MAJIBU KWA SHAFII BASALIM JE KWELI MASWAHABA WALIRITADI ? |

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @salumhamed5074
    @salumhamed5074 10 หลายเดือนก่อน +1

    بارك الله فيك وجزاك الله خيرا

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot 10 หลายเดือนก่อน +1

    Masufi nikweli niwazushi lkn wana adabu zao kwa maswahaba.
    Na ukimuona sufi hana adabu kwa maswahaba huyo ni nyani wa mashia

    • @AbdulkarimShosi
      @AbdulkarimShosi 10 หลายเดือนก่อน

      Omar ally kama usemavo watu wa mauled ni wazushi na nyinyi mawahabi si wazushi nauhakika wa mambo nyinyi ndio wazushi wabaya sana kwa maana akida zenu juu ya mwenye ezi mungu ni mbovu sana kwa kmfanya Mola ana mwili kama mwanadamu kuna kufru mbovu kama hiyo kisha mwapata mdomo wa kutukana watu mwenye ezi mungu awaongozee kwa hili

  • @ramygichero1016
    @ramygichero1016 8 หลายเดือนก่อน

    Kiukweli nikwamba uislamu umeanza kupata nguvu kwaajili ya wa Irani na Mashia walio wachache zaidi duniani Masunni ni wengi sana lakini waislamu wanazidi kuwa goigoi ulimwenguni na ipo siku wata tawala dunia

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 6 หลายเดือนก่อน

      Ww uwezi kutuunganisha sisi ni waislamu na mashia shea si dini uloanzishwa na myahudi abdullah bin sabaah Hawa ni makafiri shea akuna mwislamu anae watukana wakeze mtume, na maswahaba ww kwani shia hata kuruani wameituhumu na jibril wamemtuhumu Allah mwenyewe wamemtuhumu sasa kuna uislamu wahivyo

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 6 หลายเดือนก่อน

    Mishia ni mikafiri najisi kabisa kama nguruwe nibora kuliko shea ni viumbe waovu sana bora ya wakristo. Kuliko mijitu ya kishia yamemtukana wakeze mtume,na maswahaba ni mikufari hii mijamaa wamemkufuru hadi allah na kuituhumu kuraani

  • @AbdallahKigage
    @AbdallahKigage 10 หลายเดือนก่อน +2

    Yani hakuna ulicho jibu unatumalizia mb bure
    Ukishasema maswahaba wanaokusudiwa ni wale wanafiqi umekwepa nini

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 10 หลายเดือนก่อน

      Hawa mawahabi wanapenda tv hawaa, hata mwenyewe hajui anasemaje, ila nao wawapumbaze wake tu

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 6 หลายเดือนก่อน +1

      Ww kama shia imekula kwako ni makafiri najisi ngeuwwe ni bora kuliko uovu wa mashea mmemtuhumu mke wa mtume aysha na kumtukana matusi makubwa na kuituhumu kuruani mmetuhumu Allah na mmetuhumu mtume akustaili kupewa utume mpk jibrill mmemtuumu. Alifanya hiyana kupeeleka uttume kwa muhammadi subbuhana lah. Ahhlu nnnarii shia

  • @hilalkhalfan1452
    @hilalkhalfan1452 10 หลายเดือนก่อน +2

    Naona mnazidi kumthibitisha kuwa shafii kasema kweli naona, sijaona kuvunja hoja bado ila ni kumpinga kwa kumuita shia. Kumuita shia haitufanyi bado kukanusha alichokisema wakati mnatuthibitishia ukweli baadhi ya maswahaba wameritadi ndio alivyosema shafi na hakusema maswahaba wote (hilo umemzulia uongo kwasababu tulisikiliza na mwenye kuzushia mtu uongo haingii katika watu wa sunna ila ni mnafiki)

    • @SabakaHaydari
      @SabakaHaydari 10 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe muongo hautokusaidia baadhi ya mashwahaba waliritadi nakupigana nakuuwana

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 10 หลายเดือนก่อน

      @scienceacademy3289 kwanza nakufunza, ukitanguliza neno na "NA HUYO SHIA" maana yake tunafahamu unataka huruma za watu na huna hoja za kumjibu. Pia huyu mtu hakumuongea Sayyid na Abuubakar ra. Hilo uongo

