It's so wonderful with deep feeling thanks more.i would like to join with you to show love, happy,joy to be your choirmate hata Mbinguni mtaimba SIYO kwa vibe Hilo na nyimbo nzuri Kama hii big up
Wow! Another wonderful and fantastic song is out! Very educative song indeed. May God continue to bless this choir spreading the Word of God through singing. I thank God for involving men of God to participate in this choir led by a very gifted and talented man who has led so many wonderful choirs in his life. I'm grateful to him. May he stay blessed. Amen.
Baba ba mama mliovaa nguo ya kitenge mliosimama katika mbarikiwe sana mmeimba katika hisia na katika Roho na kweli ,nawapenda wote 🌹❤️❤️❤️🌹🌹❤️❤️❤️🌹❤️🌹🌹🌟🌹❤️❤️❤️🌹🌹❤️❤️🌹❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️haleluya mbinguni mfike wotee Amina
Congratulations to KMC for a good work. Indeed, love is precious. Also, congratulations to the composer Jonta. May God continue to appear in your works.❤❤❤
I wish nije kanisani wapendwa katika kristo nimesikiliza mara mbilimbili , mmeimba kwa kumaaniaha mbarikiwe mno ,endeleani kuwa hivyo nawaombea level nyingine zaidi na zaidi ❤️🌹❤️❤️
Mungu awabariki Sana kwa uinjilishaji mwema , ilove mang'ola Mt Yuda anawaombea sana tupo mbali lkn hatuwez sahau nyumbn ardhi iliyotulea kwa upendo wa kweli
Hakika Upendo utawale 👏🏽👏🏽👏🏽 Mungu na atubariki sote tudumu katika pendo lake siku zote
Amina
Hongera sana Organist wa kazi hii. 🎹🎹
It's so wonderful with deep feeling thanks more.i would like to join with you to show love, happy,joy to be your choirmate hata Mbinguni mtaimba SIYO kwa vibe Hilo na nyimbo nzuri Kama hii big up
Thanks and welcome to sing with as
To show love ❤️ for all people of God
Nabarikiwa sana na nyimbo hiz za upendoooo.... Mungu awabariki wana kwaya duh... Kuwa mkatoliki ni upendoo
Hakika
Wow! Another wonderful and fantastic song is out! Very educative song indeed. May God continue to bless this choir spreading the Word of God through singing. I thank God for involving men of God to participate in this choir led by a very gifted and talented man who has led so many wonderful choirs in his life. I'm grateful to him. May he stay blessed. Amen.
Thank you so much enjoy fantastic songs 🎵
TUISHIKATIKA UPENDO
Karibuni sana Babati Mji tushiriki katika misa ya Kutabaruku kanisa letu Oktober 2024 Parokia ya Roho Mt
ASNTE
Hongereni nyote Mungu atukuzwe nasi tutakatifuzwe Kwa tunu ya upendo wa Mungu kwetu pia upendo sisi Kwa sisi. Maana upendo ni Kila kitu. ✍️🙏
SANTESANA JONTA P.I KWAWIMBOWAKOMZURI
@@KWAYAYAMTCESILIAMANGOLACHINI Asanteni pia nitawatembelea
Upendo ni kila kitu, Hongerenii sanaaa endeleeni kumtukuza Mungu nawapenda 🥰🥰
Sante lizzy
Hongereni kwaya Mt cecilia mang'ola, Big up sana...
Hongereni wapendwa ... Kazi nzuri na ujumbe mzuri 🙏
Soloist kwa nn asitokee Mangola?kwa nn hata ww hujashika hiyo sehemu?
Congratulation teacher Lawrence kameja
Much love fro Kisumu City ❤
I have been listening to this for the last 8hrs nonstop ❤❤❤❤❤😂
thanks for watching god bless you
Very true upendo ni Kila kitu, I like your songs
❤❤❤❤hakika upendo utawale
Waoooooooooooooo mmependeza sana na nyimbo ina ujumbe mzuri mbarikiwe sana by mam heaven kutoka kigango cha makhoromba nawapenda
Sante Mama Heaven mungu akubariki
Hongereni sana nafurahi kuona kwaya ya parokia ya mang'ola MUNGU awabariki
Sante sana Richard
@@KWAYAYAMTCESILIAMANGOLACHINI Kwa wote jaman endeleeni na moyo huohuo
@@emanuelfrancis1780 Kwa wote jaman
Braza jonta! Nani tena mtunzii
Mbarikiwe kwa ujumbe mzuri kwenu na kwetu pia MUNGU Atubariki sote.
