KISA CHA MUSA KUFARIKI AKIONGEA NA MUNGU MLIMANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 42

  • @gloriamichael7935
    @gloriamichael7935 2 ปีที่แล้ว +2

    Huu Musa alizikwa 😭lini mbona maandiko yanasema halikuonekana kaburi la Musa . Hapo someni tena

  • @gynae8407
    @gynae8407 3 ปีที่แล้ว +3

    Story nzuri japo Kuna errors kusu kuzikwa kwa Musa Musa alizikwa na Sir God mwenyewe hakuna anaefaham alikozikwa Musa

  • @amisamay1255
    @amisamay1255 4 ปีที่แล้ว +3

    Kazi nzuri
    Ninaombi uwe unatuwekea andiko mfano kutoka 5:1-6 ndiio hadithi hii tunayosikiliza imetoka hapo kwenye biblia itawasaidia wengi ubarikiwe

  • @amedeusmodestikimey9888
    @amedeusmodestikimey9888 4 ปีที่แล้ว +4

    Tatizo hawasomii maandiko ndomaana wanabisha kila Jambo...MZEE UPO SAWA HAWASOAGI MPAKA WASOMEWE NDOWAAMINII

  • @kabuletepierre7506
    @kabuletepierre7506 4 ปีที่แล้ว +3

    Soma kitabu. Cha Petro. Musa hana kaburi ni Mungu pekee alimzika.

    • @SIMULIZIBIBLIA
      @SIMULIZIBIBLIA  4 ปีที่แล้ว +2

      Kwa mujibu wa kumbukumbu 34:6 pia inaeleza kua Mungu mwenyewe alimzika na HAKUNA AJUAYE KABURI LAKE,neno hilo maana yake nini?maana yake kaburi lipo ila hakuna alijuaye...kama kungekua hakuna kaburi kabisa Biblia isingesema ALIZIKWA...kuzikwa ni kitendi cha kufukiwa ardhini.

  • @mr.azalia4751
    @mr.azalia4751 2 ปีที่แล้ว +1

    Hv wewe ni justin shedi?

  • @kabuletepierre7506
    @kabuletepierre7506 4 ปีที่แล้ว +3

    Waisraeli wangeona mwili wa Musa wangeichukuwa mpaka nchi ya ahadi sababu walienda na mifupa ya Yakobo toka Misri .

  • @kahoribonga9280
    @kahoribonga9280 4 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @hospitalyamungutv8217
    @hospitalyamungutv8217 4 ปีที่แล้ว +1

    Kaburi la Musa halikujulikana acha uongo

  • @catherineluoga3208
    @catherineluoga3208 4 ปีที่แล้ว

    Ni nzuri sana

  • @evelynnelly8426
    @evelynnelly8426 2 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @user-ly2uv6lt2y
    @user-ly2uv6lt2y 9 หลายเดือนก่อน

    😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 3 ปีที่แล้ว

    Asante kwa simulizi

  • @reganibostons5961
    @reganibostons5961 4 ปีที่แล้ว

    Nice 😊

  • @sambegamasatu4561
    @sambegamasatu4561 3 ปีที่แล้ว

    Aminaa

  • @vinnyvinnier1143
    @vinnyvinnier1143 4 ปีที่แล้ว

    Barikiwa Sana

  • @elizabethmwangimaina7418
    @elizabethmwangimaina7418 4 ปีที่แล้ว

    Amen and Amen and Amen and Amen and Amen and Amen Kenya Amen Kenya Amen Kenya and Amen🕊🕊🕊⛪⛪⛪🙏🙏🙏

  • @stephanowillium7367
    @stephanowillium7367 4 ปีที่แล้ว +1

    Nzr kaka

    • @millicentmweni4074
      @millicentmweni4074 4 ปีที่แล้ว

      Ni shetani alitaka mwili wa Musa alipokufa mungu akamuliza shetani kwakosa gani unataka mwili wa Musa shetani akajibu mungu kuwa Musa alimua mumisli moja mungu akwamwambia shetani wacha tupime wema wa Musa na ubaya walivyo Pima wema ukawa juuu ubaya ukawa kidgo kwa mungu akamzika Musa amamubadilisha mwili huu wa nyama akawa naibii wa mungu kumbuaka pale yesu alienda milimani kuomba Musa na eliya nabii wa kale walikuja kumutia nguvu

  • @shubemponda5470
    @shubemponda5470 4 ปีที่แล้ว +2

    Siyo sahihi hiyo stori, kabur la musa halitambuliki lilipo

    • @SIMULIZIBIBLIA
      @SIMULIZIBIBLIA  4 ปีที่แล้ว +2

      Halitambuliki na wana wa israel ila Mungu anajua lilipo,pia Biblia imeeleza kua Musa alizikwa katika nchi ya Moabu sehemu ambayo Mungu anaijua

