Asante kwa tafakar na maubili mazuri ninafurahi sana pia napata Amani mno nikisikia neno la mungu kutoka nchini kwangu nafuatilia nikiwa marekani . Barikiwa sana ..
Tumsifu Yesu Kristu Ndugu Esperance Sule. kwanza asante kwa Comment yako na pia Swali lako lenye kuhitaji msaada. pili kwa kifupi; a) Kuhusu Swala la kusoma maandiko matakatifu na kushindwa kuelewa, nikukumbushe maandiko matakatifu sio kitabu cha hadithi hata kama hadithi zipo. Kabla ya Kuanza Kusoma, Unapaswa kumwomba Roho Mtakatifu, akuangazie ili uelewe unachokisoma na uweze kukitafsiri katika maisha yako ya LEO. Pia Soma kwa utaratibu, mathalani soma injili Mathayo sura baada ya sura hata kama kwa siku 1 unasoma sura 2 tuu. Ila ukisoma kwa kurukaruka leo Injili, Kesho Manabii, Kesho kutwa Waraka. Utasoma kuitimiza wajibu ila hausomi kwa malengo ya ujue kwa nini Yesu alijibu vile, kabla ya hapo kulikuwa na tukio gani? MUULIZE PADRE ATAKAYEKUELEKEZA UTARATIBU MZURI WA KUJISOMEA MAANDIKO KWA FARAGHA. AU UKAPATA RAFIKI WA KIROHO MKATOLIKI MTAKAYESOMA NAYE PAMOJA MAANDIKO NA KUMFATA PADRE MTAKAPOKUTANA NA CHANGAMOTO. b) Kuhusu Ukame wa Kuomba; Kwanza Ukame wa Kiroho upo huwa ni kipindi muumini anajiona amekinai mambo ya kiroho. Kuhusu Sala, zipo aina kadhaa za sala, kama vile; Kuomba, Kuabudu, Kushukuru, Kusifu nk (nazo zaweza kuwa za pamoja au za binafsi). Kumbuka kujiandaa kwa sala kwa utulivu na sio kukurupusha sala. Pia Anza sala kwa kuomba toba, kisha Mshukuru Mungu, halafu Msifu Mungu, sasa ndipo UOMBe ( kwa nia zako, au za wengine, au mahitaji ya taifa, kanisa, nk) mfano mzuri wa namna gani sala yetu iwe, Upo kwenye sala ya BABA YETU. Ukame wa Kuomba inaonyesha sala zako ni za kuomba tuuu, fikiria rafiki yako ambaye kila akikuona anakuomba au kukulaumu hata kama unamsaidia sana ila yeye ni kukulaumu tuu .. haipendezi, MUNGU WETU ANAPENDA KUSHUKURIWA PIA KAMA SISI TUNAVYOCHOKA KULAUMIWA. Mara nyingi Ukame wa Kiroho hutokea endapo hujaungama muda mrefu, au umejikatia tamaa kiroho kuwa umeshindwa kupiga hatua katika kuacha dhambi fulani, Fanya Maungamo, kuwa mtu wa Toba, Mungu atakupa Nguvu. JIPE MOYO NDUGU. HONGERA KWA KUTAMANI KUPIGA HATUA ZA KIROHO, TUNAWAOMBEENI MZIDI KUWA WATAKATIFU WALE BWANA ANAOJIVUNIA DUNIANI. BARIKIWA SANA NDUGU YETU.
Asante sana kwa Tafakari nzuri 🙏
Hamina munguhakubarki sana nimebarikiwa sana
nabarikiwa sana.Mungu adumishe huduma hii.
Asante kwa tafakar na maubili mazuri ninafurahi sana pia napata Amani mno nikisikia neno la mungu kutoka nchini kwangu nafuatilia nikiwa marekani . Barikiwa sana ..
Tumshukuru Mungu ndugu, Endelea kutushare kwa wenzako Injili IENEE. MUNGU AKUBARIKI NA KUTKUFANIKISHA SANA HUKO.
Aksanti kwa mahubiri mazuri naomba musada mimi ninaposoma maandiko matakatifu ninashindwa kuelea ni fanya je? Na izi siku ninakua naukame wakuomba sijuwe nifanye je?
Tumsifu Yesu Kristu Ndugu Esperance Sule.
kwanza asante kwa Comment yako na pia Swali lako lenye kuhitaji msaada.
pili kwa kifupi;
a) Kuhusu Swala la kusoma maandiko matakatifu na kushindwa kuelewa, nikukumbushe maandiko matakatifu sio kitabu cha hadithi hata kama hadithi zipo. Kabla ya Kuanza Kusoma, Unapaswa kumwomba Roho Mtakatifu, akuangazie ili uelewe unachokisoma na uweze kukitafsiri katika maisha yako ya LEO.
Pia Soma kwa utaratibu, mathalani soma injili Mathayo sura baada ya sura hata kama kwa siku 1 unasoma sura 2 tuu. Ila ukisoma kwa kurukaruka leo Injili, Kesho Manabii, Kesho kutwa Waraka. Utasoma kuitimiza wajibu ila hausomi kwa malengo ya ujue kwa nini Yesu alijibu vile, kabla ya hapo kulikuwa na tukio gani?
MUULIZE PADRE ATAKAYEKUELEKEZA UTARATIBU MZURI WA KUJISOMEA MAANDIKO KWA FARAGHA. AU UKAPATA RAFIKI WA KIROHO MKATOLIKI MTAKAYESOMA NAYE PAMOJA MAANDIKO NA KUMFATA PADRE MTAKAPOKUTANA NA CHANGAMOTO.
b) Kuhusu Ukame wa Kuomba;
Kwanza Ukame wa Kiroho upo huwa ni kipindi muumini anajiona amekinai mambo ya kiroho.
Kuhusu Sala, zipo aina kadhaa za sala, kama vile; Kuomba, Kuabudu, Kushukuru, Kusifu nk (nazo zaweza kuwa za pamoja au za binafsi). Kumbuka kujiandaa kwa sala kwa utulivu na sio kukurupusha sala. Pia Anza sala kwa kuomba toba, kisha Mshukuru Mungu, halafu Msifu Mungu, sasa ndipo UOMBe ( kwa nia zako, au za wengine, au mahitaji ya taifa, kanisa, nk) mfano mzuri wa namna gani sala yetu iwe, Upo kwenye sala ya BABA YETU.
Ukame wa Kuomba inaonyesha sala zako ni za kuomba tuuu, fikiria rafiki yako ambaye kila akikuona anakuomba au kukulaumu hata kama unamsaidia sana ila yeye ni kukulaumu tuu .. haipendezi, MUNGU WETU ANAPENDA KUSHUKURIWA PIA KAMA SISI TUNAVYOCHOKA KULAUMIWA.
Mara nyingi Ukame wa Kiroho hutokea endapo hujaungama muda mrefu, au umejikatia tamaa kiroho kuwa umeshindwa kupiga hatua katika kuacha dhambi fulani, Fanya Maungamo, kuwa mtu wa Toba, Mungu atakupa Nguvu. JIPE MOYO NDUGU.
HONGERA KWA KUTAMANI KUPIGA HATUA ZA KIROHO, TUNAWAOMBEENI MZIDI KUWA WATAKATIFU WALE BWANA ANAOJIVUNIA DUNIANI. BARIKIWA SANA NDUGU YETU.
Endelea kusoma biblia utaelew tu ndugu