Hii mada mumeileta kwa kuchelewa. Hali ya dola katika wiki hii iliyomaliza imeanza kuwa tofauti. Ahsanteni sana. Ameelezea vizuri sana na tumepata elimu ya kutosha.
Kuna vita ya Sarafu inayoendelea duniani kote. Tutambue usdr Dollar imekuwa inatumika kote duniani kama Sarafu ya Biashara. Sasa wamepata upinzani na Ujumuisho wa nchi zilizo anzisha ushirikiano ki biashara nchi hizo ni Brazil, Russia,India,China na South Africa kwa kifupi wanajiita(BRICS) Dunia ipo ktk mapinduzi nchi zina challenge kujitawala ki masoko!!
We mama mwongo dora haishuki kwasababu ya wingi wa watalii mfano mdogo malawi dora bei ndogo kuliko tanzania je unasema malawi watalii wanaingia wengi kuliko tanzania?
Hii mada mumeileta kwa kuchelewa. Hali ya dola katika wiki hii iliyomaliza imeanza kuwa tofauti.
Ahsanteni sana. Ameelezea vizuri sana na tumepata elimu ya kutosha.
Nadhani Hapo Mnajidanganya. Dollar Huwa Haishuki wala Kupanda. Inayoshuka Ni Shilingi
Safisana, uchumi ni production, consumer na transfer of wealth
Well explained 👏 👌 👍 🙌
Hivi ndio vipindi vya kuzungumzia sio umbea2
Kuna vita ya Sarafu inayoendelea duniani kote. Tutambue usdr Dollar imekuwa inatumika kote duniani kama Sarafu ya Biashara. Sasa wamepata upinzani na Ujumuisho wa nchi zilizo anzisha ushirikiano ki biashara nchi hizo ni Brazil, Russia,India,China na South Africa kwa kifupi wanajiita(BRICS)
Dunia ipo ktk mapinduzi nchi zina challenge kujitawala ki masoko!!
We mama mwongo dora haishuki kwasababu ya wingi wa watalii mfano mdogo malawi dora bei ndogo kuliko tanzania je unasema malawi watalii wanaingia wengi kuliko tanzania?
Dola haijashuka bali shilingi ya Tanzania ndio imepanda
well said bro
@Yana-o2u Dollar iko palepale ni shilingi ya Tanzania ndio imeongezeka thamani
Dola haijashuka, isipokua Pesa ya Tanzania inapanda thaman
Who told you ndugu??