Nusu ya Wanaijeria wanataka kuihama nchi yao, Tanzania yatajwa; URUSI kugawa bure chanjo ya saratani

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 135

  • @MartinCharles-p2h
    @MartinCharles-p2h วันที่ผ่านมา +59

    Alhamdulilah najivunia kuzaliwa Tanzania . kama wewe pia unanipenda nchi yako weka like ❤❤

    • @samirahemedy3526
      @samirahemedy3526 วันที่ผ่านมา +2

      Ni weke like kwa kipi eee kwa ajira ipi eeeeeeeeeeee ww mm nipo dubai kwa 10 sasa alhamdulillah

    • @abdulyabdunuru1476
      @abdulyabdunuru1476 วันที่ผ่านมา +2

      Sema tupo mbali na ulaya ila ningeisha sepa kitambo

    • @hamisimwinzagu6624
      @hamisimwinzagu6624 วันที่ผ่านมา +1

      Uchawa adi kwenye combo cha habari

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kila mtu anapenda nchi yake ila hawapendi uongozi wake. Kinachofanya watz iwe ni ngumu kuhama ni kutokujua Kiingereza

  • @shelinswai3926
    @shelinswai3926 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    I love my country always Tanzania yetu peace and love

  • @rosemahenge9071
    @rosemahenge9071 วันที่ผ่านมา +28

    Ndiyo mana mimi nasemaga Tanzania pamoja na changamoto zetu ndogo ndogo sisi watanzania tunaishi maisha ya furaha

    • @happynesbaemuhappynes8813
      @happynesbaemuhappynes8813 วันที่ผ่านมา

      @@rosemahenge9071 Yaani tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa neema ya Amani na upendo

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Kutokujua Kiingereza pia inasababisha iwe ni ngumu kuhama. Ikitokea fursa Marekani inahitaji wafanyakazi wanaojua Kiingereza wakenya na waganda watachangamkia kwa sababu wanajua Kiingereza

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ww umeambiwa kuwa wananchi wengi wa afrika wasomi wanataka kuzihama nchi zao kutokana na ukosefu wa ajira na maisha magumu ikiwemo Tanzania,ww unashangilia.machawa bwana.

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@rumdeesonsoa1811hapo umeongea vema.sisi kinachotugarimu ni uwepo wa wasomi wajinga na wasiojua kiingereza.

  • @sayeedmsct4255
    @sayeedmsct4255 วันที่ผ่านมา +9

    I love you Tanzania 🇹🇿 ❤😢yangu

  • @abelsteven3189
    @abelsteven3189 วันที่ผ่านมา +24

    Watanzania wengi wanataka kuhamia Darsalama

    • @neemanyove9130
      @neemanyove9130 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂

    • @fatumaomary9635
      @fatumaomary9635 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂tunawakalibisha dar ya joto kali

    • @Niika870
      @Niika870 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Dar kubaya sana sana weee

    • @mpjozzegalvanize4926
      @mpjozzegalvanize4926 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Wee ndio unatafiti ya kweli😂, nakumbuka kipindi hicho ukisikia familia fulani ina ndugu dsm, basi mnaona hiyo familia imepiga hatua sana, dah! Dar es salaam.... 😅

    • @OmanOman-y1r
      @OmanOman-y1r 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Nakuunga mkono😂

  • @personalitiesan9806
    @personalitiesan9806 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Mm ntabaki bongo tuuu.....kuna pesa mnoooo

  • @zahararamadhanisalmu395
    @zahararamadhanisalmu395 วันที่ผ่านมา +1

    Ma Sha Allah uyo Dada sauti yake ❤❤

  • @donaldmgunda4970
    @donaldmgunda4970 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Uwongoo huoo mkubwa watanzaniaaa tunaipendaa nchii yetu nzuri Tanzania 🇹🇿😅😅😅 sema tumechoshwaaa na hiki chama kikongweee 😮

    • @ikulunimahalipatakatifu7642
      @ikulunimahalipatakatifu7642 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      UNATAKA VYAMA VYA WAZUNGU NDIYO VITAWALE, SHUKURU MUNGU UNA CHAMA KIKONGWE SIYO HIVO VYA MABEBERU

