Bro Kicheche. We ni comedian mzuri ila hizi ceko zako zinakera. Mda mwingine zinaaribu script yako na inapunguwa uwezo unaosababisha mtu afurahie ucezaji wako. Maoni yangu🙏
Na ww hujajua anafanya hvyo script ndo inataka acheke hivyo ili akere huyo c anafanya hvy ili kuwauzi hao wakereke Hyo n saanaaa na iko ndani ya igizo Mzee ndo lengo kuu
Kicheche mwenyewe huku Kenya tunakutambua🇰🇪🇰🇪
😂😂😂😂
Fg
Yjkc
😂😂😂😂😂😂 umbwa mchepuko...
Kicheche tunakukubali Sana 🇰🇪
Unafanya vizuri kicheche 🔥🔥
5:26
Kutoka Kenya fan mkuu wa kicheche wapi like 🇰🇪🇰🇪
Kicheche wewe ni fire 🔥🔥🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Buga
Mbwa huyu napenda jinsi alivyo muwazi🤣🤣🤣🤣🤣
Nafikiria kwa mfano angemdanganya kangefoka balaaa🤩🤩
Bwa mchepuko napend anavyo cheka kicheche
Bro Kicheche. We ni comedian mzuri ila hizi ceko zako zinakera. Mda mwingine zinaaribu script yako na inapunguwa uwezo unaosababisha mtu afurahie ucezaji wako. Maoni yangu🙏
Na ww hujajua anafanya hvyo script ndo inataka acheke hivyo ili akere huyo c anafanya hvy ili kuwauzi hao wakereke Hyo n saanaaa na iko ndani ya igizo Mzee ndo lengo kuu
I agree anazidisha inakaa useless kiasi anafaa apunguze kucheka sana
Mimi ndo wakwanza..naombeni likes zangu..kwa mpigo..pia mimi napenda mchepuko
J
like zinakusaidia nini kenge wewe ?
acha ushamba 😏
@@officialkamdudu 😂😂😂
Unapenda mchepuko mbwa wewe
Nagwaaaaaa mbwa wrweee
Nawakubali sana boss wangu 🙏🙏
Strong my G.. by Undisputed fleek boys dancers 🔥 unyama mwingi 💪
Again still that country🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼 much love kicheche
stive,ndaro,kicheche,mr bigibigi mungu abariki kazi zenu maana naondoa stress na video zenu kila nikiangalia.
Unasahau clam mbona
Kutoka Burundi🇧🇮, kicheche, nafuta comedy zako 100%. Big up kbsa. Nakupenda sana❤
Tulanezegwa
Kicheche nakutambua sana from Kenya huku tunakupenda 💖💖💖
Why
Pumbavu zangu.... Salamu kutoka Burundi 🇧🇮🇧🇮
Kali sana kicheche
Please Kicheche unaeza fanya show moja huku Kenya🇰🇪🇰🇪 tunakukubali sana huku mchepukooooooo umbwa mchepuko pumbavu zako🤣🤣🤣ati Nagwaaaaa😂😂😂
Anae mkubali mbwa kicheche apige like kama zote Apa mbwa Sisi wa kwanza Leo😂😂
Jamani ndugu zangu michepuko sio dili team @kicheche na @vai tujuane kwa like🔥🔥🔥
Kicheche anaweza sanaaa yani
Nimekupenda kicheche Na comédie zako nimekufata toka Congo drc
Huyu kicheche ni mwehu wallahi dah
Hakika Leo unanikubalisha kicheche🤣🤣🤣🤣🔥🇨🇩❤️♥️♥️🤣
I like kicheche comedy...Nairobi Kenya support you guys
Hapo kicheche KAZI Iko sawa ukiwa na Jao wadada violet na queen tunawapenda huku Kenya tunawafatilia
Tunamtabua kabisaa....kicheche kikofia kibongeeeee😂😂😂😂
Kicheche unatisha sana bro 😀🙌🇶🇦
Naipenda hiyo nyimbo jamani
Kicheche wewe ni moto kabisa 🔥🔥🔥🇨🇩🇨🇩🇨🇩 hiyo talaka naikubali kabisa
Love from Burundi
Nakufwata kutoka Congo 🇨🇩 mpuuzi 😂😂 pumbafu zako😂😂😂😂
Salute ya soldier bwana Kicheche! Mchepuko Noma aisèèèeeee.
Mchepuko kwa kweli..
Mimi napenda MCHEPUKO pia...🤣🤣🤣
Nakubali San bro kicheche🙌
Kicheche bna 💔😂😂😂😂😂 I really like this character
Nakupali sana kicheche kwa kutoa stress ukiangalia comedy zako
From Birchenought bridge Zimbabwe) pamoja sana cross border Mozambique
Unanifurahisha mzee makofia
Amazing 🤩🤩
Nilisema tu Kicheche anaeza fanya ujinyonge 😂😂😂😂🤣🤣🤣,mob love from 🇰🇪🇰🇪
Haki huyu hafai 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Nyie team kicheche mume jua kunichekesha kweli good job guys
Imefundisha sana...
