PROPHET IPM ATEMA CHECHE MBELE YA DR SULE ASOMA QURAN NA BIBLIA LIVE ATAJA WANAOMCHUKIA LIVE LAZIMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 356

  • @MwamlaKamandi
    @MwamlaKamandi 2 หลายเดือนก่อน +7

    Uko sawa saana IPM nishachuguza watu dio shida lakini dini hazina shida big up bro

  • @abasingaruka1872
    @abasingaruka1872 7 หลายเดือนก่อน +9

    IPM, Nakushukuru kwa maelezo yako, Wanaokuchukua Mungu anawaona

  • @MichaelAbel-m5y
    @MichaelAbel-m5y 3 วันที่ผ่านมา

    Hekima ya Mungu huyu bado ni wamaziwa, pia wokovu wake,tumlee atakuwa! Amen

  • @MichaelAbel-m5y
    @MichaelAbel-m5y 3 วันที่ผ่านมา

    Unafiki ni kuwa mweupe kumbe ni mweusi ,tafakari! Amen

  • @PierreBukasa-fu3yx
    @PierreBukasa-fu3yx 5 วันที่ผ่านมา

    Upo vizuri sana mchungaji, mungu akubariki sana,

  • @MchwauRukas
    @MchwauRukas 7 หลายเดือนก่อน +12

    Mimi nakuelewa sana mtumishi wa mungu mungu akubariki sana

  • @najimsuleiman3690
    @najimsuleiman3690 10 วันที่ผ่านมา +1

    Allah Akuongoze ndugu urejee Swiratwal Mustaqeem kabla ya Umauti wako InshaAllah.

    • @UmuAiman-o4h
      @UmuAiman-o4h 10 วันที่ผ่านมา +1

      Jesus is King Jesus GOD

  • @Melimeli7719
    @Melimeli7719 หลายเดือนก่อน +9

    Ki Ukweli Mimi ni Mkatoliki tipikali, lakn katika wachungaji ambao nachukuaga muda kuwasiliza ni huyu mh. Alafu sikuwahi jua Kama alikuwa mwislam. Upo Safi Sana Mkuu. Endelea kutupatia madini hayo.

    • @sundaymushi9640
      @sundaymushi9640 หลายเดือนก่อน

      🤝🤝🤝🤝

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 21 วันที่ผ่านมา

      Huyo (IPM)!amepata Malezi ya Uislamu ndomaana anahekma

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 21 วันที่ผ่านมา +1

      Jamaa Mjanja sana Mashaallah (lnshallah Allah akuongoze urejee ktk Uislamu)
      Anaongea Kwa Hekma sana kutokana na Mafunzo ya Malezi ya Uislamu.
      Amepiga Dingo KiAina Kupitia Surraht Fat'ha (ameomba Dua KiAina) na Surraht Maryam ameweka Wazi Yesu ni Mtume/Nabii Si Mungu.
      😂😂😂

    • @saidimazengo9934
      @saidimazengo9934 16 วันที่ผ่านมา

      Chuki hazina maana ni upuuzi tu wa baadhi ya viongozi

    • @samsonkariuki9696
      @samsonkariuki9696 7 วันที่ผ่านมา

      Huyu nimjaja tu afunikafunika ukweri nikwaba huyu simkristo amakuja kukologa dinisafi ya cristo akijisivia muhamed. Bona yesu akafukuza mashetani wakaoba waingie ngurue.na muhamed ana wafudisha qurani 46:29 usitukologe nausilamu wewe nidini ya adui 2:97 quran .ata Allah anafanya maobi 33:56 atakua mungu huyo anaomba nani Allah