    • @SundayMbatia-hr8qp
      @SundayMbatia-hr8qp 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Sasa chama kisichokua cha mabeberu ni kipi hii hii ccm au😂😂😂😂. Elimu elimu elimu elimu (voice of lowasa)
      ​@@ikulunimahalipatakatifu7642

    • @jamalikatikiro6145
      @jamalikatikiro6145 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Akili mingi sanawewe​@@ikulunimahalipatakatifu7642

    • @agapemunyi2095
      @agapemunyi2095 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Tanzania imekuwa Bora kupitia hichohicho chama kikongwe ,huko kwenye democrasia ya malumbano na Uhuru mwiingi ndo huko hakuna kinachofanyika, Kenya ambayo vyama pinzan baadhi vilikuwa vikiitumia kama mfano kwenye sera zao ,chama hicho unachokiona Cha ovyo kulitumia kama Fursa ya kuonesha ukomavu wao na Sasa Hao wakenya wanalia wao kuwa tumewaacha na wapinzan sera ya kusema mbona akina fulani imefutika coz hakuna Tena aliekaribu yetu anatuambia .changamoto zilizopo ni changamoto amabazo hukosi Africa nzima hta wapinzan nao wakichukua nchi Leo haziepukiki

  • @othumanali5662
    @othumanali5662 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    nchi yangu Tanzania❤

  • @hamzafishten9560
    @hamzafishten9560 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Kwakweli jiranani zangu Tanzania mko vizuri sna kabisa

  • @pikanaauntzuu1466
    @pikanaauntzuu1466 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Watanzania tunaipenda sana nchi yetu yani nje watu wanaenda kutafuta lkn akili zao zote zipo nyumbani mtu akifanimiwa anataka arudi zake ntumba TANZANIA ni kisiwa cha aman african ♥

  • @samwelmwangi9185
    @samwelmwangi9185 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Tanzania tusijaribu kuharibu sera ya ardhi katika nchi yetu. Tupige vita,ukanda, ukabila,udini na mgawanyo wowote unaotaka kutugawa. Tutaendelea kuwa salama na mipango yote ya maendeleo itafanikiwa.
    Mungu ibariki Tanzania.
    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @Rawdha-y8t
    @Rawdha-y8t 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    mimi nipo simiyu nataka kuhamia kilimanjaro .

  • @HajiHaji-r6n
    @HajiHaji-r6n 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wasitugombanishe Tanzania yetu wkawaambia watu Kuna maisha mgumu kumbe wa nataka kutupiganisha na kutvunjia Amani ytu. Hakuna nchi Ata moja isomaisha mgumu.

  • @paschalfausitine7108
    @paschalfausitine7108 วันที่ผ่านมา +4

    Mimi natamani. Kuhamia iringa. Kutoka Dodoma lakin sitaki kwenda. Nje ya nchi yangu. Najivunia kuwa. Mkurya. Wa. Tarime

    • @gathjanedominic2662
      @gathjanedominic2662 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂 ndugu umenifurahisha mi pia mkurya wa tarime gamasara

  • @davidwalalason7630
    @davidwalalason7630 วันที่ผ่านมา +5

    Wa-nigeria ni sawa na kizazi Cha majini wapo Kila sehemu

    • @GubraCity-dm5sx
      @GubraCity-dm5sx 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Yaan km vile waind😂

    • @gladnessfinda7534
      @gladnessfinda7534 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      🤣🤣🤣🤣🤣daaahh jamani.

  • @BenjaminNickson
    @BenjaminNickson 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    hakika mzungu amefanikiwa kutuchanganya sisi waafrika ona mpaka leo tunalichukia bara letu 😭😭😭😭

  • @iddikibwana9185
    @iddikibwana9185 35 นาทีที่ผ่านมา

    Najivunia kuwa mtanzania. Ukitaka kutambua thamani ya Tanzania tembelea nchi nyingine za Africa.

