PICHA NYINGINE ZA KASIIM MAFUTA ZIKO NJIANI:HAKUNA PICHA ILIYO FANYIWA EDITING

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 66

  • @adamhashim3352
    @adamhashim3352 11 วันที่ผ่านมา

    Kasimuuu weeeee. Umependezaaaa😂😂😂😂😂😂😂njoo huku ujitizame

  • @awadhmchaki6567
    @awadhmchaki6567 16 วันที่ผ่านมา +3

    Toka Zako! dhahabu haichafuliwi na tope Qaasim Allah akuhifadhi na akulinde Shari zao.

    • @NassorHassan-no1cr
      @NassorHassan-no1cr 16 วันที่ผ่านมา

      Kassim sio معصوم atarajaa tu

    • @FatmaaMussa
      @FatmaaMussa 7 วันที่ผ่านมา

      Hiyo jaahili ndio dhahabu duh

  • @TawakalKabea
    @TawakalKabea 12 วันที่ผ่านมา +1

    Kwann sheikh Saleh fauzan ham muradd

  • @UmAisha-zg2xo
    @UmAisha-zg2xo 12 วันที่ผ่านมา +1

    Assalaam alykum, Allah akuongoze mana unachoongea ukijui mche mola wako Allah muhifazi Qassim mafuta anamaadui wengi kakoswa lisasi ikampiga mwanafunzi wake akafa

  • @Bigshop-e5w
    @Bigshop-e5w 5 วันที่ผ่านมา

    Ww ndoutapata shida

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 15 วันที่ผ่านมา +1

    Shehe. Kassm mafuta usiwajibu hawa fanyakazi ya Allah. Wao waache wadili na hizo picha

    • @habibiibrahiim
      @habibiibrahiim  15 วันที่ผ่านมา +1

      @@HanifaOman-oo4pl hiyo ni sawa kabisa please subscribe my channel

    • @NassorHassan-no1cr
      @NassorHassan-no1cr 13 วันที่ผ่านมา

      @@HanifaOman-oo4pl kwa sababu kassim mzee wa haranu halali

  • @habibiibrahiim
    @habibiibrahiim  18 วันที่ผ่านมา +1

    Kazi bado iko makhurafi lazima tuwaeke sawa

    • @habibiibrahiim
      @habibiibrahiim  15 วันที่ผ่านมา +1

      Sawa fala asiyejielewa kufaari wewe usiingilie Mambo yenye haikuhusu

  • @songombingo108
    @songombingo108 16 วันที่ผ่านมา

    Waislam tumebaki kuzozania Picha😢😢 Tumebaki kuangalia Maulidi ni Bid-a au sio bid-a. Tuna safari ndefu sana kwenye Uislam

  • @Rukaka_jr
    @Rukaka_jr 13 วันที่ผ่านมา +2

    Kazim mafuta ni mnafki na Allah anamuumbua huyu na usalafi ni kirusi kuliko mashia

    • @habibiibrahiim
      @habibiibrahiim  13 วันที่ผ่านมา +1

      @@Rukaka_jr Ndio kabisa hapo umenena

    • @AbuuBakar1
      @AbuuBakar1 13 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@habibiibrahiimnaona majaahil mwapeana congratulations za ujuhaa 😂
      Haya zimepita siku tano tangu useme picha nyingine ziko njiani au vijana wa cyber wameshindwa editing nyingine?

    • @habibiibrahiim
      @habibiibrahiim  12 วันที่ผ่านมา +1

      @AbuuBakar1 pengine jahiil ni wewe

    • @AbuuBakar1
      @AbuuBakar1 12 วันที่ผ่านมา

      @OFFICIALNACHOT.R shia wanasema makhalifa wote motoni ispokua Aly Shia wanasema Mtume kaoa kahaba na mama Aisha ni kahaba Shia wanasema kila Atakae sema ukhalifa ni kwa shura huyo ni mpotevu na yuwaenda motoni shia wanasema Qur'an hii ni feki Shia wanasema Sahihi mbili zote zawapondea na kuwapinga ahlul bait
      Je wao na masalafy akina nani na shari?

    • @UmmuShaukaani-x6s
      @UmmuShaukaani-x6s 12 วันที่ผ่านมา +1

      Ujinga nimzigo

  • @AhmadMohamad-ew8vo
    @AhmadMohamad-ew8vo 15 วันที่ผ่านมา

    Picha tu za sheikh zinakutrseni je ww mwenyewe akaja

  • @UmmuShaukaani-x6s
    @UmmuShaukaani-x6s 13 วันที่ผ่านมา +1

    Kwaudilifu gani mulikua nao?sema mwaandaa picha nyengine mwazitengeneza ziko njiani.

    • @habibiibrahiim
      @habibiibrahiim  13 วันที่ผ่านมา +1

      @@UmmuShaukaani-x6s twaandaa picha gani ulkweli ni huo huo

    • @UmmuShaukaani-x6s
      @UmmuShaukaani-x6s 12 วันที่ผ่านมา

      @@habibiibrahiim hamuna hofu ya llah nyinyi.