  • @ZaharaIddy
    @ZaharaIddy 2 หลายเดือนก่อน +4

    Allah akuongoze ktk njia ilionyooka🤲🤲🤲🤲🙏

    • @Butoyihudjati
      @Butoyihudjati หลายเดือนก่อน

      Kabisa allah umuongoze

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 21 วันที่ผ่านมา

      Mashaallah ameomba Dua kaisoma Surraht Fat' h ameomba Kuongozwa na Allah ktk Njia ya Walioneeshwa/Waiamu sio ktk Njia ya Wale walio Kasirikia na Waliopote-Mayahudi na Manasara-Wakristo (Makafiri) na akaisoma Surraht Maryam kudhihirisha Yesu/Mwana wa Maryam (Issa) ni Mtume wa Allah.
      😂😂😂

  • @rahurselektor9850
    @rahurselektor9850 7 วันที่ผ่านมา

    Allah akuongoze
    Nakushawuli kuwa musilam na kushawuli kutigusa Quran ukiwa hauna udhu

  • @KomboHassan-j4p
    @KomboHassan-j4p 6 วันที่ผ่านมา

    Mungu akuongoze kweny dini ya haki

  • @J4UPro
    @J4UPro 3 หลายเดือนก่อน +3

    Nimekuelewa sana IPM

  • @Anthonyzombie-d2s
    @Anthonyzombie-d2s 8 วันที่ผ่านมา +1

    Hil baba jinga san,mung gan anapenda majin ,alfu mungu mwingn anasem muish mbal na majin!,huy ni mpumbv tu njaa

  • @Num3er38
    @Num3er38 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mtumishi wa Mungu kasema hapendi unafki, dakika za mwisho anakuja unafki wa wazi wazi. Nakaa pembeni, nawaachieni nyinyi.

  • @binnagy1497
    @binnagy1497 8 หลายเดือนก่อน +11

    Allaah akuongoze,ameen

    • @fredynjige5663
      @fredynjige5663 5 หลายเดือนก่อน

      Mwanachama WA chrislam Huyu.

    • @astambaby7719
      @astambaby7719 3 หลายเดือนก่อน +1

      Jitambue usikurupuke

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu 3 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu jamaa ananipa raha sana hana chuki na mtu mungu akupe mwisho mwema kaka

  • @mohamedbaya1993
    @mohamedbaya1993 2 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu ni sadaka anataka, anajua haki iko wapi, ila Mwenyezi Mungu atakusaidia

    • @josephosborne3072
      @josephosborne3072 2 หลายเดือนก่อน

      Haki ya nini wee Babu,,,,,!!Tenda mema mengne utajaziwa na Mungu,haki wakati mganga wa kienyeji

    • @stevensosipita
      @stevensosipita 2 หลายเดือนก่อน

      BARIKIWA SANA​@@josephosborne3072

    • @stevensosipita
      @stevensosipita 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@josephosborne3072WANAOWADANGANYA SAIZI WAMEJIKITA KEWENYE MAFUTA YA UPAKO SHEKHE KISHKI ANAKEMEA MAPEPO JE NA WEWE UKO UPANDE GANI?MMEPOTEZWA SANA

    • @josephosborne3072
      @josephosborne3072 2 หลายเดือนก่อน

      @@stevensosipita hujielew

  • @benardnganga5767
    @benardnganga5767 11 วันที่ผ่านมา

    Uko Sawa mtumishi mungu wala yesu sio mkristo wala muislamu ila wacha upendo itawale

  • @TawakalKasim
    @TawakalKasim 8 วันที่ผ่านมา

    Kak km Mungu unamuamin qur, an yak unaiamn na mpak Muhammad s, a, w unamuamin na kuvitangaza kanisani live kilichobak hp ni shahad t washahadishe shahad Hao umaliz mchez waonesh njia ya hakk niip Allah akup nguv na uwez wakutimiz hil