  • @patrickndizeye2190
    @patrickndizeye2190 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tanzania n inci❤ kubua

  • @amaniamosi2603
    @amaniamosi2603 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ngoja na mm nihame uku Mipango niende zangu Msalato nikale nyama

  • @siphifahashimu9723
    @siphifahashimu9723 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤❤ kwa TIBA Alhamdulillah

  • @bajagihaji8923
    @bajagihaji8923 วันที่ผ่านมา +1

    Tanzania tupo vizuri pamja changamoto zilizopo

  • @mdl6463
    @mdl6463 26 นาทีที่ผ่านมา

    Kwa hiyo 😂😂😂

  • @magretangel5242
    @magretangel5242 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tunaoinjoy kuishi Tanzania tujuane.....ukiweza kula keki ya taifa unahamaje bwana😊😊

  • @kalengashoppingcenter1108
    @kalengashoppingcenter1108 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Acha wahame maana viongozi wameshindwa kuiongoza Africa so hii sasa ndo shida yake, co kweli kama hatutaki hapana bali vikwqzo vya cc kuondoka ni vingi, pia wapo kwenye nyadhifa wakijinufaisha wao tu na kutuwekea cc vkwazo tusihame nchi😢😢

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    TANZANIA TANZANIA NAKUPENDA KWA MOYO WOTEEE!!!

  • @eddechriss2664
    @eddechriss2664 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    😂😂😂 Tanzania tuna msoto sana😂tu sema tu Nyerere alitupiga pini na kiswahili chetu

    • @nellymans-f1v
      @nellymans-f1v 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Au sio akaweka lugha moja na akafny tuonane wot tup saw

  • @edsonnelson4464
    @edsonnelson4464 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Niseme ukweli Tanzania yetu ni pazuri

  • @mckobatz5861
    @mckobatz5861 วันที่ผ่านมา +1

    Bora ugali kwa chumvi kwenye amani kuliko pombe na nyama choma vitani, huu ni msemo wa zamani nnaposema zamani nna maana zamani sana enzi Dar es salaam haijabadilishwa jina kutoka kwenye mzizima

  • @officialcandleboy6923
    @officialcandleboy6923 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Brother sky hapa sasa mme zidi kutupa raha

  • @Brunoh90Tv
    @Brunoh90Tv วันที่ผ่านมา

    Superb👏👏👏

  • @bwiremgonya07
    @bwiremgonya07 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Niende wapi?mie

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Una elimu gani ww mpaka utake huko unakotaka kwenda.

    • @bwiremgonya07
      @bwiremgonya07 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @MathewNathan-yb2bz elimu sio maji kijana.

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@bwiremgonya07 kiingereza chenyewe hujui hata ukienda huko marekani utaongea nini.kwanza nauli ya kwendea huko unayo?ww kula ugali maharage siku ziende.Tutoke tuende wapi?

  • @mtulivu-ir1nq
    @mtulivu-ir1nq วันที่ผ่านมา

    My country 🔥🔥🔥

  • @YumnaBurhan-q6h
    @YumnaBurhan-q6h 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mwenzao kashahamia huku zaman yupo na j ????

  • @afrodailytv4335
    @afrodailytv4335 วันที่ผ่านมา +2

    Mmmmmmh tumepigwa

  • @ibnujumanne4054
    @ibnujumanne4054 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tanzania tulio wengi hatuna Hati za kusafiria ndio maana hatufikirii safari

  • @williamkirema6254
    @williamkirema6254 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Shida ni luga utaenda wapi na kiswahili,

  • @nellymans-f1v
    @nellymans-f1v 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hawa si ndio wanaiteta wenzao walio jitoa kwenye ukanda wa ecowas

  • @evodiusantony2115
    @evodiusantony2115 วันที่ผ่านมา

    Safi

  • @EmmanuelNyinyigwa-m1o
    @EmmanuelNyinyigwa-m1o 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tanzania tunatamani kuhama shida nielim. Usitudanganye we mwandishi tz uwoga WA kutokuwa na shule ndo chanzo cha Sisi kutotoka tz

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw วันที่ผ่านมา

    Na ndio maana taifa la urusi hakitumii kwenye ardhi yake mbegu za GMO kwani zina madhara kwa mwanadamu lakin nchi nyingine kubwa zinalazimisha nchi ndogo na maskini kuzitumia ili kuharibu vizazi

