Jamani tuacheni masihara, GEREZANI sio sehem salama...... Japokuwa hatujui kesho yetu, tumwombe sana Mungu wetu atuepushie kikombe hiko kwa wale ambao hatujaonja huko.
Mungu akubariki Sana Raisi wetu ila uyo Askari aloambiwa amekusanya cm simuamini na kweli ana kiburi mno ukweli ukimuacha apo anaweza akawazuru ao wafungwa
Wafugwa wengine wamefugwa kwa makosa ya kisiasa yaliyosababishwa na Magufuli. Leo anataka tumuone ni mwema sana kwa sababu uchaguzi unakaribia. Rais wa wanyonge anaeteka watu, anaepiga watu, anaeua watu. Tutajua kuwa ni wa wanyonge 2020.
Ni heri ninyi maokutwa na hatia na kujisahihisha mbele za mungu kuliko sisi tunaojiona tuko sahihi mbele za mungu na jamii lakini hapa ndipo pa kujifunzia .mungu tusamehe na ulirehemu taifa letu.
Roho inaniuma mimi kuona Watu wamedhulumiwa maisha yao daaah,Yaani wako magerezani lkn hawana hatia mweeh,Rais wetu ubarikiwe Hata Kwa kuwakumbuka hao wafungwa
Kazi nzuri unafanya mh' prezida japo tumewaskia wafungwa ndio wangine wanabambikiw kesi ni kweli kabisa lakin ningeomba na huyo askari aliingia km mwl na ss ana bachelor anataka kwenda masters uchukue maelezo yake kwan yana umuhimu sana kwa hiyo idara ya magereza inasahaulika sana vitendea kaz hawana.
Wale waombaji,jamani Tunatakiwa kuomba sn ili Mungu aingilie kati hawa wafungwa waliosingiziwa watoke gerezani! Roho imeniuma sn,yaani mtu unamsigizia mwenzio kesi ili ww upate nn!
Amen lnshallha mungu akulinde akupe afya njema rais wetu me sijawai kukuchukia ata sikumoja nakupenda rais wangu hira huyo police anaonekana kibuli usimuache apo eti anamshukuru kamuhinuwa
Emwenyezi mungu mwingi wa rehema mwenye kurehem nakuomba Mimi mjawako kwaulimi wangu mwenyewe bilaya kulazimisha nakuomba wasaidie nduguzetu watanzania wenzetu wasio na makosa walio ingia gerezani kwa matakwa ya watu wenye nguvu ya kifedha wapunguziwe vifungo vyao ikiwezekana waachiliwe kabisa ya Allah says sisi sote nawafungwa watarajiwa na tunakuomba Kwa moyo mmoja
Tanzania kuna dhulma nyingi sana.Mijitu inaroho mbaya kuliko sura zao.Watu wengi wamedhulumiwa ,wako jela kimakosa.Ukiwa mnyonge huna pesa Africa sio mahali pakuishi.Askari wajeur, madaktar ni shiiida...Namuomba mungu awaalaani wote wanaodhulumu wanyonge(watoto, wanawake, vikongwe,wafungwa).
Mweshimiwa kiukweli wewe ni kama nabiii namuomba mungu akutagulie na akupe uwapesi wa kazi jitahidi kufika mpaka kijijini nako kunamatatizo mengi nako wanahitaji msaada wako
@@sarahhalfani4472 dada makosa wote tunafanya lakini hukum yake huyo sio ya mchezo yaani miaka Arobaini hata mimi sujafika lakin mzee yeye yupo jera tu. Naamn ameshahifunza na hawezi kufanya mauaji tena hivyo angepata neema hata yakumalizia miaka yake uraini lakin basi
Pole sana munyezi mungu askie maombi yenu ,pia asante kwa rais kujifikisha mahali pale kusikiliza kila kilio cha mfungwa ,nimejipata majonzi yanatiririka ririri pole sana
Kama unampenda Raisi Magufulii weka like yako
Kama umetoa machozi like yako hapa
TBC mitambo yenu mbona unazingua kukatakata
Inauma sana
Kweli wanaokwenda jela sio wote wanahatia
Nimelia kwel inaumiza
Angel Alphonce !!!