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 10 หลายเดือนก่อน +1

      @scienceacademy3289 kwanza ukisema "na huyo mshia" unamaanisha unaomba huruma za watu au?!!!. WEWE ongea hoja tuone na sio kusema huyo fulani. Kwani muislamu akizini na kafiri akikataza kuzini, jee utachukua hoja ya Nani?!. Pili. Huyu shafi hakumuongea vibaya Sayyid na Abuubakar ra, kwahio Hilo kasingiziwa. Muislamu huwa haqqi katika kuhumu. Jee nyie waislamu gani mnamzulia shafi naye hazui anaongea dalili. Nani yamfalia Uislamu???!

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 10 หลายเดือนก่อน

      Shafy aongea ya muawia. Mwenye hoja avunje na sio matusi. Tunataka elimu

    • @madrasatunnajmizzaahiral-i2478
      @madrasatunnajmizzaahiral-i2478 10 หลายเดือนก่อน +1

      Ikiwa Shaykh Shafi ni Shiiah,ushia wake hautunifaishi sisi wala hautudhuru.Ila akisemacho ndiyo twakizingatia ni kweli au si kweli.Sasa huyo anaye sema ati amjibu Shaykh Shafi,kwanza aongea tu bila yakutusomea vitabu kama afanyavyo Shaykh Shafi,na amsingizia Shaykh Shafi ati amesema kuwa walio ritadi ni Abuu Bakri na Maswahaba wakubwa.Enyi wafuasi wa Ibnu Taymiyyah,acheni uongo katika dini,hayo machapati na kanzu zabei na magari mnayo tetea msiyakose,mkifa na uongo huo yataja kuwadhuru

  • @juma-l1y
    @juma-l1y 10 หลายเดือนก่อน

    shekh Shafii endelea kuwaelimisha watu uislamu ulosawa wenye akili wote tunakuelewa sana.

  • @JumaShundi-tn9pf
    @JumaShundi-tn9pf 8 หลายเดือนก่อน

    Wallah salafy ndiyo daawa ya haqqi..
    Kwa sababu hapa duniani hakuna wanaowaweza mashia ispokuwa assalafiyya

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 6 หลายเดือนก่อน

      Salafi ( jadidah) sio mndhani kujinasibisha na jina ttuu haisadii kittu

    • @ABUUALLY-ch5jr
      @ABUUALLY-ch5jr 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 Ati ya ha

    • @ABUUALLY-ch5jr
      @ABUUALLY-ch5jr 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 Ati ya ha

    • @ABUUALLY-ch5jr
      @ABUUALLY-ch5jr 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 Ati ya ha

    • @ABUUALLY-ch5jr
      @ABUUALLY-ch5jr 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 Ati ya ha

  • @ABUUALLY-ch5jr
    @ABUUALLY-ch5jr 4 หลายเดือนก่อน

    Ndio kunao maswahaba wa mtume s.a.w walitoka ktk uislamu baaada ya mtume s.a.w kufariki na ndio maana ktik ukhalifaa wa abuubakar alipigana vitaa vya waliotoka ktk uislamu sasa hapoo uwongo upoo wapii ?? Yaani nyinyi mawahabii ni walevii hamukijui hasaa munachosema nni

    • @ABUUALLY-ch5jr
      @ABUUALLY-ch5jr 4 หลายเดือนก่อน

      Au wale waliotoka kwenye uislamu hawaitwi maswahaba wanajina jengine wanaitwaa??😂😂 Majingaa ya kiwahabii?

  • @OmarShela-p2z
    @OmarShela-p2z 10 หลายเดือนก่อน +2

    Yan naona huelewekii hata hicho unachokiongea hata hakifanani! Naam sheikh Shafii yuko juu ki hoja, kwan sheikh Shafii amemtaja abubakari? Uyo ibnuttaimiyah yeye mwenyewe hakuwa muislam alakuwa ni mkristo no 2

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 6 หลายเดือนก่อน

      Ww. Kafiri wa kishia tulia dawa ikuingie

    • @OmarShela-p2z
      @OmarShela-p2z 6 หลายเดือนก่อน

      @@AbdulIssa-o7e.... Kati ya wahabi na Shia nani ni muovu zaidi? Taja uwovu wa kishia na mimi nkutajie uovu wa kiwahabi halaf wenye akili watoe hukmu je ni nani anaestahiki kuitwa kafiri?

