WENJE, LISSU, NA "PESA ZA ABDUL." SAKATA LILIANZAJE?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 265

  • @octarjavety883
    @octarjavety883 8 วันที่ผ่านมา +3

    Wanasiasa bana, kila anaeongea anaeleweka 😂😂😂😂

  • @Jumamaduka240
    @Jumamaduka240 9 วันที่ผ่านมา +13

    MIMI NAFIKIRI.
    1. Wenje aliwaza zaidi pesa zake alizokuwa anamdai Lisu, hivyo katika kuhangaikia kuzipata akajikuta anatafuta namna yoyote ili pesa yake aipate. Maadamu kauli ya Lisu ilikuwa mpaka alipwe na Mama, alipoona fursa ya kukutana na Mtoto wa Mama akatumia fursa hiyo lengo ni kupata pesa yake.
    2. Lisu hakuugua siku walipopanga kukutana Masaki bali alidanganya kwani aliona ikitokea ameonekana Hotelini na Mtoto wa Rais ni kashifa kwake hivyo akatumia mbinu za ugonjwa ili kulinda image yake kisiasa.
    3. Nafikiri Abdul alijaribu kumshawishi Lisu kuhusu Hongo hata kama mpango wake wa awali uliosababisha kukutana nao ulikuwa mwingine.
    4. Kosa la Lisu anakosea kuweka hadharami madhaifu ya chama ambayo uwezekano wa kuyatatua ndani ya chama yanawezekana. Kusemana hadharani kiasi hiki hakujengi kunabomoa
    BADO KUNA LA KUREKEBISHA KATIKA CHAMA CHAO KWANI KWA SASA KINANUKA MIGOGORO

    • @DavidJohn-i2d
      @DavidJohn-i2d 9 วันที่ผ่านมา

      Uko sahihi sana ndugu hata mimi niliwaza sana hivyo

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 8 วันที่ผ่านมา

      Imagine hawa WAHUNI wapewe nchi😢😢😢😢😢😢

    • @jovinusmutabuzi4647
      @jovinusmutabuzi4647 8 วันที่ผ่านมา +1

      Lissu hekima nindogo.anaropoka sana kwakudhani yeye ni mkweli sana.

    • @hafidhnzota2142
      @hafidhnzota2142 8 วันที่ผ่านมา +1

      Huyo mbona hajibu hoja za mwandishi?je Wenje umetajwa je ni kweli wewe DALALI?

    • @hafidhnzota2142
      @hafidhnzota2142 8 วันที่ผ่านมา +2

      Sasa mtoto wa Rais ndiye mwenye FEDHA za SERIKALI? Kwa Nini CHADEMA msiende Ikulu AU Bunge kumdaia Lissu pesa yake?

  • @greydonalds4286
    @greydonalds4286 8 วันที่ผ่านมา +7

    huyu jamaa (Wenje) huwa ni mtu mkweli na muwazi sana. Alikuwa mwalimu wangu wa History pale Thaqaafa Secondary School mwaka 2004.

    • @othumanlorenzo260
      @othumanlorenzo260 8 วันที่ผ่านมา +1

      kipindi hicho hakuwa na fedha na madaraka hivyo ndio vipimo vya mwanadamu😊😊😊

  • @songombingo108
    @songombingo108 9 วันที่ผ่านมา +13

    Wenje asikilizwe. Ana hoja. Msimhukumu moja kwa moja😂😂

    • @rogersiddy
      @rogersiddy 9 วันที่ผ่านมา +5

      Hoja gan alio nayo sasa hapo wewe ukiwa mwenye akili timamu huoni kuwa anakwepesha ukweli anaongea uongo?jibu rahisi sana Abdul mtoto wa Mama Samia sio mtumishi wa Serikali pili malipo ya Lisu yapo kisheria hajamkopesha Abduli kwaiyo hapo Wenje anakwepa tuhuma mcheck vzr amepanic anahema tu😂😂

    • @eng.geophreyt.mushenyera6445
      @eng.geophreyt.mushenyera6445 9 วันที่ผ่านมา

      ni kweli kabisa,ukimsikiza kwa makini anakwepesha ukweli​@@rogersiddy

    • @ibrahimkibira9943
      @ibrahimkibira9943 9 วันที่ผ่านมา +5

      Hoja yak haina mashiko😂 tutaona mengi Ila tutasimama na LISU

    • @rogersiddy
      @rogersiddy 8 วันที่ผ่านมา +2

      @ibrahimkibira9943 kbsaa hana hoja kbs

    • @adeltuszakumuha9618
      @adeltuszakumuha9618 8 วันที่ผ่านมา

      Hana kitu huyu mhuni tu.

