@sungitatv9887 Ukisoma Kitab Riyaadhw swaliihiina Mlango unaoitwa yale ambayo yanafaa ktk Kusengenya. Miongon mwa hayo ni ktk kumfahamisha mtu ili wamfaham kwa haraka kwa ule umashuhur wake uliotangaa.Hilo jambo lafaa. Kwa hyo Abdullah ameingia Ktk Historia Kwa hyo tunapomtaja Kuwa yeye ni Mtoto wa Ummi Makhtoom japo Ummi makhtoom ni Mama mzaz wake.Pengine mtu asielewe Bado Akahoj Kwa hyo tunawafahamisha Watu kuwa Ni Abdullah ibn Ummi Makhtoom (kipofu). Hayo Mengine ni Kiki kwa sabb huyo mtu Si Alama ktk Dini.Mpaka uwafahamishe watu Woote.
Mashallah mzeee wetu
Mashaallah ALLAH awabarikie maisha yao ya ndoa awape uzazi mwema
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mosi hakunitendea haki
Kweli dunia imebadilika simu inakua on kwenye nyumba ya ibada msiba mkubwaa
Mashallah
Bwana harusi yuko sawa lakini au mnampelekea majanga bi harusi mtoto wa watu😂😂
huyo mzee fisadi tu
Hiv Ndoa Ni Ibada au kiki za mitandaoni.
huu Ni ubaguzi kwa hyo mtu kipofu Hana sifa ya utu.
Kwani tunapopewa historia ya bin makhtum yule muadhini huwa tunambagua tunapoelezewa kua ni kipofu
@sungitatv9887 Ukisoma Kitab Riyaadhw swaliihiina Mlango unaoitwa yale ambayo yanafaa ktk Kusengenya.
Miongon mwa hayo ni ktk kumfahamisha mtu ili wamfaham kwa haraka kwa ule umashuhur wake uliotangaa.Hilo jambo lafaa.
Kwa hyo Abdullah ameingia Ktk Historia Kwa hyo tunapomtaja Kuwa yeye ni Mtoto wa Ummi Makhtoom japo Ummi makhtoom ni Mama mzaz wake.Pengine mtu asielewe Bado Akahoj Kwa hyo tunawafahamisha Watu kuwa Ni Abdullah ibn Ummi Makhtoom (kipofu).
Hayo Mengine ni Kiki kwa sabb huyo mtu Si Alama ktk Dini.Mpaka uwafahamishe watu Woote.
Nyinyi masalafi ni watu wa ajabu sana kila kitu kukosoa tu!!
@rayisadesigns2646 nd nyiny kila kitu ni kusifia tu.Hamuw watu wa ajabu kwa style hii
Mauwa yamutandaoni
Mashallah