  • @khalidjmaftah9449
    @khalidjmaftah9449 4 วันที่ผ่านมา

    Kama kuna namna yoyte mlioifanya mjiandae

  • @habibmohamed8312
    @habibmohamed8312 16 วันที่ผ่านมา +3

    Kasim mafuta waache washughulike na upuuzi wa picha wewe fundisha dini dini

    • @AbubakariKiwayo-k3s
      @AbubakariKiwayo-k3s 16 วันที่ผ่านมา

      Kasim mumemuona mtume yeye haosey mashekhe woote mnawakosoa ilakasim aaaah hakosey wapuuzi nyie

    • @NassorHassan-no1cr
      @NassorHassan-no1cr 16 วันที่ผ่านมา

      ​@@AbubakariKiwayo-k3skassim atarajaa kwa sababu sio معصوم

    • @NassorHassan-no1cr
      @NassorHassan-no1cr 16 วันที่ผ่านมา

      Kassim sio mtume sasa atarajaa tu anawapa watu wasi wasi mara haramu kisha halali

    • @ramadhanjuma610
      @ramadhanjuma610 15 วันที่ผ่านมา

      Sasa kasim mafuta ana fundisha.Dini gani mpuuzi tu yule

    • @Rukaka_jr
      @Rukaka_jr 13 วันที่ผ่านมา

      Hakuna dini ya kutukana watu, na kuwaingiza peponi watu uwatakao na uwatoe kwenye din watu uwatakao

  • @habibmohamed8312
    @habibmohamed8312 16 วันที่ผ่านมา

    Sisi twajua nyinyi masalafii mnafundisha dini na wao ni watu wa hoja nyingi za mitandaoni

  • @majaliwaking4500
    @majaliwaking4500 7 วันที่ผ่านมา

    Kila siku ujinga huu mtandaoni hauishi hebu tufanye ya muhimu jamani acheni usenge kwenye dini pumbavu nyie

  • @AhmedAlly-xe3uw
    @AhmedAlly-xe3uw 15 วันที่ผ่านมา +2

    Mnamambo ya ovyo kufatilia mtu na maishayake angalia yak ww

  • @BnKagonji-j6m
    @BnKagonji-j6m 15 วันที่ผ่านมา

    Wapinga sunna utawajua tu

  • @matendupiterngoge8707
    @matendupiterngoge8707 16 วันที่ผ่านมา

    Upepo huko sisi tulikua kwenye ukhurafi jamaa yangu huko tunapajua sana huezi kutiridisha na ukhanithi wako huko tumesoma shamsiyy Tanga Allah akatutoa kwenye Ibadan za makaburin alhamdulillah wewe Sema lakini qassimu katutoa kwa Muhammad albidh alikua akilawiti sana vijana huko marui sana huyo mzee alikua akipenda liwati sana na Hilo ndio kimetufanya tutole huko aliesoma mamrui zama za mzee albidh nilazima kakojilewa tu Hilo nilazima

    • @ramadhanjuma610
      @ramadhanjuma610 15 วันที่ผ่านมา

      Acha matusi ww

    • @khalfanmasoud1514
      @khalfanmasoud1514 15 วันที่ผ่านมา

      Kisha ukaenda kufundishwa kwenye matusi na kudharau watu na kubeza na kujiona wewe unajua kila kitu na Fitna ya kuwagawa watu

    • @matendupiterngoge8707
      @matendupiterngoge8707 15 วันที่ผ่านมา

      @khalfanmasoud1514 bidh liwatwi yule mzee woote waliosoma mamrui wengine wako makindu kwa ba jabir huko woote mtihani kwa umma miraa bangi liwatwi ndio kazi yao

  • @habibmohamed8312
    @habibmohamed8312 16 วันที่ผ่านมา +1

    Hatughuriki na upuuzi wao tumongozwa kwenye hii dini kwa mafundisho ya manhaji salafi

    • @NassorHassan-no1cr
      @NassorHassan-no1cr 16 วันที่ผ่านมา

      Kassim atarajaa tu wala wafuasi wake wasimtetee

  • @AbdallahSuleiman-vx6gp
    @AbdallahSuleiman-vx6gp 15 วันที่ผ่านมา

    Wapumbavu wakubwa nyie na ndiyo mnavuruga dini
    Tafuteni mada za kufundisha na kuelimisha picha zina athari gani

  • @humoudseyd7310
    @humoudseyd7310 15 วันที่ผ่านมา +1

    Acheni utoto huuu ujinga mnafanya mwanamme mzima unasutana na mambo ya picha acheni upumbau kuna machau tele yanayo mkera Mungu nyie mnabishana na picha upumbavu mnatuletea....msiupoteze muda wajinga nyie...

    • @habibiibrahiim
      @habibiibrahiim  15 วันที่ผ่านมา +1

      @@humoudseyd7310 sawa fala usojielewa kufaari mkubwa usiingilie Mambo yenye haikuhusu......