    • @josephkiwale374
      @josephkiwale374 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@SIMULIZIBIBLIAkama amezikwa nchi ya moabu unaweza kutuambia nimoabu sehemu Gani Ili tujue eneo husika?hlo ndo tatzo letu wakristo unafiki mwingi tukibanwa jibu jepesi ni roho mtakatifu,shame on you

  • @droptop5771
    @droptop5771 4 ปีที่แล้ว +2

    Ila kuna simulizi kua Musa alipokufa huko mlimani
    Bas alitoeka na hakuonekana tena hata wana wa islael walivmtafta kw mchana na usiku pasipo kumuona je inakuaje na simulizi hio🤔🤔🤔

    • @chrispapreeh6796
      @chrispapreeh6796 4 ปีที่แล้ว

      bigbengs official ndio

    • @SIMULIZIBIBLIA
      @SIMULIZIBIBLIA  4 ปีที่แล้ว +2

      Musa alizikwa na Mungu mwenyewe,ni kweli wana wa israel hawakuuona mwili wala kujua ni wapi alizikwa,Lakini hakupaa kama Yesu,na kitabu cha Kumbukumbu 34:6 Neno linaeleza kua MUSA ALIZIKWA na MUNGU katika nchi ya MOABU.

    • @droptop5771
      @droptop5771 4 ปีที่แล้ว

      @@SIMULIZIBIBLIA saiv nimeelewa

    • @amisamay1255
      @amisamay1255 4 ปีที่แล้ว

      mm msikilizaji mzur na vijana wangu nakuomba uwe historia unaiandikia mstar wa kutoka kitabuni kwenye biblia

  • @iddymusa9512
    @iddymusa9512 3 ปีที่แล้ว

    Justine shed jmn

  • @samwelmashamba7180
    @samwelmashamba7180 3 ปีที่แล้ว

    Musa alikua mweusi tii,sio mzungu

  • @jhayparism1152
    @jhayparism1152 4 ปีที่แล้ว +2

    Story ya Uongo na Unafiki mtupu

  • @kabuletepierre7506
    @kabuletepierre7506 4 ปีที่แล้ว

    Malaika wa Mungu aligombana na shetani wakipigania mwili wa Musa shetani alitaka achukue mwili wa Musa lakini kashindwa.

  • @veronicaaudax1013
    @veronicaaudax1013 4 ปีที่แล้ว

    L

  • @shadyrich2143
    @shadyrich2143 4 ปีที่แล้ว +1

    Musa hakuzikwa ,Yuda 1:9

  • @dinocastico8495
    @dinocastico8495 4 ปีที่แล้ว

    NENO LA MUNGU NI MZIGO MZITO KWA MTU MVUVI WA KUFIKIRIA. Sitaki kuamini kua mungu aliwapenda watu fulani saana kuliko wengine ilihali alituumba sote kwa mapenzi yake... ila kwakua kitabu fulani kimesha toka katika lugha halisi ya unabii. Kwakua killa nabii alikuja na lugha asili kuwasiliana na watu wake. Hili linanipa mwanya kuamini kidhati biblia imesheheni kalam za waandishi . ikifikia mahala mungu kuwapa watu ardhi fulani wengine wakawa hawana haki katika ardhi hio sasa waliumbwa kwa lengo lakuishi wapi? Tuliumbwa kwa makusudio. Je yapi ? Fikiri jawabu usinipe. Roho moja, mungu mmoja, imani moja. M'bora kwa mungu ni yule mwenye kutimiza agizo la mungu. Na si vingine tuache utumwa wa fikira.

    • @josephkiwale374
      @josephkiwale374 6 หลายเดือนก่อน

      Fikra kwamba taifa Fulani ni Bora kuliko linguine ni upuuzi ,,taifa teule ni wale wanaoishi Kwa amri na Sheria za Mungu

  • @babaabduliitanzania7463
    @babaabduliitanzania7463 4 ปีที่แล้ว

    Miongoni mwa Maovu na madhambi mabaya makubwa ni kuchora au kuchonga sura na picha za mitume wa Mungu Tahadharini Msijisahau na media zenu

    • @frankhoffa8356
      @frankhoffa8356 4 ปีที่แล้ว +1

      Uongo tatizo hamjui nn maana ya mifano hiyo.

    • @SIMULIZIBIBLIA
      @SIMULIZIBIBLIA  4 ปีที่แล้ว

      Asante kwa maoni,je Neno hilo limeandikwa sehemu gani kwenye BIBLIA?

  • @babaabduliitanzania7463
    @babaabduliitanzania7463 4 ปีที่แล้ว

    Miongoni mwa Maovu na madhambi mabaya makubwa ni kuchora au kuchonga sura na picha za mitume wa Mungu Tahadharini Msijisahau na media zenu