Maandamano huko Serbia kumuunga mkono Putin

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 97

  • @CLEMENTMWEYA
    @CLEMENTMWEYA 2 ปีที่แล้ว +7

    The first time in media 👍

  • @micamathew2595
    @micamathew2595 2 ปีที่แล้ว +4

    Safi sana.

  • @fredsanga9461
    @fredsanga9461 2 ปีที่แล้ว +16

    Itafika hatua dunia itajua udhalimu wa USA na washirika wake

  • @gasparmpoma3860
    @gasparmpoma3860 2 ปีที่แล้ว +5

    Safi sana

  • @bovickpascal6554
    @bovickpascal6554 2 ปีที่แล้ว +3

    Alafu naipenda urusi mimi

  • @islamicnewschannel2551
    @islamicnewschannel2551 2 ปีที่แล้ว +11

    If you Support Russia with their president Putin put like 👍👊

  • @nickpope8056
    @nickpope8056 2 ปีที่แล้ว +7

    Russia fight Ukrainian neo naZi alone again. All prayers for Russia 🇷🇺. Well done Serbia 🇷🇸….well done!!!!!!🥰

  • @abdullahhashimu2380
    @abdullahhashimu2380 2 ปีที่แล้ว +5

    Nipo na nyinyi urusi

  • @deograsiamgeni5716
    @deograsiamgeni5716 2 ปีที่แล้ว +5

    Hakuna vita iliyo njema, Mungu simamisha mapigano tupe Amani, mnafurahia vita hao Wanajeshi wanakufa pia walizaliwa na Wanawake, wanastahili kuishi kama watu wengine walio huru.

  • @makamebakery1964
    @makamebakery1964 2 ปีที่แล้ว +8

    Hata Mimi naunga mkono

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 2 ปีที่แล้ว +2

    Yes you did it 👍🙏🙏👏🙏

  • @ikrissaidrissa8613
    @ikrissaidrissa8613 2 ปีที่แล้ว +5

    #standwithrussia 🇷🇺 + 🇹🇿 ✊🏾

  • @adamhassan2616
    @adamhassan2616 2 ปีที่แล้ว +7

    Na mm naunga mkono

  • @salumzorax7695
    @salumzorax7695 2 ปีที่แล้ว +12

    Am from Tanzania I pray for victory for Russia without any blood being shed

  • @ramadhanimakange9766
    @ramadhanimakange9766 2 ปีที่แล้ว +2

    I pray for orthodox people thats what The Quran tells me salaam from Tanzania.

  • @robertmgore3653
    @robertmgore3653 2 ปีที่แล้ว +7

    Putin piga kazi

  • @salehesalehe2967
    @salehesalehe2967 2 ปีที่แล้ว +3

    Safi

  • @selesailo9545
    @selesailo9545 2 ปีที่แล้ว +2

    🇷🇺🇷🇺🇷🇺❤️

  • @faridasaid1095
    @faridasaid1095 ปีที่แล้ว

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪

  • @danielpascalnkinga1687
    @danielpascalnkinga1687 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ibarik Urusi Amen 🙏

  • @meekman1805
    @meekman1805 2 ปีที่แล้ว +2

    👀👍

  • @mussahaji905
    @mussahaji905 2 ปีที่แล้ว +4

    Haki Kwa Putin..Piga Kazi mwanamke hachezewi matako

  • @paulmanyanda4277
    @paulmanyanda4277 2 ปีที่แล้ว +16

    I pray for the victory of Russia

  • @salmaseif6284
    @salmaseif6284 2 ปีที่แล้ว +4

    Nina furaha sana kuiona Ukraine ikipigwa cjui kwann!

    • @joh7282
      @joh7282 2 ปีที่แล้ว

      Si wanataka msaliti mzazi wao kibabee acha waoneshwe ubabee

  • @salmaseif6284
    @salmaseif6284 2 ปีที่แล้ว +3

    Putin piga wabaguzi wakubwa hao Ukraine

  • @gynae8407
    @gynae8407 2 ปีที่แล้ว +8

    Viva 🇷🇺 viva,viva Putin

  • @tonnyjames5050
    @tonnyjames5050 2 ปีที่แล้ว +1

    😍

  • @frankangumbwisye6624
    @frankangumbwisye6624 2 ปีที่แล้ว +2

    Putin kazi Hiendelee

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 ปีที่แล้ว +1

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌

  • @elvzmak957
    @elvzmak957 2 ปีที่แล้ว +3

    P🙏🏻

  • @josephatjosephat4269
    @josephatjosephat4269 2 ปีที่แล้ว +5

    Kumbe wamo japo hawavumi

  • @tiffanyakramJr822
    @tiffanyakramJr822 2 ปีที่แล้ว +4

    Na
    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Tanzania tunamuombea Putin aliishi bagamoyo yule ndugu yetu kabisaa,... kashakula ugali wa muhogo na dagaa kule bwaga moyo 😂😂😂🤣

