SITAMUACHA MUNGU - KWAYA YA MT. YOSEFU MFANYAKAZI, NANSIO //Mtunzi: E. F JISSU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • Karibu utazame wimbo Mzuri wenye maudhui ya Mafundisho na Tafakari
    Mtunzi: E. F Jissu
    Waimbaji: KWAYA YA MT. YOSEFU MFANYAKAZI, NANSIO
    Sound Eng.: SHIMANYI FM & PASCHAL P.(DUKE)
    Video Director: SHIMANYI FM
    Audio & Video: CGen Pro
    #kwayakatoliki #africangospel #thanksgiving #newyear2024

ความคิดเห็น • 127

  • @NadraNadia-ed1bj
    @NadraNadia-ed1bj หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri❤❤❤

  • @yesunimwema4497
    @yesunimwema4497 6 หลายเดือนก่อน +6

    Amen 🙏 🙏 🙏 🙏 🎉 mbarikiwe kwa wimbo mzuri from Burundi 🇧🇮 ❤.

    • @MtYosefuNansio
      @MtYosefuNansio  6 หลายเดือนก่อน

      Asante sana ndugu yetu kutoka Burundi

  • @emmanuelmunyika2594
    @emmanuelmunyika2594 7 หลายเดือนก่อน +6

    Hongereni sana waimbaji kwa wimbo wenu huu mzuri. Mungu azidi kuwabariki katika uimbaji wenu.

    • @MtYosefuNansio
      @MtYosefuNansio  6 หลายเดือนก่อน

      Amina sana ubarikiwe pia

  • @johnkarene8963
    @johnkarene8963 6 หลายเดือนก่อน +5

    Congratulations to the singers for this you in your singing🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @Imaginable-Image.
    @Imaginable-Image. 7 หลายเดือนก่อน +3

    ni chuuuma juu ya chuma....😄kaka hii yote 2naiwahi j5 ya majivu tu...😄😅Moto ni hatarrree

    • @MtYosefuNansio
      @MtYosefuNansio  7 หลายเดือนก่อน

      Naam tuzidi kuwa pamoja maana kuna mambo mazuri yanakuja tunawaandalia kiongozi

  • @NeemaMgaya-ez9un
    @NeemaMgaya-ez9un 6 หลายเดือนก่อน +4

    Ananivumilia mengi Zaid ya MTU yeyote sitamuacha kamwe

    • @MtYosefuNansio
      @MtYosefuNansio  5 หลายเดือนก่อน

      Hakika mungu ni mwema sana

  • @VeronicaJuvenary-kn9gl
    @VeronicaJuvenary-kn9gl 4 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana, ujumbe mzito, ujumbe mzuri, hongera sana kwaya yangu pendwa Mungu awaongoze katika uinjilishaji wenu Kwa njia ya nyimbo.

  • @InocentMdoga
    @InocentMdoga 5 หลายเดือนก่อน +2

    Waooo hongelenn sana wimbo mzuli sana sita muwacha mungu maisha yangu yote pamoja na familia yangu

  • @paulinewacuka5237
    @paulinewacuka5237 7 หลายเดือนก่อน +4

    very beautiful song och good words.
    Be bless guys❤❤❤❤

  • @stellamakene
    @stellamakene 7 หลายเดือนก่อน +5

    Kazi nzuri jmn ❤❤❤

  • @remmyadrian8435
    @remmyadrian8435 19 วันที่ผ่านมา +1

    Wimbo mzuri ,sauti zimetulia sanaa ,Na mmependeza sana Mungu awatunze mzidi kumtukuza yeye kwa njiaa ya uimbajiiii❤❤❤

  • @eugenekeragori
    @eugenekeragori 6 หลายเดือนก่อน +6

    Hongereni sana sana kwa huu wimbo mtamu ajabu..mubarikiweni milele na milele Amina,kenya twawakubali

    • @renatusjustine5771
      @renatusjustine5771 6 หลายเดือนก่อน +1

      Karibu sana Nansio ukerewe

    • @eugenekeragori
      @eugenekeragori 6 หลายเดือนก่อน

      @@renatusjustine5771 inshala ..napenda siku moja niwatembelee hapo tukafurahie kwa pamoja

    • @MtYosefuNansio
      @MtYosefuNansio  6 หลายเดือนก่อน +1

      Asanteni sana ndugu zetu wakenya karibuni Tanzania hasa kwetu Nansio Ukerewe(Mwanza)

