MBOWE ATANGAZA TAMKO JIPYA KUHUSU MAANDAMANO - ASEMA AKIFA WANACHAMA WAIOMBEE ROHO YAKE...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ก.ย. 2024
  • MBOWE ATANGAZA TAMKO JIPYA KUHUSU MAANDAMANO - ASEMA AKIFA WANACHAMA WAIOMBEE ROHO YAKE...
    💪💯JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV🔥🔥 chat.whatsapp....
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 45

  • @Rogathe-Rogathe
    @Rogathe-Rogathe 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mungu mwema awaalinde nakuwafunika kwa utukufu wake wote mnaopambania amani yetu!!!! Hutakufa bali utaishiiii kwa Neema ya Mungu.

  • @evelina9621
    @evelina9621 5 นาทีที่ผ่านมา

    Utukufu.una.mungu.shedriki.meshaki.abenego.walipwa.kwenye.moto.dini.zi.sipate.nafasi.kuhubiriwa.yesu.akawa.ktk.ule.moto.waliokoka.mpaka.leo.njili.ina.nguvu.ingilia.kati.mungu.roho.za.watu.zinatetemeka.awe.chama.chochote.damu.ni.nzito.kuliko.maji.mungumu.ngu.
    Mungu.uko
    Nawatuwako.miguuni.pako.roho.za.watuko.kwa.mfano.wako
    Uliwaumba.ukawapa.uhai.mikoni.mwako.saidia.tanzania

  • @ELIBAHATIJOHNKITOY
    @ELIBAHATIJOHNKITOY ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu ananjia nyingi waliopanga kuua watu wa Chadema au kuwakamata ili kuwatesa na kuwafunga kama Mungu aishivo kiburichao na jeuri yao itanyamazizwa kimya na watu wote watamjua Mungu.Utukufu kwa Mungu muumbaji wa vyote,mbinguni na duniani.

  • @JohnsonBagambi
    @JohnsonBagambi 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hii kauli ya mwisho sio nzr mweshimiwa mbowe mm ni ccm ila tuombe mungu mkae na mwenyekt wetu mama samia muyamalize tuwe na Amani

    • @Khmediy3241
      @Khmediy3241 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mama afuluze wazir au IGP itapozesha kuwakumbatia anazingua

  • @giftkalenge418
    @giftkalenge418 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mungu ni Mkuu atawalinda Kwa damu ya Yesu na utaishi miaka 150 Ili ujionee manufaa

    • @LukazakayaMlaiza-zo1wi
      @LukazakayaMlaiza-zo1wi ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@giftkalenge418 kesho tutoke

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 58 นาทีที่ผ่านมา

      Apo ndo unapokosea sasa damu ya yesu imlinde m2 acha ujinga ww

  • @SaifAl-kindy
    @SaifAl-kindy 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Anataka kuandamiza nchi kwa ajili ya maslaha yake mungu ibariki tanzania

  • @ThomasAlute
    @ThomasAlute ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Police wa Tanzania ni wa ovyo sana msitumike katika maisha ya watanzania hii Damu itawalaani sana hawà polisi

  • @ELIBAHATIJOHNKITOY
    @ELIBAHATIJOHNKITOY ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu yupo, hamjabeba silaa ila maji,Mungu atawalinda,malaika watatumwa kuwasaidia msihogope kutetea haki na ukweli.

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 49 นาทีที่ผ่านมา

    Kwani simkae mkiomba usiku na.mchana Mungu ni jibu. Sstuna takaamani. Kwa Muislam akiandamana kazikwake zambi atazi beba. Tumeusiwa Amani katika.dini. umtakikiongozi. Ukipigakula usimchague bass

  • @maryhando227
    @maryhando227 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu atawalinda. Mungu ni mkubwa kuliko shetsni.

  • @SophiaKamgunda
    @SophiaKamgunda 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    IshaAllah M/Mungu atulinde atuvushe salama

  • @ELIBAHATIJOHNKITOY
    @ELIBAHATIJOHNKITOY ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mtafanya maandamano ya amani, watakaoleta vurugu ya kuzuia amani wakaanza kupiga rahia ambao wamebeba maji tuu Malaika wa mbinguni watatumwa kuwashughulikia watajua Mungu ni wa haki.

  • @Ba63828
    @Ba63828 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Katiba:
    Ibara 26 (1) Kila mtu ana wajibu wa kufuata ma kutii Katiba hii na sheria za Jamhuri ya Muunhano.
    (2) Kila mtu an haki, kwa kufuata utaratibu na sheria, kuchukua hatua za kisheria kuhakikisha hifadhi ya Katiba na sheria za nchi.

  • @omaryjumas6327
    @omaryjumas6327 24 นาทีที่ผ่านมา

    Askari wataandamana kuanzia usiku hata ikifika asubuhi mtaishia kusema kwamba mmefanikiwa kuwaandamanisha Polisi.

  • @nyamwalevenance5994
    @nyamwalevenance5994 12 นาทีที่ผ่านมา

    Are you solving the problem or you are escalating it?

