EXCLUSIVE: MENEJA WA MANULA AFUNGUKA SABABU ZA AISHI KURUDI SIMBA / MANULA KUTENGWA SIMBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ย. 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 17

  • @Kibaro777
    @Kibaro777 26 วันที่ผ่านมา +4

    Kitenge we mbwa tu abar za Simba unafatilia san

    • @abiaslimadyanse1842
      @abiaslimadyanse1842 26 วันที่ผ่านมา

      Ila we ni mwehuu 😂🤣 i

    • @jumongjr5837
      @jumongjr5837 25 วันที่ผ่านมา +1

      Ulitaka Afatilie za Bibi yako au 😂😂😂😂😂😂

    • @batashqiraa9936
      @batashqiraa9936 25 วันที่ผ่านมา

      Kmtukana mtu kwa kumwita mbwa, jee kimaumbile huyo unayemtukana hajafanana na wewe kimaumbile? Mnaotukana mitandaoni mjichunge ndimi zenu huenda matusi mnayotukana yakamrudia mwenye kutukana. Unamtukana binaadamu mwenzako inamwita mbwa jee kweli amefanana na mbwa? au amefanana na wewe unayetukana? Kama amefanana na wewe tusi linageukia kwako kwa sababu binaadamu hazai mbwa wala hazaliwi na mbwa. Acheni matusi, toeni mawazo ya kistaarabu na ukumbuke kuwa mawazo yako sio lazima yafanane na ya mwenzako, lkn matusi sio mawazo wala fikra sahihi ila matusi ni upofu na ujinga

    • @DianaLyimo-be7yp
      @DianaLyimo-be7yp 24 วันที่ผ่านมา

      Kunawatu wengine haha inatokea mdomon so sio kosa lako

  • @krispinkomba4606
    @krispinkomba4606 23 วันที่ผ่านมา

    We Nasri zingatia habari kutoka Kwa manager wa mchezaji, kwani hujasikia kuwa alikuwa na matatizo hapo mwanzo

  • @far_hard1301
    @far_hard1301 18 วันที่ผ่านมา

    Kwanini wamfanyie hivyo manula kwani jibu hamlijui?

  • @jumongjr5837
    @jumongjr5837 25 วันที่ผ่านมา +1

    Nyie Makolo mlitaka Kitenge afatilie habari za Bb zenu au 😅😅😅😅😅😅😅😅

    • @muksinimbaruku1233
      @muksinimbaruku1233 25 วันที่ผ่านมา

      Afatilia habari za Bwana wenu Ghalib salim Gsm

  • @hoseamwansasu2742
    @hoseamwansasu2742 26 วันที่ผ่านมา +1

    We shombe shombe akili huna

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 26 วันที่ผ่านมา

    kitenge Tangaza habari za yanga mambo ya simbaTuachie wwhututakii mema

  • @AllanKabuga-k2d
    @AllanKabuga-k2d 26 วันที่ผ่านมา +1

    Za Simba mnaziona xana za yanga hapana kabisa media mbwa nyie

  • @user-fi6hb3lp5y
    @user-fi6hb3lp5y 26 วันที่ผ่านมา +1

    Wewe shombe shombe wacha fitna izo katengwa wapi? Hem wacha story za pumba izo wewe

  • @athumanmsuya2688
    @athumanmsuya2688 26 วันที่ผ่านมา

    Mashabiki tu wa uto hawa

  • @EdwinAdAstra
    @EdwinAdAstra 25 วันที่ผ่านมา

    Acheni shobo za kishoga kenge nyie

  • @kassimkingu5512
    @kassimkingu5512 25 วันที่ผ่านมา

    Nyie watu 2 sio wachambuz ila no watu Wa ovyo Kazi ni kuisema vibaya simba tu nyie bakieni hivyo hivyo tu.