Uchaguzi wa Kenya 2022: William Ruto asema Handshake 'ilikuwa na utapeli na ukora mwingi'

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ต.ค. 2024
  • Naibu wa rais nchini Kenya amesema kwamba Wakenya watajiamulia kuhusu mgogoro wa kisiasa kati yake na rais Uhuru Kenyatta .
    Kwa takriban miaka minne sasa, uhusiano kati ya naibu huyo William Ruto na rais Uhuru Kenyatta umekuwa mbaya.
    Bwana Ruto anamtuhumu rais Kenyatta kwa kubadilisha ajenda ya serikali baada ya kukutana na aliyekuwa mpinzani wake mkuu Raila Odinga katika kile kinachoitwa Handshake.
    Hivi majuzi katika mkutano wa eneo la Sagana, Rais Uhuru Kenyatta ambaye alikuwa akikutana na watu wa jamii yake kutoka mlima Kenya alisema kwamba alimfahamisha bwana Ruto yote yaliokuwa yakiendelea kabla ya Handshake yake na Raila Odinga licha ya naibu huyo kudai kwamba hakaufahamu kilichokuwa kikiendelea.
    Rais Uhuru Kenyatta ameamua kumuunga mkono mpinzani wake wa siku nyingi Raila Odinga badala ya naibu wake William Ruto katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
    Bwana Ruto ambaye anawania Urais katika uchagzi wa mwaka huu anasema kwamba anataka kuiongoza Kenya katika mwelekeo mzuri . Amezungumza na mwandishi wa BBC Salim Kikeke.
    #bbcswahili #siasa #kenya

ความคิดเห็น • 11

  • @ncororojudy9621
    @ncororojudy9621 2 ปีที่แล้ว +1

    Hi Lord Jesus please God he is very things we need God

  • @jackmoshi
    @jackmoshi 2 ปีที่แล้ว

    i can imagine how difficult it must have been for salim kikeke to hold in his laughs everytime ruto spoke swahili.

  • @diddiousdesign2147
    @diddiousdesign2147 2 ปีที่แล้ว +2

    Uyu ni kiongozi mwongo sana

  • @kenyanyouthswithpolitics.6257
    @kenyanyouthswithpolitics.6257 2 ปีที่แล้ว +1

    Hasla

  • @josephmolle
    @josephmolle 2 ปีที่แล้ว +1

    Tunaima sana na ww ruto

  • @misaluusha1739
    @misaluusha1739 2 ปีที่แล้ว +2

    Wakwanza leo kutoka United States of America Columbus Ohio state

  • @fahdimakame1295
    @fahdimakame1295 2 ปีที่แล้ว +1

    Katika mtu msanii, Ruto ni namba moja.
    Inajifanya anatia huruma wakati anawadanganya wakenya

  • @kevinmaina11
    @kevinmaina11 2 ปีที่แล้ว +2

    What a liar!

  • @amoskithy5705
    @amoskithy5705 2 ปีที่แล้ว +1

    Baba tosha

  • @jtenga978
    @jtenga978 2 ปีที่แล้ว

    P