Habari dada mimi naitwa Hellen Omar, hongera sana kwa kipindi chako , mimi ndio naanza ujasirilimali, wa kapkeki , na keki za birthday , sasa naomba msaada wako , namna yakukoroga beta krm kuwa gm 500 ya icesugar unaweka magarin kiasi gani ili owe soft nzuri nzito,
dada shukran sana....mungu akubarik..nlikua naomba utuelezee zaid kuhusiana na market na jina ya kujilipa....wengine ndo tunataka kuanza biashara from scratch....Cake ndogo ntapack ngap kwa sh ngap kwa wateja wa jumla..?asante
Habari za leo dada Mziwanda Bakers. ASante sana kwa mafunzo mazuri Mungu abariki kazi ya mikono yako Kuna kitu chochote ninachoweza kuweka kwenye cups cake ili zisiharibike mapema?? Kule dukani kwa Mangi. Tafadhari naomba unisaidie
Asante kwamafundisho mazur ,mm kuna wakati napika inakuwa namafuta MDA mwingine haiivi yote ,nifanyeje Ila Walt natumia mkaa zilikuwa nzuri Kwa sasa natumia oven nakosea wapi
M.Mungu akuongezee panapongua mamii, umenifundisha jambo kubwa sana. Nilikua najiuliza haya mambo naanzaje ila umenipa somo zaidi ya darasani. Jazakallah kheir
Dada asante sana nami ni mjasiriamali mm napikaga keki lkn siwekagi maziwa he mfn mm natengeneza keki robot natumia ngano robo blueband 1/4 mayai 5 sukari 1/4 hiyo inakuaje naomba ushauri na icing sugar ya kulembea inanisumbua Dada nisaidie
Mi nilikuwa nauliza ivi kama oven yako ni ndogo na umekoroga unga mwingi je ukichoma nusu na nusu ukaichoma badae cake zako zitakuwa sawa au hazitopanda kama kawaida yake.. Santa kwa somo zuri😋😋
Asante Mungu akubariki❤
Mashaallah upo vizuri dada unajua kufundisha asante mungu akubariki💌
Asante kwa ushauri mzuri na kunipa moyo
Asante sana Dear ni nzuri sana nitajaribu kisha nitaleta mrejesho na hizo skupa zinapatikana wapi? Barikiwa kwa elimu nzuri
Asante Kwa mapishi mazuri
Mansxallah weka n risipi pia uweke hongera
Mashallah umekuwa mwalimu mzur Sana Allah akubarik
Nashukr san dada nilikuwa natamani kupata madarasa kama yako kwasababu ya hobby yang ya kuwa mjasiriamali wa bakery kama wewe Allah akuongezee 😍
Ahsante sana nimepata somo nitaifanyia kazi
Asante sana Aunty
Asante❤
May God bless you .you explain well.best food tutorial.kenya
Ameen🥰
Ahsante sana
Asante Dada mungu akubarik sanaaa, una roho yakipekee
🙏
Wooow mashaallah ❤
Asante sana mpnz.... wengi wanatufundisha vya kula nyumbani lakn ww unatufundisha vya biashara bila uchoyo... Allah azidi kukubariki!
Amiin Yaa Rabb
Asante mamii nimeona vipimo vyote ubarikiwe
Shukran uko vzr
Verry nice ,dear🥰🥰♥️
Umeeni inspire,asante
Ubarikiwe kwa masomo mazur .Tusaidie kutengeneza pipi
Asante sana, unafundisha vizuri
🙏
Thx dear
Mafunzo mazuri mashaallah allah akulipe
Amiin
Aunt mbona me nikitengeneza zinachambuka sana na hazipandi juu zinakua flat tu
Thank you so much❤️
You are welcome
Mashaallah maana wafundisha vzury
Una roho nzuli Sanaa una choyo huwezi Amin jana nimetengeneza. Caki ya hbd ya mwangu wame furahi sanaaaaaaa asnteee
Shukran dear, hongera pia kwa kufurahisha familia
Dada nakukubali mno unanibariki sana ✊
Kitu nafanya ni kukuombea Allah azid kukupa afya njema na roho yko njema Zaid Hakika unatujuza mengi be blessed forever mziwanda
I appreciate a lot, Allah akulipe pia kwa kushukuru!
Yaaani we dada Nakupenda mnoo i wish to come and learn from you, je una darasa la mafunzo ya upishi? Kama hauna pls start.
