Mimi nafikiri kuna haja ya serikali kupitia magereza yote na kuwaangalia wazee waliokaa mda mrefu sana gerezani,nakama wakikili hawatarudia makosa wawasamehe,kuliko kuwasamehe vijana ambao wakiludi mtaani wanaanza kusumbua
Mbona wingine hao mnaowapendelea wanauwa hapo hapo Dar mnawaacha huru mnawapa kifungo ya miaka mbili nahao wamekaa miaka 40 jela wakat hata sheria ya kifungo ya uuwaji ni miaka 30 tu wacheni watolewe kama mungu kawaacha hawajafia jela basi kunamazur wanatakiwa wayafanye dunian waaombeen mema wote wanaofanya makosa ili nanyie ipo sku unafanya kosa mungu anakusameh kwa kuwa hukumuhkm aliekosea zaid ya sheria ndi ilio muhkum
Chacha magoti mwenye hukum ni mungu tu binadam tunafundishana tu, ata akikaa ad kifo haitabdili tafsir kua alimuua mkew paspo kukusdia km asemavo wala kufungwa maisha hakuta mfufua aliekufa , miaka 40 sio mchezo atakua kajifunza mengi toka akiwa kijana ad kazeka
Kunakitunimejifunza kwa hawa wafungwa ni kama mwenye alibahatika kupata nafasi ya kuongea aliona nafuu atetee mwenzake mwenye shida kubwa kuliko hata yakwake , poleni ndg zetu Mungu awatetee katika vifungo vyenu .
Dah huyu Mzee anasikitisha mpaka nimelia muheshimiwa rais magufuri mpe msamaha huyo babu amekaa jela muda mrefu amekiri kosa lake japo kosa alilo lifanya la kumuuwa mke wake pia limeniumiza sana alikatisha uhai wa mwenzie basi tumuachie mwenyezi mungu msamee tu keshatubu mungu akubariki .
kikweli kuna umuhimu wa kuyapita magereza na kujua nini huwa kinaendelea huko coz amini ucamini jela ni dunia nyengine ndugu.... USAWA NA HAKI BADO NI TATIZO
Jamani Mungu wetu wa Eliya mtunze uyu rais wetu katka majukumu yake aendelee kuritumikia Taifa lako kwani nitegemeo letu watanzania, tungempata wapi kiongozi kama uyu? Yaani nimejikuta nalia pekeangu. Mungu ibariki Tanzania ❤👏🙏
tanzani mnataka nini au malaika gani mtakuja kumuamini kama siyo huyu magufuli mi nikisikia hata nyimbo ya taifa huwa nasimama na naahidi nitaitetea nchi yangu kwa nguvu yangu yote na nitaipigania mpaka tone la mwisho na nitamlinda raisi wangu na kutii amri na sheria zilizowekwa KIAPOOOOOO
Daah maskin huyu mzee wa watu kanitia simanzii miaka 40 jaman huruma inatakiwa dahh ukiona MTU mzima analia ujue mtihan mkubwa...yan mpk miaka yake kashau
Mungu ni mwema! Naomba rais Mungu amuongoze amuachie
Yallah jalia inji yetu ya congo iweyenye amani na uhuru kama tanzania nA atujalie rahisi kama marahisi za Tanzania naona wivu kwaishi yenu🙏🙏🙏🙏🙏💋💋💋💋💝💝🥰
Mungu atawajalia
Mh rais kwa hali hii una kazi kubwa sana katika kuongoza nchi hii kwa jinsi nilivoona mungu akupe hekima na busara aamin
Jamaa alitoa maelezo ya mwenziwe yupo shapu ila alipoambia ajieleze yeye naona kaanza kigugumizi. Ila Mzee anaitaji msamaha jamani. Nimemhurumia sana
Asisamehew cos kauwaj kibahatimbaya ? Af ukichek ni jitu la MARA kil cku wat wanauwana huko..
Nina kesi ya kujamiana😂😂😂😂😂
Rais Magufuli alikuwa ana huruma sana Mwenyezi Mungu amlaze mahali panapostahili
,😂😂😂😂😂?sasa umeua unategemea nini tena duniani😂😂😂
Mfungwa Huyo kawa mwanasheria ana mafaili acha tu
Ukisikiliza mambo ya wafungwa kama una huruma lazima machozi yatakutoka tu
Ni kweli Dhu! Ama kweli watu wana shida
Anacho Fanya ni vizur sana kusikiliza shida za watu
Forgiveness is key
Mimi nafikiri kuna haja ya serikali kupitia magereza yote na kuwaangalia wazee waliokaa mda mrefu sana gerezani,nakama wakikili hawatarudia makosa wawasamehe,kuliko kuwasamehe vijana ambao wakiludi mtaani wanaanza kusumbua
Acheni hayo. Mnaachia wauaji mnahisi ndugu waliouliwa ndugu zao watafurahi wakati mnaonea wengine.
Mbona wingine hao mnaowapendelea wanauwa hapo hapo Dar mnawaacha huru mnawapa kifungo ya miaka mbili nahao wamekaa miaka 40 jela wakat hata sheria ya kifungo ya uuwaji ni miaka 30 tu wacheni watolewe kama mungu kawaacha hawajafia jela basi kunamazur wanatakiwa wayafanye dunian waaombeen mema wote wanaofanya makosa ili nanyie ipo sku unafanya kosa mungu anakusameh kwa kuwa hukumuhkm aliekosea zaid ya sheria ndi ilio muhkum
Chacha magoti mwenye hukum ni mungu tu binadam tunafundishana tu, ata akikaa ad kifo haitabdili tafsir kua alimuua mkew paspo kukusdia km asemavo wala kufungwa maisha hakuta mfufua aliekufa , miaka 40 sio mchezo atakua kajifunza mengi toka akiwa kijana ad kazeka
Jamanii
Kunakitunimejifunza kwa hawa wafungwa ni kama mwenye alibahatika kupata nafasi ya kuongea aliona nafuu atetee mwenzake mwenye shida kubwa kuliko hata yakwake , poleni ndg zetu Mungu awatetee katika vifungo vyenu .
