ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

"MAJENERALI WAWILI WAMEAMUA KUIVURUGA NCHI YAO" - KIKWETE AFUNGUKA DEMOKRASIA ya AFRIKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ค. 2023
  • "MAJENERALI WAWILI WAMEAMUA KUIVURUGA NCHI YAO" - KIKWETE AFUNGUKA DEMOKRASIA ya AFRIKA
    www.youtube.co...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 274

  • @wellnesstransportation1490
    @wellnesstransportation1490 ปีที่แล้ว +40

    Mungu wetu wafungue macho wanajeshi wetu waipindue ccm

    • @nelsonjastin2601
      @nelsonjastin2601 ปีที่แล้ว +4

      Kweli Maana ccm imekuwa janga

    • @manilabonalumanula9210
      @manilabonalumanula9210 ปีที่แล้ว

      Unaonaje ukihama Tanzania ukaenda kuishi Niger? Ama hata Sudan ili upate raha zaidi

    • @duvaboy
      @duvaboy ปีที่แล้ว +4

      cha ajabu hapa duniani watu wahovu na wauaji ndio huishi miaka mingi

    • @duvaboy
      @duvaboy ปีที่แล้ว +3

      😂😂😂 inakeraaa

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 ปีที่แล้ว +1

      Akili yako haina akili

  • @raismalingumutz8473
    @raismalingumutz8473 ปีที่แล้ว +14

    Mungu Yuko ukweli utajulikani

  • @machaggechacha243
    @machaggechacha243 ปีที่แล้ว +14

    Mwizi mkubwa!!!

    • @user-xr8nx9sd9y
      @user-xr8nx9sd9y ปีที่แล้ว

      @@Myplusbee Kama hujui anachoiba Kikwete na mwanae Ridhiwani basi wewe ni kizibo na mpumbavu.Fungua macho na matope yaliyojaa kichwani mwako ndio utagundua wanaiba nini nchini. bwege type.

    • @Myplusbee
      @Myplusbee ปีที่แล้ว +1

      @@user-xr8nx9sd9y ​ Sasa matusi ya nini Dadangu?! Swali langu jepesi sana; ameiba nini?! Badala ya kujibu unaanza matusi?! Au hujui kwa sababu na wewe unasikia tu mitandaoni?!
      Halafu unajisikiaje mtoto wa kike unamwaga matusi mitandaoni? Au umeletewa Mke Mwenza, na kwahiyo hasira zako unazileta mitandaoni?! Sasa sikiliza dadangu. Namna bora ya kutatua migogoro ya ndoa ni kukaa na mumeo ili myaongee badala ya hasira zako kumalizia kwa watu usiowajua! Na kama ndo staili yako ya kutafuta mabwana mitandaoni, basi umekosea njia kwa sababu huwa siokoti mizoga ya mitandaoni!!

    • @emariusrush3285
      @emariusrush3285 ปีที่แล้ว +1

      ​@@Myplusbeewewe ni tahira hakuna utawala ulikuwa na ufisadi mkubwa kama jk,(escrow, meremeta Richmond ewura, kusafilisha twiga kusafilisha makinikia nchi ilikuwa wizi Kila Kona)

    • @Myplusbee
      @Myplusbee ปีที่แล้ว

      @@emariusrush3285 Jifunze kuongea kwa staha dadangu, hata kama hukufundwa baada ya kuvunja ungo, jitahidi ku-pretend hivyo hivyo vinginevyo utaishia kutafuta attention ya wanaume mitandaoni kila siku but nobody anaweza kuwa tayari kuwa na mwanamke mwenye tabia za kishenzi kama zako!

    • @mairamtiti4517
      @mairamtiti4517 11 หลายเดือนก่อน

      Bandari ya Mungu haaaaàa

  • @jayson.chanel.9870
    @jayson.chanel.9870 11 หลายเดือนก่อน +12

    Hawa jamaa ndo wanaokula hii nchi😢😢😢watu wanyonge wanateseka sana.... R.I.P JPM

    • @MussaZjuma
      @MussaZjuma 11 หลายเดือนก่อน +2

      mkutano wamatapeli waaftika

    • @KassimSalumu-fk6yk
      @KassimSalumu-fk6yk 11 หลายเดือนก่อน +1

      Mfufue

    • @KassimSalumu-fk6yk
      @KassimSalumu-fk6yk 11 หลายเดือนก่อน +1

      @@MussaZjuma chuki

    • @ramadhanimtetu3656
      @ramadhanimtetu3656 10 หลายเดือนก่อน +1

      Mungu ndio Kila kitu
      Amelaaniwa Kila amtegemeaye Mwanadamu JPM kafariki
      Lakini Mungu wetu sio Magufuli

    • @EshaHamd-ed9yv
      @EshaHamd-ed9yv 8 หลายเดือนก่อน

      Huna lolote wewe jipendekeze kwa Rais tu mabaya yako yasionekane muna Demokrasi gani Tanzania ya kuuwa watu Fisadi dhuluma na wizi wa kura kiongozi gani aliyepata kura katika nchini hii mwaka 2020