    • @musasempoi8051
      @musasempoi8051 8 วันที่ผ่านมา

      Ngoja apige pesa kwanza

  • @BakarAliy
    @BakarAliy 3 หลายเดือนก่อน +3

    Ipm njaaa mbaya sana

  • @nassorohamisi1435
    @nassorohamisi1435 3 หลายเดือนก่อน +6

    IPM una maneno mazuri bt njia yakutafuta riziki ni nyingi

  • @JEANKIKUMBI
    @JEANKIKUMBI 5 หลายเดือนก่อน +1

    Amen mutumishi wa mungu

  • @BakarAliy
    @BakarAliy 3 หลายเดือนก่อน +4

    Ipm. Yesu hakuinngia kanisani hata siku moja katika.maisha yake

  • @ByarugabaKasinja
    @ByarugabaKasinja 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nakukubali sana Ipm umeongea ukweli na unajua kuwa dini tuliletewa

  • @o-zonegrafix5780
    @o-zonegrafix5780 2 หลายเดือนก่อน

    Upo sawa mzee baba!

  • @sharulchenja2167
    @sharulchenja2167 2 หลายเดือนก่อน

    Usomaji wenyewe wa qur-an bado unakosea japo unajitahidi🙏🏾

  • @MariamSaidy
    @MariamSaidy 2 หลายเดือนก่อน +1

    Napenda msimamo wako na maongezi yako bro

  • @hamoodhhamoodalsharji7584
    @hamoodhhamoodalsharji7584 3 หลายเดือนก่อน +6

    Mungu akuongoze urudi katika Dini ya haki

    • @IsayaSosolo-nx8zk
      @IsayaSosolo-nx8zk 3 หลายเดือนก่อน +1

      Ipi wakati katoka ktk minyororo ya shetani?

    • @FrankBella-qe4tj
      @FrankBella-qe4tj 3 หลายเดือนก่อน +3

      Dini ya ni ya majini ambayo ni uislam

    • @jumamussantuiche
      @jumamussantuiche 3 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@FrankBella-qe4tjallah akuongoze

    • @shabansaid2323
      @shabansaid2323 3 หลายเดือนก่อน

      Amiyn

  • @Fumokale
    @Fumokale 7 หลายเดือนก่อน +2

    huyu ipm anapotisha watu huyu ni ktk FREEMASON Allah amungoze

  • @SephaniaMsigwa
    @SephaniaMsigwa 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ok nimekuelewa jpm

  • @frankshirima4029
    @frankshirima4029 2 หลายเดือนก่อน

    YESU NI NJIA YA KWEL NA UZIMA njooni kwake mpate amani mioyoni mwenu tunauhakika nae njooni mwonje jinsi alivyo mwema

  • @patrickkihenche
    @patrickkihenche 2 หลายเดือนก่อน +1

    😊ipm ninakukubali naomba namba zako za simu Mungu akubariki

  • @MussaAmour-o1c
    @MussaAmour-o1c 27 วันที่ผ่านมา

    Kaka upo vizur sana mashallah

  • @MudhihirUlotu
    @MudhihirUlotu 2 หลายเดือนก่อน

    IPM umesema kweli kabisa viongozi wa dini wakiwa na lugha nzuri amani itatamalaki

  • @barakantahosanzwe6752
    @barakantahosanzwe6752 หลายเดือนก่อน

    uishi miaka mingi mtumishi wa kweli kwa . Mungu

  • @nembua
    @nembua หลายเดือนก่อน

    Dini zimeletwa mungu yunasi kwa kila siku v2 vya mungu vilikuwapo mungu alivyotaka viwepo ila dini zimekuja sikuza kalibun

  • @SKYWALKER_THE_DON-o9p
    @SKYWALKER_THE_DON-o9p หลายเดือนก่อน

    Mkisikia ukwel mxijiruxh km njiwa ila acheni kufuata dini za watu fuata dini ya mwenyez mungu mwingi wa rehma mweny kurehem

  • @ProsperNtina
    @ProsperNtina 7 วันที่ผ่านมา

    Nakuelewa sana kaka hata mie natamani kuijua Korean hili nijue ukweli lakin nina wasiwasi na wewe husije kua wakala wakutengeneza din moja Muslim na ukristo kua din moja

  • @AshaRashid-p5m
    @AshaRashid-p5m 10 วันที่ผ่านมา

    Nauko kafri kbs

  • @Num3er38
    @Num3er38 2 หลายเดือนก่อน

    Muhamad sio nabii wa Mungu, na ndo mana hili litajirudia mpaka mwisho wa dunia. Kwa nini lisije swali la kuwa Yesu ni mtume wa mwenyezi Mungu.

