ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Wa kwanza Leo naomba like zenu wapendwa wa movie za mzee mauMpemba ..kisha twende kaz
Ujumbe mzuri walimwengu wana mengi
Nimewahi leo.wa Kwanzaa kabisa
Hakika. Tunafaidika. Na. Vipindi. Vyenu. Hongereni sana
Walimwengu acheni ayo mambo ya ufitinishaj hayafai pongezi kwako mau mpemba na suria
Leo nimechelewa kwaiyo nipeni mauwa yangu
Haaaaaaaa jamani binaadamu hatuishiwi fitina ukiona watu wanapendana tayari chokochoko mungu awabariki nyote mulio shiriki kutufundisha mema
Mashallaah mau na timu yke munatuburudisha♥️♥️♥️♥️
Safi sana big mesej we want films like this zenye maadili ya kipemba
😂😂😂😂nguo zile aweza vaa miaka mitatu😅😅😅
Hongereni nyote mmetufunza sana
Jitahidini msiwe mnagusana wanaume na wawawak maan Dini yet imekataz
😢😢😢. Inafunzaa masha allah
Leo nimekuwa wa mwanzo ahsante Mau kwa kazi nzuri
Wewe mau nishakuvulia Kofia 😂😂😂😂
Proceed to give us happy
Dah kweli walimwengu hawawezekani ....😂😂😂
Awo ndo walimwengu hawana jema loooh😂 ufanyalo kwao baya 😂
Keep up ma pipoo 👍👍👍
Cku izo hua silali kama cjaangalia fumbua macho
kucommet muhim jmn tupean like pia
Hujawahi kosea jamaa yangu 😊😊
Ila mau unatonge heee😁🤗
Viumbe wazito 😂😂😂dongo mnafiki ww jmn
Leo nimewahi like ya mwanzo
Daaah kwel walimweng sio wema
Dongo asema utaridhika tuu maana huniwez😁
Umemsikia mzeee babaaa. @ utafanyaje na huniwezi😆
Hongereni sana
Safi sana masha Allah
MashaLLAH ❤❤❤❤
Walimwengu kweli hawanajema
Goyalo Horooo juuu
Hatupoi
Walimwenguuuu hamuwezekii maana hawavujiwi du
Kwliiiiiiii
Mamae kadondo yupo nae
Walimwengu
Ma Shaa allaha 👌
👍
Fundi wazidi chafukwa
Naomba sehemu ya mwanzo pls
Ni vzr muugane na kidundo, kachar na kitatange ili muiteke Zanzibr rasmi
Mwinyi mpeku wa peku la ungo
Mau kwenye kula upo serious iyo mizinga unayonyanyua sio poa
hogeren sana
🤔🤔💓🤔🤔
Mau lakinii unatongeee
Vzr san
fundi mau tonge kubwa ipunguze
Al haji dongo weeeee
Mbon Kam mumeirudia hiii clip ya mwanzo
Nice
Mambo ni moto
Kila unalofanya si jema kwa watu sijui ufanyeje hata waridhike ukifanya wema wana kereka ukifanya baya pia wakereka
Full dozz bandika bandua
Kweli binaadamu hatuwezeki kila utakalo fanya hawana wema
Fitina mbaya wala hana haya
Walimwengu hawoo hawana jema kila siku
😂
😀😀😀😀😀😀😀
Saf xna
Hongereni sana wasanii wetu wazuri kwa kazi zenu lkn naomba niwape ushauri wangu kwenu musipoteze culture yenu ya kizanzibar katika Sanaa zenu. Hapa mnafeli sana kwenye msiki munaoweka hapo mwanzo unapoanza.kuna music sound nzuri zakikwetu hasaa
Nikweli kabisa mimi nimefurahia sana kuona hii na utamaduni wetu tuutunze na tuupende
Walimwenguu