Hongeren sana wanakwaya kwa uimbaji mzuri, mwl wangu Vitus utunzi wako ni mzuri mno na wanakwaya wameutendea haki, mpiga kinanda nae super, video shooter nae super,,yaan naurudia huu wimbo kila mara,, sifa na utukufu kwa Mungu.
kaka Vitus Nimeishiwa Maneno, Hongera Kaka Kwakweli Umeupiga Mwingi , Na Wanakwaya Wetu Wameupoga Mwingi Sana pole Pole Tutafika Tu na Jimbo letu Litaluwa Juuu
Hi kitu mbona kali sana, nungu amuongeze nguvu hili muweze kumtukuza mungu. (Sou católico estou em Moçambique), mimi mkatholic niko mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
hongereni sanaa vitamini music ndo hii sasa
Amina... barikiweni ❤❤❤
Hongereni sana kazi nzuri sana ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kaz nzur sana mbarikiwe san
Safi Dana
Beautiful ❤❤❤
Kazi Nzuri sana pendeza
Kazi nzuri sana
Homgera🎉
Hongera sana kazi nzuri.
Dada despina asante sana kwa utume.
Natamani kufika hko🥰🙌🙌 Asante sana kwa ujumbe mzuri
Pole pole ndio mwendo 👏👏👏 Mungu na azidi kubariki hatua zetu hapa duniani 🙏🙏🙏
Ni pole pole mpaka mbinguni
❤kazi nzuri mmeupiga mwingi
Kazi Nzuuri Mnooo nawapongeza kwa hilo Mungu mwema awazidishie
kazi safii....my all time director MDETE
@@Fcharloh_official powa powa
Aminaaa sana mnapendezaaa🎉🎉
Sir.Vitus George🙌
Ongera sana nimebalikiwa kupitia huu wimbo asante sana
Tamu sanaaa....nifuraha gani.....best best best song..Despina may you live long...wanakwaya barikiweni sana
❤❤❤ good song ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Aseh mmeupiga mwingi sana sana sana yan
Kazi safi 🎉
Wow! Mavazi yenyu👌
Asante
Hongeren sana wanakwaya kwa uimbaji mzuri, mwl wangu Vitus utunzi wako ni mzuri mno na wanakwaya wameutendea haki, mpiga kinanda nae super, video shooter nae super,,yaan naurudia huu wimbo kila mara,, sifa na utukufu kwa Mungu.
Thanks for your points
Asante sana❤❤❤❤❤❤❤
@@vitusgeorgeluhuza8830
Hongeren Kwa uimbaji kazi nzuri sana ❤
@@AnnaPaschal-s8r asante ndugu
Hongeren sanaa... Munguuu awazidishee piah mbarikiwe kwa kazi nzuriii ya kuokoaaa rohooo za watuu wapendwaa ♥️♥️♥️♥️🎊🎊
Amina
Hongereni watu wa mungu
kaka Vitus Nimeishiwa Maneno, Hongera Kaka Kwakweli Umeupiga Mwingi , Na Wanakwaya Wetu Wameupoga Mwingi Sana
pole Pole Tutafika Tu na Jimbo letu Litaluwa Juuu
Asante san Kaka Fabian habar za dar es Salam??
@@vitusgeorgeluhuza8830 Dar tuko poa Kabisaa Kaka
Wasalimie Huko
Mwenyezi MUNGU awabariki 🎉🎉🎉🎉
Wow fantastic beautiful 😍 🤩 congratulations 🎊 wimbo mzuri sauti tamu
@@roselambert6700 asante
Amina sana
Hi kitu mbona kali sana, nungu amuongeze nguvu hili muweze kumtukuza mungu. (Sou católico estou em Moçambique), mimi mkatholic niko mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Asante ndugu karibu Tanzania 🇹🇿
Hongera sana kwa wimbo mzuri tumtukuzeni kwa shangwe na furaha
My song of the year❤❤
Beautiful
Kazi safi siku zote
Hongereni sana
@@bonniventuresylivester3133 asante
Ahsantee sana
Naona kama napanda ngazi taratibu kwa madaha kuelekea mbinguni😂😂, asanteni sana Mungu awabariki
@@GETRUDAWILLISON-je5if amina sana mkuu
Asante Sana
Waah 🤗🤗❤️❤️❤️
Pole pole mpaka mbinguni 🎉
Kazi Safi
Kazi nzuri 🔥
Mwl Vitus George nakukubali saaaaana❤❤ na hongeren saana mmeupiga mwingi jaman 😅😅 Nyakanazi hoyeeeeeeeeeeee..........
Mbarikiwe saaaana wapendwa natamani sk 1 tukutane tumsifu Mungu.
Amina Sana kijana utafika mbali
Hala munaweza natamani muda wote nisikilize wimbo hu. "Prefiro todos momentos escutar está música"🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
🤝🤝💯💯
Utunzi mnzuri
Asante Sana❤❤❤❤❤❤❤
Amina
Muziki ni Burudaniiiii
Mna nafasi yenu Mbinguni si kwa utami huu nimebarikiwa mno.
🎉🎉🎉❤
Hongereni
Hakika mmefikisha injili kiufasaha
❤
❤❤❤❤❤
😋😋🎵🎶🎵🎹🎹
Kazi nzuri sana. Hongereni. Ila mwl angepandisha ufunguo kidogo kama nusu tone au toni moja. again, Kazi nzuri
Kweli Kaka ila sii mbaya
@@vitusgeorgeluhuza8830 ni nzuri
Natamani niwaone USO kwa USO wapendwa
@@AloyceSemkalami-xw3le karibuni nyakanazi utatukuta
Karibu San nyakanazi Biharamulo
Hongereni sana kwa wimbo mzuri
❤