    • @eugenekeragori
      @eugenekeragori 6 หลายเดือนก่อน

      @@MtYosefuNansio tutatembea ili tuweze kufurahia kwa pamoja 🙏🙏🙏

  • @NicholausTurubuzya
    @NicholausTurubuzya 6 หลายเดือนก่อน +5

    Hongereni Sana mbalikiwe na bwana kwa kazi nzuri

  • @EMILYMDULO
    @EMILYMDULO 7 หลายเดือนก่อน +4

    Congratulations 🎉👏 guys u just made ma day❤ love you all

  • @TumainAndrea
    @TumainAndrea 5 หลายเดือนก่อน +2

    Oohhongereni hii ni alama isiyo futika uinjishaji mwema

  • @BenithaArchard
    @BenithaArchard 7 หลายเดือนก่อน +9

    Hongereni waimbaji,kwanza mmependeza afu wimbo mzurii sanaa,Mbarikiwe kwa uinjilishaji wenu.Amina

    • @renatusjustine5771
      @renatusjustine5771 6 หลายเดือนก่อน +1

      Amina ubarikiwe sana wakaribishe wengi watufuate kwenye account yetu kwa nyimbo nzuri

    • @MtYosefuNansio
      @MtYosefuNansio  6 หลายเดือนก่อน

      Amina sana Ubarikiwe

  • @FarajaKihanga-je5um
    @FarajaKihanga-je5um 5 หลายเดือนก่อน +3

    ❤duh mmenibarik sana mungu awabariki. Sana

    • @Mkatachuma89
      @Mkatachuma89 5 หลายเดือนก่อน +1

      Amina tuzidi kubarikiwa sote

  • @eliaskamulimhoja9313
    @eliaskamulimhoja9313 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana kwa wimbo mzuri toka Parokia ya Mt.Michael jimbo la Kahama

  • @JanethProsper-lc6kt
    @JanethProsper-lc6kt 7 หลายเดือนก่อน +4

    Wooow! Hongeren kwa kazi nzuri....

    • @MtYosefuNansio
      @MtYosefuNansio  6 หลายเดือนก่อน

      Asante sana kwa kutazama

  • @emmanuelbaltazary3564
    @emmanuelbaltazary3564 7 หลายเดือนก่อน +3

    Mambo ni moto... Mbarikiwe sana

    • @MtYosefuNansio
      @MtYosefuNansio  7 หลายเดือนก่อน

      Naam Naam tunajitahidi kwa kadiri Mwenyezi anazidi kutubariki

  • @4cusmsilikinza661
    @4cusmsilikinza661 7 หลายเดือนก่อน +3

    Asante kwa kutubariki kwa kazi njema.

    • @MtYosefuNansio
      @MtYosefuNansio  7 หลายเดือนก่อน

      Amina sana iwe heri kwako siku zote

  • @paulrukenya9153
    @paulrukenya9153 6 หลายเดือนก่อน +3

    Kweli mungu atuvumilia mengi,Kamwe hatufai kumuacha🙏

    • @MtYosefuNansio
      @MtYosefuNansio  6 หลายเดือนก่อน

      Hakika Mungu ni mwema

  • @renathaburchard5554
    @renathaburchard5554 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tumuache Mungu tumkimbilie nani ujumbe muhimu sana

  • @veronicamathias8448
    @veronicamathias8448 7 หลายเดือนก่อน +3

    Hongereni Sana utume mwema🙏🏼💗💗💗💗

    • @MtYosefuNansio
      @MtYosefuNansio  6 หลายเดือนก่อน

      Amina Mungu ni mwema

  • @FredyKahwage
    @FredyKahwage 7 หลายเดือนก่อน +3

    L.
    Pm

  • @emmanuelkiio592
    @emmanuelkiio592 7 หลายเดือนก่อน +4

    Nyimbo nzuri 💯💯

  • @faridamkeya-ku5vb
    @faridamkeya-ku5vb 7 หลายเดือนก่อน +3

    Waooo hongereni kwa uimbaji, hakika ni wimbo mzuri na wenye ujumbe mzuri, sitamuacha Mungu maisha yangu yote

  • @agostinojoseph1951
    @agostinojoseph1951 6 หลายเดือนก่อน +4

    Hongereni Wana nasio kwa utume na hongera kwa mtunzi jissu wimbo mzuri sana 🎉🎉mbarikiwe🙏🙏👏

