FUNGATE EPISODE NO 30 | MWINYI MPEKU, KITATANGE, AMINA, BI SINA JAMBO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 64

  • @NeysamElias-dp7nl
    @NeysamElias-dp7nl 8 หลายเดือนก่อน +13

    Mda ndo huo jaman hata like 10 tu

  • @Lathifa-zl8hg
    @Lathifa-zl8hg 8 หลายเดือนก่อน +3

    😂Mzee mwinyi na mkewe😂Uku nako amina na ex wake😂Kitatange nae yuatembeshwa bila viatu amechoka anako kwenda kumbe ashafika😂😂🙌🙌

  • @abalmohd7952
    @abalmohd7952 8 หลายเดือนก่อน +7

    NAOMBA LIKE ATA 5 ATA KAMA MIM ND WA MWISHOO😂😂

  • @maryamabdullah9169
    @maryamabdullah9169 5 หลายเดือนก่อน +1

    Zahor muoga ee😂😂 sikwambio hizo

  • @hbsalum5209
    @hbsalum5209 5 หลายเดือนก่อน +1

    Amina ni mke sasa hvy stara muhim

  • @Ali-gl8ey
    @Ali-gl8ey 8 หลายเดือนก่อน +7

    Naombeni mau yangu leo

  • @remiomar7154
    @remiomar7154 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mashallah Amina anamsimamo ila sijapenda anvyojitamtandio anatakiwa ajistiri anapo toka kwenda sokoni (ngengeni) kama humulhat mashallah

  • @ibrahimuAli
    @ibrahimuAli 6 หลายเดือนก่อน +1

    Jamn kitatange anaenda kupanga daraja bovu mbona 😂😂😂😂

  • @MozaFoum-yg9he
    @MozaFoum-yg9he 8 หลายเดือนก่อน +2

    Fungate hamu ya ndoa watu wapo macho jmn😂🎉🎉🎉

  • @mohamedmkojanimashaallah7712
    @mohamedmkojanimashaallah7712 8 หลายเดือนก่อน +4

    Niko macho kuliko kitatange

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nimekuwa 18 leyo sijachelewa sana kazi iyendeleaa🙏🙏🥰🥰🥰🥰💯💯💯💯

  • @ayshanani
    @ayshanani 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kitatange makubwa madongo Yana nafuu no room 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @saidjelani1566
    @saidjelani1566 8 หลายเดือนก่อน

    Fungate imekua ndefu sana story yakosa utamu sahi kitatange maliza tena

  • @AbdilahabdulAbdul
    @AbdilahabdulAbdul 8 หลายเดือนก่อน +2

    🎉 achieni vipande agalau 3 munatuweka ham kama zote

  • @mayaashassan3918
    @mayaashassan3918 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mwamchosha jaman kitatange awezi mwendo wa masafa marefu mrudisheni kwa mkewe😅😅😅mkewe naye apelekana mbio na Zahoro kule😂😂😂😂

  • @BimkuvwaJaku
    @BimkuvwaJaku 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kitatange anatumia vizuri nafasi yake

  • @SadiNassib
    @SadiNassib 8 หลายเดือนก่อน +2

    Amina na x wake kazi anayo

  • @hbsalum5209
    @hbsalum5209 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kitatange umekua mume sasa vaa viatu

  • @abditari7998
    @abditari7998 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kitatange rudi nyubani kuna fisi kadharimia

  • @RamaDenge
    @RamaDenge 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amaa leeoo see ponaaaa

  • @SalmaKhalifa-u1s
    @SalmaKhalifa-u1s 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kitatange kachafukwa hadi viatu havina maana ❤

  • @OmaryAlly-w3c
    @OmaryAlly-w3c 8 หลายเดือนก่อน

    Mwanangu NASSOR ( CHOLO ) ushakuwa unaigiza sasa hv
    Kitambo sanaa hatujaonana ila nikirudi lazima nikutafute

  • @MamiChoba-ep9cc
    @MamiChoba-ep9cc 8 หลายเดือนก่อน

    Mashallah mama mulihat nimependa Hilo Dera ❤❤❤

  • @SadiNassib
    @SadiNassib 8 หลายเดือนก่อน +1

    Tim fulus Tim rial leo ijaza nimepata mda wakuangalia live.😂

  • @njirundwiga3631
    @njirundwiga3631 8 หลายเดือนก่อน +2

    Niko kwa orodha😂😂😂

  • @Ujumbewadini
    @Ujumbewadini 8 หลายเดือนก่อน

    Hahahahaha! Mwinyiiiiii eti nakupia akili duh😅

  • @AndimaDouglas-l3o
    @AndimaDouglas-l3o 8 หลายเดือนก่อน

    Na huyu anataka kuaribia Amina ndoa

  • @BMSChasasa
    @BMSChasasa 8 หลายเดือนก่อน

    Kitatange 😂😂km kaowa kweli vile ❤❤

  • @munirarajabu2875
    @munirarajabu2875 8 หลายเดือนก่อน +2

    Pambe tuh🎉

  • @AndimaDouglas-l3o
    @AndimaDouglas-l3o 8 หลายเดือนก่อน +1

    ukiachwa achika bwana

  • @SubiraJabir
    @SubiraJabir 7 หลายเดือนก่อน

    jamani mie nampenda rafiki yake kitatange

  • @AbbassMselem
    @AbbassMselem 7 หลายเดือนก่อน +1

    Fungate iko poa ila muendelezo episo 31 ndo imeishia hpo endlez drama dramaiyo tuone amin hatmayake

