanaume kama mfano wa wozu hata leba pangekuwa sio pachungu sana

  • @faithfulphilemon9890
    @faithfulphilemon9890 3 ปีที่แล้ว +12

    Amberlulu ameshaanza kujiweka vizuri kiukweli

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 3 ปีที่แล้ว +6

    Mungu akusaidie ujifungue salam

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 3 ปีที่แล้ว +14

    Amber lulu jamn amekuw ana akili kanifany nilie kwa maneno yake honger sana 😍😍😍

  • @habibatyntosso1436
    @habibatyntosso1436 3 ปีที่แล้ว +3

    Yani mimi nimemuona tu Dr kumbuka anavoangalia kimbea mbea tu 😁😁😁

  • @gingarnet5885
    @gingarnet5885 3 ปีที่แล้ว +1

    Tunda mrembo kweli tz sweetheart ni tuna

  • @maryantony2961
    @maryantony2961 3 ปีที่แล้ว +1

    Inauma sana wanaume wanapenda watoto wakisha zaliwa wanawake wengi tunalea mimba zetu wenyewe so sad😪😪

  • @asiliyangumwenyewe4277
    @asiliyangumwenyewe4277 3 ปีที่แล้ว +30

    To honest maneno haya yamenitoa Machozi.

  • @rukiakhamsin9220
    @rukiakhamsin9220 3 ปีที่แล้ว +3

    Kweli ukiwa mja mzito unahitaji faraja kutoka kwa Mwenye uja uzito

  • @samweliebe4389
    @samweliebe4389 3 ปีที่แล้ว

    Nimeipenda hiyo

  • @aishasaid359
    @aishasaid359 3 ปีที่แล้ว +19

    Kweli 😭 I feel her pain

  • @maryamjey6340
    @maryamjey6340 3 ปีที่แล้ว

    Very true...Umber ww mrembo achana na Masela..

  • @winfridapeter969
    @winfridapeter969 3 ปีที่แล้ว +11

    Hata Mimi nimepata emotional Kama ya Amber😓😓, Amber amezaa na akili zimekuwa

  • @Francalex778
    @Francalex778 3 ปีที่แล้ว +2

    Kweli kabisa ila Amber kabadilika sana

  • @jamilasalimvilog6752
    @jamilasalimvilog6752 3 ปีที่แล้ว +13

    😭😭😭😭Pole sana amba lulu

  • @sinyobaby9777
    @sinyobaby9777 3 ปีที่แล้ว

    Nice talk amberlulu

  • @evaigulu3322
    @evaigulu3322 3 ปีที่แล้ว +1

    Pole amber..imenigusa sana

  • @pendooscar9322
    @pendooscar9322 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimependa

  • @nawarbreezy5943
    @nawarbreezy5943 3 ปีที่แล้ว +2

    superwomen🙌🙌🤝

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 3 ปีที่แล้ว +4

    Woooo your super woman🔥🔥🔥🔥

  • @notyet6178
    @notyet6178 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwel kabisa Dada ukiwa mjamzito kuna upendo ambawo unahitaj kwa baba!ukikosa nishida xna

  • @kimzymamy6594
    @kimzymamy6594 3 ปีที่แล้ว

    duh naelewa unayopitia amber lkn usjali mle mwanayo mama mungu atakutupa😪

  • @ramahassan9171
    @ramahassan9171 3 ปีที่แล้ว

    Umber amekua kweli nimemfurahia sana leo

  • @dianamajiyapwani
    @dianamajiyapwani 3 ปีที่แล้ว +8

    Tukiachana na Amber kuongea cha maana hyo anayokunywa tunda pombe au apple juisi???

