POLEPOLE - "MAGUFULI ALISEMA UMEME USIKATIKE, TUFUKUE MAKABURI?, NAPE ANGEHOJI ENZI ZA JPM"...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ต.ค. 2024
  • POLEPOLE - "MAGUFULI ALISEMA UMEME USIKATIKE, TUFUKUE MAKABURI?, NAPE ANGEHOJI ENZI ZA JPM"...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #Polepole #MsumariWaMoto #AfricaIsWatching

ความคิดเห็น • 611

  • @johaneskatabalo9480
    @johaneskatabalo9480 2 ปีที่แล้ว +47

    hongereni sana wasafi hakika haya mahojiano ni mazuri sana polepole amekuwa mtu sahihi sana jinsi anavyo jibu maswali kwa hoja nzito narudia mara kwa mara haya mahojiano.

  • @ilampahamisi5777
    @ilampahamisi5777 2 ปีที่แล้ว +87

    We are very blessed to have a person like H. Polepole. He is rich in love Quotient (LQ), emotional Quotient (EQ), Social Quotient (SQ) and intelligent Quotient (IQ). He knows what to speak and how, we need you in near future to be in executive.

  • @johnmasanja1762
    @johnmasanja1762 2 ปีที่แล้ว +42

    Unda chama chako pole pole, kura mingi saaaaana kwako, Tena ukiite jina JPM, 🗽🗽🗽

    • @josephgomalo41
      @josephgomalo41 2 ปีที่แล้ว +1

      NITAKATA KADI KESHO.. CHAMA JPM NDIO FUTURE A TANZANIA.. !

    • @joezeno8
      @joezeno8 2 ปีที่แล้ว

      @@josephgomalo41 kabisa

  • @bevenmolokwane_tz4643
    @bevenmolokwane_tz4643 2 ปีที่แล้ว +32

    safi sanaaaaa, 👍umemjibu vizuri sana kwenye hoja ya umeme, "hoja ya kipuuzi kweli kweli" Nepi anatufanya sisi watanzania mazuzu !!!

  • @isaacwilson7529
    @isaacwilson7529 2 ปีที่แล้ว +82

    Hpolepole Akili nyingi Sana Mungu akupandishe siku uwe rais wetu tz

    • @Boaz22
      @Boaz22 2 ปีที่แล้ว

      Akili nyingi ipi kaka

    • @rickyaruzi1983
      @rickyaruzi1983 2 ปีที่แล้ว

      Kitambulisho kimoja kinaweza tumiwa na wafanyabiashara wote

    • @afrohomeofsuccess2359
      @afrohomeofsuccess2359 2 ปีที่แล้ว

      @@Boaz22 unateseka sana mbona

    • @gracegrace6200
      @gracegrace6200 2 ปีที่แล้ว

      @@afrohomeofsuccess2359 kwasababu anaipenda nchi yake. Watu kama hawa wanahitajika Tanzania. Mungu hafungi milango yote. Katufungia MAGUFULI katufungulia PolePole

    • @queenpearl8286
      @queenpearl8286 ปีที่แล้ว

      @@rickyaruzi1983 q22

  • @zengomikomangwa9264
    @zengomikomangwa9264 2 ปีที่แล้ว +81

    Comrade Polepole uko vizuri sana. Unaweza kujenga hoja. Na uelewa mkubwa sana. Wengine wale.... Wanapenda kujipendekeza wazushi nk. Endelea kuelewesha umma !

    • @Boaz22
      @Boaz22 2 ปีที่แล้ว

      Hamna kitu hapa,utawala wa uongozi sio kusema jambo la uamuzi uliopo madarakani.give solutions...we are youth let's gain enough knowledge.sio kuchukua kila unachosikia

    • @gracegrace6200
      @gracegrace6200 2 ปีที่แล้ว +1

      @@Boaz22 Ni wewe unaona hakuna kitu. Wenye akiri zawo na wapenda haki kwa wote Tunaunga mukono.

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 2 ปีที่แล้ว

      Ni maoni yako acha mwenye kuona yupo sahihi mpe uhuru. Hata Mungu hakubaliki na wote.