  • @AmerdaKavishe-pu3cf
    @AmerdaKavishe-pu3cf 7 หลายเดือนก่อน

    Mimi naona kila mmoja abaki naimani yake anayo amini siasa zinaumisa namakasiriko sana tunacho kitafuta nichuki na mungu naimani mungu apendi nibora tupoteze mda kwa mungu tusema akuna yesu au mtume muhamadi yaishe yupo mungu basi ijulikane naumia sana juu yamalumbano

    • @aliissa-je6gt
      @aliissa-je6gt 6 หลายเดือนก่อน

      nenda ukalale ww

    • @AmerdaKavishe-pu3cf
      @AmerdaKavishe-pu3cf 6 หลายเดือนก่อน

      @@aliissa-je6gt wakulala ni nyinyi wapuuzu msio ujua kua mnatengeneza sum kuwalisha waumini tena mnaingia garama kwenye malumbano

    • @aliissa-je6gt
      @aliissa-je6gt 6 หลายเดือนก่อน

      @@AmerdaKavishe-pu3cf hujasoma dini ww tulia

    • @AmerdaKavishe-pu3cf
      @AmerdaKavishe-pu3cf 6 หลายเดือนก่อน

      @@aliissa-je6gt dini ndio nn bwana acha ubabaishaji

    • @aliissa-je6gt
      @aliissa-je6gt 6 หลายเดือนก่อน

      @@AmerdaKavishe-pu3cf km hutaki kusoma huwezi elewa nn dini nyinyi bado munaa akili kwamba mzungu ndio kaleta dini sio usijidanganye dada fijiria kwa umakini maisha na punzi zisijudanganye mm nimemalizah

  • @InnocentMlembe-qt9fd
    @InnocentMlembe-qt9fd 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nmekuelewa sana

  • @gjrmbise7268
    @gjrmbise7268 หลายเดือนก่อน +2

    Basi kama hivyo ndivyo kwa nini umeacha uislam

  • @SAMUELSINYANGWE-b1q
    @SAMUELSINYANGWE-b1q 10 วันที่ผ่านมา

    Misimamo ya Bibilia na ya Quran inafanana dini inafundisha vitu vichache vikuu kikubwa ni upendo wa sisi binadamu na hua dhambi yeyote Ile nikmkosea binadamu haijalishi mu kristo wala mu Islam napia Ukristo umetokea kwenye U Islam familia moja

  • @mwalukojohnjohn6467
    @mwalukojohnjohn6467 3 หลายเดือนก่อน +2

    Good ipm

  • @mcgeemwamba9303
    @mcgeemwamba9303 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nakukubali SANA unahekima

  • @amedesamki425
    @amedesamki425 3 หลายเดือนก่อน

    Tatizo kubwa la dunia hii ni watu kutojua imani moja ya kweli na Mungu Yehova kujifunnua ktk Mwanaye Yesu Kristo na siyo ktk mwingine yeyote awaye. Na ndiyo maana huwezi kuingia mbinguni bila kuzaliwa upya mara ya pili yohana 3.5

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 3 หลายเดือนก่อน

      Umenena vvyema mnooo

    • @farajisewe7416
      @farajisewe7416 3 หลายเดือนก่อน

      Usipo kubali KUJIFUNZA maana yke ww badoo...
      DINI YENYEWE TUNA RITHI TU... SHUGHULISHA AKILI YAKO. NDIO MAANA HATA MASHEHE WANASOMA BIBLE,
      WACHUNGAJI QURAN
      USIPO FUNGUA AKILI YAKO
      UTAZIDI KUCHOCHORA KUELEKEA PORINI...
      UKIRUDI NYUMA FAMILA NYINGI NI MCHANGANYIKO KWA SABABU WENGI WAZEE WETU
      WALIRUHUSU AKILI KUTAFAKARI.