  • @ThomasAlute
    @ThomasAlute ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Polisi wa kenya ndio wapo peace na maandamano

  • @FortunataNguma
    @FortunataNguma ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Damu.ya Yesu ikulinde

  • @LukazakayaMlaiza-zo1wi
    @LukazakayaMlaiza-zo1wi 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Tutoke na mapanga na mikuki mawe na ile kamba ya kurusha kamba yaani malizao na nyuki na uchawi namini tutashinda

    • @JohnsonBagambi
      @JohnsonBagambi ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      😂😂😂😂😂

  • @CalistusTitus-s5o
    @CalistusTitus-s5o 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pole sana mhe mbowe

  • @MohamedKitenge-o9j
    @MohamedKitenge-o9j 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Damage mbele nyuma tukapambanie nchi hata wazee wetu wasingepambana mapinduzi yasingetokea

  • @ChristinaRadhak
    @ChristinaRadhak ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mimi nawaombea tu haki ipatikane kwaamani naMungu awatangulie maana mnalitetea taiga letu

  • @anjelinanhonya3889
    @anjelinanhonya3889 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nawashauri Msiandamane wapendwa kama mnaiombea mema nchi yetu njia pekee ya kupata suruhisho mazungumzo Mbowe acha kuponza watoto watu wewe umekula chumvi nyingi

  • @hamidmussa838
    @hamidmussa838 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwni utaishi Maishaa!

  • @raphaelmacha1173
    @raphaelmacha1173 50 นาทีที่ผ่านมา

    Mkuu tuko pamoja tupatieni na account ya kuchangia maji ya kunywa tafadhali. Serikali dhalimu imeshindwa polisi wengine wametoka huku kwetu Arusha polisi na serikali ya majizi imekiri udhaifu

  • @MengiMeng-fd7sq
    @MengiMeng-fd7sq 49 นาทีที่ผ่านมา

    Maji husaidia kuondoa moshi wa mabomu ya machozi kesho mbona unakwepesha kwepesha. Nyelele una mtajia nini na mmevunja sanamu lake

  • @mwaamwetahussain9947
    @mwaamwetahussain9947 40 นาทีที่ผ่านมา

    Jmn mm nawapenda

  • @khamisjuma2947
    @khamisjuma2947 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nilijua tu atagairi sha mkwala tu

  • @jamesjahasa3348
    @jamesjahasa3348 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbowe wewe sio wakupigwa risasi za moto wewe mbowe viboko tuu vinakutosha unasindikizwa mpaka kwa mkeo nyumbani usijesema nimetekwa😂😂😂😂 risasi zinatumika kwa dornard trump 😂😂😂😂 anakwepa risasi

  • @KhamisMwinyi-gl5xe
    @KhamisMwinyi-gl5xe ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hivi huyu ninani aswaaaa maana amili Jeshi mkuu kasema hakuna maandamano ss ww ninani mwanakuli tafuta mwana kulipata usisahau maji😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 48 นาทีที่ผ่านมา

      Hakuna aliye juu ya katiba..kwa nini mnaogopa wananchi.. mama anatawala kwa katiba ya JMT, sio ushauri wa familia au chama chake. Kwa katiba yetu,hakuna kosa hapo

  • @HURUMAKALINGA
    @HURUMAKALINGA ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Utangulize familia yako usishawishi watu maskn kwa maneno yako

  • @ZaitunAbdallah-ol1bb
    @ZaitunAbdallah-ol1bb ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nyie vyovyote mtavyo mfanya karidhia lakini ikumbukwe katiba inaruhusu

  • @abdillahiabdallah438
    @abdillahiabdallah438 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Familia yako itakuwepo kwenye MAANDAMANO? NYINYI VIONGOZI MNAKINGA MNAJUWA HAMTOPIGWA LAKINI WANAOTAKIWA KUTOLEWA KAFARA NI WALE WENZANGU NA MIMI . SO VIJANA TUAMKE

  • @fransicmushenyera9302
    @fransicmushenyera9302 42 นาทีที่ผ่านมา

    mimi naomba kuuliza kutokana na maelezo ya mbowe eti mkiona mtu amekamatwa mnaobaki endeleeni eti hata yéyé akipigwa lisasi watakaobaki endemeleeni na waende na maji kila mmoja nichouliza inamaana mbowe mpaka sasa hivi anajua wamezuiwa kuandamana na kamandivo kwanini awapeleke watoto wa wenzake kwenye matatizo na sisi watanzania tunasema mpende mtoto wa mwinzio kama unavyompenda mwanao

    • @omaryngamba-s6f
      @omaryngamba-s6f 8 นาทีที่ผ่านมา

      Akitekwa mama yako au baba yko usingeandka ulichokiandika chunusi weww

  • @S.SWarfa
    @S.SWarfa 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wacheni uuchochezi hampati kura ng'o

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mtajua wenyewe.msije sema hamkuambiwa

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 51 นาทีที่ผ่านมา

      Wajina we uwendi unaogopa😂😂

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    JESHI LANGU NAAMINI MKO SAWA TUNATAKA TULALE KIMYA KAMA KENYA SASA KUMEPOA 😢😢😢

  • @Ba63828
    @Ba63828 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tunangoja drama hio ya acrobatic politics