    • @alhaminyangusi8035
      @alhaminyangusi8035 2 ปีที่แล้ว

      Mwambie aache stress kila zama na watu wake,, atulie tu

    • @stevemwandambo587
      @stevemwandambo587 2 ปีที่แล้ว

      huyu mtu ana uelewa mkubwa xn ila Kwa wale watu wny akili ndogo ni ngumu xn kumuelewa..

  • @yohanaholehole1298
    @yohanaholehole1298 2 ปีที่แล้ว +33

    Kongole polepole you have a great vision to our nation....i always appreciate on you since 2011 in a young age of 12 years myself

  • @ellymakongo656
    @ellymakongo656 2 ปีที่แล้ว +29

    Anaongea anachokiishi salute sana kwako

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 2 ปีที่แล้ว +68

    Siku ukifa ndio tutakuana wasamani na kukupa majina Mazuri mapya ambayo huta sikia MUNGU AKUPATIE SAWABU YA KAZI

  • @wilsonkaseha2034
    @wilsonkaseha2034 2 ปีที่แล้ว +29

    Akili kubwa sana Huyu Polepole.
    Lakn nimeridhika na hosts kwa maswali na namna wanavyoijua kazi ya kusaili👍

  • @yunusrnb5227
    @yunusrnb5227 2 ปีที่แล้ว +10

    Jamaa Ana AKILI Sana,NAMKUBALI polepole toka TYC Tanzania youth Coalition,Ana UELEWA wa Mambo mengi

  • @deejeydaev
    @deejeydaev 2 ปีที่แล้ว +28

    Sasa haya ndio mambo. Wasafi hongereni kwa kipindi kama hiki..safi kabisa

  • @sheryphamwenevalley6124
    @sheryphamwenevalley6124 2 ปีที่แล้ว +21

    huyu jamaa anajua mpk basi hpolepole on fire🔥

  • @pendomarco8928
    @pendomarco8928 2 ปีที่แล้ว +8

    Nakupenda baba Yangu pole pole, wasaliti wabaya Sana mwisho wake ni kujinyonga Kama yuda aliyemsaliti Bwana Yesu

  • @anordkingstar5793
    @anordkingstar5793 2 ปีที่แล้ว +17

    Hamfely mngu akuongoze kaka naona moyo wako ulivyo saf juu ya nchi yetu hao mafisadi acha wakupinge tu,,, mda ukifika maneno yako yatakumbukwa,,, Amin nasema na mngu atawafunulia haya cku ya tukio tuombe uzima

  • @FINGATanzania
    @FINGATanzania 2 ปีที่แล้ว +31

    Yuko smart kuongea, smart kuchanganua, smart sana Polepole

  • @mudolyomanzil6502
    @mudolyomanzil6502 2 ปีที่แล้ว +19

    Bless bless #polepole #wcb

  • @priscacharlescharles9014
    @priscacharlescharles9014 2 ปีที่แล้ว +24

    Wasafi ❤❤mko smarti sana 😍

  • @mohammedmdangwe2056
    @mohammedmdangwe2056 2 ปีที่แล้ว +45

    Polepole jipangeni tumechoka na mgao wa umeme tunalala bila kuoga maji hakuna upigaji umerudi kwa kasi miradi ya kimkakati yote imesimama tunataka bwawa la nyerere liishe reli iishe

  • @gracegrace6200
    @gracegrace6200 2 ปีที่แล้ว +9

    Pole pole Watanzania wapenda haki kwa wote tunakupenda. You give us hope. May God protect you my son.

  • @danielkntimba4565
    @danielkntimba4565 2 ปีที่แล้ว +3

    Hongereni sana Wasafi TV na Comrade Polepole kwa kutuelimisha Umma wa Watanzania mambo muhimu ya nchi kwa jina.

