KEKI ZA BIASHARA KILO NNE 4KG

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 242

  • @dorcasakoth2105
    @dorcasakoth2105 ปีที่แล้ว +1

    Asante dada mtu akihitaji vifungashio anaeza wasiliana nawe vipi

  • @swaumuabdalaha4885
    @swaumuabdalaha4885 4 ปีที่แล้ว +3

    Mziwanda mungu akulipe kwa wema wako nakupenda kilaunacho fundisha nakielewa sanaaaa

    • @swaumuabdalaha4885
      @swaumuabdalaha4885 4 ปีที่แล้ว +1

      Yani iposku tutakutana akuna anaekufikia kwa hii zawadi unayo tupa mungu akuzidishie zaidi

  • @nyanzalakaporo2504
    @nyanzalakaporo2504 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana Mamy
    Nimependa sana video yako na maelezo yako Ubarikiwe sana.

  • @ZiadaKhamisi
    @ZiadaKhamisi 3 หลายเดือนก่อน

    Asante sana nashukuru dd

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah dda mia tano tz cjui kwetu Kenya itakuwa pesa gapi insha'Allah ntajaribu shukran mungu abariki kazi yko

    • @hazelbrown4712
      @hazelbrown4712 4 ปีที่แล้ว

      500 ya Tz huku Kenya ni 20 Bob na elfu moja ya Tz huku ni kama 50 bob hivi

  • @rosemarsel3731
    @rosemarsel3731 ปีที่แล้ว

    Asante kwa maelekezo mazur dear

  • @jumabisale9974
    @jumabisale9974 6 หลายเดือนก่อน

    ❤ INSHAALLAH nitaijaribu madam, some zuri sana

  • @salvatakiseo3359
    @salvatakiseo3359 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana dada umejua kunikomboa maana mambo ni 🔥🔥

  • @mwannerichard1419
    @mwannerichard1419 4 ปีที่แล้ว

    Asante mashine beingani mm naitaka nipo safalini nikiludi nikutafute niipate

  • @marthaosward1770
    @marthaosward1770 4 ปีที่แล้ว

    Wewe Dada mungu akubariki sana , unafundishi vizur ufichi kitu hata kimoja, yani sijui hata nisemeje, mungu akufungulie njia ufike mbali zaid

  • @ruiyaruiya8111
    @ruiyaruiya8111 4 ปีที่แล้ว

    Nakushukuru saana kwa hivi vipimo vyako. Hongera saana.

  • @rayakhatib7165
    @rayakhatib7165 3 ปีที่แล้ว

    Hongera sana mungu akubariki nimefaidika na somo hili

  • @pulcheriamayombo5222
    @pulcheriamayombo5222 3 ปีที่แล้ว

    Nashukuru kwa kutufundisha ujasiliamali

  • @charlesnams1358
    @charlesnams1358 2 ปีที่แล้ว

    Kazi njema nimeipenda mno ningetaka kujiunga na darasa pia

  • @noelakataraiha6692
    @noelakataraiha6692 4 ปีที่แล้ว +8

    Nakupenda sanaaa! U exactly give me what i need!!! Be blessed

  • @bettymassanja881
    @bettymassanja881 4 ปีที่แล้ว

    Aksante sana na hongera mno kwa mafunzo haya muhimu sana kwangu.

  • @sarahkahimba6415
    @sarahkahimba6415 4 ปีที่แล้ว

    Asante kwa maelekezo mazuri ya kupika keki

  • @nyemokedmon8975
    @nyemokedmon8975 3 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sana unatujuza vitu vizuri

  • @freshchoicebakery9730
    @freshchoicebakery9730 4 ปีที่แล้ว

    Nashukuru sana kwa recipe nimejaribu keki ziko vizuri saana. God bless u

  • @aishaabdallah4560
    @aishaabdallah4560 4 ปีที่แล้ว +1

    MashaaAllah dadaa nimependa cakes zilivyotokelezea nawish ningekuwa krb ukanifunza live mungu akubariki 🥰🥰

  • @neemampanda2987
    @neemampanda2987 4 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki sana

  • @khadijabakari2932
    @khadijabakari2932 หลายเดือนก่อน

    Nmeipenda hiyo mashine inanguvu

  • @petermatollah9358
    @petermatollah9358 4 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri sana nimependa mungu akubariki ila nataka kujua bei ya mashime ya ice_cream

  • @astidijakashemeile1918
    @astidijakashemeile1918 4 ปีที่แล้ว +1

    Sijui nikushukuru vipi ila Mungu akubariki sana

  • @rebeccanyalla7347
    @rebeccanyalla7347 2 ปีที่แล้ว

    Hongera sana mamii mie napenda sana hii biashara ya keki

  • @HusnaSimba-ml5ov
    @HusnaSimba-ml5ov ปีที่แล้ว

    Shost maelezo yanapatikana wapi? Nakuelewa na nakupenda sana.

