1 SEHEMU YA MSALABA WA YESU KUKUONDOA KATIKA UMASKINI || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE || TANGA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024
  • Semina ya Neno la Mungu Tanga Mjini || Day 1 || Tarehe 03 JULAI 2024
    .................................................................................................................
    Unaweza kutumia njia zifuatazo kutuma sadaka yako kwetu:-
    M-PESA 0754 211 633
    TIGO-PESA 0715 511 633
    AIRTEL MONEY 0682 657 080
    HAKIKISHA JINA LINALOKUJA NI DIANA MWAKASEGE
    WEZA KUTUMA SADAKA KUPITIA _-:
    CRDB BANK
    ACC: 01J2032214400
    JINA: CHRISTOPHER & DIANA MWAKASEGE

ความคิดเห็น • 61

  • @teddymhenga3006
    @teddymhenga3006 3 หลายเดือนก่อน +19

    Mtumishi wa Mungu Asante sana Kwa mafundisho haya. Mungu wangu nikupe Nini Bwana wangu Kwa chakula hiki kizuri unachotulisha.? Nikupe Nini Mungu wangu. Tusaidie mioyo yetu ijiatamishe kifuani mwako. Mungu tusamehe tunapoanguka.

  • @aloycejaloyce8078
    @aloycejaloyce8078 2 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana baba, nabarikiwa sana na mafundisho yako,

  • @juanzizi1245
    @juanzizi1245 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nisaidie Mungu Baba, nikumbuke mtumishi wako.

  • @christinangondi4212
    @christinangondi4212 2 หลายเดือนก่อน

    Nawaungamanisha watoto na wajukuu zangu, na ndugu zangu woote ktk Madhabahu hii

  • @TarimoMangi
    @TarimoMangi 3 หลายเดือนก่อน +1

    Damu ya YESU ITAWALE tanga na Tanzania nzima, BWANA YESU NI MUNGU WA MIUNGU.

  • @lydiamakenge5613
    @lydiamakenge5613 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu nisadie

  • @FoodsBeverages-z4b
    @FoodsBeverages-z4b 3 หลายเดือนก่อน +1

    AMEN

  • @JoshuaHilgath
    @JoshuaHilgath 3 หลายเดือนก่อน +2

    Amina Amina

  • @PeterMaboja
    @PeterMaboja 2 หลายเดือนก่อน +4

    ninafurahi sana, mwangosi kumwona akihudumu

  • @BiothoSolomon
    @BiothoSolomon 3 หลายเดือนก่อน +5

    Mungu ume inuliwa juu saaana

  • @jaquilinemihambo9602
    @jaquilinemihambo9602 3 หลายเดือนก่อน +4

    Shetani alipomvuuruga Adam alienda mojakwamoja Kwwny Fikra,,, shetani anapamana Sana na Fikra za watu
    ❤❤❤❤
    Huwezi kuwa zaidi ya ufikirivyo
    Kuharibu nafsi Ni kuharibu injini ili isipokee kitu kipya
    ✓✓✓✓✓✓
    isaya55:8-11
    Fikra zinapovurugwa zinashindwa kupambanua chema ktk kwa Mungu.

  • @christinangondi4212
    @christinangondi4212 2 หลายเดือนก่อน

    Mwangosi amesimama ktk Neema yake ya Kumsifu na Kumwabudu MUNGU WA MBINGUNI, ndio maana vita yake si ndogo

  • @Neema-wy4mh
    @Neema-wy4mh 21 วันที่ผ่านมา

    Babakatika jina la Yesu kristo nimeukabidhi binty yangu mkononi mwako NA kila ulicho ni bariki nacho NA roho yangu. Uwe mwokozi wangu na mwalim kwangu nijuwe namna ya kutembea NA ww nakusikia sauti yako. Amen ❤ bariki huduma hiii ee Bwana. NA mtumishi wako mwl ❤❤❤

  • @jacklineuiso6225
    @jacklineuiso6225 3 หลายเดือนก่อน +2

    NAFURAHI SANA KUKUONA MTUMISHI KAKA MWANGOSI

  • @rosaliarobson3710
    @rosaliarobson3710 3 หลายเดือนก่อน +1

    najiunganisha mimi na biashara zangu zikakue na kuongezeka pia nikafungue duka min market yangu

  • @DeborahDaniel-o5w
    @DeborahDaniel-o5w 3 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @JuneJune-xf4pc
    @JuneJune-xf4pc 3 หลายเดือนก่อน

    Ameen

  • @halimaabdallah2877
    @halimaabdallah2877 2 หลายเดือนก่อน +1

    Najiungamanisha mimi na mume wangu katika ibada hii. Tukakue kiuchumi na kustawi kwa jina la yesu 🙏🙏

  • @dddiii2330
    @dddiii2330 3 หลายเดือนก่อน

    YESU niponye magonjwa yoye😢😢😢

  • @christinangondi4212
    @christinangondi4212 2 หลายเดือนก่อน

    Najiungamanisha na Madhabahu hii ya Christopher na Diana, Utumishi wenu unanipeleka Utukufu hadi Utukufu.
    MUNGU WA MBINGUNI awalinde na mwovu.
    YEHOVA awatie nguvu na kuwapa maisha marefu