    • @farajisewe7416
      @farajisewe7416 3 หลายเดือนก่อน

      Wewe umekariri mistari mitatu.
      Hujaifadhi kichwani japo hata KURASA MBILI ZA BIBLE!!!!?
      ZAMA BROOO, ZIJUE BIBLIA ZOTE KIKAMILIFU MAANA ZIPO NYIIINGI
      THEN TAFUTA QURAN, YENYEWE IPO MOJA TUU kwahiyp huto pata tabu kujifunza.

  • @HadijaMduma
    @HadijaMduma 13 วันที่ผ่านมา

    Ukumbuke kujitwaharisha lakn kabla ya kukamata Masikhafu

    • @HadijaMduma
      @HadijaMduma 13 วันที่ผ่านมา

      Nakukumbusha hapo ndugu yangu

  • @hanifa9153
    @hanifa9153 3 หลายเดือนก่อน

    Subhannallah😢😢😢

  • @Jeanjuma-y2o
    @Jeanjuma-y2o 14 วันที่ผ่านมา

    Ni kweli kabisa unayo yasema unasema ukweli mtupu wachungaji wengine wawo ni matusi kwendambele hata umuonyeshe maandiko Kwenye biblia yake hakubali anabisha tu

  • @YahayaRashid-w2f
    @YahayaRashid-w2f 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nakuamini sana

  • @BashiruAthumani-c6y
    @BashiruAthumani-c6y 16 วันที่ผ่านมา

    WEWE UMEPELEKWA NA NJAA LAKINI UTAENDA KUJIBU SIKU YA KIAMA

  • @josephmarwa4623
    @josephmarwa4623 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ipm uko ft bro

  • @mfaumekambi2060
    @mfaumekambi2060 3 หลายเดือนก่อน +1

    Siokweli kunawatu wanajifunza Qur'ani nautuuzima nawanaisoma vzur wew mwenyewe unaenadi umeisoma ukiwa mtoto unakosea sana kuisoma

    • @HadijaHsalehe-z4k
      @HadijaHsalehe-z4k 3 หลายเดือนก่อน

      Yupo vizuri huyu Mtumishi..na kaisoma vizuri Qur'ani sana

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 3 หลายเดือนก่อน +5

    mungu wenu waislam tofauti kabsa na Mungu wetu wakristo

    • @W.Jacskon
      @W.Jacskon 3 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli

    • @J4UPro
      @J4UPro 3 หลายเดือนก่อน

      Mmh

    • @SumaAbduly
      @SumaAbduly 3 หลายเดือนก่อน +1

      Mungu wenu ni nani

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy 3 หลายเดือนก่อน

      @@SumaAbduly Wakristo Miungu yao ipo mingi sana

    • @felixanthony8764
      @felixanthony8764 3 หลายเดือนก่อน

      Mungu ni mmoja amna mungu wa waislamu wala wa wakristo

  • @Kbaya86
    @Kbaya86 2 หลายเดือนก่อน

    Sàa hii ndio chanzo Cha AMANI duniani kuheshu dini za wengine

  • @lenniefei6710
    @lenniefei6710 8 หลายเดือนก่อน +4

    IPM tumeona mwisho wa wengi kebehi na kukejeli Aya za Allah !!! Kumbuka Kuna kifo kaka😢

  • @PendoKalama-rn8pf
    @PendoKalama-rn8pf 23 วันที่ผ่านมา

    Amani ikekuwepo kama dini ingekua moja maana hakuna mtu atakaye ruhusu Mungu wake apingwe kwa maneno hata kama anaamini Mungu wake hapingiki lazima aongee kumthibithishia yle anayepinga na hapo ndo mwanzo wa mzozoro ...kuongea ndo kunaleta majibizano atakaye umia akuupoze moyo wake anavyojua yeye