  • @kawiche4911
    @kawiche4911 ปีที่แล้ว +29

    REST IN PEACE Jpm
    Shujaa wetu
    Ungekuwepo tusingekuwa Na hili DUDE LA DPW

    • @Myplusbee
      @Myplusbee ปีที่แล้ว

      Na usivyo na akili unasahau kwamba hao hao ambao leo hii wanakuambia NO TO DP WORLD ndo hao hao ndio wangempinga JPM endapo asingeitaka DP WORLD na angeambiwa anafukuza Wawekezaji!
      Hapo hata ukiulizwa ikiwa umesoma hayo makubaliano yenyewe kati ya TZ na Dubai usikute hujui hata yanafananaje lakini kwavile unasikia watu wanasema hivi, nawe unatembea mle mle badala ya kutafuta ukweli mwenyewe!
      NAKUKUMBUSHA TU: Ambao leo unaamini WANAKUPA MADINI kuhusu DP WORLD ndio hao hao ambao WALIMPINGA JPM kuhusu Makinikia! Kama ndivyo, wanasimamia nini hasa?!

    • @hassanhamis1123
      @hassanhamis1123 ปีที่แล้ว

      On GB hm noon on 0 polf I'll lkkkke km

    • @iddyjohn1032
      @iddyjohn1032 ปีที่แล้ว

      Msome , ‘’Kwa Nini Waislamu Walalamika,’’ kuhusu mkataba wa Maelewano ya Serikali ya Tanzania na Umoja wa Mabaraza ya Makanisa (Christian Council of Tanzania (CCT) na Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania Episcopal Conference (TEC).
      , ‘’Serikali ya Tanzania ilikubali kuwarejeshea Wakristo shule za sekondari na hospitali zilizotaifishwa mwaka wa 1970 na pia kuahidi kutozitaifisha tena shule na hospitali hizo au zile zitakazojengwa na makanisa kutoka kwa wahisani wa nje, na hasa serikali ya Ujerumani, kwa ajili ya kuendeleza hujuma za kijamii zinazotolewa na Makanisa.
      Chini ya muafaka huo Serikali ilipaswa kutenga nafasi maalumu katika vyuo vyake vya ualimu kwa ajili ya waalimu na makanisa kwenda kusomea ualimu kwa lengo la kuimarisha ubora wa shule za Kikristo.’’
      Mbona huo mkataba hamuuupigii kelele na ni moja ya mikataba ya uonevu??

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 ปีที่แล้ว

      Kwani hata wanaojenga SGR si waturuki? Ambao ni walewale tu

    • @Mumewangu
      @Mumewangu ปีที่แล้ว +1

      @@jumakapilima7295 huyo jamaa chizi tu ndugu

  • @richkinji2583
    @richkinji2583 ปีที่แล้ว +21

    Haya mapinduzi ya kijeshi na Tanzania tunayataka kwa 7bu ya udhalimu wenu hao magenelali siyo wajinga.

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo ปีที่แล้ว +1

      Si munalo jeshi lenu la wokovu!fanyeni hayo Mapinduzi!

    • @RamadhanimaulidMokola
      @RamadhanimaulidMokola ปีที่แล้ว

      Kwa hiyo wananchi ndio wajinga?

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@AliSalim-yu4moumemjibu vyema sana wanahamu ya kuuwa waislamu na kuwatia ktk viroba kenge hao😅

  • @lucasmugoma2870
    @lucasmugoma2870 ปีที่แล้ว +25

    Kikwete mungu anakuona kwa jicho la kipekee badirika na utubu na uwaombe watanzania msamaha kwa mabaya yote uliyo naunayoitendea Tanzania

    • @joetchatv1453
      @joetchatv1453 ปีที่แล้ว +1

      Ww sio mzima raisi pendwa hyoo

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj ปีที่แล้ว +1

      @@joetchatv1453 Tena sio mzima kabisaah huyo, mpumbavu sana

    • @alhamiibrahim1289
      @alhamiibrahim1289 ปีที่แล้ว

      Kuna wenzio ndo rais wao mpendwa

    • @emariusrush3285
      @emariusrush3285 ปีที่แล้ว

      ​​@@joetchatv1453 Raisi pendwa kwakweli ila endapo hutokumbuka escrow, meremeta Richmond,ewura,kusafilisha twiga, kusafilisha makinikia,na madawa ya kulevya

    • @kassimmustapha456
      @kassimmustapha456 ปีที่แล้ว

      @@joetchatv1453 wewe kweli kuma

  • @kawiche4911
    @kawiche4911 ปีที่แล้ว +11

    Rushwa imewajaa
    Mmeuza nchi yetu KWA DPW
    ACHA UHUNI KAA NYUMBANI HUNA LOLOTE

    • @Mumewangu
      @Mumewangu ปีที่แล้ว

      Acha usenge wako

    • @kawiche4911
      @kawiche4911 11 หลายเดือนก่อน

      @Mumewangu
      WEZI WA TAIFA LETU
      TANGANYIKA HATUTAKAA KIMYA LOLIONDO NA MKATABA WA DPW UTAWATOKEA PUANI
      MMEKULA NCHI NA FAMILIA ZENU NA UGANDAMIZAJI WA WATU WETU ANGALIA NIJEA WANANCHI WANAVYO TANDA KUONDOA HAWA WEZI MADARAKANI LAZIMA TUFAIDIKE NA MALI ASILI ZETU SIO ZA WACHACHE . TUTALINDA NCHI YETU KWA WIVU MKUBWA SASA
      ONGEA HOJA USIWE KAMA VIONGOZI WETU WANAOTUKANA INAONYESHA UNA UMASKINI WA KUFIKIRI

  • @Focusm-se2sd
    @Focusm-se2sd ปีที่แล้ว +14

    Kwa nini kama waijua haki usisimame kuokoa nchi kikwete kikwete kikwete mungu atakwazibu usipo badilika

    • @Mumewangu
      @Mumewangu ปีที่แล้ว

      Kwa lipi

    • @peternyambui7492
      @peternyambui7492 11 หลายเดือนก่อน +2

      Hawezi kuikoa..kwa sababu..nae ni mshiriki ktk kuutetea..mkataba huu mbovu..