  • @AnaniaIsaya-z9g
    @AnaniaIsaya-z9g 7 วันที่ผ่านมา +3

    Kwani ulikuwa unaongea na Abudul madao ya Lissu, Abdul ni serikali????

  • @gerionkweka4182
    @gerionkweka4182 8 วันที่ผ่านมา +4

    TAL sii mtu mzuri hata kidogo ataingiza nchi kwenye matatizo

  • @melch3097
    @melch3097 9 วันที่ผ่านมา +7

    Mbona juzi lisu kapigiwa na mtu wa ccm, kumpa siri Kuna watu wanataka kumuua, hio imekaaje. Acheni unafiki, wenje hana kosa

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk 8 วันที่ผ่านมา +1

      Bado wapo wapenda haki wachache ndani ya CCM,huyo aliyempigia Lissu ni mmojawapo. Wenje anaonekana ni mwanasiasa maslahi

  • @hassankidilikia5566
    @hassankidilikia5566 8 วันที่ผ่านมา +3

    Wenje amekula pesa MUNGU pekkee wajabu kumuacha lisu mzima mpaka Leo MUNGU sio mnafiki ❤apewe lissu mauwayake🎉

  • @feisalomarakayesu
    @feisalomarakayesu 8 วันที่ผ่านมา +3

    Lisu bado sana,kwenye uongozi kuwa mwenyekiti unayetakiwa na busara

  • @ShabaniSepetu
    @ShabaniSepetu 9 วันที่ผ่านมา +5

    Lisu ana taluma ya siasa uwezi kutoa nje mambo ya chama akiwa yeye ndio kamati ya maadili afai kabisa yeye abaki kuwa mwanasheria tu ndio fani yake

  • @ebitariho9720
    @ebitariho9720 7 วันที่ผ่านมา +3

    Wenje kina kitu hasemi ukweli. Huwezi kudai pesa za matibau ya mtu mwingine kwa mtoto wa raisi. Whatever wanje is saying makes no sense at all.

  • @deniseliuter3002
    @deniseliuter3002 9 วันที่ผ่านมา +20

    Mpinzani wa chadema urafiki na mtoto wa rais wapi na wapi mnatumia siasa kujenga network za uchumi wenu kwa kujivisha ngozi za wapigania haki kulaghai wapenda haki wa kweli lissu mnampiga vita ili kutetea nafasi ya mbowe anaefanya neutral politics kuendelea kunufaika na networks za uchumi kuna kitu nimejifunza hapa

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk 8 วันที่ผ่านมา +1

      You are so on point. Great observation

    • @jovinusmutabuzi4647
      @jovinusmutabuzi4647 8 วันที่ผ่านมา

      Fedha za matibabu ya lisu zilipwe na mama Abdul ili wenje alipwe hela yake .

    • @salehthesword
      @salehthesword วันที่ผ่านมา

      Wewe fala kweli sasa ulitaka wajenge uadui?

  • @nicodemusdanieli
    @nicodemusdanieli 9 วันที่ผ่านมา +4

    Asanteni waandishi kwa kumchimba huyo jamaa kikamilifu

  • @ebitariho9720
    @ebitariho9720 7 วันที่ผ่านมา +1

    Aise wandishi nimewapenda mumeuliza maswali mazuri . Wenje kaisha potea mpaka kaanza personal attack badala ya kujibu maswali

  • @HuseniMsumba
    @HuseniMsumba 9 วันที่ผ่านมา +8

    HUYO NI MMOJA WA MAJITU AMBAYO YAPO KWA MASLAHI YA MATUMBO YAO HAYO NDIO MAPANYA KABISA HUYU JAMAA NILIKUA NAMUHESHIMU LAKINI KUMBE PANYA LOOO!😢

    • @davidpallangyo114
      @davidpallangyo114 7 วันที่ผ่านมา

      Kosa lake nini.Liseme hapa.Wenje kaongea vizuri kabisa.
      Matatizo yanaonekana kwa Lisu.Kama haya aliyo sema Wenje ni ya Kweli,basi Lisu kama kiongozi Mwandamizi wa Chama alikosea sana.

  • @assengamn
    @assengamn 9 วันที่ผ่านมา +9

    There's no question Wenje amelamba ubuyu,

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk 8 วันที่ผ่านมา +2

      Ukiona mtu anasisitiza sana kuhusu taarifa za maandishi,ushahidi n.k kuna walakin,huyu amelamba mpunga sasa anateseka baada ya kuwekwa hadharani.

  • @nitumesokoni3164
    @nitumesokoni3164 9 วันที่ผ่านมา +10

    Binafsi nimemuelewa Wenje

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 8 วันที่ผ่านมา

      Wenje na Lissu kama kweli walimpa hadi docoments za matibabu mtoto wa rais ili akamwambie mama yake ili walipwe walikosea sana tena sana.Wenje na Lissu walitumia njia haramu.

