Mungu walinde wanakwaya wote kanisa takatifu katoriki duniani kwa.kuwapa guvu na.roho mtakatifu awaongoze imani upendo matumaini uvumilivu katika maisha ya kristor amina
Mungu wangu unilinde dunia hii nchi zote vita sio vita tu ya silaha za.mambomu na bunduki bari ata uzurumati mali za watu watoto walio acha wazazi wao wakiwa wadogo wapate haki yao wanao teseka katika vita hinzi wamama na watoto wazee wangojwa wasio ona wamama wajawazito vijana wasio na makosa vinasababishwa na watu wachache wenye tamaa za madaraka ata kwenye family 👪 zetu kuna vita mungu upokee maombi haya ndugu zetu ujumbe huu hii kwaya amina
Inanikumbusha sku ya mama yangu kuaga dunia nikiskia hii nyinbo namkumbuka mama yangu Edith Senti mwanga wa umuangazie na laha ya milele umupe EBWANA apumnzike milele
Asanteni sana watumishi wa Bwana kwa ujumbe iyi mlio tuletea Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu Amina
Reminds me of my late hubby the choir sang it repeatedly 😭😭😭😭 whenever I listen to it somehow I shed a tear. I thank God it's now my favorite song I've learnt a lot through it and I'm a better person now
Mungu wangu unilinde watu wako asa nchi zinazo pingana vita apa duniani anajari zinazotokea popote duniani kote amina ulinde family zetu kanisa katoriki duniani kote amina viogozi wetu amina
Nyimbo safi na ujumbe wa kutosha pia tuwasamee wanao tukosea kila siku ili tukawe na makao mema kwetu mbinguni....Pia Mungu azidi kuwapumnzisha ndugu zetu wote walio pumnzika kwa amani yake🙏❤🌹
ambao wanakanya pole pole kwa kumtafuta Mungu like nikuon 2024
This song reminds me everything is vanity. Let us invest in the Lord who is eternal
When I hear this remind me my late mum and my late sister......bt also I learnt to be humble
Mimi sio wa catholic church lakini hii wimbo naipenda xaana....is so painful 😣😣 mungu atulinde...wachawi..wanganga..washindwe Kwa jina la yesu kristo
Amina
Inanikumbusha siku tulimuaga baba yangu .. mahali ulipo baba uendelee kupumzika Kwa amani😭😭😭😭😭😭
Pole sana mwah may his soul and of my dad too rest in peace 🥲🥲🙏🙏🥲🥲🥲
Pole sana
Pole sana
Pole sana Mungu azidi kukutia nguvu.
@@johnmunyithya5290uuÿyÿuyuyyuyu6uy6y
Mungu walinde wanakwaya wote kanisa takatifu katoriki duniani kwa.kuwapa guvu na.roho mtakatifu awaongoze imani upendo matumaini uvumilivu katika maisha ya kristor amina
I just get emotional when I resting that song.i remember mymum rest in peace mum
Aminaa sanaa
🙏🙏
Mm inanifundisha kutenda mema hapa duniani.
Amina
After kuiona tiktok here I'm wana tiktok piga like tukisonga
Mr.mkazi
I also saw it in tiktok
Me too
Wimbo mtaamu Sana mwalimu naomba kupata miziki wake nitashurusana
Whenever i hear this song i remember my late father and my late brother may their souls rest in peace.
when i also listen to this song its remains me about my late mother rip mom
God be with you my dear friend always🙏❤
Tukae kwa yesu milele, Amina
This song humbles all humans..be good to all and live a life that only pleases your creator.