@@maurinekaloki6955 shukran Maurine,darasa natagemea kuanza February dear. ahsante kwa ushauri pia
@@mziwandabakers8297 nami nitajiunga na darasa, In Shaa Allah
@@fatmajumapili8918 karibu sana 0768859358
MashaaAllah nimexipenda ..nauliza huu moto n juu chini ama vp na zaeza kaa kwa mda gani nijuxe my
Moto ni juu na chini ,,zinauwezo wa kukaa siku nane
@@mziwandabakers8297 Asante dear mungu akuzidishie utufunze na zaidi
Ubarikiwe sana Mamy kwa Video zuri.
Amiin
Asante sana kwa maarifa, je unaweza kutumia jiko la mkaa na je Kuna vyombo maalum vya kupikia keki hizo
Unapikia Jiko la mkaa ni muhimu kuwa na vyombo vya keki
Asantee mpnz kama kawaida unavyozidii kuchana mawimbii Mungu akubarikii mmno dear
Shukran sana
@@mziwandabakers8297 naomba unijibu mama kule kwenye vikokoto hukandiii mafuta dear
@@StezieRl ndio huweki mafuta,pole sikuiona sms
@@mziwandabakers8297 asantee mpnz waoooh na hivishikanii aisee naomba weekend nifanye ubarikiwe sana mpnz
@@StezieRl wakati wakusukuma Tumia mafuta sio unga,anza na kipimo kidogo ukimaster, ndo upike mwingi. All The Best
Nakupenda sana. Mungu aibariki kazi ya mikono yako, akuzidishie baraka na faida Mara dufu kwa kila unalofanya.
Amiin my dear shukran
@@mziwandabakers8297 Unaweza pika kwa mkaa hizo keki maana sina oven
Asanteee sana ❣️
Mm nimejaribu sema keki zangu zm hazijawa nyeupe ndani ni Kama za njano
Sometime mayai mwngne yellow sana lkn pia machine zinachangia ikipigika sana inakuwa white
Big up sana my...
Unatusaidia sana tunaojifunza Mungu akujaalie
Amiin
asante dada nikuelewa
Keep it up good job
Nakupenda sana jinsi unavyotufundisha
Ahsante sana
mm ntajaribu hizo hapo niuze in shaa allah ila allah akubariki dada na akutilie barka kwenye kazi zako
Amiin
Hongera sana Mziwanda nimekuwa nikukufwatilia ricep zako za cake na maandazi na nikifanikiwa kutoa kitu kizuri ubarikiwe dada
Mashaallah dia sjaona km ww Allah akulipe kher.
Amiin Yaa Rabb
Asante Dada mpenzi
Barikiwa kwa elimu
Asntee Sanaa dada jamn mungu akubaliki Sanaa
Amiin😘
Nzur sana,umetumia unga upi dada
Azania dear
Maashaallah..
🙏🏼🙏🏼na ukitumia maji unaweka kiasi gani madam
Wewe Dada Sina la kusema Wewe ni zaidi ya mwalimu nimejifunza lenimeangalia video zako Leo nimejifunza nimefurahi Mungu akubariki nitareta mrejesho
Nitafurahi zaidi ukileta mrejesho 🥰
Asante
Mm nabarikiwa na wewe sana lazima nifanye dada
Asante sana dada hakika Mwenyezi Mungu ndo atakae kulipa unachokifanya ni zaidi ya sadaka
Amiin
Habari dada mimi naitwa Hellen Omar, hongera sana kwa kipindi chako , mimi ndio naanza ujasirilimali, wa kapkeki , na keki za birthday , sasa naomba msaada wako , namna yakukoroga beta krm kuwa gm 500 ya icesugar unaweka magarin kiasi gani ili owe soft nzuri nzito,
Mamy Asante sana Kwa ufundishajj mzuri nimeelewa sana ila naomba mchanyoko wa unga kilo moja mamy wangu. Please.
Mashaallah unapatikana maeneo gni mpendwa
Nipo Tabora karibu
@@mziwandabakers8297 tabora sehem gani na mi nipo tabora mpendwa naomba mawasiliano yako
Nakupenda sana Natamani kwe km wewe 🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥👏
Allah akujaalie Amiin
Asant Sana
dada shukran sana....mungu akubarik..nlikua naomba utuelezee zaid kuhusiana na market na jina ya kujilipa....wengine ndo tunataka kuanza biashara from scratch....Cake ndogo ntapack ngap kwa sh ngap kwa wateja wa jumla..?asante
Loveeeee youuuu dear
Dada mimi nmejaribu but ndan haichambuki vzur halaf ovena yangu inanisumbua naset temp 180/ dk60 but dk zinaisha halaf keki bhado haijaiva nifanyeje pliz natamani sana ???
Habari za leo dada Mziwanda Bakers. ASante sana kwa mafunzo mazuri Mungu abariki kazi ya mikono yako
Kuna kitu chochote ninachoweza kuweka kwenye cups cake ili zisiharibike mapema?? Kule dukani kwa Mangi.