  • @fatuma5208
    @fatuma5208 หลายเดือนก่อน

    Kaka.ludi.kwadini.yako.tunakupenda.sana.kwajili.ya.Allah

  • @elinisafimndeme2971
    @elinisafimndeme2971 2 หลายเดือนก่อน

    Nje ya Yesu hakuna mtume muhammad ndio mtu pekee aliyesilimisha majini Q72:14

  • @makerebul3650
    @makerebul3650 6 หลายเดือนก่อน +1

    Please naomba namba yako kaka,

  • @WilsonSanare-m6k
    @WilsonSanare-m6k 14 วันที่ผ่านมา

    Nduqu.yanqu.mchunqji.una.hekima.na.umeelimika.sana.hauna.upumbavu.

  • @luckymasaza6206
    @luckymasaza6206 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu amepoteza muelekeo ila akipata anacho kitaka atajirekebisha ila anajidhalilisha nani sadaka tu anae jua dini ya kiislam awezi fanya mzaha kama huu mungu akuongoze

    • @Jaylospeter
      @Jaylospeter 2 หลายเดือนก่อน

      duh kuna mazuzu duniani hata ww lucy ni zuzu

  • @AzizaOmar-o2g
    @AzizaOmar-o2g 3 หลายเดือนก่อน

    Asikupotosheni huyu na Imani zake simameni na Imani zenu

  • @Hawa-b2j
    @Hawa-b2j 5 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli kabisa

  • @edithakalist7514
    @edithakalist7514 4 หลายเดือนก่อน +1

    Vizuri

  • @JafariMrisho-m3h
    @JafariMrisho-m3h วันที่ผ่านมา

    Q5-51 usiwe na ulafiki na wakristo , pia ukiacha usilamu uuliwe kwaiyo usilamu ni chuki na chuki inalusiwa kwa usilamu

  • @josephmusagasa
    @josephmusagasa 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani wakati Yesu amekutokea alikwambia utumie Quran pia? Mohammed anapinga kuwa Mungu hana Mwana Biblia inasema Mungu ana Mwana wake wa pekee. Je,wewe upo wapi? Jaribu kukaa sehemu moja tukuelewe. Je,kuna urafiki gani kati ya Nuru na giza? Bwana IPM hebu kaa sehemu moja tukuelewe.

  • @SuzanaBahati-l1h
    @SuzanaBahati-l1h 27 วันที่ผ่านมา

    Lkn kwann unasema quran n kitabu cha Mungu? Toa ushahidi?

  • @DotoFulgence
    @DotoFulgence หลายเดือนก่อน

    Mtumishi mimi ni mkristo lkn kusema akuna upendo siwezi sana kuamini ktk ilo mimi naamini utakatifu na upendo

  • @MsoudanMediatz
    @MsoudanMediatz 2 หลายเดือนก่อน

    Kikubwa ninacho kiona unajiweka kileleni kuwa wew ni muelewa kushinda watu wote ila hakuna ukweli zaidi ya mmoja ukweli ni mmoja katika marumbano haki ipo katka dini moja tu

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 วันที่ผ่านมา

    Bado hajahamishwa kama paulo

  • @Melimeli7719
    @Melimeli7719 หลายเดือนก่อน

    Kwa mtazamo wangu Mimi. Waislam nanuislam shida yao NI chuki waienezayo kwa waislam wenzao, kwa mfano, hii habari ya kutuita sie makafili na matusi mengine. Tukifuatilia kwa wa lhubili wote, huwezi kuta mhubili yeyote kahubili Biblia kwa kuish8ndansha na Quran. Lkn siku zote wahubili wa Kiislam ili waonekane wanajuaga Sana lazima waikashfu Biblia waikashfu Ukatoliki,