  • @billylovebillybillylovebil580
    @billylovebillybillylovebil580 8 หลายเดือนก่อน

    Kitetange achaubishi wewe shida upate chumba nakwa mwendo hoyoo wajikongoja kama kinyonga utajuta ulifikiri nyumba yakipanga waipata kiurahisi😂😅😅😅😅😅 chapa mwendo

  • @brudatv3539
    @brudatv3539 8 หลายเดือนก่อน +1

    Unashangaa Amina anapona alafu anaenda kwa bwana wengine😂😂😂

    • @sameraakhf5605
      @sameraakhf5605 8 หลายเดือนก่อน +1

      Sipati picha

    • @MuzdalfatOmary
      @MuzdalfatOmary 8 หลายเดือนก่อน +2

      Tutaenda kwa mganga mwengine kumrudishia kitazi chake

  • @MeqatTalal
    @MeqatTalal 8 หลายเดือนก่อน

    ❤jamani kungwi ni mbeya kagoma kuondoka😂😂😂😂

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 8 หลายเดือนก่อน +2

    Simpendi huyo kitatange anavotembea kwani lazima aende hivo

    • @mariamhamad5500
      @mariamhamad5500 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

  • @njirundwiga3631
    @njirundwiga3631 8 หลายเดือนก่อน

    Kazi alofanya kitatange na huyu jamaa atakani kwa amina.yafaa asulibiwe msalabani

  • @AminaMshirzy
    @AminaMshirzy 8 หลายเดือนก่อน

    Kitatange unanikera ivo unavotembeaa

  • @sadikielymaro9140
    @sadikielymaro9140 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kitatange na baba ake why wanatembea bila viatu, au huko Zanzibar ni jambo la kawaida?..

    • @zmuxzanzibar4583
      @zmuxzanzibar4583  5 หลายเดือนก่อน +1

      HUO SI UHALISIA WA MTU NI MCHEZO TU ILA TAMBUA KWENYE MAISHA KUNA WATU WANA MAISHA KAMA HAYO ALIO EA UHUSIKA KITATANGE

    • @sadikielymaro9140
      @sadikielymaro9140 5 หลายเดือนก่อน

      @@zmuxzanzibar4583 Asante sana, hongereni sana kwa kazi nzuri.

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 8 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂Kitatange kachoka kweli

  • @AbdillahSOthman
    @AbdillahSOthman 8 หลายเดือนก่อน

    Utampaje mtu pesa kwa kukuonesha nyumba tu kabla ya kuona kitu unachohitaji.

  • @UssiMachano-k9p
    @UssiMachano-k9p 8 หลายเดือนก่อน

    Mara pa kitatange anapata nyumba anayoishi akaribu na dula dah sijui itakuaje

  • @nassznz2024
    @nassznz2024 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hii tamsilia naona kuna ubaguzi hapa mana kuna wasanii hawaonekan

    • @zmuxzanzibar4583
      @zmuxzanzibar4583  8 หลายเดือนก่อน

      sawa ila haiwezekan kila filam wasanii wawe ndo hao hao

  • @fatimaharoun-np8uv
    @fatimaharoun-np8uv 8 หลายเดือนก่อน

    Sipon ata siku moja😅😅😅

  • @KhadijaKhatib-z2l
    @KhadijaKhatib-z2l 7 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤

  • @HamisiRashford
    @HamisiRashford 8 หลายเดือนก่อน

    Kwani huyu kitatange hana viatu?

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 8 หลายเดือนก่อน

    Duli nenda kwa mkeo bana

  • @HajraOmar-g1c
    @HajraOmar-g1c 8 หลายเดือนก่อน

    Nyieh n waislam muwe munajistir ata km c Waislam ila huo c utamaduni wa kizanzibr sema nn fungate iko poa

    • @zmuxzanzibar4583
      @zmuxzanzibar4583  8 หลายเดือนก่อน

      asante kwa maoni yako mazuri

  • @mohdsaad2736
    @mohdsaad2736 8 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤

  • @MamiChoba-ep9cc
    @MamiChoba-ep9cc 8 หลายเดือนก่อน

    Zahoro tuliza mshono Mali ya kitatange hiyo

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 8 หลายเดือนก่อน

    Ishafika 🇰🇪

  • @HamidaIdda-oy7qc
    @HamidaIdda-oy7qc 8 หลายเดือนก่อน

    Kitatange havai viatu

  • @LatifaKazi-x3b
    @LatifaKazi-x3b 7 หลายเดือนก่อน

    Kama kangaroo

  • @SaumuSaumukhamisi
    @SaumuSaumukhamisi 8 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