KIMENUKA! JERRY SILAA ATOA SIKU 14 JENGO LIBOMOLEWE, AWAGEUKIA TARURA - "MJITAFAKARI"....

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 28

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  9 หลายเดือนก่อน

    JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...

  • @salmanmagwe2612
    @salmanmagwe2612 8 หลายเดือนก่อน +4

    Muheshimiwa waziri Slaa kaa na mwenzako wa ujenzi ili mtoe amri kwa Tarura mikoa yote walinde maeneo yao kwani ni kama TARURA wamelala watu wamejenga hadi kwenye hifadhi za barabara wakishirikiana na maofisa Ardhi walafi.

  • @wanguwangu34
    @wanguwangu34 8 หลายเดือนก่อน

    God protect you for what you're doing is good in the presence of God.big up

  • @bongo39
    @bongo39 9 หลายเดือนก่อน +3

    Mbona sehemu kama hizo zipo nyingi tuu

  • @user-mc3du2rz8l
    @user-mc3du2rz8l 9 หลายเดือนก่อน +2

    WAZIRI UPO SAHIHI ...NA KWASASA MAMBO HAYO YAPO SEHEMU NYINGI TZ, MTU ANAJENGA ENEO LAKE LOTE KISHA ANACHUKUA ENEO LA WAZI LA SERIKALI .BILA KIBARI ANAJIMILIKISHA WAKATI WA KUUZA ANAUZA NA ENEO LA SERIKALI. FUATILIA MH UTAONA SEHEMU NYINGI MATAJIRI WAME YA HOZI.

    • @marthasolomon1359
      @marthasolomon1359 6 หลายเดือนก่อน

      Uko sahihi, atembelee Sinza ajionee

  • @user-ez9qc2jo1x
    @user-ez9qc2jo1x 8 หลายเดือนก่อน +1

    bomoeni hii structure kamaliza maagizo waziri ndyo maana matatizo haya hayaishi watendaji wanakula rushwa ilitakiwa aagize wabomoe,pia kuwasimamisha waliotoa kibali na kumpeleka mahakamani mjenzi pamoja na watendaji wa mitaa wanaoona ujenzi huu katika maeneo yao

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mnamchosha waziri. Mkurugenzi yupo wapi mpaka haya yanatokea? Hii nchi

    • @jackmabirangacharles9398
      @jackmabirangacharles9398 6 หลายเดือนก่อน +1

      Ndio utashangaa mpaka Jengo limefika pale watu wamekaa tu ofisini sasa Sioni hata ya hao wakurugenzi kweli wana mchosha Waziri kazi ambazo ni Majukumu yao Waziri anafanya

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera sn Mh Jery

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 9 หลายเดือนก่อน +2

    Jerry nakuita UMETEREKEZA KITUNDA barabara mbooooovu wananchi tunapata shida subier 2025

  • @ErnestTomas
    @ErnestTomas 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ongera slaa

  • @PLAYPROGAMING568K
    @PLAYPROGAMING568K 6 หลายเดือนก่อน

    Mheshimiwa hapa karikoo mbele ya majengo yetu tukikuwa na parking yetu lakini serikali ya mtaa wamewapa watu kujenga kisima na wakala na club yanga na plot yetu iko somali kipande plot 26 na 27 gerezanu , na kudai nafasi ya wazi na wamezima maduka ya majengo letu hayaonekqni na hatuna parking ,mjumbe anadai maji ya kisima yanasaidia wazi wa pale sasa kama inatoa huduma kwanini asijenge ndani ya jengo lake mbele kwanini ajenge mbele ya jengo letu na kuzima parking na emergency gate na mbona kisima anamiliki plot no 12 na yeye ndiyo anapokea pesa na mjumbe pesa za hayo mawalq na kisima anapokea nani ? Na kwanini kujenga mbele ya jengo na kudai nafasi ya wazi tokea lini mbele ya jengo la mtu kunakuwa na nafasi ya wazi
    Tunaomba msaada na wakala na machinga holela chini ya transformer na nguzo

  • @gracemtyaule562
    @gracemtyaule562 4 หลายเดือนก่อน

    We

  • @KassianChengo
    @KassianChengo 3 หลายเดือนก่อน

    Mheshimiwa BAOBAB karibu na Mapinga au Kimele watu wanazurumiwa maeneo na Pesa na kikundi kinajiita Kamati binafsi nakijua hiko kikundi na mimi ni mhanga wa hiko kikundi Masaada wako Mheshimiwa najua uko bize na Kazi lakini utusaidie Kaka....

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 9 หลายเดือนก่อน +1

    Building permit alitoa Nani?

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 8 หลายเดือนก่อน +1

      Siku hizi watu wanajijengea bila hiyo Parmit

  • @BonnyMwajombe-iu7hb
    @BonnyMwajombe-iu7hb 4 หลายเดือนก่อน

    Slaa acha sifa, unajua unautamani uwaziri mkuu

  • @dismaslalubare4196
    @dismaslalubare4196 8 หลายเดือนก่อน

    Muheshimiwa slaa nakuomba uje arusha tembelea huku ... unawezazimia kabla hujamaliza ziara

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 8 หลายเดือนก่อน

    Dar ipo ivyo hakuna mitaa

  • @issayahya1640
    @issayahya1640 6 หลายเดือนก่อน

    Jerry tusafishie njia ya tegeta tupate service road na njia ya kawe watu wajenge kwenye mawe ya ya viwanja wamezidi moaka kupita hakuna ,parking hakuna

  • @emanuelkilangilo5585
    @emanuelkilangilo5585 8 หลายเดือนก่อน

    Mueshimiwa unaomba uongezewe ulinzi na wagaga wa kutosha hii nchi utaangushwa⚰️⚰️⚰️

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 8 หลายเดือนก่อน

    Tawile tawile mkuu

  • @aediayumgo8546
    @aediayumgo8546 7 หลายเดือนก่อน

    Hao wanao fanya hizo mambo hukohuko serekarini

  • @OhongoihondeIhondeohongoihonde
    @OhongoihondeIhondeohongoihonde 9 หลายเดือนก่อน

    Nyie niwapumbavu mrikua mpaka waziri aje upuuz mkubwa

  • @JaziraMustafa-g9p
    @JaziraMustafa-g9p 6 หลายเดือนก่อน

    FIFDA HUSSEN NI MWIZI EA. ARDHI ZAWATU

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 6 หลายเดือนก่อน

    Mbona hatujaona ilivovunjwa

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 8 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni jembe uzidi kubalikiwa