    • @user-xr8nx9sd9y
      @user-xr8nx9sd9y 11 หลายเดือนก่อน +2

      @@Mumewangu Kwa wizi

    • @KassimSalumu-fk6yk
      @KassimSalumu-fk6yk 11 หลายเดือนก่อน

      @@peternyambui7492 chiki mbaya

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@user-xr8nx9sd9yalikuibia nn wewe huna lolote halafu unamwita mtu mwizi..!

  • @ghottaman2570
    @ghottaman2570 ปีที่แล้ว +11

    Ila tumechoka kwa kweri sema ipo siku hao jamaa naho wakichoka basi akuna budi tutakua nyuma yao watu nyooshe nchi hiwe na adabu watu waache kujimbikizia mali tu kama keki yetu wote siyo nyinyi na watoto zenu acheni ulafi wekeni mezani tule wote tufurahie mema ya nchi tuliyo jaliwa na Muumba .

    • @Omarjumanne-zm9zh
      @Omarjumanne-zm9zh 7 หลายเดือนก่อน

      Ya sudani yatakuja tu ajira wanapeana wao kwa wao muogopeni mungu

  • @rasmaliyosi6252
    @rasmaliyosi6252 ปีที่แล้ว +7

    Magufuli alisema kuna wastaafu wengine wanawashwa washwa

  • @miltonjohn9779
    @miltonjohn9779 ปีที่แล้ว +8

    Huyu mbwa simpendi tangu isemekane kwamba yey ndio alimuuwa mjomba.

    • @user-wh4bh1rp7v
      @user-wh4bh1rp7v 11 หลายเดือนก่อน

      Usimwite mwanadamu mwenzio mbwa kumbuka kwa lolote ulitendalo liwe dogo au kubwa M/Mungu utalipwa!!!

  • @leotv-tz
    @leotv-tz ปีที่แล้ว +15

    Mzee unanuka laana popote uonekanapo Mungu akusamehe kama utatubu,

    • @ibrahimomari2458
      @ibrahimomari2458 ปีที่แล้ว +1

      Chuki na hasadi itakuua

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 ปีที่แล้ว +1

      Utakufa kwa chuki

    • @emariusrush3285
      @emariusrush3285 ปีที่แล้ว

      huyu ndio akileta ufisadi wote Tanzania

    • @iddyjohn1032
      @iddyjohn1032 ปีที่แล้ว +1

      Mkapa na Nyerere ndiyo wasafi?

    • @emariusrush3285
      @emariusrush3285 ปีที่แล้ว

      @@iddyjohn1032 Nyerere na mwinyi wapi uliona wanaongelewa vibaya??,enzi za Nyerere na mwinyi hatukuwa na uwekezaji wowote toka nje,mapungufu kidogo yaliyokuepo enzi za Nyerere na mwinyi yalikuwa madogo madogo ,tatizo lilianzia Kwa mkapa, lakini Raisi anaeongoza Kwa uozo kikwete (EPA, escrow, meremeta, Richmond, ewura, kusafilisha mchanga wa zahabu ulaya, kuiba twiga,kuingiza madawa ya kulevya, watoto wa familia za kifisadi walikuwa Wana pewa kubwa kubwa (hata kama Hana ELIMU kubwa Bank kuu, bandarini,tra, migodini) ulikuwa mtoto enzi za kikwete????

  • @khamismohd7344
    @khamismohd7344 ปีที่แล้ว +7

    Wakati wa magufuli viongozi wengine tulikuwa tushawasahau au kila siku wanaumwa hawaendi hata kwenye mikutano yake Kwa sababu mioyo yao inajijuwa haipo katika njia aliyotaka magufuli, kila nafsi itaonja umauti waja tusipoteze wakati

    • @KassimSalumu-fk6yk
      @KassimSalumu-fk6yk 11 หลายเดือนก่อน +1

      Magu binadamu kma sawa kufa inasema angekuwepo isingekuwa, utakuwa hauna akili

    • @khamismohd7344
      @khamismohd7344 11 หลายเดือนก่อน

      @@KassimSalumu-fk6yk sijakuelewa

  • @johnsonchonja4032
    @johnsonchonja4032 11 หลายเดือนก่อน +3

    Kikwete hayuko sawa kabisaaa, kuna kitu kinamsumbua kwenye nafsi yake japo sikijui,Ila ipo siku kitajulikana tu

    • @abdulkatalango2890
      @abdulkatalango2890 11 หลายเดือนก่อน

      Wewe umeingia kwenye nafsi yake?waswahili wanasema moto wa mtu kichaka ikiwa na maana huwezi just kilichomo moyoni mwa mtu zaidi ya Mungu,wewe ni nani Acha unafiki na wivu wa kijinga

