TAFAKARI YA INJILI YA SIKU, JUMATATU - 16-09-2024; KUMB. YA WAT KORNELI PAPA NA SIPRIANO, MASHAHIDI.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024
  • Itukuzwe Damu ya Kristo! - Milele Amina!
    ◻️Karibu Mwanafamilia ya St. Gaspar Media!
    ◻️Hili ni Channel maalum inayomilikiwa na Seminari kuu ya Mt. Gaspari del Bufalo, Ipo mahususi kwa ajili ya kushare Taarifa mbalimbali za Kanisa, Misa Live, Mafundisho ya TASAUFI YA DAMU AZIZI YA YESU , Uinjilishaji kwa njia ya Tafakari za Kila Siku, Nyimbo za Dini, na matukio mbalimbali ya Kanisa Katoliki ambayo tutakuwa tunayaweka katika Channel yetu ya TH-cam @st.GasparMajorSeminary
    ◻️Pia kama utakuwa na Swali lolote kuhusu Damu Azizi ya Yesu, Shirika la Damu Azizi ya Yesu, Kumfahamu Mt. Gaspari del Bufalo unaweza kuuliza na kupata majibu humu.Karibu sana tushirikishane Tone la Upendo!
    MAWASILIANO
    📱 +255 715 999 802
    📧Stgasparmajorseminary@gmail.com
    @st.GasparMajorSeminary
    #St. Gaspar Media Ndoto_inaendelea

ความคิดเห็น • 1

  • @monicajohn5578
    @monicajohn5578 2 วันที่ผ่านมา

    Ee Mwenyezi mungu nakuomba utusaidie tuishi kwa Iman, unyenyekevu zaidi na kwa kuwaombea wahitaji na wenye shida mbalimbali kama akida alivyofanya ,Nakushukuru kwa tafakari nzur mungu akubariki sana