    • @samwelmatemu8873
      @samwelmatemu8873 7 วันที่ผ่านมา +1

      @@MathewNathan-yb2bz wenje hakuwa na Nia mbaya ila huyo mjinga na mbabaishaji akageuza kuwa deal lake la kisiasa

    • @UrassaGodliving-dm3lp
      @UrassaGodliving-dm3lp 6 วันที่ผ่านมา

      @@MathewNathan-yb2bz ni sawa ila wenje alipambana apate hela yake iliyotumika, nadhani lissu kuwavua nguo wenzake waliomsitiri katika hali ya kifo sio sawa!!! Lissu anatumia maneno makali sana

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 6 วันที่ผ่านมา

      @@UrassaGodliving-dm3lp Amini nakwambia wenje alikosea sana,alijidharaulisha sana.Na Lissu pia kama alitoa docoments zake na kumpa Abdul alikosea sana.Yaani wanasiasa wakubwa wa kuheshimika muende mkampigie magoti Abdul mtoto wa rais tena asiye na cheo chochote kile.Wangeendelea kuisihi serikali iwalipe na sio kimtumia mtoto wa rais.Haya sasa kumeibuka tuhuma za rushwa na je watajiteteaje?Unaona madhara yake?wanasiasa ni lazima wawe makini sana.

  • @jetymagereja4058
    @jetymagereja4058 7 วันที่ผ่านมา +2

    Du ishu za malipo yakiselekari yanashughulikiwa na Abdul hiki chama hiki

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 6 วันที่ผ่านมา

      Ajabu sana kwa kweli kama nchi ikiongozwa na ukoo itawezekana wapi ?

  • @melch3097
    @melch3097 9 วันที่ผ่านมา +4

    Wenje asikutishe lisu, hauna kosa lolote, lisu huwa hana busara, anakulupuka

  • @AntonyKawage
    @AntonyKawage 9 วันที่ผ่านมา +7

    Mr wenje,umeongea hovyo sana,na hii siku itakufanya ujute maisha yako yote.yaani umeharibu mnooo,na si kwako tu majibu na tuhuma zako zimeharibu kabisa hicho unachosema chama chenu.

    • @sittandaki2135
      @sittandaki2135 9 วันที่ผ่านมา +1

      Kwani anaongea uongo? Huyu wenje ukimsikiliza vizuri anasema kweli yote madudu yaliyopo CHADEMA yenu

  • @dennisungonella205
    @dennisungonella205 9 วันที่ผ่านมา +3

    Ukitumia akili ya kawaida utajua tu alikuwa agent kwa kujua au kwa kutojua

  • @gaagwasaugustino2584
    @gaagwasaugustino2584 9 วันที่ผ่านมา +3

    Kwanini baada ya wewe kukutana na Abdul, kitu cha kwanza uliwaza kuongelea pesa za Tundulissu na hukukumbuka kuongelea mambo mengine ya msingi kwa Taifa,kwa mfano Katiba mpya, Sheria Kandamizi za uchaguzi n.k.
    Pia Abdul ni nani katika Serikali ya Taifa hili,ukiacha Abdul kuitwa mtoto wa Rais?

  • @eastafricaqualitychickenfa9916
    @eastafricaqualitychickenfa9916 9 วันที่ผ่านมา +5

    Jamaa kaongea kwa hekma sana wenje

  • @Mwakamele
    @Mwakamele 9 วันที่ผ่านมา +5

    Wenje amenyoosha maelezo. Sasa Lissu aje na ushahidi.

    • @dennisungonella205
      @dennisungonella205 9 วันที่ผ่านมา +1

      Hakuna kilichonyooshwa hapo, wenje aliingia mtego wa Abdul.Amka broh

  • @patrickbatenga2645
    @patrickbatenga2645 7 วันที่ผ่านมา +1

    Waandishi hao hao hawawezi kudiriki kwenda kumhoji huyo Abdul kuhusu fedha alizotoa umbea tu!

  • @bakarikimea4711
    @bakarikimea4711 7 วันที่ผ่านมา +1

    LISU SIOMJINGA WW MPAKA ANAONGEA HIVYO USHAHID ANAO HAWEZ KUWEKA WAZ KWASABABU YA SIASAZETU ZILIVYO

  • @khassimmwarabu3215
    @khassimmwarabu3215 7 วันที่ผ่านมา +2

    Ashasema Kuna pesa zake anadai kwenye matibabu ya lisu alafu anatuuliza kama kuna faida atapata iwapo lisu akilipwa?