    • @hassanmitayo1875
      @hassanmitayo1875 11 หลายเดือนก่อน

      Wa mbili havai moja

  • @user-rq7pj9pv1k
    @user-rq7pj9pv1k 11 หลายเดือนก่อน +4

    Hata sie tunahitji mama apinduliwe tu

  • @RynoFiree
    @RynoFiree ปีที่แล้ว +4

    Mi hata sielewi😮

  • @Dismasbccmiraclecenter-rv9qi
    @Dismasbccmiraclecenter-rv9qi ปีที่แล้ว +5

    Mwanzo mwisho cjaelewa chochote cjui n akili yangu matope. Naona jk anacheka cheka tu

    • @abdulkatalango2890
      @abdulkatalango2890 11 หลายเดือนก่อน +1

      Uzuri wewenyewe umeshasema tope sisi tisemaje

  • @bahatikyomo4067
    @bahatikyomo4067 ปีที่แล้ว +3

    Mzee hakuna unachofanya kuuza bandari

  • @saidiamiri7898
    @saidiamiri7898 ปีที่แล้ว +8

    Huyu mshua KAMA BADO raisi hivii dah!

  • @mshombozimbanda3418
    @mshombozimbanda3418 11 หลายเดือนก่อน +2

    Lugha nzuri matendo hovyo.😢

  • @user-xr8nx9sd9y
    @user-xr8nx9sd9y ปีที่แล้ว +4

    How is this crap benefiting TZ. Kikwete do not divert the real issue affecting TZ by spewing this nonsense.

  • @mraclatel4866
    @mraclatel4866 ปีที่แล้ว +6

    Walipomondoa bashiru laana hizo mzee

  • @BonifaceNdoyela-fo2zl
    @BonifaceNdoyela-fo2zl 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu ingekuwa uamuzi wangu wastaafu waliobaki ningewauwa hawafai hatakidogo mtu anaongea kwa dharau kucheka kwa dharau wamepata nafasi za kuongea. Nchi hii imeisha mwenyezi mungu tuangalie kwa jicho la huruma alisema magufuli yametimia

  • @user-qp2pq1uq4k
    @user-qp2pq1uq4k 11 หลายเดือนก่อน +3

    Uko wapi huo utawala wa sheria, naona utawala wa uvunjwaji wa sheria😢

  • @user-rd6mo1zb6g
    @user-rd6mo1zb6g ปีที่แล้ว +3

    Tulieni myolewe bado magenerali wa Tz wafanye kaz ya kutukomboa kutoka minyororo ya ccm

  • @hajimgwami5224
    @hajimgwami5224 ปีที่แล้ว +4

    YAAN INCHI INA WAPUUZI WENGI SANA UNAKUATA WATU %90 WANAWAZA UJINGA TU...

    • @alhamiibrahim1289
      @alhamiibrahim1289 ปีที่แล้ว

      Tafuta wenzio wanazisaka ndomana unamuona mwamba anaenjoi maisha amepambana

  • @fadhilimoshi5754
    @fadhilimoshi5754 ปีที่แล้ว +4

    Watanzania nani ameturoga hy amani iko wapi tumekuwa makondoo wa kafara tunapigwa tunacheka tumekuwa ngoma? Tubadilike enough is enough tuseme basiii kichapo kimetosha uongo wa hawa jamaa umezidi WASWAHILI WALISEMA AMANI HAIPATIKANI ILA KWA NJIA YA UPANGA Tujikomboe na hawa wachache wanaokula keki ya taifa letu

  • @peninacharles9757
    @peninacharles9757 ปีที่แล้ว +3

    Hakuna chakucheka hapo🆗

  • @Omarjumanne-zm9zh
    @Omarjumanne-zm9zh 7 หลายเดือนก่อน

    Majenerari wawili kuvuruga sudani ni matokeo kuwazarau Wa amgambo na wengine wakawa wanalipwa wengine asante hapa Tanzania tujifunze sudani

  • @mukhtaribura6159
    @mukhtaribura6159 ปีที่แล้ว +6

    WEWE MZEE WANGU KICHOBAKI SASA TUBU SASA UWENDA M,MUNGU AKUSAMEE MAKOSA YANGU SASA WEWE WATETEE WANANCHI NA M,MUNGU UWENDA AKAKUSAMEE MZEE WANGU PINGANIA SANA WATANZANIA KWA SASA UMRI USHAKWENDA NA UNDONGO UNAKWITA WAKATI WOWOTE..TUBU MZEE WANGU KIKWETE...

    • @hajjiomary2383
      @hajjiomary2383 ปีที่แล้ว

      Sasa atubu vp Allah ndo mwenye kujua baina yake sasa unakazania tubutubu.shida gani anayo we ungependelea yeye atubu

  • @user-sw1dv1iq6h
    @user-sw1dv1iq6h 11 หลายเดือนก่อน +2

    Sipendagi kabisa kuangalia clips za kikwete. Umasikini tulio nao yeye ni mchangiaji mkubwa

  • @mbarakaubuguyu7448
    @mbarakaubuguyu7448 11 หลายเดือนก่อน +1

    nilijuwa tunapanga mipango ya kujenga Barabara na kujenga mashule

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 11 หลายเดือนก่อน

      Shida ni nyingi. Barabara zetu za highways ni finyu mno. Ajali ni nyingi. Andaeni hata marshal plan barabara ziwe za njia nne mpaka sita.

