Polisi ajichimbia kaburi lake, Kilimanjaro / asisitiza hakuna aliyemshawishi.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024
  • Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
    Subscribe to our TH-cam Channel : bit.ly/itvtanzania
    Facebook : bit.ly/2KeQNl3
    Twitter : bit.ly/2XG7aii
    Instagram : bit.ly/34KItmg

ความคิดเห็น • 37

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 2 ปีที่แล้ว

    Hongera!!

  • @elizabethelisaria6730
    @elizabethelisaria6730 2 ปีที่แล้ว +5

    Ukiandaa kaburi, jeneza unawapinguzia kazi ndg ukifa. Ila yataka moyo aisee!
    Pesa uwe nazo pia.

  • @venancegaspatv1961
    @venancegaspatv1961 2 ปีที่แล้ว +2

    Balaa linakuja unaenda field unaliwa na Simba,utafia wapi ama utazikwa wapi anajua Mwenyezi Mungu pekee

  • @evordmussa1155
    @evordmussa1155 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu ibariki Tanzania pamoja na uongozi wake amina

  • @rachelmliwa9830
    @rachelmliwa9830 2 ปีที่แล้ว

    Asante Tanzania na dunia kwa ujumla nimechoka sasa

  • @salimmatala1027
    @salimmatala1027 2 ปีที่แล้ว +2

    Upo sahihi ujakosea wasio jua ndowatakushangaa

  • @dadamkubwa1087
    @dadamkubwa1087 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akilundi kabla ujafa kaburi litaluwa la nani kuna mandiko yasema amuezi jua siku wala saa nitarudi na nitarudi kama mwizi je akuje leo uende mbinguni kaburi lakuaje????

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 2 ปีที่แล้ว

    Kwa imani yangu yupo sahihi sana sana,

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 2 ปีที่แล้ว +1

    Umeshatubu zile rushwa ulikua unapokeaga

  • @lalisaaaaaaa1004
    @lalisaaaaaaa1004 2 ปีที่แล้ว +1

    Ukiwa na pesa hushidwi na chochote

  • @daluchiwingadaluchiwinga185
    @daluchiwingadaluchiwinga185 2 ปีที่แล้ว

    Pole kaka

  • @msafirimatingo4447
    @msafirimatingo4447 2 ปีที่แล้ว

    Anahisi kama hela zake watakula watakaobaki ni bora azitumie mwenyewe,mali zake zinamuuma.

  • @silivesattesha4837
    @silivesattesha4837 2 ปีที่แล้ว

    Ufeharaka

  • @maglansaisai5745
    @maglansaisai5745 2 ปีที่แล้ว +1

    Pot hahaha hofu ya nini ufi leo wala kesho lazima utoboe miaka 150 utaendlea kulitunza......

  • @marthagabriel3417
    @marthagabriel3417 2 ปีที่แล้ว

    Saba sita mbona umekata tamaa badala ya kumtanguliza Mungu

  • @dodomacomputerrepairservic1675
    @dodomacomputerrepairservic1675 2 ปีที่แล้ว

    ubiinafsi uliozidi kiwango aisee. Hiyo 4m so bora angetoa mtaji kwa ndugu zake au watu wenye kuhitaji.

  • @joelnicas3133
    @joelnicas3133 2 ปีที่แล้ว

    Tunatembea sisi ni marehemu tayari,kikubwa nikuacha dhambi aiseee

  • @johnsombi545
    @johnsombi545 2 ปีที่แล้ว +4

    1 Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke Siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu.
    Ayubu 14:1
    2 Yeye huchanua kama vile ua, kisha hukatwa; Hukimbia kama kivuli, wala hakai kamwe.
    Ayubu 14:2

  • @longinemuhumba3804
    @longinemuhumba3804 2 ปีที่แล้ว

    Anajihukumu maana kazi ya police ni kazi ya shettani .

  • @fadhyylhassan5732
    @fadhyylhassan5732 2 ปีที่แล้ว

    Unaliwa na chewa hahaha

  • @Veni584
    @Veni584 2 ปีที่แล้ว

    Bado ni mtundu vilevile

  • @hellendaniel3809
    @hellendaniel3809 2 ปีที่แล้ว

    Sawa babu yake Lola. a.k.a baba Tunda.

  • @emmanuelmasanja6040
    @emmanuelmasanja6040 2 ปีที่แล้ว

    Duh sabasita

  • @abubakarikisuju80
    @abubakarikisuju80 2 ปีที่แล้ว

    Huna akili wewe"umelogwa"askari gani wewe?kwanza unamkufuru mungu"huwezj kumpangia mungu"

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 2 ปีที่แล้ว

    Mbona yakwakotu mbona hujengei mke wako

  • @farajagordon4724
    @farajagordon4724 2 ปีที่แล้ว

    Shida hujamjengea na mkeo sasa si ninyi ni mwili mmoja? Au wote mtazikwa humohumo yaani wewe na mkeo

  • @franciscaaugustino4305
    @franciscaaugustino4305 2 ปีที่แล้ว

    Huyu atakuwa jambazi

    • @laliapamba4187
      @laliapamba4187 2 ปีที่แล้ว

      mmmmh huyo ni Police tena enzi zake za ujana alikuwa mchapa kazi balaa maarufu kwa jina la sabasita na ndio baba yake Tunda aka mama Lola

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 2 ปีที่แล้ว

    Makubwa kumbe niww saba Sita Usijal utaish miak 1000 🙏🙏

  • @elvistabula5512
    @elvistabula5512 2 ปีที่แล้ว

    Je kama utapotelea baharini? Je ukiwa kwenye ndege ikawaka? Nimecheka sana maana wachaga mbege inawaharibu akili

    • @innocentlegos4530
      @innocentlegos4530 2 ปีที่แล้ว

      Acha kuchanganya ukabila ndugu.hujalazimishwa kuchangia mada.