  • @JohnTemba-o8t
    @JohnTemba-o8t 9 วันที่ผ่านมา +5

    Aliyeko VEMA ni Lisu, Moja kama KWELI walienda kwake kwa ajili ya malipo ya Lisu ANZIA mwaka Jana HADI Leo huyo Abduli amemletea Lisu pesa yake?na kama Lisu amevumilia miezi 5 akaona hakuna kitu kwa nini asiseme walikwenda kumuhonga? Kama ni kweli kwa maelezo ya wenje HIYO pesa ingetakiwa Lisu ameshapewa pesa yake. LAKINI HAKUNA HADI LEO. Sisi tutasfirije? Mkweli Lisu.

    • @mengichuma7098
      @mengichuma7098 9 วันที่ผ่านมา

      Aliyewaita Wenje na Abdul kwake ni nani? Kama sio tumbo lake la kuendesha?

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk 8 วันที่ผ่านมา

      ​@@mengichuma7098Waliomba kuonana naye,kuna ubaya kuwaruhusu kumuona katika mazingira anayohisi ni salama kwake?

  • @ShabaniSepetu
    @ShabaniSepetu 9 วันที่ผ่านมา +2

    Lisu yeye kutuhum watu huwa azingatii itifaki afai kabisa ata apo atoke awe wakanda tu k

  • @janechacky3810
    @janechacky3810 7 วันที่ผ่านมา

    Huyo wenje hajui anachokisema. Yaani hajui bora angenyamaza 😂😂😂😂

  • @LesiJama
    @LesiJama 8 วันที่ผ่านมา +1

    Pengine ulikuwa unamtafutia kashafa asichanguliwe mwenyekiti wa chama cha chadema

  • @JosephMugala-yv5sb
    @JosephMugala-yv5sb 6 วันที่ผ่านมา

    Hapo Kuna dariri za kuhongwa
    Nikweri mmezungumzia hera zake lakini mkaingizia na mambo mengine ndo maana Aliwafukuza

  • @novatv5575
    @novatv5575 7 วันที่ผ่านมา

    Kuna ukweli , siasa na Mungu. Kwa maana hiyo siasa ni uongo?????😅😅😅

  • @salama1113
    @salama1113 9 วันที่ผ่านมา +9

    ❤Tutu lisu awe naulinzi mkubwa mana sasahivi anavita kubwa ikiwezekana atafute ulinzi wa nnje yanch

    • @ShabaniSepetu
      @ShabaniSepetu 9 วันที่ผ่านมา +1

      Vita kaita mwenyewe azingatii itifaki yeye ndie kiongozi wa kamati ya maadili ashugulikie ndani ya chama sio Ivo kalala Mika nje ya chama

  • @hadijasufiani6167
    @hadijasufiani6167 9 วันที่ผ่านมา +2

    Wenje kama unachosema nikweli Mungu atakulipa cjambo msiwape nafasi maadui zenu lisu kuna wakati anajisahau shida yake anapenda kusema sema sana machawa wanamsifia cha msingi yaishe mjengeni chama chenu mpo vizuri inshaallah

  • @sammymdemeka7937
    @sammymdemeka7937 7 วันที่ผ่านมา

    DUNIANI HAKUNA MWANASIASA ASIYELAMBA ASALI, THERE IS NO ONE.. ILA ITIKADI ZA VYAMA ZINAISHI. HAPA HOJA NI MGOMBEA URAIS FEKI ANATENGENEZWA CHADEMA, HATUMJUI, 2030 CCT INATAKA RAIS HII NDIYO TABU. TUTAFAKARI 🤔🤔🤔🤔🤔🇹🇿

  • @AlphaBarageti-ru5xj
    @AlphaBarageti-ru5xj 8 วันที่ผ่านมา +1

    Hivi hakimu ndiye mwandaa mashtaka ? Lissu ni hakimu si Polisi wa chama. Yeye anasubiri apelekewe kesi.
    Je wenje kumsaidia Lissu ndio fimbo dhidi ya haki za Lissu ?

  • @DittoSylvester
    @DittoSylvester 7 วันที่ผ่านมา

    Wenjee!?hafai hata kitongoji.njoo rorya,niko Suba hulambi kitu.ulishindwa kujenga chama ukiwa mbunge Nyamagana!umesababisha katibu wa cdm Passy Sanya mpigaaji kwa ukabila wenu,umeua chama rorya.halafu unafanya udalali kwa mbowe!ishia huko huko

  • @AnaniaIsaya-z9g
    @AnaniaIsaya-z9g 7 วันที่ผ่านมา

    Halafu sasa hivi ni muda ambao CHADEMA mnahitaji sana utulivu. Vinginevyo mkiendelea kusemana hovyohovyo mtapoteza CREDIBILITY si tu ya ninyi viongozi pia ya chama. Sisi wafuasi wenu mnatuchanganya na mnatufanya tuwe tupoteze imani na chama ambacho tulikipenda sana.