❤
amina
Nimebarikiwa sana nyimbo hii Mungu awainue katika viwango vya Juu
AMINA KAKA
Am here from Uganda for my sister Linus hongera my sister proud of you
Sante sana
Hongereni sanaa 👏👏👏
Mungu awatunze muendelee kueneza neno la Mungu kwa kutumia nyimbo nzuriiiii kama hii🎉🎉
Tuishi katika upendo wa kweli❤❤❤
Sante
Upendo utawale kote ukianzia katika familia ❤
Baba ba mama mliovaa nguo ya kitenge mliosimama katika mbarikiwe sana mmeimba katika hisia na katika Roho na kweli ,nawapenda wote 🌹❤️❤️❤️🌹🌹❤️❤️❤️🌹❤️🌹🌹🌟🌹❤️❤️❤️🌹🌹❤️❤️🌹❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️haleluya mbinguni mfike wotee Amina
Hongereni sana 🎉
Congratulations to KMC for a good work. Indeed, love is precious. Also, congratulations to the composer Jonta. May God continue to appear in your works.❤❤❤
Sante mkuu
But siyo KMC ni kwayayamtcesiliamangolachini@gmail.com
Ernei mwanangu ,shangazi yako nakumiss sana nimemiss uchangamfu wako na ucheshi wako. Mungu akupe makao mazur mbinguni
Jaman tuish kwa upendo wimbo mzur
Kazi mzuri ❤❤🙏🏻🙏🏻
Mr and Mrs Amedeus kazi nzur Mungu azid kuwatumia zaid.......
Kwakweli
Upendo ni kila kitu kwenye maisha
I wish nije kanisani wapendwa katika kristo nimesikiliza mara mbilimbili , mmeimba kwa kumaaniaha mbarikiwe mno ,endeleani kuwa hivyo nawaombea level nyingine zaidi na zaidi ❤️🌹❤️❤️
Amina ubarikiwe ndugu
Hongera sana mwlm wangu jonta Kwa wimbo mzur hongeraa pia waimbaji hongera solo kaka kameja❤🎹🪘🎸
Pamoja sana catherin
Asante sana
Hongereni sana wanakwaya wangu mmeimba vizuri na wimbo ni mzuri mnoooooo
Amina baba
Kazi nzuri sana imependeza na Mungu anapendezwa nayo
Amina mbarikiwe wapendwa nawafurahia
Tuishi upendo wa kweli na mtuombee jamaniiiiiii❤❤❤❤
Sante mama kuku
Hongereni, ukweli, tuishi kwa upendo wa kweli❤
Amina
Oooh 🎉🎉🎉 Hongera kwa mtunzi
Hongereni sana kwa utume....sauti nzuri
Hongereni sana kwa uinjilishaji
Asante sana wimbo mzul
Mmeimba vizuri sana cku ya uzinduzi nilikua naona kwashida mana watu ni wengi leo najivunia kuangalia kwa uhuru mungu awabariki❤❤
Hongerani wimbo mzuri sana tena wamafundisho love is the commandments ❤❤❤
Kuimba ni kusali mara mbili Asante kwa ujumbe mzuri
amina
Mungu awa bariki kwa kazi nzuri🤝🙏🔥
Amina
Mungu awabariki nyote kwa utume wenu nimebarikiwa sana na wimbo huu
Amina
Hongera kwenu wapendwa Mungu aendelee kuwainua mzidi kumtumikia kwan uimbaji n kusali mara mbili mbarikiwe sana watu wa parokia ya nymbani nawapenda
Kazi nzuri sana. Mungu AWABARIKI sana wanakwaya kwa utume wenu
Pongezi kwa huyu kijana anajua kinjilisha asante Mungu akubariki
Mubarikiwe
Wimbo hauchoshi tunaourudia kuangalia zaidi ya mara 5 tujuane hapa🤣🤣🤣🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Mbarikiwena wimbohuu upendo utawale
Nipo hapa na nimedownload nasikiliza zangu!