  • @nyemokedmon8975
    @nyemokedmon8975 3 ปีที่แล้ว

    Nzuri sana

  • @bujunebusanya3966
    @bujunebusanya3966 4 ปีที่แล้ว

    Thanx dear. U mwalimu mzuri

  • @aminamwashabwi6470
    @aminamwashabwi6470 4 ปีที่แล้ว

    Uko sawa dadaa...

  • @mwanaishaabdullah2194
    @mwanaishaabdullah2194 4 ปีที่แล้ว

    Nakupenda Sana we dada natamani sk moja nikuone

  • @mohamedkagoma7066
    @mohamedkagoma7066 4 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana dadaake utatutoa kwenye umaskini kiukweli

  • @neemanihushi7826
    @neemanihushi7826 4 ปีที่แล้ว

    Ya mungu akuzidishie

  • @asinathasinath5090
    @asinathasinath5090 4 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda mnoo 👌👌👌🍰🍰🍰🔥🔥🔥🔥

  • @AngelusMhelela
    @AngelusMhelela 10 หลายเดือนก่อน

    Asante sana naomba namba yako ya simu .unisaidie Dada

  • @mwantumhemed8625
    @mwantumhemed8625 4 ปีที่แล้ว

    asantee dada

  • @rosepeter8996
    @rosepeter8996 2 ปีที่แล้ว

    Nimependa mafunzo yako sana.sauti nzuri.maandalizi mazuri.....umefungua akili yangu kiasi barikiwa dada yetu

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  2 ปีที่แล้ว

      Amiin karibu sana

    • @shenuabdallah196
      @shenuabdallah196 ปีที่แล้ว

      Hello dear nimependa unavyo funding je naweza kuja kujifunza cake na mikate?

  • @julianamulegyy9986
    @julianamulegyy9986 4 ปีที่แล้ว

    Umeni inspire sana darling soon naanza kupambana

  • @roselinemahoo1895
    @roselinemahoo1895 7 หลายเดือนก่อน

    Nimependa nahitaji kujua zaidi hasa upande wa moto

  • @sadaalli6057
    @sadaalli6057 3 ปีที่แล้ว

    Naomba vipimo vya vitu vyote my

  • @mwantumhemed8625
    @mwantumhemed8625 4 ปีที่แล้ว

    mungu akulinde dada nakupenda san

  • @everlynmassingadominic8670
    @everlynmassingadominic8670 ปีที่แล้ว

    Asante sana hizi karatasi napata wapi na ni size gani

  • @elizabethmahua9411
    @elizabethmahua9411 4 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe dear

  • @sumahtelecom6458
    @sumahtelecom6458 ปีที่แล้ว

    Naweza pika keki kubwa kwa hiii recipe yan kwny tin ya nch 8 YAN NIKIPIKA KWNY NCH 8 AU 6 ZIWE KMA ZA BIRTHDAY

  • @mwajumakiemena4492
    @mwajumakiemena4492 4 ปีที่แล้ว

    Unaeleweka adi raha Dada.. Nami nataka nianze hii biashara inshaallah. Mana napenda sana kubake..

  • @magrethvenance5596
    @magrethvenance5596 4 ปีที่แล้ว

    Napataje vipimo

  • @AsnathMuna
    @AsnathMuna 7 หลายเดือนก่อน

    Tunaomba vipimo

  • @Amina-tq9vh
    @Amina-tq9vh ปีที่แล้ว

    Vipimo sijaviona my

  • @nolimittvonline6822
    @nolimittvonline6822 ปีที่แล้ว

    Yani wew dada akuna kwa dunia hii

  • @doukourefatoumatafahad4422
    @doukourefatoumatafahad4422 4 ปีที่แล้ว

    Shukran dada kwa mafunzo na unazi pack izo keki zingali naka moto kadogo ao completly cooled down

  • @careenrichard7025
    @careenrichard7025 4 ปีที่แล้ว

    Moto naseti ngapi mumy

  • @didahhafidh6804
    @didahhafidh6804 4 ปีที่แล้ว

    Dada vipimo hvi ni cake ngap

  • @aminahnakyanzi4727
    @aminahnakyanzi4727 4 ปีที่แล้ว

    Mpenzi asante sana

  • @hotkitchenapple83
    @hotkitchenapple83 ปีที่แล้ว

    Sijui nimekosea wapi.... Hazichambuki

  • @AngelusMhelela
    @AngelusMhelela 9 หลายเดือนก่อน

    Nipate somo nipo Iringa

  • @ysherswalehe2821
    @ysherswalehe2821 4 ปีที่แล้ว

    Moto wa cup cake Ni tofauti Na wa cake kubwa???? Naomba muongozo Moto wa cake za kawaida Na Moto wa cake hizi unaset ngapo😍