  • @dddiii2330
    @dddiii2330 3 หลายเดือนก่อน

    YESU niponye miguu😢😢😢

  • @MercyLaman
    @MercyLaman 3 หลายเดือนก่อน +2

    Amen,mungu akubariki mtumishi

  • @ghiansagara6091
    @ghiansagara6091 3 หลายเดือนก่อน

  • @lydiamakenge5613
    @lydiamakenge5613 3 หลายเดือนก่อน +1

    Najiunganisha kwa Jina layesu

  • @Patientbalagizi-eu5qw
    @Patientbalagizi-eu5qw 2 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen Amen

  • @davoo2555
    @davoo2555 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ubongo ni sawa na Transformer ya Umeme. Kazi ya Transformer ni kubeba, kupitisha Umeme, hatuwezi kuona Umeme kwa macho ila tunaweza kujua upo kwa kutumia vipimo vya Umeme au taa, vifaa vinavyotumia umeme kufanya kazi. Ubongo ni kubebeo cha Akili, mawazo, hatuwezi kuiona Akili kwa macho au mawazo kwa macho. Tunaweza kufahamu Akili, mawazo ya mtu kupitia matendo yake. Aonavyo mtu Nafsini/mawazo mwake ndivyo alivyo au ndivyo anatenda.

  • @jastinnkya
    @jastinnkya 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amin sana mtumishi 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏🙏🇮🇱🙏

  • @marymfoi9349
    @marymfoi9349 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amina

  • @magrethkirenga
    @magrethkirenga 3 หลายเดือนก่อน +1

    Jina lako Mungu liinuliwe

  • @christinamgalula802
    @christinamgalula802 2 หลายเดือนก่อน

    Ameen

  • @sarahkaminyoge3197
    @sarahkaminyoge3197 2 หลายเดือนก่อน

    Hakika katika utumishi wako, Nimemuona Mungu akinivusha ktk changamoto nyingi, ubarikiwe sana Mwalim Mwakasege $Diana Mwakasege Mungu awe maisha marefu sana

  • @HappnessJeremia
    @HappnessJeremia 2 หลายเดือนก่อน

    🙏

  • @BarazaDavid-of7rm
    @BarazaDavid-of7rm 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @rehemajayden
    @rehemajayden 2 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu wafunuke mama angu na mwanagu wanapokaribia kusafiri bwana yesu wafikishe salama waepushe roho zote za ajali barabarani waende salama wafike salama kwa damu ya yesu kristo amen

  • @beathapantaleo9420
    @beathapantaleo9420 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @mildrednabwireokumu5492
    @mildrednabwireokumu5492 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amen 🙏

  • @eng.kivuyo12
    @eng.kivuyo12 3 หลายเดือนก่อน +1

    Glory to God

  • @PendoNyambita
    @PendoNyambita 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nimetuma sdk kwakuchelewa leo ndo nimeona mahubiri naunga manisha na Biashara yangu naninapokea kwa jina la Yesu

  • @stellawilson7453
    @stellawilson7453 2 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen

  • @japhetbalilonda797
    @japhetbalilonda797 3 หลายเดือนก่อน

    MUNGU akubariki mtumishi kwa huduma.

  • @gracelyimo6256
    @gracelyimo6256 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe huu mstari wakufanywa kichwa siyo mkia una maana tofauti!?
    Asante mtumishi leo nimepata kitu kipya🙏

  • @dddiii2330
    @dddiii2330 3 หลายเดือนก่อน

    YESU naiweka migu yangu kwenye iyi mazabahu yako YESU unifunguwe

  • @stellawilson7453
    @stellawilson7453 2 หลายเดือนก่อน

    Amen Mungu awabariki

  • @OnesmoDickison
    @OnesmoDickison 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana mtumishi kwa huduma hii

  • @wendyaaron9696
    @wendyaaron9696 2 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @MariamSenga-xn2dc
    @MariamSenga-xn2dc 3 หลายเดือนก่อน

    Amen🙏

  • @ernestbutagalala
    @ernestbutagalala 3 หลายเดือนก่อน

    Amina mtumishi wa mungu bab

  • @FlorahHillary
    @FlorahHillary 3 หลายเดือนก่อน

    Amina😅😅😅😅 Yesu tu atosha

  • @annaangetile4666
    @annaangetile4666 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubarik

  • @JasmineSebe
    @JasmineSebe 3 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @mkailivin4050
    @mkailivin4050 3 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @SamwerAsajile
    @SamwerAsajile 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubarik

  • @saraemmanuel7285
    @saraemmanuel7285 3 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @edamtenga1643
    @edamtenga1643 3 หลายเดือนก่อน

    Amen❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @eliyamakanika7282
    @eliyamakanika7282 3 หลายเดือนก่อน

    Amen amen

  • @NeemaMollel-mw5ei
    @NeemaMollel-mw5ei 3 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏

  • @aidanongole9341
    @aidanongole9341 3 หลายเดือนก่อน

    AMEN.

  • @LucyLwiva-h9l
    @LucyLwiva-h9l 3 หลายเดือนก่อน

    Ameni

  • @teddymhenga3006
    @teddymhenga3006 3 หลายเดือนก่อน

    Ameeen

  • @GraceGracelissu
    @GraceGracelissu 3 หลายเดือนก่อน

    Ameeeen