  • @humphreymkony8915
    @humphreymkony8915 9 วันที่ผ่านมา +7

    Kwa maelezo haya ya Wenje TAKUKURU bado tu hamjamhoji Wenje?

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk 8 วันที่ผ่านมา

      Wamhoji ili amtaje Abdul?😂

  • @melch3097
    @melch3097 9 วันที่ผ่านมา +2

    Wenje hana Kosar, lisu anahangaika sana kupata hela zake, yeyote anaemwambia njoo uchukue anaenda

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 8 วันที่ผ่านมา

      Wote wana makosa na walitumia njia haramu

    • @PenuelPeter-y4i
      @PenuelPeter-y4i 8 วันที่ผ่านมา

      Njian cyo haramu. Hizo pesa kupata ilikuwa ngumu. Wenje kajitahidi sn kufuatilia.​@@MathewNathan-yb2bz

  • @AlphaBarageti-ru5xj
    @AlphaBarageti-ru5xj 8 วันที่ผ่านมา +1

    Wenje kumsaidia Lissu ndio fimbo dhidi ya kumdhihaki na kumdhalilisha Lissu ?

  • @babazungu3180
    @babazungu3180 9 วันที่ผ่านมา +1

    Jamaa anasema alitaka lisu alipwe hela yake ila na yeye apewe hela yake aliitumia kwa lisu na aliona njia nzur ni kumtumia mtoto wa rais aende akaongee na mama yake( mama samia).sion tatizo hapo.

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 7 วันที่ผ่านมา

    Hawa waandishi wako kwa Lisu,maadili ya uandishi hakuna hapo

  • @hajimnubi4581
    @hajimnubi4581 7 วันที่ผ่านมา

    Hivi kuna mtu haelewi kwanini wenje anaongea haya Leo na sio mwezi wa tano shutuma zake za kujihusisha na kina Abdul kweli?

  • @sospeterodhiambo6869
    @sospeterodhiambo6869 9 วันที่ผ่านมา +4

    Bora Wenje ameeleza ukweli wake Nmemwelewa vizuri na Nadhani anayo hoja
    Watu wasikurupike kufikia hukumu ya maneno ya upande mmoja

  • @matendoandrewmgeni1135
    @matendoandrewmgeni1135 7 วันที่ผ่านมา +1

    Malipo anayodai lissu ni malipo ya wazi naya kisheria abdul ana play part gani hapo?

  • @NOAHRILEY-m5w
    @NOAHRILEY-m5w 8 วันที่ผ่านมา +1

    Kuwa makini sana na hii issue ya chadema isije ikakuvunjia heshima kwa tuliokua kunakuona ni mchambuzi mahili na wa kuaminika, tumekuona tokea mwanzo kua wewe ni team mbowe na upo kwenye kampeni za kumzoofisha tundulisu, mbona ya mbowe huchambui na leo kachukua fomu? Kwa lissu ulikua chap kweli, tunza heshima yako hii ngoma ya lisu na mbowe kua makini nayo. Tunasubir umchambue na mbowe sasa au ndo na ww ushakua mchambuzi wa mchongo, hapa huchambui ila unapiga kampeni, weka wazi tu mr ngurumo kua ww upo upande wa mbowe tutakuelewa ila sio kujifanya unachambua chambua mambo hapa.

    • @eliajimmy95
      @eliajimmy95 8 วันที่ผ่านมา +1

      Ngurumo nilikuwa namuamini sana lakini tangu alivyoanza kuchambua ishu ya Msigwa na sugu baadaye ya Lissu na Mbowe sasa ya Lissu na Wenje nimegundua nimegundua huyu ni kibaraka wa Mbowe tu.

    • @peterhaule9787
      @peterhaule9787 8 วันที่ผ่านมา

      Sio kweli Ngurumo ni mchambuzi mahiri sana na hajaanza leo masuala ya uchambuzi jitahidi kumwelewa

    • @tanzanianakupenda
      @tanzanianakupenda 4 วันที่ผ่านมา

      ​@@peterhaule9787ndugu naamini wewe ndio unahitaji kumuelewa....unless kuwa bias ni sawa kwa journalist..kama sio sawa basi hapa hamna kitu tuko zamani

  • @mosesibmshangamshanga7885
    @mosesibmshangamshanga7885 6 วันที่ผ่านมา +1

    Wenje acha uongo ..mbona ukweli unaonekana ?na unajulikana .wewe dalali

  • @dennisungonella205
    @dennisungonella205 9 วันที่ผ่านมา +4

    Wenje alijirahisi sana kwa mtoto wa rais, ulikuwa ni mtego

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 8 วันที่ผ่านมา +1

    WENJE NI USALAMA WA TAIFA ALEYEMO NDANI YA CHADEMA

  • @eliajimmy95
    @eliajimmy95 8 วันที่ผ่านมา

    Wenje acha kabisa mchezo wa kuuza wenzio na hufai kushika uongozi kwenye chama.