Choose magufuli.
Millard AYO fanya kutembea na raisi anapo enda uturushie habari mana hizi za TBC zinazingua sanaaa
Watching in Czech Republic.. Tanzania you got a good president..am proud of him.am a Kenyan... @uhuru Kenyatta I hope you watching this..
chupeewatta oooh am in Prague
@@johnvictory4420 watta Watts @fb
Jamani tuacheni masihara, GEREZANI sio sehem salama......
Japokuwa hatujui kesho yetu, tumwombe sana Mungu wetu atuepushie kikombe hiko kwa wale ambao hatujaonja huko.
Yani kaka acha tyuu maisha haya akuna sehemu yanye usalama bora njee kuliko ndan maan dah
Inatia uchungu xn huy rais cy binadam ni malaika sijawai ona binadam kama huyu
Duuuuuh!
Mungu akubariki Sana Raisi wetu ila uyo Askari aloambiwa amekusanya cm simuamini na kweli ana kiburi mno ukweli ukimuacha apo anaweza akawazuru ao wafungwa
Mungu akubaliki laisi wetu
JUDITHI WA KAROYO Mimi natamani Rais angeondoka nae tu
MashaAllah sijapata kuona Raisi wa wanyonge kama huyu Allah Azidi kukuongoza baba wa wengi mtetezi wa wawanyonge
Mariamu Saidi wewe ndio mnyonge fala ww
Nikweli kabsa si wingine walio pita
siwezi kuamini kama kiongozi anaweza fanya hivi 🙏🙏🙏🙏🙏 mungu akutangulie sana aya maisha ni yaaa ajabu no one know tomorrow
Mungu akubaliki baba magufuli wewe ni baba wawanyonge💪💪💪
Mungu akubariki mheshimiwa Rais wewe ni Rais wa wanyonge ubarikiwe
Wafugwa wengine wamefugwa kwa makosa ya kisiasa yaliyosababishwa na Magufuli. Leo anataka tumuone ni mwema sana kwa sababu uchaguzi unakaribia. Rais wa wanyonge anaeteka watu, anaepiga watu, anaeua watu. Tutajua kuwa ni wa wanyonge 2020.
Hongera RAIS wetu mpendwa#ramadhan aldawiyya#
@ABDALAH FARIDA umeona ehee anafanya haya kwa kuwa anaona uchaguz unakaribia fyuuu zake
Rais wetu wasaidie wazee hao warud nyumbani
Askari kaongea vzr sana katetea kotekote jaman ningeliomba yule babu aachiwe jaman kakaa jela miaka 40 na anasema anaishi na wenzake vzr tu jaman
Maskini...wamwache huru ,mbaka kashindwa kuongea kwa machungu , kama una machungu kama yangu ngonga like
Dah raisi wetu unapomoyo wakipekee sana hongera sana muheshimiwa
Dah kweli mweshimiwa una rooho zury kuwa kuwakumbuka hao mung akutangulie milele ameen
hongera muheshimiwa rais kwa kuwa saidia wafungwa wa butimba mungu akubarikisaana minakupenda saana muheshimiwa
Tunae rais jamani Mungu amtie nguvu nikazingumu hii, Du!
Sijawai kuona rais kama ancle magu ni rais mwenye uluma sana kama unamkubal magu gonga like
God bless you Mr. President
Ameeeeeen
Ni heri ninyi maokutwa na hatia na kujisahihisha mbele za mungu kuliko sisi tunaojiona tuko sahihi mbele za mungu na jamii lakini hapa ndipo pa kujifunzia .mungu tusamehe na ulirehemu taifa letu.
Kama unamkubali huyo albino gonga like.huyu ondoka nae
............atanidhuru mkuuu, atanichoma sindano ya sumu.