  • @bashiryusuf9670
    @bashiryusuf9670 15 วันที่ผ่านมา

    Amakweli wacheni upuzi atubie Kwa Allah sio kwako jee na wewe ukitolewa picha zako ama wazazi wako tafuteni mambo ya elmu sio muazara na kudhalilishana

  • @habibmohamed8312
    @habibmohamed8312 16 วันที่ผ่านมา

    Hawatupozi kwa sababu ya picha usiwajibu tena ni watu wa hekaya nyingi

    • @NassorHassan-no1cr
      @NassorHassan-no1cr 16 วันที่ผ่านมา

      Picha nyengine za aibu sasa kwann amejipiga wakat yeyy anawaambia watu wasipige picha

  • @idrisamakame5604
    @idrisamakame5604 16 วันที่ผ่านมา +2

    Sasa kila.mtu anajua kwamba Qassim Mafuta upo sahihi ila hasad tu

    • @NassorHassan-no1cr
      @NassorHassan-no1cr 16 วันที่ผ่านมา

      Kassim kwa hili amekosea kassim sio mungu

  • @RamadhaniAlly-b1c
    @RamadhaniAlly-b1c 15 วันที่ผ่านมา

    Hivi wewe unaakili kweli wewe kuchunguza na kupambana na picha za mtu someni bana huo ni ujahilia ,Haki haiwezi kuwa pamoja na batili _kwa sababu anasimamia haki kweli atapata shida hata lala hapa mjini kweli nyie laleni ,HAKUNA UPAMOJA HAPA KWENYE UBATILI WENU..

  • @ramadhanjuma610
    @ramadhanjuma610 15 วันที่ผ่านมา

    Na ww upepo zungu mzia picha tu hakuna cha uwahabi wala nn uwisilamu ni mmoja tu acheni chuki zenu hao mawahabi ndo wana taka Dola yakiisilamu isimame ktk Dunia acheni ujinga wenu

  • @idrislemaeiyan
    @idrislemaeiyan 16 วันที่ผ่านมา +1

    Huo msalaba wa nn kichwani sieeeekhe

    • @habibiibrahiim
      @habibiibrahiim  16 วันที่ผ่านมา +1

      @@idrislemaeiyan ipi hiyo

    • @idrislemaeiyan
      @idrislemaeiyan 14 วันที่ผ่านมา

      @@habibiibrahiim kwenye kofia yako ww huo msalaba mwekundu

  • @habibmohamed8312
    @habibmohamed8312 16 วันที่ผ่านมา

    Mkubalie mjinga uepukane na balaa sisi tushajua ukweli

  • @abdulmsofe
    @abdulmsofe 16 วันที่ผ่านมา +1

    Hunajipia hizo ni kiki zakutaka kujulikana hizo picha zimekua ni zamalaika au ni mtu,? Aliempandisha Allah hakuna wakumshusha kama hamnakaziyakufanya mkalale.

    • @NassorHassan-no1cr
      @NassorHassan-no1cr 16 วันที่ผ่านมา

      Allah huyo huyo atamdhalilisha kassim kwa kuwa hana amana ktk elimu Leo katwambia haramu kesho halali

    • @abdulmsofe
      @abdulmsofe 16 วันที่ผ่านมา

      @NassorHassan-no1cr utadhalilika wewe kwanza nasio mdamrefu niayenu nikumdhalilisha mwalimu ako.

  • @RamadhanChiryauta
    @RamadhanChiryauta 16 วันที่ผ่านมา

    Assalamu alykum warahmatullah wabarakatuh smhn ila napenda kuwanasihi mumuogope Allah n msipende kupakana matope ukimuon mwnzio ywaangamia muelekez VP mbona mashekhe mmekuwa mkiiharibu sifa ya dini ya kiislaam? Mnang'ang'ania hanasa za dunia givi hamtambui kuwa nyie n mm n ghariiba ?? Imefikia wakati wakafiri wanaudharau uislam Kwa SBB ya utetec wnu SSA nyie mloisoma dn na kuifhm mnajashfiana je wake ambao mackini hawatmbui hata kidgo wnyj ? Alaa : KULLUKUM RAA'IN WAKULLUKUM MAS'UULUN AN RAIYYATI'II

    • @NassorHassan-no1cr
      @NassorHassan-no1cr 16 วันที่ผ่านมา

      Waalykum slaam warahmatullah kassim aliwapaka matope wengi je mulimpa nasaha???

  • @yunussera4146
    @yunussera4146 16 วันที่ผ่านมา

    Kwani ww ni Allah ampaka atubie Kwa kukuliridhisha wewe

  • @AliyKhatib-g2z
    @AliyKhatib-g2z 6 วันที่ผ่านมา

    Acheni upuuzi nyinyi wajinga watanzania mapuuzi mashoga

  • @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm
    @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm 16 วันที่ผ่านมา

    Yaan hamna akili wapumbavu wazushi ! Mnashindwa kueneza daawah mnafuatilia yasiyo kuwa na maan sasa hiyo itawasaidia nin? Au mmeishiwa hoja na agenda?

  • @BnKagonji-j6m
    @BnKagonji-j6m 15 วันที่ผ่านมา

    Wapinga sunna utawajua tu

  • @BnKagonji-j6m
    @BnKagonji-j6m 15 วันที่ผ่านมา

    Wapinga sunna utawajua tu