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 6 หลายเดือนก่อน

      @@OmarShela-p2z wahabi ni jina la Allah akuna dhehebu linaloitwa wahabi huwo ni ujinga wwnu tuuh mnafata mikumbo ahlsuna mnawaita wahabi si ujahli huo hili limekushinda kujuwa ndo utajuwa uovu wa shia

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 6 หลายเดือนก่อน

      Shia ni kafiri ww utamwitaje shia muislamu ouvu wa mashia ni kuwatukana maswahaba, wa mtume saa kuna mwislamu mwenye akili timamu anatukana swahaaba huyo atakuwa mjinga. Wamemtukana bi aysha mke wa mtume na kumwita mzinifu kafiri atainga motoni, wamesema hadi afsa mkewe mtume afai,kuna mengine ni matusi dhidi ya mtume wetu hayafai kutamka, kingine wana itugumu kuruani hii so salama inamapungufu kuna aya zimeondolewa zilizomtaja ally ni mungu, wanaamini kwa takiya ila yao itauja siu za mwisho atakuja nayo imamu mahdi wkat wa mwisho, wamemtuhumu jibril alikosea kuleta wahy kwa mtume wetu muhammadi ilitakiwa utume apewe ally,wamesema ujumbe wa muhammadi ni unamapungufu, wanasema hawmwamini Allah ambaye mtume wake muhammadi ambaye arifa wake wa kwanza alikuwa avubary swidiki, hawamwamini mungu huyo, wamehalalisha mkewo waweza kumuingilia kinyume na maumbile, na maneno hayo yapo kwenye vitabu vyao hata mitandaoni wanazuoni wao huko huko irani wanayatamka tunayasikia kindaki ndaki live hata mie video hizo za kumtukana mama aysha nnazo hapa zimejaa tele haya kuna uislamu hapo yapo mengi ya kufuru yanayowatoa katika uislamu lete kasoro za wahbi unao sema ikiwa ww mkweli

  • @juma-l1y
    @juma-l1y 10 หลายเดือนก่อน

    watu wanao wakataa mashia si waislamu ni wafuasi wa maluuni mu`awia bin abii sufiyani.

  • @musakibwana4596
    @musakibwana4596 10 หลายเดือนก่อน

    Kama baadhi ya maswahaba walirittadi na ni ukweli shida iko wapi hata wanaotuelimisha juu ya hilo walaumiwe????????????? ukweli ndo ufundishwe mukiuficha ndoo iweje??????????

  • @Ashraf-ipm
    @Ashraf-ipm 10 หลายเดือนก่อน

    Haueleweki ww ungejua ungenyamaza unamzuia uongo muislam mwenzako

  • @abiabi9353
    @abiabi9353 10 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe sheikh wakiwahabi kama hizo ndo hoja zako umekwenda na maji. Kiasi kikubwa umethibitisha aliyoyasema sheikh shafii, pili hoja zako hazina msingi maana umeropoka tu maoni yako hukutaja dalili hata moja juu ya hayo uliosema. Lkn pia umejichanganya sana kwenye maelezo yako.lkn na uongo pia umezidisha.Sasa subiria nyundo kali kutoka kwa sheikh Shafii

    • @ismailgavara8223
      @ismailgavara8223 10 หลายเดือนก่อน

      Huyo shekhe shehena mwenye lemba kama tairi ya gari mwanzo ni kafiri sijui ww waparamia nini hapo alafu pia unakaa hata madrasa ujasoma jahil ni jahil tu..