  • @MUSSAKANEGA
    @MUSSAKANEGA 5 หลายเดือนก่อน +2

    WEWE NI WAKALA WA UISLAMU UMEJIFANYA NABII!!! ILA UTAKUJA KUVUNA UNACHOPANDA KAFIRI WEWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE

    • @SephaniaMsigwa
      @SephaniaMsigwa 3 หลายเดือนก่อน

      Mbona unatukana uisilam unafundisha hivo

  • @johnlubango4158
    @johnlubango4158 3 หลายเดือนก่อน

    Pia yesu hakuleta dini ila watu sasa😢

  • @liverpoolfootballclub9985
    @liverpoolfootballclub9985 15 วันที่ผ่านมา

    IPM ni mwamba huyu

  • @Sublra
    @Sublra 17 วันที่ผ่านมา

    Lakini mchungaji unaslivipi unasimamishanguzotano unatakiwa kusimamisha nguzo tanto uko mungu lakuweka uwatoe wapotevu lakini iposiku tarudi usilam

  • @SeleBobo-e8y
    @SeleBobo-e8y 14 วันที่ผ่านมา

    Sio kweli lakin huyo jamaaa hayupo serious tatzo uislamu umekuwa haisimamiw kama alvyokuwa mtume na maswahaba Zaid tunafuata Sheria za kishetan

  • @SalimaEdwin
    @SalimaEdwin 2 หลายเดือนก่อน

    👏👏👏👏👏👏🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @JamilaYusuph-oe6no
    @JamilaYusuph-oe6no 18 วันที่ผ่านมา

    Bila darasa la 4 hapa huelewi

  • @JohnMwacha-h5g
    @JohnMwacha-h5g 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi binafsi nakuelewa sana

  • @mroceanpatro247
    @mroceanpatro247 2 หลายเดือนก่อน

    Prophet Ipm ni mtu ambaye akifiti kitu kilichokua kimekosekana so nimeipenda sana hii aidia yake yupo sahihi kabisa

  • @ismailsoud3634
    @ismailsoud3634 2 หลายเดือนก่อน

    ( DINI ) Nie neno la kiarabu maana yake mwa lugha ja kiswahili ( TARATIBU ) La kum dinikum waliya Dini maana yake nyinyi mnataratibu zenu na sisi tuna taratibu zetu.

  • @profs.a5412
    @profs.a5412 8 หลายเดือนก่อน +5

    Mmmmm, huo ni uongo😂 kati ya Quran na bible lazima kuna kitabu mojawapo tu Cha Mungu na kingine cha Muhammad 😂

    • @Fumokale
      @Fumokale 7 หลายเดือนก่อน

      Ww ndio muongo mkubwa hakuna kitabu cha muhammad illa ni KITABU CHA MUNGU ALICHOTEMRISHIWA MUHAMMAD s.aw na bibilia alipewa mtume gani?????

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 6 หลายเดือนก่อน

      @@Fumokale🤣🤣🤣 Mpe huyo

    • @evansbati3019
      @evansbati3019 5 หลายเดือนก่อน

      Kuna kitu kweli ulimwenguni ambacho sio cha Mungu..?

    • @HadijaHsalehe-z4k
      @HadijaHsalehe-z4k 3 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli kabisa

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu bado ni muislamu amekuja kwenye ukiristo kupiga hela

  • @ismailsoud3634
    @ismailsoud3634 7 หลายเดือนก่อน +2

    Huu ni ugonjwa sasa. Kila mtu anaumwa kichwa vyake. Sijuwi siku ikifika itakuwaje !!!!!!!!
    Maana huyu. Jamaa IBM anachanganya chakula ugali na udongo pamoja sijui lengo apate nini!!!!