  • @HaniaAbdoul
    @HaniaAbdoul 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mi nimejaaliwa kutembea na kuishi nchi nyingi za africa ila Tanzania itabaki kuwa nchi bora kwangu

  • @FredrickMatiku-xf2uk
    @FredrickMatiku-xf2uk 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbona wakina burnaboy na davido wananunua magari ya kifahari kila siku basi wafungue viwanda wawaajiri wenzao maisha magumu ajira hakuna nigeria

  • @BlackKing89-l1u
    @BlackKing89-l1u วันที่ผ่านมา

    Kwahiyo..wameharibu nchi huko..wanataka kwenda nchi za watu kuwaharibia

  • @israelmwasota
    @israelmwasota 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Inamaanisha watanzania hawana exposure ya maisha kwenye mataifa mengine na sio kwamba wameridhika na maisha yao.

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ndio sio wajanja na skili zao zimelala

    • @shyfettymtunda4619
      @shyfettymtunda4619 7 นาทีที่ผ่านมา

      Umewaza kama nilivyosema mimi.

  • @abdulyabdunuru1476
    @abdulyabdunuru1476 วันที่ผ่านมา +2

    Kwenye hio asilimia 9% na mimi nimo😅

  • @michaelsamson9663
    @michaelsamson9663 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Msisunutu kuamia Dar mtakuja kunishukulu

  • @georgeurembo4553
    @georgeurembo4553 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wasije Tanzania hao

  • @emmanuelShayo-dk6vf
    @emmanuelShayo-dk6vf วันที่ผ่านมา

    Mm pia nataka nisepe

  • @geraldadolf4928
    @geraldadolf4928 วันที่ผ่านมา

    Jamani izo chanjo za saratani wizara ya Afya ichangamke ilete izo chanjo

  • @ericksonodhiambo9964
    @ericksonodhiambo9964 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Watz mhame nchi mtaongea lugha gani kule ughaibuni ?

  • @soundmale
    @soundmale 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sikatai kuwa tanzania yetu ni nzuri lkn wasije wakatuletea fujo kama majirani zetu kenya😁🇹🇿

  • @NuruBomba
    @NuruBomba วันที่ผ่านมา

    Yes, no, tulieni mjenge taifa

  • @SaidiMwero
    @SaidiMwero 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Watanzania wengi wako kenya na wengi walitoroka tanzania tokea miaka 1980s yaani mastoraway

  • @JENNIFER-q4k4r
    @JENNIFER-q4k4r วันที่ผ่านมา

    Wakae uko uko kwao washenzi hawa awana utu na wanaroho mbaya sana ..mimi nimeishi nao awana utu ata kidogo

  • @mamafaiza1720
    @mamafaiza1720 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mtangazaji muongo sana tanzani wengi wetu tunatakaga kuhama

    • @GreezyMaker
      @GreezyMaker 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂📌

    • @JENNIFER-q4k4r
      @JENNIFER-q4k4r 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mtangazi ni Kijakazi anaetumika..kwa kifupu ni papet wao..

  • @aloycekomba1
    @aloycekomba1 วันที่ผ่านมา

    Mbona mm hawajaja kuniuliza ? Utafiti wa uongo huo bhann😂😂

  • @abdulally6410
    @abdulally6410 วันที่ผ่านมา

    Watanzania hawana huo mpango wa kuhama kwa sbb hawana hata uelewa wowte na dunia inalienable wapo wapo tuu wanapenda vya ofa an bure bure ni wazembe,nchi za nje ni mwendo wa chapa kazi kwa hyo hawavutiwi na kazi

    • @Nice-Conrad1
      @Nice-Conrad1 วันที่ผ่านมา

      Wamejaa uchawa tu..ujingaujinga mwingi mpk wanaboa

  • @FranckDaniel-cc5rg
    @FranckDaniel-cc5rg วันที่ผ่านมา

    Wanataka tukimbie waje kutuibia vzur,watafti ya nyoko😅😅😅hatuondoki mtatuulia hapa hapa

    • @kelvinjohn6019
      @kelvinjohn6019 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      da wela😂😂😂