    • @ismailgavara8223
      @ismailgavara8223 10 หลายเดือนก่อน

      Wewe huna lakusema maamuma tu kasome acha kuparamia shingo za wazinga bro

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 10 หลายเดือนก่อน

      @@ismailgavara8223 wewe ni jahili Wakiwahabi kama majahili wwngine.hapa hatutaki mipasho tunataka hoja zakielimu.kama hamuzi kaeni kimya. Sheikh wako wakiwahabi karopokwa tu hakutua ushahidi wakielimu hata mmoja

    • @MB-yq3ty
      @MB-yq3ty 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@abiabi9353
      Abiabi naona umeanza kulalamika kwamba watu ni waongo wanamsingizia Shafii na kwamba nyinyi mnawaheshimu maswahaba!

    • @MB-yq3ty
      @MB-yq3ty 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@abiabi9353
      Kumwita mwenzako Wahab sio mipasho eti na kejeli ndani yake, kwanini usimwite wewe AbdulWahaab. Kwani huyo sheikh Muhammad Abdulwahab alikuwa anaitwa Wahab?. Jambo letu ni moja tu kuwachochea mpaka myazungumze yale yanayofichwa na wakuu wenu hatuhitaji unafiki katika dini. Twajua mnayoyaitakidi ila mwajitahidi kuficha badala yake mwarubuni wajinga na maskini kuwapatia huduma za kijamii njia ya wamisionari. Bainisheni yaliyomo kwenye vitabu vyenu muwaeleze watu namna mnavyowachukia Maswahaba hasa kina Abubakari na Umari eti walimpora Ally Ukhalifa na kwamba kila atakae wapenda Masheikh hawa wawili ni kaafir. Wekeni wazi Manhaj yenu watu waijue msifumbefumbe Mara mdandie kwa masufi mara huku Taqiyyah tupu. Mnakuja na Madai ya kuwapenda Ahllibyt Waongo wakubwa.

  • @salumhamed5074
    @salumhamed5074 10 หลายเดือนก่อน

    Sura mbaya kila mtu bidaa mpotofu

    • @AbdulkarimShosi
      @AbdulkarimShosi 10 หลายเดือนก่อน

      Wewe mashaallah umeumbika ni mzuri hata nabii Yusuf hakupati kwa uzuri wako acha matusi hii ni dini si ushabiki toa dalili

  • @khalidmyaule6187
    @khalidmyaule6187 10 หลายเดือนก่อน

    Tufuate Quruan tuu, mtume hakuwa Shia,Hanaf, wala sunni.
    Neno Islamu maana yake ni to be submitted to Allah.

    • @allymahaba3425
      @allymahaba3425 10 หลายเดือนก่อน

      Assalaam alaykum. Do not say "to be submitted to Allah". Say to submit to Allah".

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 6 หลายเดือนก่อน

      Hilo wasema ww mtu anae tukana wakeze mtume atakuwa mwislamu huyo au kuwatukana maswahaba na kuituhumu quraani kuwa ilifutwa na hawaiamini hii wanasoma kwa takiya tuuh huyo ni mwislamu kaka acha kutuunganisha na mijitu mikafiri hamna umoja na watu kama Hawa nguruwe ni bora kuliko Hawa shia na bora ukafiri wa wakristo so mashia viumbe waovu sana hawataiona pepo Hawa ni ahlu nnari Allah awangamize na awavunje migongo yao kwakule kuwatuhumu swahaba wa mtume na kuwatukana wakeze mtume Allah angamize ndimi zao

  • @AdamuBakari-eo2tw
    @AdamuBakari-eo2tw 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kashia hako

    • @muhammedaloufy4086
      @muhammedaloufy4086 10 หลายเดือนก่อน

      msijifiche ktk kichaka cha kumwita Shia! wapi Shafi kasema masahaba wakubwa walirtadd? wapi leteni clip! WAONGO WAKUBWA NYIE

    • @allymahaba3425
      @allymahaba3425 10 หลายเดือนก่อน +1

      Kama Ushia ni kuwaumbua Mawahhabi basi ni Ushia mzuri, Bora aendelee. Tunafaidika Al-hamdu lillaah.