  • @hapaupdates9277
    @hapaupdates9277 9 วันที่ผ่านมา

    Wenzake Wana umizwa yeye aaaaaaaaaaaaaaa,😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @PMD717
    @PMD717 9 วันที่ผ่านมา +1

    Mambo yameishakuwa mengi, credility inakuwa issue

  • @helencyprian8745
    @helencyprian8745 9 วันที่ผ่านมา +1

    Wenje unadalili
    zote za rushwa

  • @chezariboy
    @chezariboy 8 วันที่ผ่านมา

    Mtu yeyeto anaweza kwenda kwa mtu wa chama chochote as rafiki na undugu wa ki Tanzania kama Samia alivomtembelea lisu hospital ila mazungumzo ndiyo yanaangaliwa sana na waelewa.

  • @MUSSASEIF-jl8vw
    @MUSSASEIF-jl8vw 8 วันที่ผ่านมา

    Ngurumo safi sana kwa hoja zako

  • @songombingo108
    @songombingo108 9 วันที่ผ่านมา

    Pesa anazoidai Serikali Lissu asingepelekewa Home.😂😂

  • @bahatikamihanda3689
    @bahatikamihanda3689 9 วันที่ผ่านมา

    Hii imenikumbusha tuhuma ya kugombea ubunge Nyamagana ilisemwa kwamba ulikuwa tayali kuchukua h ongo ujiondoe ktk kinyanganyiro lkn ukashutukiwa ukatishwa sana ukaywea,wakati ule sikuliamini hili lkn ss nimehanza kuwa na mashaka sana.

  • @AbdallaMwagora-sm1rj
    @AbdallaMwagora-sm1rj 7 วันที่ผ่านมา

    Lisu ana hasira ya njaa

  • @BahatiMayombo-k7m
    @BahatiMayombo-k7m 8 วันที่ผ่านมา

    Hii nchi ngumu sana; wenye akili eleweni

  • @HuseniMsumba
    @HuseniMsumba 9 วันที่ผ่านมา +2

    HUYU JAMAA WA AJABU SANA INAMAANA HII NCHI NI YA ABDULI NA MAMA YAKE? HII NCHI SIO YA KIMALIKIA😮

    • @nitumesokoni3164
      @nitumesokoni3164 9 วันที่ผ่านมา +3

      Tatizo huelewi maana ya Lobbying

  • @philipongenzatv
    @philipongenzatv 9 วันที่ผ่านมา +1

    Wenje wewe huaminiki kwell unaenda na Abduli duuuuu bc Kuna mengi mnooooooo

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 2 วันที่ผ่านมา

    Hayo magari mlikubaliana na chama katika vikao vyenu?!

  • @oseamkama
    @oseamkama 8 วันที่ผ่านมา

    Hichi chama msipikua makin kinaweza kupasuka maana naona mivutano kila cku

  • @HatibuSozi
    @HatibuSozi 9 วันที่ผ่านมา +2

    Acha ubwege ww jibu swali kama ulivyo ulizwa chawa ww

  • @aminiyasini7271
    @aminiyasini7271 9 วันที่ผ่านมา +7

    Jamaa unaonekana mwongo kabisa!???!!!!!!

    • @jamaliddiin9357
      @jamaliddiin9357 9 วันที่ผ่านมา +2

      Washapiga pes hawa za kutosha
      wanatuzingua tu
      siasa za bongo ni mchezo chafu
      Lisu ni mkweli sana ,

    • @elikyusimsigwa6608
      @elikyusimsigwa6608 9 วันที่ผ่านมา

      ⁠@@jamaliddiin9357huwezi kujua moyo wa mtu, moyo una ugonjwa wa kufisha, haya yote yanatoka vinywani tu, hata huyo lisu aliongea kinywani baada ya deal kuyumba,Kujihami! Moyo wa mtu anayeujua ni mtu mwenyewe na Mungu tu. Tupendane tu, lakini tusimuamini mtu.

  • @oseamkama
    @oseamkama 8 วันที่ผ่านมา

    Wenje saiv ana kiparaaa nywele zimeenda na akili

  • @stevesungura6789
    @stevesungura6789 8 วันที่ผ่านมา +1

    Mjaluo mjaluo tu, hayo ya kwamba ulimsaidia Lissu ya nini, kuwa ulisaidia apelekwe hospitali ipi, ya nini?