Nimelia kweli inaumiza
@@mwanaidmohamed3880 yaa kwelii.wafungwa wanaumia sana
Mueshimiwa mimi napenda sana kazi yako mashallaha mungu akujaliya afya na mawakni ushinde
Millard Ayo heri agelikua ndie mwenye TV ya kuchukua habari za Rais. Millard Ayo TV Ni hoyee👍👍👍👍
Kuna Askari Kaongea Mambo ya Msingi sana Apo kwa Faida ya Wengi.,
Nimempenda hajabagua kawaongelea wafungwa pia wamejiongelea wao na nchi kwa ujumla
Sana
Kabisa kaongea vzr sana
John maguli ,Raihisi mwenye roho ya utu kweli , amna mwingine kama huyu katika Africa nzima.
Asee umeongea kinyume chake
Tulio muhurumia Alie tumikia mika40
Baba nachoweza kusema Mwenyenzi Mungu Baba azidi kukupa afya njema
I love Jesus
Mungu mbariki raisi wetu mpendwa mlinde umtunze umtegemeze kwa uweza wako aaamen.
Roho inaniuma mimi kuona Watu wamedhulumiwa maisha yao daaah,Yaani wako magerezani lkn hawana hatia mweeh,Rais wetu ubarikiwe Hata Kwa kuwakumbuka hao wafungwa
Karikenya nyamboge mfungwa wa mwika 30 napenda kumsikia kweli anaongea kwa uchungu
Huyu ni mtu wa msoma
mh Saut jaman inakera mitambo mibovu
Kwa kweli kalikenye anaogopa kuchomwa sindano ya sumu mpaka analia mweeeee
@@judithmichael5155 haha 😂
Anaongea kweli
Kazi nzuri unafanya mh' prezida japo tumewaskia wafungwa ndio wangine wanabambikiw kesi ni kweli kabisa lakin ningeomba na huyo askari aliingia km mwl na ss ana bachelor anataka kwenda masters uchukue maelezo yake kwan yana umuhimu sana kwa hiyo idara ya magereza inasahaulika sana vitendea kaz hawana.
Mungu akuzidishie baraka mheshimiwa raisi wa Tanzania, DR CONGO Itapata magufuli lini? Si Mungu akutume kutawala CONGO..?
tbc wanazingua wanakata Kata Sauti Maksudi Kama unakubaliana .na Mimi weka like hawatak Tuujue ukwel
Kaa unataza 2020 gonga like
Wale waombaji,jamani Tunatakiwa kuomba sn ili Mungu aingilie kati hawa wafungwa waliosingiziwa watoke gerezani!
Roho imeniuma sn,yaani mtu unamsigizia mwenzio kesi ili ww upate nn!
Wasaidie hao wafungw magufuli president
Amen lnshallha mungu akulinde akupe afya njema rais wetu me sijawai kukuchukia ata sikumoja nakupenda rais wangu hira huyo police anaonekana kibuli usimuache apo eti anamshukuru kamuhinuwa
MUNGU akusaidie RAIS wangu nakupenda Sana nakuombea... Sana. ulindwe. BABA kweli TZ MUNGU katukumbuka...
Nice our president jpm
Kiukwel inauma Sana 😭😭 Daaaaa ila #Magufuri mtetezi wa wanyonge 🙏🙏🙏👏
Hakuna raisi km magufuli...........magufuli oyeeeeeeeeee
Nakupenda sana rais wangu Magufuli mtetezi wa wanyonge endelea na moyo huohuo rais wetu
Nakupenda Raisi wangu..