  • @SaidJuma-ru7vm
    @SaidJuma-ru7vm 10 หลายเดือนก่อน

    Ukishasema ukweli tu unaonekana ni shia 😅😅😅 na yy sheikh hawatukani yy kama yy hao maswahaba isipokuwa historia na hadithi zinasema hivyo

    • @AbdulRahmanAliy-sr7gw
      @AbdulRahmanAliy-sr7gw 10 หลายเดือนก่อน

      Ww una akili timamu ?
      Hadithi gani inayo mtukana swahaba ?
      Na ukweli gn aliizungumza uyo Shia wako ?

    • @muhammedaloufy4086
      @muhammedaloufy4086 10 หลายเดือนก่อน

      Mfano Ammar bin Yaasir hakuambia na Mtume kuwa atauwawa na kundi ovu? Ammar akaja kuuwawa na nani?

    • @AbdulRahmanAliy-sr7gw
      @AbdulRahmanAliy-sr7gw 10 หลายเดือนก่อน

      @@muhammedaloufy4086
      Kwan kila muovu yafaa atukanwe ?
      Afu je utasemaje juu ya watu walio hudhuria vita vya badir?
      Mtume swallallahu alaihi wasalam hakusema wafanye watakalo wao ni wtu wa peponi ?
      Je kwenye ilo Kundi ww unalo Sema ovu hawamo walio hudhuria vita na
      Je hakuna watu waliobashiriwa pepo na vp ubashiri wao umetenguka ?

    • @SaidJuma-ru7vm
      @SaidJuma-ru7vm 10 หลายเดือนก่อน

      @@muhammedaloufy4086 Ammar aliuliwa na kundi la Muawiya likiongozwa na Bi Aisha

  • @shabanihugo8332
    @shabanihugo8332 10 หลายเดือนก่อน

    Huyo kijana Hana elimu na mashia ndo walivyotumia watu wasiyo na elimu

  • @RashidKarata-y1h
    @RashidKarata-y1h 10 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa hapa na wewe mbona umetumana maswahaba..!
    Umesema maswahaba ni wanaafiq

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 10 หลายเดือนก่อน

      Mawahabi akili yake nae aseme tu, ila hajui hata mwenyewe nini amesema🤔!

  • @salumhamed5074
    @salumhamed5074 10 หลายเดือนก่อน

    Mashia golo na masufi njaa Allah awatokomeze kwa ujinga wao

    • @AbdulkarimShosi
      @AbdulkarimShosi 10 หลายเดือนก่อน

      Salum hemed sioni Faida kwa hizo comment bali matusi tuu hii ndio manhaju salafi munayo linganiabasi kama ulingazi ni huu namuomba mwenye ezi mungu atuepushe nao

    • @ramygichero1016
      @ramygichero1016 8 หลายเดือนก่อน

      Wasikilizaji tinataka hoja siyo majungu

    • @ramygichero1016
      @ramygichero1016 8 หลายเดือนก่อน

      Tunataka hoja sisi hata mkiristu akikushinda kwa hoja watu wataingia kwenye ukiristu kwahiyo jibu hoja kwa ufasaha

  • @allymahaba3425
    @allymahaba3425 10 หลายเดือนก่อน

    Na bado. Mawahhabi mtatafutana na mtakiona kwa huyu Sheikh Shafi. Kumbe hoja za Sheikh wenu Ibn Taymiya ni ukafiri mtupu. Uipotoa shahada upya shauri yako. Eti "Oh Mshia" Badala ya kutoa hoja za "Kielimu" unasema mavazi yake. Mjinga wewe WAHHABI.

    • @ismailgavara8223
      @ismailgavara8223 10 หลายเดือนก่อน +1

      Mpuzi wewe ni kakwambia huyo ni shekhe ama wakusudia nini ukitaja nisba ya sheikh wakusudia lughawia au ni istilah?? Bimaana shar iyya.

    • @ismailgavara8223
      @ismailgavara8223 10 หลายเดือนก่อน

      Huyo kafiri waki shia

    • @allymahaba3425
      @allymahaba3425 10 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@ismailgavara8223Mtaishia matusi. Hamna ubavu wa hoja Mawahhabi nyie. Leteni hoja ya kielimu basi.

    • @allymahaba3425
      @allymahaba3425 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@ismailgavara8223 Ushia wake mzuri Kwa kuwa Mawahhabi hamna hoja. Endeleeni kusema hovyo.