  • @raphaelikisaka3259
    @raphaelikisaka3259 ปีที่แล้ว

    Msaada naomba namba za cm mm naitaji vifaa vya kutatia biscut

  • @AngerinSawe-bm5ic
    @AngerinSawe-bm5ic 9 หลายเดือนก่อน

    Je nikiweka maji badala ya maziwa itakuwaje

  • @SanuraMbaga
    @SanuraMbaga ปีที่แล้ว

    Dada Mambo mm najifunza kupamba keki lakin sijui jinsi ya kupanga bei na saizi ya keki

  • @aminachembela7471
    @aminachembela7471 4 ปีที่แล้ว

    Asante kwa somo

  • @pendosumary6301
    @pendosumary6301 4 ปีที่แล้ว

    Nawea pata hivyo vifaa mamy

  • @brayufulala5748
    @brayufulala5748 4 ปีที่แล้ว

    Asante Sana dada

  • @nithawizzo
    @nithawizzo 2 ปีที่แล้ว

    🔥

  • @christerkilamlilo7013
    @christerkilamlilo7013 4 ปีที่แล้ว

    Asante kww somo Dada. Hiyo mashine ya kukorogea inapatikana wapi na bei gani?

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  4 ปีที่แล้ว

      Tunazo check instagram:mziwanda_bakers 1.4milioni

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 4 ปีที่แล้ว +6

    Mashaallah dada.
    Naomba mtembelee channel yangu kuona design mbalimbali za kupamba keki.
    Msisahau kusubscribe kulike na kushare

  • @edinamossy4324
    @edinamossy4324 ปีที่แล้ว

    Kwenye scooper unapakaa mafuta kwanza?

  • @getrudaemmanuel4009
    @getrudaemmanuel4009 4 ปีที่แล้ว

    Hivi vikopo vya kuokea vidogo vidogo vinauzwaje?

  • @edwardmsaki4227
    @edwardmsaki4227 ปีที่แล้ว +1

    Nimejifunza mengi kupitia ww leo nimepika kwa mara ya pili nilianza na kilo moja wiki iliopita leo nimepika kilo mbili km itawezekana naomba namba yako ya watsap nikutumie picha plzzzz😊

  • @christinahillary3417
    @christinahillary3417 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki walaiiii

  • @ZiadaKhamisi
    @ZiadaKhamisi 3 หลายเดือนก่อน

    Habari hapo umetumia baking powder ya chapa maandazi

  • @jamilailham2871
    @jamilailham2871 4 ปีที่แล้ว

    Mumy iyo stand y kg 8 wanauzaje? Kama hutojal unielekez ntkapopata.mashallah shukran kwa elimu

  • @reycakesjikoni9085
    @reycakesjikoni9085 4 ปีที่แล้ว

    Asante Sana kwa elimu , naomba tujuze njia ya kuzuia cake kuharbka maana sehem za joto n hatari ski mbili tu cake imeoza

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  4 ปีที่แล้ว +1

      Duh siku mbili tu hatari

    • @reycakesjikoni9085
      @reycakesjikoni9085 4 ปีที่แล้ว

      @@mziwandabakers8297 no maana yke Ni ndani ya sku chache haahaha , Ila Ni maximum sku 4 -5

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  4 ปีที่แล้ว

      @@reycakesjikoni9085 okay zangu zinakaa siku 10 hizi hizi nimeonyesha kwa video

    • @reycakesjikoni9085
      @reycakesjikoni9085 4 ปีที่แล้ว

      @@mziwandabakers8297 oooh! mashallah Ni Nini Siri Zaid?

  • @abdurahmanibahati4572
    @abdurahmanibahati4572 4 ปีที่แล้ว

    Thank you for everything
    Sorry kama sina hio Margarine
    Ntaeza kutumia oil if yes
    Ni L ngapi plz

  • @maimuna9853
    @maimuna9853 4 หลายเดือนก่อน

    Mm napika kilo na nusu naeka mafuta na maji kidogo lakini azivimbi shida nn

  • @yappylunyali8145
    @yappylunyali8145 3 ปีที่แล้ว

    So byurif

  • @gladysgeke3194
    @gladysgeke3194 4 ปีที่แล้ว

    Hellow dear,naomba kuuliza sukari umetumia kampuni gani na unga unatumia aina gani kwa keki za biashara?

  • @MohamedRashid-iu1bc
    @MohamedRashid-iu1bc 12 วันที่ผ่านมา

    Naomba kujua nifanyaje maana kuna mda zina tengeneza maji kwenye mfuko nifanyaje

  • @farhiaosman15
    @farhiaosman15 4 ปีที่แล้ว

    MashaAllah. Hiyo mixer mnauzaje?