Pamoja sana kigi share kwa wengine
From mang'ola Big up sana kwaya ya Mt cecilia..
sante baba karibu
❤❤tuishi katika upendo wa kwel hakika
Hongereni sana. Sema tujitahidi kupata soloists kutoka kwenye kwaya zetu
Tumepokea ushauri
Asante
Nasikia Raha sana nikisikia mnavoimba mungu atawaongoza mtafanya mambo mazuri zaidi nawaombea kwa mungu awabariki zaidi amina
Sante petro Mally
Hongereni sana Wana Parokia ya Mt. Yuda Tadei Mang'ola chini
Sante Lucian
Nice song❤
Thanks
Ujumbe iwafikie kwa upendo 🙏🙏❤️
🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Mungu awabariki Sana kwa uinjilishaji mwema , ilove mang'ola Mt Yuda anawaombea sana tupo mbali lkn hatuwez sahau nyumbn ardhi iliyotulea kwa upendo wa kweli
Sante peter karibu utuunge mkono
Congrats❤kazi nzuri sana
Hakika mungu ni upendo nani amri kuu kwetu
Amina
Hongereni sana wana sesilia kiukweli mmeupiga mwingi kama s
amina
Nikweli 🎉❤ 5:44
Hongerenii sanaaa
Hongereniii sana nimependa wimbo umetulia kweli (upendo)
sante ndugu
Parokia yangu wimbo nimzuri sana❤❤❤
Sante dada karibu utuunge mkono
Hongereni sana sana ❤️❤️
Jmn mambo ni moto❤❤❤❤❤❤
Amina mungu ni mwema killa wakati
pongez sana kwenu tuishi ktk upendo daima
AHSANTE
Hongereni Sana wanakwaya wenzetu
ahsante ndugu
Hongereni.
Song nzuri
Hongereni jmn kwaya yangu
Sante masika linas
tuzidi kupendana...
Hat katoka kuinjilisha tuinjilishe kwa upendoo
Hakika upendi ndio kila kitu,,,,tuzidi kusambaza upendo
Jaman tupendane
Kongole ndugu zangu Watanzania.
Sante patrickbabu
lovely❤❤
Mpo wapi nije nijiunge na kwaya yenu jamani?
karibusana
St. Anthony help me to get my soggiorno as soon as possible during this time
Kijana wetu ERNEY, NAKUANGALIA UNAVOIMBA SIAMINI KAMA WIMBO HUU MZURI UMETUACHIA BILA WEWE KUWEPO TENA, ROHO YAKO IKAPUMZIKE SALAMA MBINGUNI
Amina
Ndo hivyo Kazi ya Mungu Haina makosa!!
Amina😢
Ndio yupi
May he rest in eternal peace Amen
Roho za waumini wapate rehema kwa Mungu wapumzike kwa amani milele
Hakika mmetisha sana mmefanya kitu kikubwa ongera sana walimu na wanakwaya kwa muitikio wenu
Amina
🙏🙏
🎉🎉🎉❤❤
😅😅😅😅😅😅😅nduuuwapendwa
❤❤❤❤
Tumwimbie bwana katika roho na kweli.wapendwa ikipendezaa mwenyecopy aiwwke humu tuisome
inbox
hongeleni nyimbo zuli sana sanaa
Amina
Hogereni san
Naiombea soho ya mwanetu ipumzike kwa amani
Amina
Hakika Upendo utawale 👏🏽👏🏽👏🏽 Mungu na atubariki sote tudumu katika pendo lake siku zote
Naomba alie cheza kinanda Aishi miaka100000
Braza jonta! Nani tena mtunzii
Braza jonta! Nani tena mtunzii
Braza jonta! Nani tena mtunzii
Braza jonta! Nani tena mtunzii
Braza jonta! Nani tena mtunzii
Braza jonta! Nani tena mtunzii
Braza jonta! Nani tena mtunzii
Hahahaha 😅 Mungu apewe sifa