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 6 หลายเดือนก่อน

      Kafiri wakishia ww toka lini mashia mkawa watu weusi mmedandia mtumbwi wa wahindi sikipindi fulani tukitaka kuingia misikiti ya mashia mabohora tuna fukuzwa nje kuna mlinzi anakataza watu wweusi hamtakiwi leo tunashangaa hadi watu weusi wanajifanya ushia nao kweli shia ni mikafiri ilikubuuhu inawatukana wake za mtume unajidai waislamu et

  • @ismailgavara8223
    @ismailgavara8223 10 หลายเดือนก่อน

    Huyu ni kufar wa kishia. Kafiri mkubwa

    • @meekman1805
      @meekman1805 10 หลายเดือนก่อน

      Umepata ruhusa wapi ya kumuita Muislamu mwenzako Kafiri?

    • @ismailgavara8223
      @ismailgavara8223 10 หลายเดือนก่อน +1

      Alie kufunza shia ni waisilamu ni nani

    • @meekman1805
      @meekman1805 10 หลายเดือนก่อน

      @@ismailgavara8223 Na wewe nani kakufunza Mashia ni Makafiri?

    • @meekman1805
      @meekman1805 10 หลายเดือนก่อน

      Umeletewa Wahy kuwa Mashia ni Makafiri?

    • @ismailgavara8223
      @ismailgavara8223 10 หลายเดือนก่อน +1

      Kuto soma bro ndio kunakuonesha kila mwenye shahada ni mwislamu

  • @salimabdalla6290
    @salimabdalla6290 10 หลายเดือนก่อน

    Meza yake iko wazi wewe acha propaganda mpigie simu mkae chini ama uende mkafanye hiwar huyo ni sufi tena mm kama mimi namkubali sana mana ilkuwa nkijiuliza kwanini mashekhe zetu hawataki kuyafunua haya na mashekhe wenzao wayaeleza mskize Ahmad shariff wa azhary mskize Ahmad daud wa sudan na wengi....

    • @mkubwamasoud2776
      @mkubwamasoud2776 10 หลายเดือนก่อน

      Sasa wewe unaamini Maswahaba wa Mtume waliritadi?

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot 10 หลายเดือนก่อน

    Mashia wametumia akili kubwa sana kumtengeneza huyu nyani, na ndiomana akawa ana watatiza baafhi ya watu wasiotaka kusoma kwa maneno yakr ya shubha, lkn tunaelewa kua hili nyani la kishia pumbavu moja ivi la ajabu.

    • @muhammedaloufy4086
      @muhammedaloufy4086 10 หลายเดือนก่อน

      wewe achana na Ushia jibuni huja zake!

    • @OmarAlly-iz8ot
      @OmarAlly-iz8ot 10 หลายเดือนก่อน

      @@muhammedaloufy4086 umeisikiliza hadi mwisho au waiga watu?
      Na kama ni hoja tayari keshajibu unataka nini sasa?

    • @JumaMsangaziMsangazi-nq1ru
      @JumaMsangaziMsangazi-nq1ru 10 หลายเดือนก่อน

      Huyu ni SHIA nilisema muda sana kuwa huyu ni SHIA

    • @JumaMsangaziMsangazi-nq1ru
      @JumaMsangaziMsangazi-nq1ru 10 หลายเดือนก่อน

      SHAFIY NI SHIA tena ni hatari sanaaaa...tena hafai kufuatwa a wala kusikizwa...nimpotoshaji mtupu.....

    • @JumaMsangaziMsangazi-nq1ru
      @JumaMsangaziMsangazi-nq1ru 10 หลายเดือนก่อน

      Sijawahi ona wala kusikia kuwa tangu nianze kusoma kwangu kuwa Msomo anamkufurisha mwanachuono tena anayejinasibu na عقيدة اهل السنة والجماعة....anafanya mambo yaupotofu kama hayo....Khilafu zipo ila sio kukufurisha...kwasababu ktk عقيدة اهل السنة ....لا نكفر احدا استقل قبلتنا....sasa huyu hata akida ya Ahli sunna haifahamu