  • @priscao3818
    @priscao3818 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tuhame Tanzania twende wapi sisi vituko kila baada ya dk 2 stress usitake wewe au upewe na mwenye nyumba 😂

  • @paschalfausitine7108
    @paschalfausitine7108 วันที่ผ่านมา

    Bora tule mlenda na daga. Lakini amani iwepo. ,rais. Samia mungu. Akutunze. Mama, uongoze. Kipindi kijacho

  • @AgreyAckim-pt3wv
    @AgreyAckim-pt3wv วันที่ผ่านมา

    Mbona watu wambeya hawakujaa tuulizaa kama tunataka kuamaa

  • @HansChuma
    @HansChuma วันที่ผ่านมา

    Watanzania wengi tuliokua nje hua tunawaza sana nyumbani

  • @muhammadmrmj6228
    @muhammadmrmj6228 วันที่ผ่านมา

    Uongo Tanzania wengi tnataka kukimbia

    • @mustafakimalio9129
      @mustafakimalio9129 วันที่ผ่านมา

      Mbona bado upo ,,,ukitoka usinisahau kutuandalia makao

  • @mhogomchungu7882
    @mhogomchungu7882 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mm nipo kwny hhiyo %9

  • @lameckraphael3743
    @lameckraphael3743 วันที่ผ่านมา +1

    asilimia 9?uongo mbona hawajaja niuliza mimi wajue malengo yangu?

    • @happynesbaemuhappynes8813
      @happynesbaemuhappynes8813 วันที่ผ่านมา

      @@lameckraphael3743 pengine ni kweli kumbuka kuna baadhi ya watanzania wanaenda kutafuta mitaji tu wakishafanikisha wanarudi nyumbani. Ndivyo ilivyo mimi pia natamani kurudi nyumbani nifanye Shughuli zangu nyumbani

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 วันที่ผ่านมา +1

    Bohar tinubu yule mzee anaongoza nchi yake kiukandamizaji...ndio maana vijana wa gen Z wanaona bora waswanzukie zao mambele

  • @sgfbase
    @sgfbase วันที่ผ่านมา +1

    Hao Watu wa West Africa kama Nigeria wameoshwa akili, wanataka tu kuishi kwa mkoloni wao, Tz hawaezi hama ju utaenda aje new country na unajua Kiswahili pekee na huko hawajui Kiswahili

    • @malkiarosemuhando3310
      @malkiarosemuhando3310 วันที่ผ่านมา +3

      Hatuna huo muda mchafu kwetu ni kuzuri mno na maisha ni cheeper, tunapendana ,ardhi kubwa ukiskoaa ajira unajimwaga shambani hatuna shobo Wala tamaa za kijinga wenye kujua kizungu mbona mnahaha mlidhani kizungu ni unafiu wa maisha

    • @happynesbaemuhappynes8813
      @happynesbaemuhappynes8813 วันที่ผ่านมา +2

      Nyie huko mna njaa ndo maana kitu kidogo kiingereza ndo nini?sisi watanzania hata tukitoka kwenda Ughaibuni uwa tunatengeneza Mazingira ya nyumbani kwetu vizuri ikiisha tunarudi kujiendeleza kwenye nchi yetu. Haya we mtumwa wa ukoloni kazi kutembea na unga Barabarani pia usisahau wenzenu wakenya wako Saudia wanauwana sasa hicho kiingereza chenu kinawasaidia nini?na kwa nini wasingekwenda ulaya wakazungumze vzr kiingereza??nyoko wewe?

    • @happynesbaemuhappynes8813
      @happynesbaemuhappynes8813 วันที่ผ่านมา +2

      Pia ukumbuke sisi tuna ardhi kubwa ukikosa ajira tz unalima. Ss nyie uvivu na chuki kwa watanzania uzeni kizungu chenu mnunue unga

    • @sgfbase
      @sgfbase วันที่ผ่านมา

      @@malkiarosemuhando3310 Harmonize pekee ndiye mtz anajua kizungu Sana, huwa unaona nowadays vile kwa IG yake anatumia kizungu pekee ata kama ana boronga sarufi ya kizungu hajali vile 😁