  • @chazy7ya216
    @chazy7ya216 2 ปีที่แล้ว +2

    Hii ndio vitayatatu yadunia tujiandae maana kunampasuko mkubwa sana unakuja tumwombe Mungu afrika isijihusishe Kwenye hiivita

  • @shazyahya4121
    @shazyahya4121 2 ปีที่แล้ว +11

    Safi sana Putin ameonyesha yeye ni mwanaumme kweli na jeshi lake sio mburu kenge wamarekani kazi kuonea waafrica tu na kuwatengenezea case za ugaidi ili waibe vizuri ila Putin kawanyoosha nguruwe weupe 🤨

    • @kassimmussa8015
      @kassimmussa8015 2 ปีที่แล้ว +4

      Putin anajinyoosha mwenyewe hakuna rai wauingereza anaeteseka hakuna raia wamarekani wala ufaransa wala ujerumani wanaoteseka Ukraine ni waukrain nawarusi kama hujui zile zote zilikua nchi moja tu Soviet union kwaio wanamahusiano yadamu nakindugu kabisa Urusi na Ukraine putin anajua hilo lakini ww mihemko inakusumbua upo upo tu kama bendera unafata upepo..🤣🤣🤣🤣

    • @bybytata7456
      @bybytata7456 2 ปีที่แล้ว +2

      @@kassimmussa8015 muongezee kaka tena afuatilie kwa makini Ukraine 🇺🇦ilitaka kujitenga tokea awali kabla ya raisi huyu inamaana ulikuwa ni mpango wa serikali ya Ukraine 🇺🇦 raisi huyu nikama mtekelezaji sio jambo alilo lianzisha ni mikakati ya serikali ya 🇺🇦

    • @patrickmulamboruhurumba4639
      @patrickmulamboruhurumba4639 2 ปีที่แล้ว +1

      @@bybytata7456 Kwan watajitenga marangapi si wajitenga na wew wala abari huzifatiliyi vizuri,tatizo ni kutaka kujiunga na NATO wakati NATO nimushirika mukubwa wa marekani na lengo la marekani ni kuiangamiza urusi ili abaki mutawala wa dunia peke yake jambo linalo mukera murusi kuona jirani yake ukraine mtoto wababa moja kumukaribisha adui yake tena kwenye mulango wake ili amuangamize wew kama wew ungelifanyaje?

    • @ngaboabdullatif384
      @ngaboabdullatif384 2 ปีที่แล้ว

      @@patrickmulamboruhurumba4639 nam kabisaa kaka apo umenena ukweli

    • @jeniferemmanuel4251
      @jeniferemmanuel4251 2 ปีที่แล้ว +2

      @@patrickmulamboruhurumba4639 mm sio msomi sana ila soviet Union iliisha 1991 kila mtu ana maamuz yake....na kama Russia wanaogopa mmarekan kukatibishwa na Ukraine kwenye mipaka yake kwann Russia asigombane na mmarekani anampiga Ukraine...kuna vtu havimake sense..

  • @kumskanza2492
    @kumskanza2492 2 ปีที่แล้ว +2

    Viva viva poutine viva viva africa

  • @issotv1736
    @issotv1736 2 ปีที่แล้ว +1

    Hao wanaotaka ushoga wamemsahau mungu waache wapingwe Ili wakumbuke waliopo kosea Kwa bwana

    • @islamicnewschannel2551
      @islamicnewschannel2551 2 ปีที่แล้ว

      Hao washoga wametoka wapi? Kwangu mm najua ni wamarekani ndio moja wa mashoga wakubwa na wanaoikontrol ni wao pia

  • @sabastianraymond.6383
    @sabastianraymond.6383 2 ปีที่แล้ว +4

    WOTE HAWA MUNGU AWASAMEHE MAANA HAWAJUI WAFANYAYO MUNGU AWASAMEHE.

