Ule msemo wa "Useful Idiot" aliopewa Carlson Tucker na Hilary Clinton baada ya interview na Putin nahisi unamfaa huyu jamaa😂😂 Najuta kwa nini miaka 10 iliyopita nilikuwa Shabiki wa Chama hiki. Huyu Jamaa anatumika na Sysytem since day 1. Chadema akirudi huyu inakuwa CUF chap tu. KWA staili hii CCM miaka 100 tena. Naumia japo hayanihusu😪😪
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Mwacheni Magu apumzike kwa amani!
Hawezi kujitetea hivi mnavyomuongelea!
Hata nyie ni marehemu watarajiwa!!😢😢😢
Usikose hekima kuzungumzia Marehemu jinsi hiyo kwa kuwa hayupo na Hakuna MTU wa kujibu kama ni kweli au si kweli ili kuthibitisha.
Wanazungumziwa manabii itakuwa yeye!
Wew mzembe achana na malihemu wachie wenzio nao wagombee
Ule msemo wa "Useful Idiot" aliopewa Carlson Tucker na Hilary Clinton baada ya interview na Putin nahisi unamfaa huyu jamaa😂😂
Najuta kwa nini miaka 10 iliyopita nilikuwa Shabiki wa Chama hiki. Huyu Jamaa anatumika na Sysytem since day 1. Chadema akirudi huyu inakuwa CUF chap tu.
KWA staili hii CCM miaka 100 tena. Naumia japo hayanihusu😪😪
Umepoteza mvuto achia ngazi
Hamna hoja sa hv,nyie ungeni mkono tu juhudi zinazofanyika na serikali.
Mbowe nyakati huwa zinasema,,siri zinatoka kwa kuwa wanahoja za mda mrefu,,pumzika
Nakushangaa saana mbowe k wa ubabe wako.
Kiongozi mkuu wa Iran anajuwa kudanganya komeneyi
Si upokee hyo simu inaitaaa tu
Mzee umetawala muda mrefu sana, waachie na wenzako
Kwani huwa anajichagua au anachaguliwa na kamati kuu cha chama?
@@ramadhanwilbard8196tunampenda mbowe mitano tena
Mama aliwalambisha asali mkamumunya sasa utamu umeisha, sasa ufahamu umewarudia, matokeo yake mnatafutana ubaya wenyewe kwa wenyewe 😂