  • @jumakilinja6341
    @jumakilinja6341 ปีที่แล้ว +22

    Waliokula nchi yetu hawa kina kikwete

    • @pauloegbert515
      @pauloegbert515 ปีที่แล้ว

      Mambo mazuri haya

    • @saidbakar-qo6ri
      @saidbakar-qo6ri ปีที่แล้ว

      Marais wa tanzania wote ni masikini hawana chochote hata rekodi ya dunia haiwatambui ila marais matajiri afrika wapo kama museveni,kenyatta,kagame,ruto,marais wa nigeria ndio matajiri zaidi kupitia rushwa kwa mfano tu huyu rais wa sasa tinubu anamiliki dola bilioni 5 anamzidi mo dewji mara 3 kwani mo anamiliki dola bilioni moja na nusu

    • @kawiche4911
      @kawiche4911 ปีที่แล้ว +2

      @@saidbakar-qo6ri what is your point?
      Wezi hao . Mwizi ni mwizi haijalishi ameiiba sana au kidogo stop nonsense

    • @saidbakar-qo6ri
      @saidbakar-qo6ri ปีที่แล้ว

      KATIKA MARAIS MASIKINI DUNIANI TANZANIA NDIO INAONGOZA KWA KUWA NA MARAIS MASIKINI

    • @kawiche4911
      @kawiche4911 ปีที่แล้ว +1

      @saidbakar-qo6ri
      NDIO MAANA WEZI SANA NA UFISADI AU? WAMEWEKA MBELE KUTUMIKA NA NCHI ZINGINE KUANGAMIZA RAIFA LETU NYERERE ALISEMA KUWA WATU KAMA HAWA WANA 'TABIA ZA KIMALAYA MALAYA"

  • @salumngakonda2182
    @salumngakonda2182 ปีที่แล้ว +2

    Wanasiasa wengi siyo wa kweli wamejaa ufisadi na dhulma.

  • @solomonadams6337
    @solomonadams6337 ปีที่แล้ว +2

    CCM kuingia madarakani kwa nguvu za kijeshi na wizi wa kura...👌🤝

  • @romanamassawe814
    @romanamassawe814 ปีที่แล้ว +3

    Hivi Baba Wewe ujui kiswahili ?.

  • @josephpetro2968
    @josephpetro2968 11 หลายเดือนก่อน +2

    Tendeni haki

  • @emanuelelias4695
    @emanuelelias4695 11 หลายเดือนก่อน +2

    Chanzo Cha hayo yote ni dhulma ambayo hata nyny ndio mnayo wafanyia watz kudhulumu haki za watu na kufuja lasili Mali za taifa kuzi geuza Mali yenu huku wanch walio wengi wakifa kwa kukosa huduma muhimu za kiselikali na kijamii na hapa kwetu Kuna siku watu wata choka msipo geuka na kuacha dhulma na kuwafanya watz kama wajinga wasio kuwa na haki kwa taifa lao ila nyny ndio wenye haki hii haikubaliki kabisa

  • @jumaamartin7929
    @jumaamartin7929 ปีที่แล้ว +3

    Heshima yako baba mungu ibariki Tanzania mungu ibariki Afrika.mungu inusuru nchi yetu utulindie amani yetu.Hakika mwenyez mungu pekee tunakutegeme na mwenyezi mungu ndio mtetezi wetu pekee.

    • @hanschuma7734
      @hanschuma7734 ปีที่แล้ว

      Acha nikwambie kitu nduguyangu kama mtanzania mwezangu mm cnauchama ila siegemei upande wowote Ila kaa chin fikilia nadhan tutakua kimoja......wote tunajua ccm Ndio chama tawala toka babuyako ww na mm huo ndio ukweli wenyew cc ndio kinacho panga bajetiyetu yamaisha yetu katiangu mm naww na watoto tulio nao ccm ndio chama kilicho kuta amani kwa watanganyika(tamzania) ambayo ilijengwa before ya wao kujiita ccm ccm ndio wanao haribu maisha ya watanzania amini hilo kaka narudia tena kusema sina uchama sema aman ya tanzania sio imejengwa na ccm bali niwatanzania wenyew Amin hilo ccm wezi wasio jali nchi nalaia waao bali hujali masilai yao ya chama na familia zao ndio mana rushwa nauonevu katiyetu hauish....ndio hayo kk hxante kwa time yko

  • @yaredyndaga6483
    @yaredyndaga6483 ปีที่แล้ว +3

    Lait angeona comments za watu humu mmmmh !!!

  • @joshuajohn2668
    @joshuajohn2668 ปีที่แล้ว +2

    Nyie mnafikili apa Duniani kila mwenye mwili ni binadamu

  • @user-lg6je8xh4p
    @user-lg6je8xh4p 5 หลายเดือนก่อน

    Kikwete ulikuwa na nafasi ya urekebisha hiyo dhulma viongozi wanayowafanyia wanyonge ila ukakataa bila sababu. Ulivuruga kwa makusudi kabisa mchakato wa katiba mpya na bora kwa watanzania. Nadhani ulifanya hivyo kwa maslahi binasfi. Leo upo nje ya madaraka na unazungumza matatizo ambayo ulishiriki kuyasuka, hii ni kejeri na dharau sana kwa wa Tanzania. Hayo mnayo yafanya ipo siku watu watamwaga damu, hamta kwepa dhima hii kwa Mungu. Hutaishi milele, kumbuka utaulizwa kwa kila jambo ulilolifanya. Nafasi unayo ya kurekebisha kabla hali yaijakuwa mbaya zaidi. Huu ni ushauri wangu kwako

  • @mshombozimbanda3418
    @mshombozimbanda3418 11 หลายเดือนก่อน +1

    Wanacaguliwa kidemkrsia wanakula kudikitaita.Yakwetu mbamilikisha watoto wenu.