Amen
Amen,it surely humbles everyone
Mungu wangu unilinde dunia hii nchi zote vita sio vita tu ya silaha za.mambomu na bunduki bari ata uzurumati mali za watu watoto walio acha wazazi wao wakiwa wadogo wapate haki yao wanao teseka katika vita hinzi wamama na watoto wazee wangojwa wasio ona wamama wajawazito vijana wasio na makosa vinasababishwa na watu wachache wenye tamaa za madaraka ata kwenye family 👪 zetu kuna vita mungu upokee maombi haya ndugu zetu ujumbe huu hii kwaya amina
Mmetutoa kimasomaso wenu ha babati manyara❤
Cette chanson me rappelle le jour où j'avais perdu mes deux parents dont mon père et ma mère,que leurs âmes reposent en train.
Sisi niwapitaje Ee yesu mwema tunaomba huruma yako daimaa😥😭😭🙏🙏🙏
❤❤as the so goes ...Dunia hii si Yenu..kanyaga pole pole ndugu yangu..makao ni Uko binguni...I love the song
Mungu awapeni nguvu muendelee kumwimbia Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Inanikumbusha sku ya mama yangu kuaga dunia nikiskia hii nyinbo namkumbuka mama yangu Edith Senti mwanga wa umuangazie na laha ya milele umupe EBWANA apumnzike milele
pole bro
My brothers continue rip, sisi wote ni wapitaji😭😭😭😭
It reminds me of my grandma i lost two months ago
😭😭😭It reminds me my brother who perished in an accident 😥just 5yrs yaani life is meaningless 💔
kwa kweli tunahitaji nidhamu kubwa na dunia hii ,tukanyage polepole, cyo kwa vishindo.
Asanteni sana watumishi wa Bwana kwa ujumbe iyi mlio tuletea Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu Amina
Nyimbo nzuri sana mke wapo watu wanaowanyasha wenzao uraisi wa milele yao ni hapa duniani
Kanyaga polepole ndugu yangu sisi ni wapitaji makao yetu huko mbinguni nimeiangalia 2024 ina sms nzuri sana
It is a good song am listening now, may God adds them more
Reminds me of my late hubby the choir sang it repeatedly 😭😭😭😭 whenever I listen to it somehow I shed a tear. I thank God it's now my favorite song I've learnt a lot through it and I'm a better person now
Kwani nifaraja moja yakusali ata kama umechoka lakini unapota faraja ya nyimbo kanisa takatifu katoriki duniani umesali kwa imani kuamini amina
Amina sana mtumishi
old is gold nimebalikiwa hakika
❤❤❤ je suis en RDC mais j'aime beaucoup les chansons en swahili ça me vraiment bien
It's a very nice and humbling song,I keep on listening to it each and every night when about to sleep. Kudos to the cjoir members
I like the song
Very nice
I like the song because it makes many people to humble themselves and reminds us we are heading somewhere
Amen good message to our fellow catholic 😊
2024 like tujuwanne ❤
Sure tuwapitaji,,😢
Amen 🙏🙏, this world is not our home nice message to all christian believers from this song, Amen 🙏 Amen 🙏 Amen 🙏
Nice song teach us that the world is not our home
keep it Good work ujumbe wakweli wimbo mtamu sanaa❤❤
Tick tock brought me here.....a nice song good msg
Pumzika kwa amani mdogo angu George kilanga maganya
Mungu wangu unilinde watu wako asa nchi zinazo pingana vita apa duniani anajari zinazotokea popote duniani kote amina ulinde family zetu kanisa katoriki duniani kote amina viogozi wetu amina
Mubarikiwe watumishi wa Bwana kwa kazi njema ya utume
Ongera kubwa ju ya wimbo huu,n'a tunaomba nota ta wimbo huu
Ngoma imekaa vizuri, big up!