Hili igizo lina pande mbili
kicheche unafanya kazi nzuri sana
Kkkkkk kicheche utaniua love you from ethiopia😂😂😂😂😂😂
Kicheche 💪 from 🇧🇮
Ni ba last
💥💥💥💥✊✊✊ from congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩📿
Hii nayo imenimaliza😂😂😂mchepukooo🤣🤣🤣
mashallah kicheche M.Mungu akuzidishie kipaji inshallah
Nakubali kazi Yako. Nkiwa Malindi Kenya
Kicheche unatisha 😅🤣🤣😅😅😅😅😅😅😅😅🤣🤣😅😅😅 kicheche keep it up u are doing well 🇺🇲🇺🇲
Kicheche kupunguza kuigiza ukicheka zaidi ya unaowachekesha
Haya bwana
Kicheche unajua ila punguza kucheka cheka
HIVI MUNAWEZA VIPI KUIGIZA NAE HUYU JAMAA😂😂😂😂
😂😂😂😂ata mm najiulizaga sana
😂😂😂
Mbwa mchepuko wewe kicheche rudi kwa kibonge chako😂😂😂😂
All the way from uholanzi..bro good work 👏
Mm mwenyew napenda 😂 michepko 💕
Nawakubari kutoka Rwanda Kigali 🇷🇼🇷🇼🔥🔥 kama inamukubari kicheche piga like hapa
Namkubali zadi yazaidi kicheche comediani number mojaja
Daa Nimecheka kwa nguvu yaani jamaa nimemkubali ni kipaji kabisa halazimishi kila neno unacheka true comedian. Mbwa kicheche
Kicheche weyejomwisho umbwawewe 🇨🇩🇨🇩 utoka Lubumbashi
Kuna style za kuchepuka Naomba unifudishe mchepukaji 😂😂😂💀💀💀💀 love from RWANDA 🇷🇼🚀🚀
Hey
Hata mm nimelala huko huko ndio nalud saivi umbwa mchepuko.🤣🤣🤣
Mi hapo kwa baba mkwe daah eti uwongooo🤣🤣🤣🤣
Mchepukaji maarufu😂😂😂😂😂 konki baba mkwe🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣baba mkwe hatar
mbwa baba nakukubali kinoma unanimalizia sana bando langu mbwa wewe 😂😂😂
Aisee kicheche noma sana anafurahisha
😂😂😂😂😂😂utaniua siku moja Kicheche.kichecheeeeee
Djambo mipiya nimwana commedia napatikana Congo DRC
🇨🇩 Big up
Nzuri big up
Mbwa mmi naombeni like zangu Kama umeludia kuangalia mchepuko Mara zaidi ya moja🤣🤣🤣
Cong kicheche 🙏🙏🔥
Wangu wi ni mwinsho
From KANAIRO Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Never disappointed
Kicheche wakenya twakuoenda sanaa🤣🤣🤣🤣🤣🇰🇪
Hahahahhah uyu kichecke noma sana kabisa yuko hit siku izi
J'adore vraiment 🙏🤝🇨🇩
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣good job keep it up
Kichecheee,🤣🤣🤣🤣🤣🤣utaniua siku moja
Yan kama Kuna mtu ananilaza bila ucngzi basi ni kicheche mchepuko all the way n muhimu mbwa mchepuko
kuwa na mme kama kicheche ni stress😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀🙌🙌🙌🙌🙌mbwa ww
Kicheche noma sana
Hahaha 🤣😂🤣😂😂 you made my day bavu sina
Yani mimi unaniwa naceko kweli mucebukooooo wewe dombalaaa kabis karibu bas🇧🇮🇧🇮🇧🇮❤❤
Kicheche nakubali hufichi kitu unapasua tu then huo mwendo balaaaaa
We mbwa mchepuko embu acha ndoa ya watu🤣🤣🤣
Kicheche nakukubali pumbavu zako
Yani bongo na kicheche 😃😃😃 toka 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 sijuwi nimala ngapi naitezama ii, jameni like hapa.
Kicheche mpuzi sana. Hhhhh
Mwoto 🔥🔥💪🏿💪🏿💪🏿
Kicheche ni 🔥🔥🔥🔥🔥
Kicheche.wewe ni balaha na itwa Rafiki Mulenda from Congo comedy zako, Mungu tu.ata hapa msumbiji tuna ku enjoy
Nguvu moja twende sawa 💪😂
Uhakika kicheche nakukubari sana 💪💪
maliza kwanz Pesa na Matatizo broow but ❤❤ story zk
maliza kazi then ndiyo uendelee na kazi zengine
Watching from Nairobi 😂, kicheche.........😂😂😂😂😂 You make me crazy with this drama😅
Kicheche hio kicheko noma sana 😂
Good work 🤣🤣🤣🇨🇩
Kaliyoooooo 🤣🤣🤣 love from 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Kicheche tu es très drôle 😀😀😀😀....depuis Tanzanie
Mim Niko mukeo naez nikaapasua🇴🇲🇧🇮💪💪✌
Kichecheeee mbwa kicheche 😀😀😀😀kibongeeee napenda makalio😀😀😀
Nakupenda kixhech
Wallah kicheche na vahi mnajuwa ceza sana ongela kabsa