    • @farhatyally2766
      @farhatyally2766 3 ปีที่แล้ว +1

      Same qn

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 3 ปีที่แล้ว +1

      Dah hata Mimi nimejiuliza bila majibu

    • @dianamajiyapwani
      @dianamajiyapwani 3 ปีที่แล้ว

      @@ilovejesus9303 Yan labda ni apple juisi mweeh

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 3 ปีที่แล้ว

      @@dianamajiyapwani kweli huenda maana Huwa inafanana Sana na bia

  • @jennylyimo4105
    @jennylyimo4105 3 ปีที่แล้ว

    Daaah leo umenena my

  • @hafidhinchimbi4474
    @hafidhinchimbi4474 3 ปีที่แล้ว +1

    Whozu God bless you and your family

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 3 ปีที่แล้ว +2

    God bless you all kweli kabisa jamani

  • @esthermoraa6648
    @esthermoraa6648 3 ปีที่แล้ว +10

    She's so smart

  • @mkakenilaizer7675
    @mkakenilaizer7675 3 ปีที่แล้ว +6

    Leo umenitoa hata mm machozi

  • @tatuta6529
    @tatuta6529 3 ปีที่แล้ว

    Ongera sana tunda

  • @sitellamatni6878
    @sitellamatni6878 3 ปีที่แล้ว

    Kweli mnatuabisha wabongo bwana😂😂😂😂😂

  • @martinrobertkindago6791
    @martinrobertkindago6791 3 ปีที่แล้ว

    Nc point

  • @sasarimashaka3819
    @sasarimashaka3819 3 ปีที่แล้ว

    Saf sana 😘😘

  • @modestersylas8846
    @modestersylas8846 3 ปีที่แล้ว +12

    Nimekuelewa amber nikiwa kama mama

    • @anthonynetto4503
      @anthonynetto4503 3 ปีที่แล้ว

      Atimae saba sita babu mtalajiwa ongera tunda umepiga hatua.kutwa mama siyo jina la ubatizo

  • @queensuu4780
    @queensuu4780 3 ปีที่แล้ว

    Someone explain please?

  • @anethbensoni700
    @anethbensoni700 3 ปีที่แล้ว

    Umeniliza sana dada

  • @ghhhhy1812
    @ghhhhy1812 3 ปีที่แล้ว

    From 🇧🇮 Saudia kweli iyo dad 😘

  • @saudangalleni388
    @saudangalleni388 3 ปีที่แล้ว

    Pole amber kwa

  • @rachaeljoseph1685
    @rachaeljoseph1685 3 ปีที่แล้ว +1

    Ila inauma kweli wanaume kam mpo acheni ivyo mtupende na matumbo yetu tunaitaji upendo faraja

  • @joycechacha7850
    @joycechacha7850 3 ปีที่แล้ว

    Shikamoo Amber on point

  • @meckricegaudence7351
    @meckricegaudence7351 3 ปีที่แล้ว +1

    Amba kaongea point

  • @hamisimohamedhamisi3241
    @hamisimohamedhamisi3241 3 ปีที่แล้ว +3

    Doctor kumbuka umetulia km wamaana🤣

  • @najma3268
    @najma3268 3 ปีที่แล้ว +1

    Amber mungu akuongoze, ucjali hayo ni Mapito to, hongera sana tunda

  • @sittykeki7
    @sittykeki7 3 ปีที่แล้ว +1

    Waooh❤️❤️

  • @aminaibrahim4148
    @aminaibrahim4148 3 ปีที่แล้ว

    On point Amber👍

  • @isaachayes9783
    @isaachayes9783 3 ปีที่แล้ว +4

    SHANGINGI NI SHANGINGI TUU, ANA MIMBA LAKINI BADO ANAGIDA BIA! 🙆🏽‍♂️

  • @neymollel5574
    @neymollel5574 3 ปีที่แล้ว

    Ambar lulu umeongea point nakupenda bure

  • @zubedayunus5745
    @zubedayunus5745 3 ปีที่แล้ว

    Dr kumbuka anavyosikiliza utafikiri MTU 😂😂😂anamchoraa tuu,,anamchamba kirohoni

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 3 ปีที่แล้ว

    Ambar kweli umekua hongera

  • @irakozeasya4975
    @irakozeasya4975 3 ปีที่แล้ว

    Kabisa

  • @spreadlove2119
    @spreadlove2119 3 ปีที่แล้ว +2

    Dr. Kumbuka nyamaza kabla Masha love hajatua pande hiyo 😣😣

  • @immeimme2364
    @immeimme2364 3 ปีที่แล้ว +1

    So beautiful ❤️❤️❤️

  • @sofiajohn5563
    @sofiajohn5563 3 ปีที่แล้ว +1

    nimekupenda bure amber lulu

  • @nellymasengo1419
    @nellymasengo1419 3 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭umbar kaongea kitu muhimu Sana

  • @roqayaro9439
    @roqayaro9439 ปีที่แล้ว

    TUNDA MWENYEWE ATA ANA FULAHA

  • @foibekajiru6144
    @foibekajiru6144 3 ปีที่แล้ว

    Wow!