  • @jetymagereja4058
    @jetymagereja4058 7 วันที่ผ่านมา

    Unayesema umemuelewa alikuwa mwl wako ndio maana ulifeli

  • @gallegalleson4427
    @gallegalleson4427 7 วันที่ผ่านมา

    Huyu journalist ( aliyevaa suti) tumpe maua yake, taaluma hii anaiweza Ni bora kuliko yule aliyekimbia bbc

  • @humphreymkony8915
    @humphreymkony8915 9 วันที่ผ่านมา +8

    Lisu yuko sahihi.

    • @malinzirutta3391
      @malinzirutta3391 9 วันที่ผ่านมา +1

      Why? Usiletw mahaba, be objective, yuko sahihi kwa vipi? Wanamuhonga ili iweje? Kwa kumuogopa? Kwani atawafanya nini, atamfanya nini Rais. Fikiri kwa undani na si mihemko

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk 8 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@malinzirutta3391Kwa hiyo wewe hujui wapinzani wanahongwa na kununuliwa kwa sababu gani? Umefikisha hata miaka 18 kweli?Au umezaliwa 2010

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 8 วันที่ผ่านมา

      Wenje alikosea sana na hata Lissu kama kweli alimpa soft copy za madai ili akamwambie mama yake nae alikosea sana.Ukiwa mwanasiasa unatakiwa uwe makini.kwa hili wenje ana kosa na Lissu ana kosa pia.

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 8 วันที่ผ่านมา

      ​@@Joe-tr2vkkama waliweza kumwambia mtoto wa rais madai ya Lissu kuwa awasaidie kwa kweli wamejishusha sana yaani walitumia njia haramu na ya hovyo sana.kumfuta mtoto wa rais ambaye hana cheo chochote kile serikalini na kumwambia awasaidie hadi kumpa docoments za madai ni sawa na kutengeneza masuala ya rushwa.Hii si sawa hata kidogo.

  • @ShabaniSepetu
    @ShabaniSepetu 9 วันที่ผ่านมา +1

    Lisu afai kabisa akuna jambo lake ata moja lilo win

    • @archmisso1448
      @archmisso1448 8 วันที่ผ่านมา +1

      La kwako lililowin ni lipi?

  • @ZaidAKissinza
    @ZaidAKissinza 9 วันที่ผ่านมา

    No any answer given to questions asked. Please Wenje answer the questions please.

  • @RwegoshoraPatt-os2ik
    @RwegoshoraPatt-os2ik 9 วันที่ผ่านมา

    Wenje siku nyingine kumbuka waandishi wa habari wanaweza kukupandisha au kukushusha dhamani yako usikurupuke kujibu maswali yao tafakari kwanza mara mbili au zaidi kabla ya kujibu .Kwa hili umekosea !!!! Kitendo cha wewe kwenda kwa Lisu na mtoto wa raisi kinatia mashaka acha kujiuma uma

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 9 วันที่ผ่านมา +3

    Lisu ni mzalendo hahongeki kwani kutoa makaratasi pengine nia yake alitaka alipwe official siyo kumpelekea pesa. We na. Abdul

  • @liberatusmboje8332
    @liberatusmboje8332 8 วันที่ผ่านมา +2

    Wenje picha ya haraka haraka huo mlikuwa mnamtegea Lisu mtego.nadhani asingesema baadaye hadharani mngetaka kumlipa kwa siri hivyo hivyo ili baadaye mseme amelipwa mapesa.CHADEMA MNANUKA RUSHWA Lisu ndo hataki,yeye si mnafiki

  • @salehthesword
    @salehthesword วันที่ผ่านมา

    Kumbe Lissu ni Liongo.

  • @AlphaBarageti-ru5xj
    @AlphaBarageti-ru5xj 8 วันที่ผ่านมา

    Wenje ameguswa wadau wake wa biashara na tegemezi wake wa influence .

  • @eliajimmy95
    @eliajimmy95 8 วันที่ผ่านมา +2

    Nimeamini Wenje wewe ni pandikizi la CCM unatumiwa na ccm kuhonga viongozi wa Chadema.

  • @AlphaBarageti-ru5xj
    @AlphaBarageti-ru5xj 8 วันที่ผ่านมา

    Kwa maneno hayo Wenje anaweza kumdanganya kuwa family friend wa Lissu ? Au Lissu anafanyiwa haya kwa sababu anawashtaki wenye influenced kwa kina wenje ambao Wana nasaba na kampuni ya tigo na ahadi ya Lissu kukamata ndege za serikali kwa kesi inayoendelea huko ughaibuni ?