    • @mahamudaideed6922
      @mahamudaideed6922 2 ปีที่แล้ว

      Wewe ndio unajua Acha kujifanya mdini sana

    • @chazy7ya216
      @chazy7ya216 2 ปีที่แล้ว

      Atamungu aliruhusu vita kupigana na maadui zake nawatu maelfu walikufa kwaiyo vita nilazima iwepo tuu

  • @abdullahhashimu2380
    @abdullahhashimu2380 2 ปีที่แล้ว +1

    🤝🤝🤝🤲🤲🤲👊👊👊💪💪💪

  • @rassimbaengswahili6191
    @rassimbaengswahili6191 2 ปีที่แล้ว +6

    Hata Mie namuunga mkono Urusi

    • @mathewkimambo8033
      @mathewkimambo8033 2 ปีที่แล้ว +2

      Haya we unga tu mkono mambo usiyoyajua ingekuwa ni hapa sijuii ninani angekuunga mkono, embu jitambuee acha ongea vitu vya ajabuu bhana we unaona watuu wanakufa alafu etii una unga mkonoo,,, Daaahhh

    • @manilabonalumanula1014
      @manilabonalumanula1014 2 ปีที่แล้ว

      Weka namba yako tukutumie nauli na uje nikuazime gobole ukamuunge mkono kwa vitendo

    • @majaliwawilson9372
      @majaliwawilson9372 2 ปีที่แล้ว +1

      @@manilabonalumanula1014 wazugu wametununuwa Kama kukusokoni watutesa kila Aina yamateso utumwan nahad leo lasilimali zetu wanabeba bila huluma watutegenezea magonjwa kilakukicha Sasa wakiumizana wao leo sisi kipi kinatuuma

    • @deusrobart8181
      @deusrobart8181 2 ปีที่แล้ว

      @@manilabonalumanula1014 hata Mm na muunga mikono tena yote miwili

    • @manilabonalumanula1014
      @manilabonalumanula1014 2 ปีที่แล้ว

      @@deusrobart8181 hahahahahaa gobole lipo moja lkn usijali nitakupa manati ukatungue ndege za wabaya wako

  • @sallemsalvador4542
    @sallemsalvador4542 2 ปีที่แล้ว +6

    ❤❤молодец путин дай бог тебе здоровья

  • @musamoses5123
    @musamoses5123 2 ปีที่แล้ว +3

    Putin muumba wa viote akulinde

  • @salmaseif6284
    @salmaseif6284 2 ปีที่แล้ว +2

    Ww mathias lulengo nn kujipendekeza na wazungu? Ukraine akipigwa ww unaumia nn? Na hao wamarekani unaowategemea na wao wana mwisho wao hivyo hivyo maana hii dunia c yao peke yao kwamba kila cku wapige wao tu

  • @maxmilianpetro968
    @maxmilianpetro968 2 ปีที่แล้ว +6

    Putin tupgie wahuni wa Dunia

  • @musahassan1106
    @musahassan1106 2 ปีที่แล้ว +2

    WW3 imeanza

  • @janemuthoni2494
    @janemuthoni2494 2 ปีที่แล้ว

    Haki dunia kwisha eti odhodox wanaunga mkono vita ewe Mungu shuka

    • @cicadraza3671
      @cicadraza3671 2 ปีที่แล้ว

      We don't support war we support good which is Russia

  • @bybytata7456
    @bybytata7456 2 ปีที่แล้ว +1

    💛💙💛💙Ukraine 🇺🇦never 💪💪💪💞💞💞💞much love Allah bless 🙌Ukraine 🇺🇦امین امین یارب العالمین 🤲🤲🤲😘😘😘💖💖💖💖💖💖💖💖💖💙💛💙💛💙💙💙💙💙💙💙💛💛💙💛💙💛

    • @ahmadbadawi9664
      @ahmadbadawi9664 2 ปีที่แล้ว +1

      Good but elewa kitu kimoja,hao Ukraine unaowaombea,rafiki yao mkubwa ni marekani,na nafikiri unajua jinsi marekani alivyodhulumu nafsi za watu ktk mataifa ya kiarabu na afrika tena bila kupewa vikwazo vyovyote,Leo Putin anapewa vikwazo,tafakari kwa makini...

    • @khamisissa252
      @khamisissa252 2 ปีที่แล้ว +1

      @@ahmadbadawi9664 haswaa... marekani wameua mamilioni ya watu
      afganistan
      Iraq
      Syria
      Somalia
      wao ndio waasisi wa ISIS, Taliban, Alshabaab na makundi mengine mengi. yoote haya wayafanya kuzua vurugu ili biashara ya mafuta duniani iwe mikononi mwao.