  • @user-lg6je8xh4p
    @user-lg6je8xh4p 5 หลายเดือนก่อน

    Kikwete unajua vizuri uchaguzi huo unaodai ni wa democrasia , kiukweli hauakisi aumuzi wa wananchi. Hii hali ndio ilivyo Tanzania. Mnalazimisha watu wasio na uwezo kuwa viongozi kwa maslahi yenu binafsi.

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kikwete pumzika umestaafu

  • @mdl6463
    @mdl6463 ปีที่แล้ว +5

    Kwanza mzee unge pozi tu achana na mitandao tunajua sifa zako mema ulofanya tulia tu 👊👊👊

    • @alhamiibrahim1289
      @alhamiibrahim1289 ปีที่แล้ว

      Wivu na chuki zitakuua

    • @alhamiibrahim1289
      @alhamiibrahim1289 ปีที่แล้ว

      ss huyu mzee hatuwez kumsahau kabisa, tumejenga,tumenunua magari, tumekula bata, ajira zilikua nyingi mpaka wafanyakazi hewa , pesa ilikuepo mtaani , ata siekua na kazi pesa alipata. yani kikwete ktk kipind kwel ilkua maisha kwa kila mtanzania.

    • @emariusrush3285
      @emariusrush3285 ปีที่แล้ว

      ​@@alhamiibrahim1289nenda kajikushe ufisadi wote uliotokea enzi zake

  • @frankoguta9792
    @frankoguta9792 ปีที่แล้ว +1

    Sijawaiga kumwelewa kikwete toka amekuwa Rais yani ni mswahili sijapata kuona na pia nazani sio mtanzania huyu yani ajawai kuwa na uzalendo kabisa.

  • @user-xg5ph3py1t
    @user-xg5ph3py1t 6 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana mh.kikwete

  • @hellenngwilla550
    @hellenngwilla550 11 หลายเดือนก่อน +1

    Tanzania unyasaji umezidi watu wanaumia na kufa hamna kitu kbs Mungu anakuona haki

  • @haikaelkiwia9705
    @haikaelkiwia9705 ปีที่แล้ว +3

    Mnayozungumza yanatusaidia Tanzania?? Blaablaa tu, tueleze bandari yetu itabaki vp,

  • @Hamiboy-kq4em
    @Hamiboy-kq4em ปีที่แล้ว +2

    Yan uyu jamaaa ata wanao msikiliza pia hawampend ila mungu nimwema c mnaona anazid kurd utoton yana mwisho

  • @nyambabesikimai2776
    @nyambabesikimai2776 11 หลายเดือนก่อน

    Huyu dingi huwa simpati kabisa basi tu

  • @wazolangu6987
    @wazolangu6987 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ni nyinyi ndio mnatusababisha kutaka kuwatoa kwanguvu kwasababu mnaiba kura na hamueshimu maamuzi ya wananchi.

  • @nardhismhagama6266
    @nardhismhagama6266 ปีที่แล้ว +3

    Mnapita bila kupin'gwa kwa nchi waelewa lazima kinuke

  • @faustinluambano2958
    @faustinluambano2958 5 หลายเดือนก่อน

    Mnafiki mkubwa huyu siyo wa kumsikiliza.Jeshi na demokrasia wapi na wapi. Yeye ametuvuruga sana kwenye demokrasia

  • @mamamdogo409
    @mamamdogo409 10 หลายเดือนก่อน +1

    Wacha hizo Mzee tumekuchoka chanzo ni ww

  • @user-rc8zw6jp2y
    @user-rc8zw6jp2y 11 หลายเดือนก่อน

    Tunawaombea dua jema mungu awape hekma ili waelewane ,na kuepusha vifo

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 11 หลายเดือนก่อน

    My president of century is JK

  • @user-nn6zq1ok7i
    @user-nn6zq1ok7i 6 หลายเดือนก่อน

    Msitudanganye. Mnatunyonya maisha magumu tendeni haki Mungu atawaadhibuvtu

  • @MollelAman
    @MollelAman 11 หลายเดือนก่อน +2

    Tunakukumbuka magufuli

  • @abbassalum6824
    @abbassalum6824 11 หลายเดือนก่อน +2

    Itafika kipindi tutaangukia huko maana nyie nakula nchi raia tunateseka nani ataendelea kuvumilia hayo

  • @user-sr6tr7ko7w
    @user-sr6tr7ko7w 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kajamaa haka kahovyo Sana, na anaeihalibu na ametuingiza kwenye shida ktk hii inchi ni haka kajamaa, malipo ni hapahapa.