TBC nimewapa like ya dole kichwa chini mjipange rais wa wanyonge tupo pa moja Na wewe mungu azidi kukukumbusha Yote ukapate kugusa kila sector
Jmn tz kuna uonevu san aiseeh wakubwa wanakula pesa wanaenda jela wasiokua na hatiA jmn dah poleni sana 😭😭
Emwenyezi mungu mwingi wa rehema mwenye kurehem nakuomba Mimi mjawako kwaulimi wangu mwenyewe bilaya kulazimisha nakuomba wasaidie nduguzetu watanzania wenzetu wasio na makosa walio ingia gerezani kwa matakwa ya watu wenye nguvu ya kifedha wapunguziwe vifungo vyao ikiwezekana waachiliwe kabisa ya Allah says sisi sote nawafungwa watarajiwa na tunakuomba Kwa moyo mmoja
Hakuna watu wanaomba Kama wafungwaa gerezani... Watu wanaokokagaa ukweli.... Mungu akusaidia baba Yetu... Viva JPM
I sarute you president mangufuri mungu akupe maisha marefu kwa kutemberea wanyonge nimetoka kenya
kazi nzuri sana mkuu, unafanya vizuri sana
Tanzania kuna dhulma nyingi sana.Mijitu inaroho mbaya kuliko sura zao.Watu wengi wamedhulumiwa ,wako jela kimakosa.Ukiwa mnyonge huna pesa Africa sio mahali pakuishi.Askari wajeur, madaktar ni shiiida...Namuomba mungu awaalaani wote wanaodhulumu wanyonge(watoto, wanawake, vikongwe,wafungwa).
Kweli dada had nimelia ,kenya pia mambo n haya..mungu awatete wanyonge
Aamin
Huyo askari anafaa kwa kazi ila huyo bid aliowanyang 'anya simu atolewe kaz tena afungwe maana mwizi
wangapi wamesikia askari akisema raisi amekuja kumuinua 😂 😂 😂
Haaaaa nimesikia hata magufuli kashanga kamwambia kuwa Anakiburi sana haaa jameni
Mwambien Mbowe 2020 hana nafasi MAGUFULI WE ARE STILL NEED TO RULE OUR COUNTRY
Hii ni tamu kuliko duh mbowe tupa jalalani.
Jamani wacha nicheke albino jasiri sana 😂😂😂😂”ondoka nae “😂😂😂😂🤔🤔🤔🤔
Tanzania never vote for anyone other than magufuli.... the best african president.... long live africa
Aiseee mpaka nimelia yan kumbe sisi tupo tunaenjoy maisha kuna wenzetu wanateseka jamani😭😭😭😧
Mjengo wa magogoni awamu hii umepata mtu sahihi kwann watanzania tusiamuwe akabaki tu mzee Magu. Hata kufanya uchaguzi naona nikuaribu fedha tu.
Iwe kama Museveni siyo
mungu akutangulie Mh. President @Good job
Miguu haifanyi kazi, ila vitu vingine vinafanya kazi,,,magufuli oyeeeeee
Mungu alivyo mkuu Kalikenya Thomasi Nyamboge yupo Huru🤸🤸🤸
JPM was the most unique president and peoples peoples leader #1 in the world. No one can get close to him.
RIP my dear.
Napenda sana kazi Zaki baba love u
Safi sana Magu👍👍if u deal with them untill finally
Shollah Libu ume comment mara ngapi humu
Mimi ni mkongo lakini naliya sana ju ya hawa ndugu zetu 😭😭😭 yeye ni baba wa wanyonge 🙏
maisha marefu kwako raisi wangu mungu wangu akuzidishie.
Aiseeeee, kwa mwendo huu wanyonge wote lazima tutapa haki yetu..
Wajidanganya
mungu akubariki mheshimiwa rais 🙏🙏mungu ibariki Tanzania 🙏...uyu askari anajua sana mungu ampe afya njema na aendelee na moyo uo uo wakuwaji nawengine
Huyu albino anatia huruma😭😭😭
Huruma kwa huyo mzee aliyekaa 40 Mungu amtete
Super Women nimeumia mno Mungu amtoe nimelia sana
Mweshimiwa kiukweli wewe ni kama nabiii namuomba mungu akutagulie na akupe uwapesi wa kazi jitahidi kufika mpaka kijijini nako kunamatatizo mengi nako wanahitaji msaada wako
Yaani roho imeniuma sana,nimelia hadi nimechoka mungu amsaidie atoke humo jela jamaniiii maghufuli muonee huruma mzee hawezi kuongea tena mmmmmm
Mh rais kwanza hongera pili weka historia duniani kuwachia wafungwa wote
Mungu akujalie afya njema na maisha malefu@@
Na wafugwa kwa mahabusu
mungu awajalie afya njema ,,na mungu atawatetea Amen.