  • @amedesamki425
    @amedesamki425 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ukweli ipm kitabu cha kurani na biblia ni kama mafuta ya taa na maji

  • @Thahara-c5l
    @Thahara-c5l 3 หลายเดือนก่อน

    Mm namuombea numgu aongoke

    • @hamadfaki7625
      @hamadfaki7625 3 หลายเดือนก่อน

      Ww nimuislam bwana usitudanganye

  • @GilbertModest-t3x
    @GilbertModest-t3x 4 หลายเดือนก่อน

    Hiyo imesimama bloo

  • @yusufmohamed8874
    @yusufmohamed8874 3 หลายเดือนก่อน +2

    Njaa

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 3 หลายเดือนก่อน

      Uko sahihi kabisa💯

    • @abubakarhaji5024
      @abubakarhaji5024 2 หลายเดือนก่อน

      Kwa kwelii

    • @deniswills9241
      @deniswills9241 2 หลายเดือนก่อน

      Alikuomba msaada😮

    • @noOneBeMe
      @noOneBeMe 10 วันที่ผ่านมา

      Watu ni chuki tu, badilika dada, kak

  • @GeorgeMwaura-pt7yz
    @GeorgeMwaura-pt7yz 3 หลายเดือนก่อน +1

    Qur'an sio kitabu cha mwenye enzi mungu muumba wa bingu na nchi.
    Hapo ndipo wanapoanguki hawa wahubiri wanao toka kwa uislamu.
    We must acknowledge the bible as the final authority of the word of God.
    Yes you can read the Qur'an but you can't endorse it as the same as the bible.
    Many of them are preaching a mix of Christislam, which is a mix of the truth and a lie,

  • @SebastianNawate-ot5vl
    @SebastianNawate-ot5vl 15 วันที่ผ่านมา

    Nilisoma biblia sikumbuki sura gani inasema aikataaye dini yamwenzie ato uona ufalume wambingu

  • @qerysir4410
    @qerysir4410 6 หลายเดือนก่อน +2

    HANAGA MSIMAMO HUYU IPM!!

  • @KhalidAdam-wt1pt
    @KhalidAdam-wt1pt 8 หลายเดือนก่อน

    Mashalwh Yan kaka nnakupenda weye laiti kama nigalikuwa dadazangu sjawaozesha wote nigalikupa mm na mahari nigalitowa mm

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kwa kafiri hyo njaa tupu na anajua ukweli umpe dadaako😂😂😂

    • @farhanahannana
      @farhanahannana หลายเดือนก่อน

      ​@@hanifa9153njaa mbaya shetani yupo kazini

  • @RamadhanAlly-p8j
    @RamadhanAlly-p8j 3 หลายเดือนก่อน

    ukwl nimebadilisha dini juzi juzi lakini uyu ni tapeli kwajina layesu Tena tapeli Alie vaa mavazi ya kodoo

  • @julesngama2508
    @julesngama2508 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ana sema ukweli ajiri Paul ame mweleza Timothy asi fanze ubishi usiwe na fahida. Wa pagani sana ao Mazinge na wengine

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 6 หลายเดือนก่อน

      Paulo ni Nani ?😊

  • @OmaliAlly-d5k
    @OmaliAlly-d5k 28 วันที่ผ่านมา

    Tena ww utafulah endelewa na kejel ipo siku utafulah San Yan

  • @fredrickmziray4885
    @fredrickmziray4885 3 หลายเดือนก่อน

    Kama ameijua KWELI hawezi kurudi uislam

  • @daudiazizi8495
    @daudiazizi8495 6 หลายเดือนก่อน

    Kwa hio ww unawafundisha watu waende kwa yesu ama kwa mhamad ...mana yesu alisema hakuna njia nyingine

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 6 หลายเดือนก่อน

      Wapi YESU Kasema Hakuna njia Nyingine ??? Tufanye Sawa , Je Umma wa Nabii MUSA Na Haruni ??? Je UMMA Wa Nabii IBRAHIMU Na LUTI ??? na UMMA wa NABII DAUDI na UMMA Huu tuliopo Wanabii MUHAMMAD Waende au Tuende Njia Ipi ??? 🤣🤣🤣😄😄😄

  • @bonge1865
    @bonge1865 7 หลายเดือนก่อน

    Broo Safi Sana unaongea Safi sana