Yaaani hilo ndo limenitoa machozi ,upendo mkubwa kweli
Amina inackitisha sana
Yote ni kwasababu ya upendo tu ndugu yangu Simion
Wana upendo Sana hawa wafungwa
Pore sana maisha yako yote ya naishia jera😭😭😭😭😭
Magufuli naomba mungu akubaliki dar aiseee,inauzunishasa sana
Dah huyu Mzee anasikitisha mpaka nimelia muheshimiwa rais magufuri mpe msamaha huyo babu amekaa jela muda mrefu amekiri kosa lake japo kosa alilo lifanya la kumuuwa mke wake pia limeniumiza sana alikatisha uhai wa mwenzie basi tumuachie mwenyezi mungu msamee tu keshatubu mungu akubariki .
Mungu akubariki Raisi wangu,najivunia kukuchagu unasikiliza shida za wanyonge,naimani na ww..
😢😢😢😢😢
Kwanin uliuwa
I love president John Pombe Mangufuli.The act of talking directly to inmates is so unique.
Wakurya mwe poole baba
I love this President akii big up magufuli unajali aki za watu may god bles you..eve from kenya
Kwanza ushanenepa wala usiachiwe
Wew ulimua kwakumpga pumbavu kabsa
Aisee hadi huruma mahakamani polisi gerezani kumejaa udhalimu wa hali ya juu mateso
Watatesek wale ambao hawana hatia tu ila wenye kesi za kwel wacha wakae tu
kikweli kuna umuhimu wa kuyapita magereza na kujua nini huwa kinaendelea huko coz amini ucamini jela ni dunia nyengine ndugu.... USAWA NA HAKI BADO NI TATIZO
Da miaka 40 wataikuta tz mpya kabisa
Si ulikatisha uhai wa mwenzio staamili tu. Hakuna namna
😁😁😁we jamaa ww
Ha ha ha ha!!.
Jaman msamehe atoke huyu mzee
Hadi nmelia machozi...40 yrs is too much jamani
Jamani Mungu wetu wa Eliya mtunze uyu rais wetu katka majukumu yake aendelee kuritumikia Taifa lako kwani nitegemeo letu watanzania, tungempata wapi kiongozi kama uyu? Yaani nimejikuta nalia pekeangu. Mungu ibariki Tanzania ❤👏🙏
Dah mpaka nalia
Ndani ya magereza kuna vitu Vingi sana vya ajabu baadhi ya askari magereza wanawauwa sana wafungwa
Una ushahidi
Nimelia machozi juu ya huyu baba jamani mungu amusaidie jamani.
CHUO CHA MZUMBE TANZANIA NI WACHAWI
Haina uhusiano na taarifa iliyopo !Mmh hapo mchawi wewe bhana
Kesi za kubaka mbona nyingi
Msamehe
tanzani mnataka nini au malaika gani mtakuja kumuamini kama siyo huyu magufuli mi nikisikia hata nyimbo ya taifa huwa nasimama na naahidi nitaitetea nchi yangu kwa nguvu yangu yote na nitaipigania mpaka tone la mwisho na nitamlinda raisi wangu na kutii amri na sheria zilizowekwa KIAPOOOOOO
Msamehe baba atahukumiwa mbinguni
kujamiana, siyo kes, kes ni kubaka
Najikuta nalia
Daah maskin huyu mzee wa watu kanitia simanzii miaka 40 jaman huruma inatakiwa dahh ukiona MTU mzima analia ujue mtihan mkubwa...yan mpk miaka yake kashau
Kaua lakini
Farida Abdallah sawa kama katubu hakuna lisilosameheka hata mungu husamehee madhambi yakila aina
Mzee kakaa miaka 40 jela daah japo alitoa uhai wa MTU lakin ameipata huko ,asemehewe anajutia kile alichokifanya
Naomba umsamehe mh.rais 😭😭😭😭daah
Watu wengi wana kesi ndogondogo sana waachiwe wanakula bure.
I wish our president Uhuru Kenyatta can also do like magufuli but he's busy will bbi nonsense
amekili
Akuna kama ww rasi wetu waraaita tokea Tena kama ww
Mageleza za Tanzania zimejaa wanyonge waliosingiziwa kumbukeni hao ni watanzania nguvu kazi za taifa kiongozi nakuomba uliangalie hilo
mungu awasimamie ipo cku
Nakupenda mno magufuli
Rais magufuri mungu akubariki,mi mkenya lakini huwa napendezwa na wesana. rais mwenye roha safi
mai zumu 2019
kasahau mpk miaka yake duh
I am a Ugandan but my president is John Pombe Mangufuli of Tanzania
mkuu msaidie jinsi unavyoweza msamehe tu kishajifunza mwangalie kwa jicho la tatu
Miaka 40 mahabusu duuh hatar !
Rais ww mungu akuweke
jamani inatosha adhabu ya huyo baba
Duniani twapita
Wanaume wengi wanazeekea jela kwa ubakaji
Sakina Omar waache wazeekee kama walibaka kweli
You killed your wife by "mistake"?????I can't judge though.....
Omena Republique yah it happens. It’s called manslaughter