    • @MtYosefuNansio
      @MtYosefuNansio  6 หลายเดือนก่อน +1

      Asante sana sote tunakupenda pia

  • @MaseleTungu
    @MaseleTungu 6 หลายเดือนก่อน +3

    Hongereni sana, nasikia radha ya sauti zote,,,

  • @MtKizitoNyarubanda
    @MtKizitoNyarubanda 7 หลายเดือนก่อน +3

    Kazi nzuri sana hongereni wajina wetu

    • @MtYosefuNansio
      @MtYosefuNansio  7 หลายเดือนก่อน

      shukrani nyingi sana wajina wetu karibuni sana Nansio ukerewe

    • @butangasospeter8987
      @butangasospeter8987 7 หลายเดือนก่อน

      Zimefika

  • @JosephMalelemba-vq2wn
    @JosephMalelemba-vq2wn 7 หลายเดือนก่อน +3

    Hongeren saña mungu awajalie Zaid ya hapo

    • @MtYosefuNansio
      @MtYosefuNansio  7 หลายเดือนก่อน

      Amina sana tuzidi kuamini katika yeye

  • @gosangapamphily7573
    @gosangapamphily7573 6 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu aendelee kuwabariki kwa ujumbe unafundisha mungu kuwa kimbilio letu milele. Galapo

    • @MtYosefuNansio
      @MtYosefuNansio  6 หลายเดือนก่อน

      Amina uzidi kubarikiwa zaidi

    • @Mkatachuma89
      @Mkatachuma89 5 หลายเดือนก่อน

      Amina. Asante Sana tuendelee kubarikiwa sote

  • @christynandomi3650
    @christynandomi3650 7 หลายเดือนก่อน +4

    kazi imetulia sanaa hongereni sana😊

    • @MtYosefuNansio
      @MtYosefuNansio  7 หลายเดือนก่อน

      asante sana tubarikiwe sote

    • @sylvetertoo5834
      @sylvetertoo5834 7 หลายเดือนก่อน

      Ongera Mt mfanyikazi kwa nyimbo tumu❤❤

  • @monicajohn5578
    @monicajohn5578 16 วันที่ผ่านมา

    Mungu aendelee kukupa afya njema siku zote mwendelee kumsifu na kumtukuza mungu kwa roho na kweli hongeren sana wimbo mzuri sana❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @godfreymakoro8442
    @godfreymakoro8442 7 หลายเดือนก่อน +4

    Safi sana wana jimbo, injili na isonge mbele

    • @MtYosefuNansio
      @MtYosefuNansio  6 หลายเดือนก่อน

      Hakika tuko pamoja ndugu

  • @DominicoMasinde
    @DominicoMasinde 23 วันที่ผ่านมา

    Naombeni copy tafadhali, man nimejaribu kutafta mtandaoni sijaipata, nimeupenda sana huu wimbo

  • @Jimmsuva-be5dc
    @Jimmsuva-be5dc 7 หลายเดือนก่อน +3

    Tuwekeeni zile audio zenu za zamani

    • @MtYosefuNansio
      @MtYosefuNansio  7 หลายเดือนก่อน

      Naam tumelipokea tutalifanyia Kazi kiongozi

    • @Jimmsuva-be5dc
      @Jimmsuva-be5dc 7 หลายเดือนก่อน

      Amina tunashukuru zilikua nzuri sana pia utume Mwema

  • @SebastianMnibi
    @SebastianMnibi 7 หลายเดือนก่อน +3

    Hongereni Sana kwaujumbe mzuri

  • @SimbaMasota
    @SimbaMasota หลายเดือนก่อน

    Hongeren sn napata furaha kubwa Kwa wimbo hui,mbarikiwe sn.