  • @kaboom3096
    @kaboom3096 2 ปีที่แล้ว

    Only Russia is fighting terorismus and neonazismus

  • @fundikimweri
    @fundikimweri 2 ปีที่แล้ว +1

    🔥🌸🌺😍 Mishono ya vitenge na vitambaa vyepesi 👇👇👇👇
    th-cam.com/channels/e2Tu3D-Ckp0SIvvzB_-aSw.html
    Sun: "Hotter"🌺
    Sugar: "Sweeter"🌻
    Joonie:"Cooler"🌸
    Yoongi: "Butter"😍
    Son unos de los meiores conciertos 🌸🌺😍❤️

  • @ramirezsaane7444
    @ramirezsaane7444 2 ปีที่แล้ว +1

    Putin respect to you forever piga kazi mpaka kieleweke

  • @mathiaslulengo3032
    @mathiaslulengo3032 2 ปีที่แล้ว +3

    Huyu puttn anakuja kuwawa vibaya xna leten tu nyege zenu mtamjua marekani kwa nin duniani kote inatumia hela yake mrusi Hana ubavu Ni mbwembwe tu

    • @yussufpandu1852
      @yussufpandu1852 2 ปีที่แล้ว +1

      Ni kweli hawa wote ni ndugu lakini tafauti yao taifa dogo la ukraine lina msimamo tafauti na halitaki kushiksmana na urusi imekuwa NONGWA ..WANAUWANA KAMA HAWAJAZALIANA HAPO ZAMANI ILIKUWA NCHI MOJA ..HUMU KATIKA MITANDAO KUNA WATU KAZI YAO KUTOWA MATUSI TU WANASHABIKIA MRUSI WALA HAWAJUWI KAMA HAYO MATAIFA YALIKUWA NCHI MOJA WEWE UKITOWA MAONI YAKO WANAKUTUKANA .

    • @hmmarjabi4283
      @hmmarjabi4283 2 ปีที่แล้ว +1

      Kwa ni wewe bujui mmarekani wako anatumia ubavu wa bibi yako nyoko

    • @mathiaslulengo3032
      @mathiaslulengo3032 2 ปีที่แล้ว

      @@hmmarjabi4283 jiheshimu sawa tumia vzuli mitandao ya kijamii sawa pole Sana

    • @mhchannel1317
      @mhchannel1317 2 ปีที่แล้ว

      Marekani ndo nani kwanza?. Bado kitambo kidogo sana dunia itajua ufuksa unaofanywa na marekani na mataifa ya magharibi. Ktk hili nakuachia utizame hii video vzuri ndo utajuwa Marekani na mataifa ya magharibi wanapenda double standard. th-cam.com/video/mu2uI0gZD-c/w-d-xo.html

    • @bonnymakuke3153
      @bonnymakuke3153 2 ปีที่แล้ว

      @@yussufpandu1852 Kama walikua taifa moja kwa nini mmoja atake kuwa kibaraka wa adui yenu!! Kumbe mrus Yuko sawa kwa ili wacha awagongeshe2 kumbe ukrane wanataka susaliti kambi!!

  • @ssaa7495
    @ssaa7495 2 ปีที่แล้ว

    Pumbavu

  • @hassanmpwepwe3826
    @hassanmpwepwe3826 2 ปีที่แล้ว +1

    God bless Russia God bless Africa

  • @maikokipkorir1022
    @maikokipkorir1022 2 ปีที่แล้ว +2

    Putin forever

  • @mihailstoyanov9462
    @mihailstoyanov9462 2 ปีที่แล้ว

    well, Serbians said " Goodbye Europe, welcome poverty !"...."proud" nation with empty pockets

    • @cicadraza3671
      @cicadraza3671 2 ปีที่แล้ว +1

      Thanks, we don't want to be a part of that peace of sh1t

  • @salehesalehe2967
    @salehesalehe2967 2 ปีที่แล้ว +3

    Safi

    • @salmaseif6284
      @salmaseif6284 2 ปีที่แล้ว

      Ww mathias lulengo nn kujipendekeza na wazungu? Ukraine akipigwa ww unaumia nn? Na hao wamarekani unaowategemea na wao wana mwisho wao hivyo hivyo maana hii dunia c yao peke yao hii kwamba kila cku wapige wao tu

    • @salmaseif6284
      @salmaseif6284 2 ปีที่แล้ว

      Urusi piga Ukraine na baadae uchukue nchi hiyo