  • @RashidRamadhan-dt9hx
    @RashidRamadhan-dt9hx ปีที่แล้ว +3

    Nawewe ulibariki kufuta uchanguzi wazanzibar hukulisema hilo

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 ปีที่แล้ว +5

    Leo mbona ucheki tofauti na ulivyo elezea escrow na EPA na hili litapita tuendee kucheka Tu

    • @saidbakar-qo6ri
      @saidbakar-qo6ri ปีที่แล้ว

      Mapambano ya escrow alianzisha kikwete mwenyewe aliwageuka rafiki zake kina lowassa ndio maana alihakikisha lowassa hawi rais kama una kumbukumbu kikwete ndie alianzisha kampeni ya ccm kujivua gamba na akaahidi kuwa ccm itawaletea rais mtakaempenda jembe na magufuli aliwahi kusema bila kikwete yeye asingekuwa rais

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 11 หลายเดือนก่อน

      Aliyomtendea hatakaa asahau.

  • @DaudiMwizarubi-go4xz
    @DaudiMwizarubi-go4xz ปีที่แล้ว +3

    hiyo yote nikujihami huna lolote

  • @mamamdogo409
    @mamamdogo409 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nakuona Mzee kumbe hukushiba uongozi ,haya sasa Fanya yote utuuze na sisi magu alikuwa anaona mbali , ila Mzee nakuomba hicho kicheko ukatubu ni dhambi acha kucheka na dharau muachie mama ashindwe mwenyewe ulistaafu

  • @user-xv8er3uc1p
    @user-xv8er3uc1p 11 หลายเดือนก่อน

    Mapinduzi ktk dimokrasia inamadhara mkuu wananchi wote inakuwa shida kubwa . Ikitokea nchi hakaliki.

  • @user-ls1es8sd1s
    @user-ls1es8sd1s 8 หลายเดือนก่อน

    Tatizo viongozi wa Africa wengi wao ni vibaraka wakika madara kani wana AngaliA maslay yao taifa lina yumba mabebelu wana fanya wana votaka wana nchii maisha magum kiongozi kama uyo jeshii lina mpinduA kwa duniA ya sasa Afai Ana leta matatizo katika taifa tunako ElekeA kila kitu kita kuwa wazi viongozi wote wanao. We kwa na mabebelu wata pinduriwa mmoja mmoja

  • @sadickbudoda4361
    @sadickbudoda4361 ปีที่แล้ว +8

    Kwetu kuna rushwa hakuna democrasia pia kuna wezi na mawakala wa wizi na bandar itawasafisha mwaka huu mtaumbuka sana

  • @ramadhankhamiss2943
    @ramadhankhamiss2943 ปีที่แล้ว +1

    Wote vibaraka

  • @Hamiboy-kq4em
    @Hamiboy-kq4em ปีที่แล้ว +2

    Ana jichekesha tu watu wako busy

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 6 หลายเดือนก่อน

    Mpaka mseme!!! Na mtasema

  • @NyakiMollel
    @NyakiMollel 5 หลายเดือนก่อน

    We ndio umeiangamiza taifa letu na bado ujatosheka inauma we tujaze siasaa ila dhambi hii haitakaa ikuache

  • @julianamasunga3458
    @julianamasunga3458 ปีที่แล้ว +1

    JPM ,,alisema kuna viongozi wengine wamesitafu lakini bado wanawashwa alikuwa anamaana kubwa sana,,,,,nchi hii tusipoondoa woga mpaka tunapolala itatolewa mikatamba ya hovyooo,,,,tuwakatae kwa vitendo,,,,

  • @noelkomba5270
    @noelkomba5270 11 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa ujue ananikumbusha raisi George Herbert bush yaani bush baba wa marekani akicheka kisirisiri wakati wa msiba John f Kennedy

  • @samsonhamery3809
    @samsonhamery3809 ปีที่แล้ว +2

    Ndiyo maana methali ya kiswahili inasema ukiona mwenzio ananyolewa wewe tia kichwa chako maji.Tusizibe masikio kusikia kuwa watu wetu wanataka nini. Kiburi cha viongozi ndicho huamsha hasira za wananchi.MwenyeziMungu tuepushe na balaa hili.Viongozi wetu watusikilize nasi tuwasikilize.

  • @TwahaMpakani-pn4ov
    @TwahaMpakani-pn4ov 6 หลายเดือนก่อน

    Mie nadhan hayo mapinduz yanastahili kwa sababu tunawachagua kweli kidemokrasila ila inakua ni kama mnatafuta mlango wa kuingia tu lakin kwa nin wananch wamewachagua hilo tena hanjali ikisha kua tayari kiongoz

  • @gidionkadaraja1403
    @gidionkadaraja1403 10 หลายเดือนก่อน

    Marekan amejaribu kusaidiaa , USA anasadiaa ??

  • @charlesgasper-wo9hc
    @charlesgasper-wo9hc 10 หลายเดือนก่อน

    Majenerali wanavuluganchi zingine naTanzania inavulugwa nanani..kamasi wazeewachovuwaliojaa kwenyechama hatauwezo wakufikiriuliishapungua wakati vijanawasominawazalendo maelfuwakisagasoremitaanitu hukunchi inaanaangamia.

  • @anthonykishiwa5334
    @anthonykishiwa5334 ปีที่แล้ว +1

    Mkataba was DPW ufutwe hatuutaki

  • @Gracemima
    @Gracemima 11 หลายเดือนก่อน

    Huyu anadanganya watanzania. Hata sijuwi kwa nini munamusikiliza.