Uyu baba wa miaka 40 jela amenifanya nilie
Hata usilie, yeye kwann amuue mke wake, tena nyumban kwake
Mm nachekaa ata hajui kujieleza acha aozee jela,, jela amenenepa kichwa😆😆
@@sarahhalfani4472 dada makosa wote tunafanya lakini hukum yake huyo sio ya mchezo yaani miaka Arobaini hata mimi sujafika lakin mzee yeye yupo jera tu. Naamn ameshahifunza na hawezi kufanya mauaji tena hivyo angepata neema hata yakumalizia miaka yake uraini lakin basi
Mungu awe pamoja nawe siku zote za utumishi wako Mh.Rais Magufuli
Mungu mwema
President Magufuri daima nitakuombea wwe nimtetezi wa wanyonge, 🙏
duhhh
Amen
Ama kweli nimejikuta nalia ...kwel dunia inamapinduzi
Kweli Tanzania muna Rais mzuri sana gereza zingine za majirani wameozea ndani.
KWA MARA YA KWANZA KUSIKIA RAISI AMEKWENDA KUMHOJI MFUNGWA MAGUFULI NI JEMBE
Pole sana munyezi mungu askie maombi yenu ,pia asante kwa rais kujifikisha mahali pale kusikiliza kila kilio cha mfungwa ,nimejipata majonzi yanatiririka ririri pole sana
president is a chief in confort..pw xna ankooo
Allah mpe maisha marefu RAIS wetu jamani
Magufuli kwa hili Mungu akujalie sana.
Kwa haya Mungu akubariki mheshimiwa Raisi, kuna wafungwa wananyanyasika mno.
kiukweli inauma sana Tanzania yetu ni ubabaishaji tu pongezi kwa raisi wa wanyonge
Subhuhanballh
Jamani huyo albino kanitoa machozi msaidie huyo jamaa raisi wetu
kesi za mauwaji kila mfungwa kauwa apo panatisha magufuri umakini unaitajika
Tbc mnafeli wapi ndo television ya taifa hii kweli ina virus hii
Pendo Mariki hahahhahhhah ina virus
Akna Rais mzur kama Rais w Tanzania magufuli, ,,,Mungu akujalie miaka mingi
Kiukweli Raisi wetu nakukubali sana mungu akubariki
Vizuri ongera mweshimiwa Raisi
Miss you maguful
😭😭😭😭😭Mungu mwenye huruma wasaidie watu wako wanao onewa, eeh Yesu.😭😭😭😭
Saiwiii
Hongera mh Rais kwa kazi unazofanya
TBC you need to work on your streaming, it’s ver very poor😡
Yaani vitu vya taifa jmn aibu. Sijui kwa nini wasibadilike
Ndelly Jonas yaaaaniii boring
Wameniboa kweli hawa tbc
Na hii ni radio ya taifa iko namna hii daah sopoa kabisa
True say kwakweli
Barikiwa baba magufuli
Mungu asnte kwa Yule pastor Alie omba ili msilizwe natumain rais atafanyia kazi maombi yenu polen san mungu ni mwema mtatoka mtakuwa huru.
Mungu mlinde rais huyu wawanyonge kwani umekua mtetezi sana. tunakuombea kila iitwapo leo haya unayoyafanya hapa duniani utayakuta mbinguni.
sarah sarita ameeeen
C kila aliopo gerezan ni mkosaji bali husingiziwa
Hakika wewe ni Rais wa wanyonge Mungu akulinde akupe Afya njema
najikuta machoZi yananitoka kumbe walio gerezani wengine hawana hatia
Nampongeza Mhe. RAISI kwa tukio hilo, ni vigumu kugundua kila jambo kwa kuletewa taarifa, taarifa nzuri ni ile ambayo unayoipokea mwenyew.
huyu askari naomba umuangalie atakusaidiaa mzee anajuaaa kujieleza
yaan TBC mnaboa sana bora musiweke kitu
Ahsante Sana, dah inasikitisha na kutisha.
TBC ndio TV ya taifa lol.... Mbona mnatia aibu what's happen 😵