  • @amadeohubile4171
    @amadeohubile4171 7 หลายเดือนก่อน +3

    Mko vzr Mungu awabariki sana

    • @MtYosefuNansio
      @MtYosefuNansio  7 หลายเดือนก่อน

      shukrani nyingi sana

  • @RestutaLugondo-xt8kz
    @RestutaLugondo-xt8kz 4 หลายเดือนก่อน

    Hongeren sana Kwa kazi nzuri mnaoifanya mungu awabariki sana🎉❤😮😢

  • @johnelias3461
    @johnelias3461 4 หลายเดือนก่อน

    Hongereen San nmebarkiwa San nahuu wmbo mungu awabariki

  • @jeskachoji6082
    @jeskachoji6082 7 หลายเดือนก่อน +3

    Good song,,mbalikiwe sana

    • @MtYosefuNansio
      @MtYosefuNansio  6 หลายเดือนก่อน

      Amina nawe ubarikiwe pia

  • @CharlesSanghudi
    @CharlesSanghudi 25 วันที่ผ่านมา

    Hongeren sana kiwango cha juu sana cha uimbaji

  • @fransiscopaul935
    @fransiscopaul935 2 หลายเดือนก่อน

    Hongeren kwa kuinjirisha kwa njia ya nyimbo

  • @magonzimagungu2989
    @magonzimagungu2989 7 หลายเดือนก่อน +3

    Amen

  • @HappynessMartine
    @HappynessMartine หลายเดือนก่อน

    Hongeren kwa nyimbo nzuri💕💕

  • @elizabethalex855
    @elizabethalex855 2 หลายเดือนก่อน

    pia nimwema kila wakati nawapenda wote wimbo mzuri sana

  • @CoolVincent-b5r
    @CoolVincent-b5r 7 หลายเดือนก่อน +3

    I love the song

  • @himerymsigwa9665
    @himerymsigwa9665 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hongereni kwa kazi nzuri ❤❤❤

    • @MtYosefuNansio
      @MtYosefuNansio  5 หลายเดือนก่อน

      Shukrani sana kiongozi

  • @AnnastaciaSafarin
    @AnnastaciaSafarin 7 หลายเดือนก่อน +3

    Kazi nzuri

  • @GetrudaNestory
    @GetrudaNestory หลายเดือนก่อน

    Hogera Kwa nyimbo nzuri

  • @RichardChibbandula-q9r
    @RichardChibbandula-q9r หลายเดือนก่อน

    Amen.
    Mbalikiwe milele yote.❤

  • @GodfreyHaule-wb5hb
    @GodfreyHaule-wb5hb 4 หลายเดือนก่อน

    Honger San Kaz nzur mnoo mmependez San

  • @Arati3
    @Arati3 7 หลายเดือนก่อน +3

    ❤❤

  • @AmonMgata
    @AmonMgata 3 หลายเดือนก่อน

    Nimeupenda.naomba.noti.zake

  • @JOYCEERNESTLUNYILIJA
    @JOYCEERNESTLUNYILIJA 2 หลายเดือนก่อน

    Nabarikiwa nanyi wapendwa 🙏🙏🙏

  • @remmyadrian8435
    @remmyadrian8435 หลายเดือนก่อน

    Wimbo mzur sana hongeren sanaaaa

  • @remmyadrian8435
    @remmyadrian8435 หลายเดือนก่อน

    Wimbo mzur sana hongeren sanaaaa

  • @ibrahlaurent8538
    @ibrahlaurent8538 7 หลายเดือนก่อน +3

    🔥🔥🔥

  • @rabanmwanambesi1482
    @rabanmwanambesi1482 23 วันที่ผ่านมา

    Mungu awabariki na kuwatunza❤❤❤

  • @marrykalangula9952
    @marrykalangula9952 7 หลายเดือนก่อน +2

    Kaz nzur sana hongereni

  • @ericknyangu
    @ericknyangu 7 หลายเดือนก่อน +3

    Nimewaona

  • @LeahMahizi
    @LeahMahizi หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @johnelias3461
    @johnelias3461 4 หลายเดือนก่อน

    Naomba kopi ya huu wimbo jmn.

  • @butangasospeter8987
    @butangasospeter8987 7 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu ni mwema sana

  • @JacquelineOmanda
    @JacquelineOmanda หลายเดือนก่อน

    Nyimbo nzuri sana❤❤

  • @NeemaMgaya-ez9un
    @NeemaMgaya-ez9un 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ananivumilia mengi kuliko MTU yeyote

  • @FrancoisKulianga
    @FrancoisKulianga หลายเดือนก่อน

    Mungu awabariki

  • @MARCOTSUUT
    @MARCOTSUUT 29 วันที่ผ่านมา

    Mbarikiwe sanaaa

  • @jontap.i.6980
    @jontap.i.6980 4 หลายเดือนก่อน

    Sitamuacha hakika 🙏🙏🎤

  • @marymalikamalkiathepsalmis5321
    @marymalikamalkiathepsalmis5321 3 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤

  • @AnisAniska
    @AnisAniska 4 หลายเดือนก่อน

    🙏

  • @LilianMassawe-t5i
    @LilianMassawe-t5i 2 หลายเดือนก่อน

    God must be the leader

  • @professor_mteknolojia3385
    @professor_mteknolojia3385 4 หลายเดือนก่อน

    Amen🙏

  • @laurentlugema593
    @laurentlugema593 7 หลายเดือนก่อน +3

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