LIVE; KWARE - HAI MHE. FREEMAN MBOWE , GODBLESS LEMA 12 July 2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 17

  • @gaagwasaugustino2584
    @gaagwasaugustino2584 หลายเดือนก่อน

    Mhe.Mbowe,Mungu akulinde daima,kazi unayoifanya harakati za kulikomboa Taifa letu kutoka mikononi mwa mafisadi ya ccm wauza rasilimali za Tanganyika Mumgu akulipe mema. Ccm inatakiwa ife uchaguzi huu

  • @user-nf1tg3kt3y
    @user-nf1tg3kt3y หลายเดือนก่อน +5

    Hii hotuba nzuri sana watanzania wengi wameamka sana

  • @hadijasufiani6167
    @hadijasufiani6167 หลายเดือนก่อน +2

    Mpo vizuri chadema inshaallah ipo siku inchi itakuwa mikononi mwenu

  • @user-kj5jp2ii5n
    @user-kj5jp2ii5n หลายเดือนก่อน +10

    Hizi ndo hotuba bora kabisa katika taifa!
    Watanzania hatujitambui!

  • @user-bx3ko9ft5t
    @user-bx3ko9ft5t หลายเดือนก่อน +7

    Kadogoo mungu akubariki sana

  • @Gahii-s5q
    @Gahii-s5q หลายเดือนก่อน +5

    Tunawaelew sana makamanda

  • @odoieriasmonga6591
    @odoieriasmonga6591 หลายเดือนก่อน +1

    mwenzenu machozi ya furaha yananitiririka kwa furaha ingawa nipo mbali sana na Tanzania

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 หลายเดือนก่อน +1

    WAMACHAME OYEEE ❤❤❤

  • @munuojaful
    @munuojaful หลายเดือนก่อน +1

    Thanks!

  • @DandasiKundi
    @DandasiKundi หลายเดือนก่อน +2

    Hao wnaosema chadema ni Cha kikabila hawana sera yeyote wanatafuta ulaji ccm waeende ni watu wa ovyo sana ni wa dhiki kweli kweli.

  • @ceciliamagalabajimmy4391
    @ceciliamagalabajimmy4391 หลายเดือนก่อน +2

    Asante sanaaa Shekhe! Eti chama cha wachanga, Msigwa, Lissu, Sugu ,Heche , Saadat, Mwaipaya, Salum Mwalimu ni wachaga hao?

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 หลายเดือนก่อน +1

    HEKO VIONGOZI HEKO WANANCHI

  • @giftkalenge418
    @giftkalenge418 หลายเดือนก่อน

    huyu kadogoo azunguke nchi nzima anasisimua Santa anapoongea

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 หลายเดือนก่อน

    Kwa kweli hiyo Siasa unaweA kweli kuondoa kitu kilichoanzishwa na Mwalimu Nyerere aliyeleta Uhuru nchii mjinga kabisa wewe Kadogoo

    • @jakobongwara3038
      @jakobongwara3038 หลายเดือนก่อน +2

      Achakuzalau

    • @gaagwasaugustino2584
      @gaagwasaugustino2584 หลายเดือนก่อน

      Acha kuwaza ujinga! Nyerere hakuna mjinga Kama wewe na hao mafisadi wa ccm waliyopo sasa madarakani! Unasema huwezi kuondoa kitu kilichoanzishwa na Mwl.Nyerere,Mwl.Nyerere alikuwa na Malengo mazuri kwa Taifa letu alianzisha mambo mengi mazuri lakini waliyopo sasa hawayatekelezi wameua vitu vingi vya Mwl.Nyerere alivyoviacha sasa yamebakia majizi, majambazi, mafisadi, majangiri, manyang'au ya rasilimali za Tanganyika. Inatakiwa Wananchi tuungane tuunganishe nguvu zetu pamoja tudai Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, tuikatae ccm uchaguzi huu 2024/2025 kuanzia wenyeviti wa vitongoji, mitaa, vijiji, madiwani, Wabunge na Rais msiwachague hao mafisadi wauza rasilimali zetu urithi wetu aliyotupatia Mungu,kisha baba wa Taifa Mwl.Nyerere akazitunza lakini sasa Hawa mashetani wanaziuza! Tuwakatae sasa!.