Kweli tumsifu Allah vile alivyojisifia yeye mwenyewe ktk Qur'an au alivyosifiwa na mtume wake (صل الله عليه وسلم) ktk hadith, na hakuna sifa ya Allah iliyothibiti ktk kitabu na sunna ambayo inatafsiriwa MBABE. (Allahu a'lam)
@@sabihaibrahim143 Kwan ni nin maana ya mbabe ktk lugha ya kiswahili na ni ipi maana ya Aljabbaar kilugha na kisheria? halafu tulinganishe tuone, je MBABE itaingia ktk tafsir za neno Aljabbaar?
@@IbnuAlly-cg2gn mbabe ni mtu anayejiona na nguvuu lolote anaweza kufanya hashindwi na kitu kikitokea kitu kimeshindikana basi yeye ndo anaitwa linakaa sawa na watu husema angekuwepo fulanii ni kujipa cheo kama hicho tu
@@sabihaibrahim143 basi huyo sio mbabe huyo ni mwenye nguvu(Alqawiyyu) na mwenye uwezo juu ya kila jambo(Alqaadir) mbabe ni mtovu wa adabu au mtu aliyepata ushindi ktk jambo fulani gumu linalosumbua watu wengi
Leo wa kwanza nipen hizo. Like zangu 😊😊😊😊
Tukupe maua yako
🎉
❤
❤❤❤
@@ahslsports60 nin sas
Masha allah team Mau hongera sana kama kuna mchezo uliobeba ujumbe mzito bx ni hii 'M'babe' 🇰🇪 🇰🇪 tunawapenda sana .
Dongo msafi mashallaah kwapa halna mashahari❤
Atuwavyiya mijicho tu huyu...safi sana makunde kipemba hukitupi...hongereni pia
Kabisa shk mau mpemba hakuna m babe ispokuwa Allah
Leo nimekua wa mwanzo
❤❤❤
Ma Shaa allaha 🔥
😊😊😊😊😊😊😁😁
Eeeh dongoo tuachee hy kulaaa😂😂😂😂😂
Mashaallah kaz mzuri
Wooooh nice
Mbabe huyo
Mashaallah mashaallah
Hahahaha guuu nilivunje
Nice 😂
Hatupoi
Watuwaviya mijicho hahahaha
Mbabe ni Allah pekee
Nice
Baada ya kunambia nipa ili guu nilivunje😂😂
shukran
Wap naomba na mwinyi mpeku
Yan mau unaju mpak unakera ww ila fanya mpag wa kiiswabi awep hap jap sik 1
Mau nipe mtu mke huyo ulomulizia maskani yavijana
*nzr kwa kwl*
Dini na dunia😅
❤❤❤
Watatu leo
Iyo Gym sio pow
Pamoja sana
Fundi wazidi chafukwa
😂❤
Watoa mijicho tuu
Sifa ya ubabe haikuthibiti kwa Allah
Kweli tumsifu Allah vile alivyojisifia yeye mwenyewe ktk Qur'an au alivyosifiwa na mtume wake (صل الله عليه وسلم) ktk hadith, na hakuna sifa ya Allah iliyothibiti ktk kitabu na sunna ambayo inatafsiriwa MBABE. (Allahu a'lam)
Aljabaar
@@sabihaibrahim143 Kwan ni nin maana ya mbabe ktk lugha ya kiswahili na ni ipi maana ya Aljabbaar kilugha na kisheria?
halafu tulinganishe tuone, je MBABE itaingia ktk tafsir za neno Aljabbaar?
@@IbnuAlly-cg2gn mbabe ni mtu anayejiona na nguvuu lolote anaweza kufanya hashindwi na kitu kikitokea kitu kimeshindikana basi yeye ndo anaitwa linakaa sawa na watu husema angekuwepo fulanii ni kujipa cheo kama hicho tu
@@sabihaibrahim143 basi huyo sio mbabe huyo ni mwenye nguvu(Alqawiyyu) na mwenye uwezo juu ya kila jambo(Alqaadir) mbabe ni mtovu wa adabu au mtu aliyepata ushindi ktk jambo fulani gumu linalosumbua watu wengi
😂😂😂😂😂😂😂
Si
Nawapata vixr nipo brasil
dongo kushaacha kupiga dufu?
Unafanya nini huko Brazil? Pemba na Brazil wapi kuzuri?
@@mohamededdi7527 pemba bado tupo nyuma kiuchumi na ndo maan watu weng san wanapenda kutfata sehem nyengine