  • @mremboakedathiumu1040
    @mremboakedathiumu1040 3 ปีที่แล้ว +1

    Haki hata mm nililia kwa kweli

  • @stellah3844
    @stellah3844 3 ปีที่แล้ว +3

    Hadi nimelia 😭😭😭

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 3 ปีที่แล้ว +2

    Ambarlulu wewe mwehu, 😂😂😂😂
    Kiukweli nimependa speach ya Amberlulu imenitachi, na napenda watoto ila kilichonifanya nikae mda mrefu bila kumpata mtoto ni hicho alichoongea Amberlulu 😭😭😭😭😭

  • @fatmafetty4117
    @fatmafetty4117 3 ปีที่แล้ว +1

    Pole amber 😭😭😭😭

  • @hapinesssulle5906
    @hapinesssulle5906 3 ปีที่แล้ว +1

    So painful

  • @binahoza5674
    @binahoza5674 3 ปีที่แล้ว

    Nimelia Yani wamama mungu atutienguvu

  • @annadavid9680
    @annadavid9680 3 ปีที่แล้ว +1

    ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @robegodana7459
    @robegodana7459 3 ปีที่แล้ว

    Amber uko sawa

  • @genovevatarimo3982
    @genovevatarimo3982 3 ปีที่แล้ว

    😁😁😉😁😉😉😁 jaman kumbuka

  • @sofiajohn5563
    @sofiajohn5563 3 ปีที่แล้ว +2

    nimekupenda bure

  • @kabintmpase1544
    @kabintmpase1544 3 ปีที่แล้ว

    😭😭😭 kweli kabisa

  • @dotnatajoseph2620
    @dotnatajoseph2620 3 ปีที่แล้ว +6

    Maneno matam sana na ni yaukweli ukipata mtu wa kukutunza na kuwa karib kipind Cha ujauzito ni vizur sana

  • @elizabethgervas1777
    @elizabethgervas1777 3 ปีที่แล้ว

    😪😪😪Nampenda Amber ako na akili

  • @mariyaal5366
    @mariyaal5366 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana Amba Lulu 😭😭😭😭

  • @zakyahya4645
    @zakyahya4645 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana

  • @felisterfelister153
    @felisterfelister153 3 ปีที่แล้ว

    Pole amber

  • @mwanamkusaidmwajambomwajam1378
    @mwanamkusaidmwajambomwajam1378 3 ปีที่แล้ว

    On point

  • @nyangigenyabitwano1180
    @nyangigenyabitwano1180 3 ปีที่แล้ว

    Kabisa jaman

  • @shakilamohamed3602
    @shakilamohamed3602 3 ปีที่แล้ว

    Upo sahii amba

  • @siamakundi5362
    @siamakundi5362 3 ปีที่แล้ว

    Yaan kaongea kitu jmm

  • @davoolongoz4947
    @davoolongoz4947 3 ปีที่แล้ว

    Dr kumbuka umetulia kama vile mtu yani

  • @yosephawilliam962
    @yosephawilliam962 2 ปีที่แล้ว

    Nan kaja baada kusema ilikuwa ni kazii duh

  • @genovevatarimo3982
    @genovevatarimo3982 3 ปีที่แล้ว

    Haya kumbuka anasikiza kwa makini ssna

  • @happinessstanley592
    @happinessstanley592 3 ปีที่แล้ว +4

    ❤❤

  • @sirielsamweli5688
    @sirielsamweli5688 3 ปีที่แล้ว +5

    Umber nimekuelewa leo hadi nimelia

  • @rozakita7506
    @rozakita7506 ปีที่แล้ว

    🌹💙🌹🌹

  • @estherngowi8102
    @estherngowi8102 3 ปีที่แล้ว +3

    Naomba niulizie hawa ndugu zetu wanandoa??? Au ndo sogea tukae?!🤔

  • @irenediemond368
    @irenediemond368 3 ปีที่แล้ว

    Wachaga awaachi watoto wao

    • @المهلهلالحراصي
      @المهلهلالحراصي 3 ปีที่แล้ว

      Walikuwa wachaga wa zamani ila.cyo wachaga wa kileo wanakimbia watoto sana kumbe bado unaishi maisha ya kukariri kuwa wachaga hawachi watoto nyuma

  • @mwajabukaseke8710
    @mwajabukaseke8710 3 ปีที่แล้ว +1

    Umpndezaaa ambalulu

  • @beatricesimon3427
    @beatricesimon3427 3 ปีที่แล้ว

    Nimelia 😪😥