    • @farhiaosman15
      @farhiaosman15 4 ปีที่แล้ว

      Pamoja na hiyo oven kubwa ni bei gani huko tanzania

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  4 ปีที่แล้ว

      Mixer 1.4milioni na oven bei ni 1.4milioni

  • @estherkimaro8967
    @estherkimaro8967 4 ปีที่แล้ว

    Je after kuweka hizo cupcake kwenye mifuko unaifunga au unaiacha hivyohivyo wazi

  • @asnathkarua3574
    @asnathkarua3574 4 ปีที่แล้ว

    Naomba kujua keki za 500 unaweka gr ngapi

  • @zadashbkary2247
    @zadashbkary2247 3 ปีที่แล้ว

    Dear baking powder haishi nguvu

  • @khadijaismail5911
    @khadijaismail5911 4 ปีที่แล้ว +1

    Hakika Allah atakulipa

  • @dullahwago5360
    @dullahwago5360 2 ปีที่แล้ว

    Dada ukiwa huna mixer unaweza kutumia mchapio? Na je inatoka vizuri kwa cake za biashara?

  • @neemabange7085
    @neemabange7085 2 ปีที่แล้ว

    Sorry Cc...unaziwek kweny package zikipoa au zikiwa za motoo?

  • @mariamsaidi8039
    @mariamsaidi8039 4 ปีที่แล้ว

    Ahsante kwa mafunzo mazur
    Mshine za kilo2 unazo? Shingap?

  • @fatumasimba7558
    @fatumasimba7558 4 ปีที่แล้ว

    Thanks dear naomba recipe ya red velvet ambayo nitakata vile vipande vya 5000

  • @jenniferbigeyobwire5534
    @jenniferbigeyobwire5534 4 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana!
    Je sukari na margarine unaweza kuipiga kwa muda gani?

    • @queenandchill91
      @queenandchill91 4 ปีที่แล้ว +2

      Mpk iwe nyepesi km sponji...soft kabisa ndo keki yako itatoka vizuri

    • @jenniferbigeyobwire5534
      @jenniferbigeyobwire5534 4 ปีที่แล้ว

      @@queenandchill91 ok ahsante sana

  • @veronicasylvester3823
    @veronicasylvester3823 3 ปีที่แล้ว

    Mfano sina hiyo mashine ya kukorogea naweza changanyia blenda?

  • @chadianduwimana3324
    @chadianduwimana3324 2 ปีที่แล้ว

    Kwani izo cake ukiziweka kwenye mfuko hazi haribiki

  • @hadiamohammed1649
    @hadiamohammed1649 4 ปีที่แล้ว

    Na ivo vibati vinapatikana wapi

  • @evadaud1712
    @evadaud1712 3 ปีที่แล้ว

    Unafundisha vzr hata tulio wageni kwenye biashara hii ya cake Jua tumepata maalifa

  • @shifanamataka6401
    @shifanamataka6401 4 ปีที่แล้ว +1

    🤗😋😋😋

  • @fredricafredrick4997
    @fredricafredrick4997 3 ปีที่แล้ว

    Thank you kwa muongozo,nauliza unga ni aina yoyote ya ngano au upo specific kwaajili ya cupcake?

  • @aalyahnasser225
    @aalyahnasser225 4 ปีที่แล้ว

    Maashaallah 😘

  • @happykenneth1630
    @happykenneth1630 4 ปีที่แล้ว

    Hello dia...hivo vifaa vya kupikia naweza kupata wapi.

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  4 ปีที่แล้ว

      Sie tunavyo na masokoni vipo pia

    • @happykenneth1630
      @happykenneth1630 4 ปีที่แล้ว

      @@mziwandabakers8297 vinapatikana kwa bei gani kwenu

  • @najatladak4750
    @najatladak4750 4 ปีที่แล้ว

    Hellow napenda kufahamu ovan yako ni gesi au umeme

  • @elizabethmayanzi8309
    @elizabethmayanzi8309 3 ปีที่แล้ว

    Hivi vyombo umevipaka mafuta na kuweka unga?

  • @evartkabora357
    @evartkabora357 4 ปีที่แล้ว

    Mnapatikana wapi kama MTU akihitaji bidhaa zenu.?

  • @lucymdete703
    @lucymdete703 5 หลายเดือนก่อน

    Kwenye cup unapaka mafuta

  • @ilhamprecious8816
    @ilhamprecious8816 4 ปีที่แล้ว

    Unauzaje

  • @ruiyaruiya8111
    @ruiyaruiya8111 4 ปีที่แล้ว

    je hizo za elfu kwa bei ya jumla unaziuzaje?