    • @sgfbase
      @sgfbase วันที่ผ่านมา

      @@happynesbaemuhappynes8813 Sisi hadi hatuchukii Watz, Wa Tz ni Kaka zetu, labda Tu si Willy Paul anawachukia, si tunawapenda Sana, kwanza madem wa Tz huwa wapoa Sana,,alafu huku hakuna uvivu vile unasema, huku hakuna ardhi kubwa na kaskazini MWA Kenya ni Jangwa(desert), huku hakuna hakuna madini kama Tz, but bado uchumi wetu uko Sawa na si hafifu kama wa Somalia ama Uganda meaning Sisi si wavivu

  • @BarryPaulo-w8n
    @BarryPaulo-w8n 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sns wekeni hh chanuli kwenye ving'amuzi azamtv ....sns ...noma . Sema nime mmis bungala

  • @IsaacParuz
    @IsaacParuz 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    This is SNS all the best SNS.
    Mathew 19:26
    But Jesus beheld them, and said unto them, With men this is impossible; but with God all things are possible.
    Nazidi kuwaona mbali Mungu azidi kukuza media yenu.
    Nimependa mnavyozidi kuwa wabunifu kwenye kuwasilisha habari, nilizani ni BBC /CNN 😂

  • @DjMswati
    @DjMswati วันที่ผ่านมา

    kwanini wasiende kenya sisi kam wa Tanzania atuwataki

    • @JENNIFER-q4k4r
      @JENNIFER-q4k4r 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Jamani nimrishi nao nimateso.yani siwezi simulia

  • @sultanmswahilitv4864
    @sultanmswahilitv4864 วันที่ผ่านมา

    Watz wahamie wapi wakati kiingereza tatizo kwao!!😅😅😅😅tena elimu yao ovyo.ndio maana wanafaa kutotoka Tz wakikaliwa na huyo samia😅

    • @DeusRobart
      @DeusRobart วันที่ผ่านมา +1

      Unateseka ukiwa wap😂😂😂

  • @Gmoney944
    @Gmoney944 วันที่ผ่านมา +1

    Kama ni wazungu ndo walichapisha hii habari ni uongo

    • @Maya-bm9bu
      @Maya-bm9bu วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂

    • @Gmoney944
      @Gmoney944 วันที่ผ่านมา

      @@Maya-bm9bu bro awa SNS habari zao nyingi huwa wanatowa western media wanazileta huku ,Yaani wanafanya Kama translation

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw วันที่ผ่านมา +1

    Urusi ndio taifa kubwa pekee duniani linalo chunga na kujali utu na kutotengeneza sumu za kuuwa wanadamu

    • @atutweve4160
      @atutweve4160 วันที่ผ่านมา

      😳amka usingizini

    • @YohanaMasebo
      @YohanaMasebo 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      wewe pepo toka kwa jina la yesu Urusi taifa teule wewe ndo amka ukojoe​@@atutweve4160

  • @nusalim3389
    @nusalim3389 วันที่ผ่านมา

    Nimeenda Nigeria sijaona nchi mbaya yenye watu wabaya kama ile,nilikaa kwny Giza sijawahi liona,hawana utu,washari kazi kugombana kupigiana makelele,wako rough sana,wanagombana mbele ya mgeni,hawana ukarimu,Kila hatua na pumzi wanakuhesabia pesa hamna cha Bure,mgeni kule ni wa kuchunwa TU,ustaarabu sufuri,miundo mbinu ndio mibovu kama mwaka sabini,na umeme kukatika TU,huwez tembea bila mwenyeji kuogopa kukabwa au kuibiwa au kusumbuliwa,rushwa hadharani wanaogonga paspot anakwambia weka pesa

    • @stellanyamuhogota1832
      @stellanyamuhogota1832 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hee kumbe😮😮

    • @JENNIFER-q4k4r
      @JENNIFER-q4k4r 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wewe umeongea ukweli kabisa Mimi Nimeishi nao hawana ukarimu..kwakifupi sio watu wazuri

    • @anny19988
      @anny19988 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ila Nigeria kwa Rushwa imekubuhu😢😢😢

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw วันที่ผ่านมา

    Kama hiyo taasisi ni ya wazungu ujue ni waongo