Sure nobody is permanent we need to seek the face of the Lord
What a humbling song🙏🙏am a Proud Catholic 🙏🙏🙏
❤❤❤❤❤
Akika tukanyage polpole jaman duniya hi sio yetu makao yetu ni mbinguni ee mungu wangu nakushukulu kwa punzi ❤❤❤
Nyimbo safi na ujumbe wa kutosha pia tuwasamee wanao tukosea kila siku ili tukawe na makao mema kwetu mbinguni....Pia Mungu azidi kuwapumnzisha ndugu zetu wote walio pumnzika kwa amani yake🙏❤🌹
I thought it's a new song ! Good message God's pple..more blessings ...Catholic songs be always on it
God am sorry for the days have been ungrateful 😢
Afadhali kunyenyekea hii dunia si yetu. I feel bad nikiona vile watu hujiona
Endelea kupumnzika kwa amani baba angu mzazi mimi kijana wako nazidi kukuombea🙏
Rest in peace Penina my love my siz .....🌹❤️❤️❤️❤️🙏🕊️🕊️
The bad side of it after this 8 yrs ago the good singers I see here only few of them are existing.....life is too short...🙏🙏🙏
May the soul 😢😢😢 of JPM rest in peace 😢😢😢😢 kweli dunia si yetu
Rest in peace my dad whenever I hear of the song I remember your sacrifice to make me whom I am today
A very powerful message that humbles me and reminds me to do God's will
Humility and love for others is key. We own nothing and cannot afford to be proud
From Tanzania ...am listening the song and love it
🙏🙏🙏🙏🙏🙏 Huuu wimbo unanibarikiii sanaanaa
Great inspiration, yote yatapita tumtumanie mungu.
It reminds me my late father and mother may there souls rest in peace
The song is so nyce, Keep preaching the gospel guyz.
Here because I saw the song on Tom Daktari's content on tiktok❤❤
Wimbo mzuri sana hongereni sana kwa ujumbe mzuri
The song reminds me of my late bro and my late sister
Wooooow 🎉🎉 this is the best song that i have heard today 😊😊
This song touches my heart I feel Pain so sad for losing my grandfather countinue resting in peace
My mum fly high mamaa😓😓
This song encourages me to humble myself all through
Vous avez raison mes frères et sœurs, félicitations pour cette belle chanson
Kanyaga pole pole dua so yetu, ikiwa na maana tuish kwa kumpendeza MUNGU duniani tu, wapitaji tu. 🙏🙏
Kanyanga pole pole ndugu yangu.dunia si yetu
Great message and great song our home is in heaven ;
waooh amazzing song, it is very humbling
Dunia ni mapito.Very Inspiring
nimeipenda hiyo song
It reminds me about my dad who passed away continue resting in peace dad
Wonderful song with a alot of teachings.
Mr. Mkazi comedian wangu anaupenda sana huu wimbo kwa video clips zake
Yaani na mwenzake mboneke😂😂
I love this song very much ❤❤❤❤❤
It melts the heart,,,so amazing song,,,hii dunia siyo yetu
mngu awabariki sana wana roma wenzangu
Wimbo Mzuri Sana jamani hongereni sana
this world is not our home we are just flowers here on earth there is a place for us in heaven
These song reminds me of my Father who left us it is true we don't belong to these world
Hii song unikumbusha siz tulipokuwa tukimuaga 2013
Amen 🙏 Amen 🙏 Amen 🙏🙏🙏 amazing choir 🔥🔥🔥
Very true, God created us in his own image and likeness.Tuwaheshimu na kuwapenda wote pasi kujali utajiri au umasikini.
Tread slowly, a very beautiful song that blesses and has a very good message.❤
kwakeli tumebarikiwa na nyimbo sote
Very nice song!!👌👌👌❤❤👏👏
Keep the faith, inspirit song
I luv this song.God bless the composer and the entire choir as it has very strong message.Davy kbu
So adorable i love it
Nipenda sana huu
Nice song may God continue to blessed all ❤❤
Beautiful song ❤️❤️
Kanyaga pole pole dunia hii siyo yetu🙏
😢😢😢I love this song
Hongereni jaman wimbo mzur sana
Wenzangu mkimbilie bwana hii Dunia zio yetu
Kanyaga pole pole...hakika hii dunia hii sio yetu
❤❤❤ Catholic my church ilove the songs