  • @JumaMakenga-t2o
    @JumaMakenga-t2o 9 วันที่ผ่านมา +1

    Pameanza kuchangamka 😂😅

  • @bakarikimea4711
    @bakarikimea4711 7 วันที่ผ่านมา

    MPAKA ANAONGEA HIVYO TAYAR ANAUSHAHID SEMA TU KWASIASA ZETU ANAHIFIA

  • @AyubuKamendu-r7l
    @AyubuKamendu-r7l 9 วันที่ผ่านมา +2

    Wa kwanza leo

  • @mbelechimakobola8835
    @mbelechimakobola8835 9 วันที่ผ่านมา +2

    kumbe huyo mtu ni mbwa kiasi hicho! Nilikuwa namwona wa maana kipindi nipo mwanza kumbe ni mbwa kabisa, unamchafua Lissu?

  • @philipongenzatv
    @philipongenzatv 9 วันที่ผ่านมา

    Anahonga watu huyu Kwa mtazamo ase Yani huyo anatakiwa aachie ngazi

  • @williamcostantino
    @williamcostantino 8 วันที่ผ่านมา

    😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊

  • @makambakoonlinetv7971
    @makambakoonlinetv7971 8 วันที่ผ่านมา

    CHAMA CHA MAPINDUZI KIPO VIZURI SANA,HAKUNA UJINGA KAMA HUU.

  • @AlphaBarageti-ru5xj
    @AlphaBarageti-ru5xj 8 วันที่ผ่านมา

    Wenye huo ni udhaifu
    Unadirikije kupuuza utaratibu wa kisheria na kuamini influence ya watu ? Haya yote ni ya muda mrefu unayajua kwa muda mrefu sawa na muda wa wewe kuyajua haya. Kwa nini na wewe ulikaa kimya ? Je, wewe unayoyasema umekaa nayo kwa muda wote kwa faida gani ?

  • @MobiaWakwa
    @MobiaWakwa 8 วันที่ผ่านมา

    Vipi uchambuzi ya mbowe? Tunasubiri uchambuzi kama ulivyoahidi

  • @YussufPandu-es7ou
    @YussufPandu-es7ou 9 วันที่ผ่านมา

    Huyu Abdul kwanini hakamatwi kwasababu rushwa ni kosa kubwa au kwasababu ni mtoto wa rais

  • @victoriamazula5592
    @victoriamazula5592 9 วันที่ผ่านมา +1

    Longolongo😅

  • @MahanjiSanga
    @MahanjiSanga 9 วันที่ผ่านมา +5

    Wenje hapo umeongea uongo .abudy ni Nani kwenye serikari .anacheo gani .amripe lisu pesa

    • @malinzirutta3391
      @malinzirutta3391 9 วันที่ผ่านมา

      Influence Influence and Influence

    • @stonetown578
      @stonetown578 9 วันที่ผ่านมา

      Umeona eee

    • @abdalaseleman921
      @abdalaseleman921 9 วันที่ผ่านมา +1

      Hujui maana ya lobbying. Kuna watu hawapo serikalini lakini wana nguvu kubwa. Lobbying iko serikali zote Duniani

    • @greydonalds4286
      @greydonalds4286 8 วันที่ผ่านมา

      ​@@abdalaseleman921hawaelewi hawa, wanaropoka tu.

  • @philipongenzatv
    @philipongenzatv 9 วันที่ผ่านมา

    Yani skutegemea hyu anawauza wenzake wenje haaminiki kabisaaaaa duuuuuu

  • @ericbalige1781
    @ericbalige1781 9 วันที่ผ่านมา

    Nyanda...hongera sana.

  • @JacksonFrances
    @JacksonFrances 9 วันที่ผ่านมา

    🙏🏿🙏🏿🙏🏿

  • @Ba63828
    @Ba63828 8 วันที่ผ่านมา

    Motive ya hongo ni nini? Kwanini kama ni rushwa Lisu atoe receipts za matibabu?

  • @nicksonmasatu7209
    @nicksonmasatu7209 4 วันที่ผ่านมา

    Mseme mtu bila kumdhalilisha

  • @mahyorokalokola4012
    @mahyorokalokola4012 9 วันที่ผ่านมา +2

    Sasa huyu Wenje chawa wa Mbowe ambaye ana mahusiano na Abdul mpaka kumpeleka kwa Lissu ndiyo mnataka kumfanya makamu mwenyekiti wa chama. Mwafa!

  • @mosesibmshangamshanga7885
    @mosesibmshangamshanga7885 4 วันที่ผ่านมา

    Jamaa muongo huyu dah...yani uso unaonekana kabisaaa ni dalali..asichaguliwe kua makam mkit atatudalalalia huyu