Tafadhari naomba unisaidie
Asante kwa somo zuri
Kazi nzuri my SIS's hongera sana
Asante sana kwa recipe
Asante Dada ubarikiwe sana,,je maziwa yap yanafaa zaid namaanisha fresh milk,,au ya box kama azam,dar fresh nk.
Fresh ni safi zaidi
Mungu akuzidishiye kila la kheri
Amiin Yaa Rabb
Woow asante dada
Mashallah my nakupenda kwakweri mungu akurinde una moyo wauruma my Mimi naomba namba kipenz
Masha ala
❤❤❤❤❤
Asante kwa ufsfanuz
Upo amazing dear, unafaa kua mwalim
😘
Daaah nakupenda sana ww
Shukran sana
Asante kwamafundisho mazur ,mm kuna wakati napika inakuwa namafuta MDA mwingine haiivi yote ,nifanyeje Ila Walt natumia mkaa zilikuwa nzuri Kwa sasa natumia oven nakosea wapi
kEKI NZURI SANA. Ninunue wapi machine kama hio ya keki
Mungu akujaalie
Amiin
Unamoyo wa peke yako Mungu akuzidishie mamy
Amiin Yaa Rabb
May God bless the work of your hands, I have a small cake business & am learning alot! Bless you dada, love from Kenya
I do appreciate a lot,much love 😘
@@mziwandabakers8297 ninashida na contact zako Dada angu kama hutojli
@@rahamaisha8089 0768859358
@@mziwandabakers8297 ahsante nimeipata
Ubarikiwe sana
Asante sana dada nimeichukua na Mungu akubariki sana
Kwenye kilo mbili unaweka baking powder vijiko vingapi?
Nimejaribu na saiv ndo biashara yangu wateja wanazipenda mashalah asante Dada mungu akubariki ila nauliza radha nzuri ni zipi katika cake
Waoh safi sana kama umefanyia kazi,Allah akulindie Biashara yako.
Vanila,lemon,orange na milk kwa keki ndogo 😋😋😋
Kama huna mashine unaweza tumia brenda?
@@xuismgonda4212 hapana brenda waweza kwa recipe ingine sio hii
Ahsante dada keki zimetoka vizuri sana dada shkurani
Ukijaribu nijulishe
@@mziwandabakers8297 sema namimi nitafunga mizingo nije maana naona iyikitu niamuhimu kwangu je Utanipokea?😍😍😍from BURUNDI
M.Mungu akuongezee panapongua mamii, umenifundisha jambo kubwa sana. Nilikua najiuliza haya mambo naanzaje ila umenipa somo zaidi ya darasani. Jazakallah kheir
Amiin 🙏
Naomba darasa
Hello dear one naomba kujua mfano oven yangu Ni ndogo na kupitia vipimo hivyo je nitawezaje kuoka cake kidogo kidogo mpka nimalize mchanganyiko wote?
Mapishi mengi nimejifunza kwako dear Mungu akubariki sana naomba uwe unatuekea recipe kwenye description box kama hutojali asante sana
You are such a good teacher lots of ❤❤❤.Hiyo scooper ni how many grams approximately. Thank you
I have never measured it dear but I will
Uko vizuri mno!
Dada hongera sana nimependa sana hiyo napenda kujifunza donat keki
Karibu dear
Dada asante sana nami ni mjasiriamali mm napikaga keki lkn siwekagi maziwa he mfn mm natengeneza keki robot natumia ngano robo blueband 1/4 mayai 5 sukari 1/4 hiyo inakuaje naomba ushauri na icing sugar ya kulembea inanisumbua Dada nisaidie
Fuata recipe mojawapo hapo kwetu kisha pima ubora wake pia kuremba ni mazoezi mengi utakuwa poa
Mm nisaidie kujua tofaut ya bluband na siagi na zipoje
Hongera Sana je hutumii cake improver?
Shukran, situmii improver
Shukran sana Allah barik
Mashallah allah akuzidishie elimu
Amiin
Ty
Hi mamy naomba kujua nitakapopata hizo cupcake za 500 na bei yake mpz....shukran habity ❤️❤️❤️
Wow
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥asante mmy
Mi nilikuwa nauliza ivi kama oven yako ni ndogo na umekoroga unga mwingi je ukichoma nusu na nusu ukaichoma badae cake zako zitakuwa sawa au hazitopanda kama kawaida yake.. Santa kwa somo zuri😋😋
Safi sana
Inawezekana ila uweunakoroga kiasi cha oven yako my
Nitumie
Namba. Udugu. Nikutafute. Napenda. Huo. Upishi
Asane