  • @user-hb1iw9uj3x
    @user-hb1iw9uj3x ปีที่แล้ว

    Mmekula nn mbona mnatuuza kizalendo!?

  • @kyangwesignermohamed7867
    @kyangwesignermohamed7867 ปีที่แล้ว +1

    Hana hata Aibu

  • @freddymtashi5020
    @freddymtashi5020 11 หลายเดือนก่อน +1

    Vijana watapataje nafasi ikiwa uteuzi na kazi Wazee kama kina wasira ndo wanapewa kazi!

  • @user-tt1by8ly2l
    @user-tt1by8ly2l 11 หลายเดือนก่อน

    M.mungv sakufinde mzee wetu

  • @amonbwanakunu910
    @amonbwanakunu910 ปีที่แล้ว +1

    Mhe Rais wetu mstaafu, Dr Jakaya Mrisho Kikwete, Ametoa ripoti nzuri ya Hali ya Demokrasia Katika bara letu la Afrika, Demokrasia Ni mfumo mzuri wa kiuongozi, Ni mfumo unaopenda Haki na usawa, Na kuleta maendeleo ya Pamoja, Lakini pia Demokrasia ya Kweli huleta Ukweli na uwazi, Lakini pia Demokrasia nzuri ni ile inayoendana na mazingira ya jamii husika"

  • @ausonjustinian4673
    @ausonjustinian4673 6 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂RWEYEMAMU MUSHAIJA😅😅😅MUSHAIJA heigeige KABISAKABISA.

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 6 หลายเดือนก่อน

    Mikutano miiingi maisha hayabadiliki dhiki tupu

  • @user-rq7pj9pv1k
    @user-rq7pj9pv1k 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ushiliki wa wanawake hatuutaki kuisikia

  • @HansMoses-ml7oh
    @HansMoses-ml7oh 11 หลายเดือนก่อน

    Watu wakichoka na ufisadi ndiyo matokeo kwaiyo ata Tz wakichoka

  • @kawiche4911
    @kawiche4911 ปีที่แล้ว +14

    Mafisadi wa nchi yetu
    Hamna aibu
    Tutawakumbuka kwa wizi wa rasilimali za Umma
    MKATABA WA DPW UFUTWE
    ACHENI UHUNI

    • @ibrahimomari2458
      @ibrahimomari2458 ปีที่แล้ว +2

      Chuki na hasadi itakuua

    • @alhamiibrahim1289
      @alhamiibrahim1289 ปีที่แล้ว +1

      Fanya kaz upate pesa ww, Acha kulalamika sana

    • @shinipapaya846
      @shinipapaya846 ปีที่แล้ว +1

      ​@@alhamiibrahim1289hizo kazi ziko wapi? kuma we 😂😂

    • @stanslausmanyunchwi
      @stanslausmanyunchwi ปีที่แล้ว

      ​@@ibrahimomari2458ko wew hauna chuki

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 ปีที่แล้ว +1

      @@alhamiibrahim1289 wewe unafanya kazi gani??!! Au uchawa😆😆

  • @user-kz4yv6ds8c
    @user-kz4yv6ds8c 11 หลายเดือนก่อน

    Wewe kikwete mstaafu, hata hueleweki, unapenda sana kujinasibu nasibu, pia unapenda sana kuonekana katika meza kuu, umesahau kuwa umepitwa na wakati, unawalubuni viongozi walioko madarakani, kwanini hutulii kwako ,???

  • @adiliwasanga4521
    @adiliwasanga4521 ปีที่แล้ว +1

    Kwekwete bhana hushibi tuu ndugu, mlikula nchi na bado mnakula tuu hata kama nimatumbo mmezidi jaman , angekwepo magufuli tusingekwepo na hilo linaloitwa dpw

  • @Omarjumanne-zm9zh
    @Omarjumanne-zm9zh 7 หลายเดือนก่อน

    Tanzania viongozi waliostafu hutayarisha watoto wao kuchukua madaraka ufarume Wa kupeana kundi furani ni hatari sana kwa siku sjjazo

  • @simonibonifasi3131
    @simonibonifasi3131 ปีที่แล้ว

    Tunataka mkataba wa DPW ufutwe sisi wanainchi hatautaki

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 6 หลายเดือนก่อน

    Uyu mzee akisoma hizi comment ataelewa kitu juu yake

  • @mbarakaubuguyu7448
    @mbarakaubuguyu7448 11 หลายเดือนก่อน

    tuko siriasi yaani hatucheki ovyo

  • @beirut9750
    @beirut9750 ปีที่แล้ว +1

    Chungeni tanzania 🇹🇿 democracy na wacheni mambo ya katiba mpya kenya 🇰🇪 iko na shida juu upinzani unatumia katiba mya kuleta vurugu hatuna amani wakiulizwa wana sema katiba inaruhusu maadamano wakiulizwa kwanini wanaharibu mali wanasema nikazi ya polisi kulinda mali chungeni .

    • @YasrFak
      @YasrFak ปีที่แล้ว

      Ndio pia viongozi wanachangia mbona Zambia amani

  • @user-rq7pj9pv1k
    @user-rq7pj9pv1k 11 หลายเดือนก่อน

    Uache kujificha ongea waziwazi