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 2 ปีที่แล้ว +19

    Mb polepole Mungu akulinde tuzidi kujifunza kupitia wewe

  • @georgekimasaofficial1629
    @georgekimasaofficial1629 2 ปีที่แล้ว +34

    Wasafi mmepevuka Sana nawapeni congratulations 😂😂😂

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 2 ปีที่แล้ว +30

    Tunakukubali Polepole piga kazi tu,,,ila umenifurahisha Sana eti Maharamia walipelekewa Moto wa Kutosha

  • @shehitzmakulusha8154
    @shehitzmakulusha8154 2 ปีที่แล้ว +19

    Akili nyingi sana

  • @abdirizakibrahim1975
    @abdirizakibrahim1975 2 ปีที่แล้ว +96

    We ndo baba yetu na ndo kakayetu mzalendo wa kweli hekima na busara zako hakuna mwenye akili na uono wa kesho kutwa katika taifa letu mungu akulinde mungu ibariki Tanzania

    • @digital-d2t
      @digital-d2t 2 ปีที่แล้ว +1

      Baba yako ww. Tena ukome

    • @Boaz22
      @Boaz22 2 ปีที่แล้ว

      Baba yako huyu we pimbi

    • @gracegrace6200
      @gracegrace6200 2 ปีที่แล้ว +3

      @@digital-d2t Koma wewe. Baba yetu sisi wapenda haki kwa wote. Sio wewe fisadi papasi mkubwa munyonya damu za Watanzania wenzio.

    • @gracegrace6200
      @gracegrace6200 2 ปีที่แล้ว +2

      @@Boaz22 pimbi ni wewe, usiyependa haki kwa wote. Mubinafi mkubwa wewe. Tanzania ni ya kila Mtanzania

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 2 ปีที่แล้ว

      @@digital-d2t michael aloyce mbona unatoa matusi tena

  • @fadhilmandaliabdalla6736
    @fadhilmandaliabdalla6736 2 ปีที่แล้ว +25

    Michael Schofield 👊you are very truthful, logical, fear no body but God🙏

  • @paulpius6566
    @paulpius6566 2 ปีที่แล้ว +13

    HAMPHREY uko vzr saaaaana kaka , Mungu azidi kukupa Uhai na uisimamie serikali ya awamu ya tano

  • @meddymushimaz4998
    @meddymushimaz4998 2 ปีที่แล้ว +27

    Polepole MZALENDO kati ya wazalendo waliobaki na wasiokuwa wanafiki,,NAMPENDA sana Polepole na tunahitaji vijana wa ainahii, baadhi yavijana tunawasomesha kwakodizetu lakini wakitokahuko wanakuwa mafisadi nawezi wa rasilimali za umma

  • @yuathmtenzi2114
    @yuathmtenzi2114 2 ปีที่แล้ว +20

    Humble, brilliant and blessed man. Thanks comrade

  • @kiwalejaphett5846
    @kiwalejaphett5846 2 ปีที่แล้ว +25

    Kazi nzuri polepole

  • @zawadimwambungu8940
    @zawadimwambungu8940 2 ปีที่แล้ว +38

    NIMEPENDA SANA HIKI KIPINDI HUYU JAMAA KWELI NIKIONGOZI TUNAOMBA MUMWITE TENA HUYU JAMAA
    ANAMAONO NA LEADERSHIP MIND KUBWA SANA HII NI SILAAA MUNGU AMPE MAISHA MAREFU SANA MR POLEPOLE
    WE PRAY FOR HIM

    • @peterjovit7342
      @peterjovit7342 2 ปีที่แล้ว +2

      Pole pole Mtu bwana mapungufu niya kila mwanadam lakini anajitahidi kwakwel

    • @Boaz22
      @Boaz22 2 ปีที่แล้ว

      Acha umavi wewe ,,unasikiliza flow sio?

    • @gracegrace6200
      @gracegrace6200 2 ปีที่แล้ว

      @@Boaz22 umavi unao wewe usiojuwa utu ni nini.

  • @kiwalejaphett5846
    @kiwalejaphett5846 2 ปีที่แล้ว +19

    Polepole unajua mambo mengi sana saidia taifa

  • @fraviansweetberty8819
    @fraviansweetberty8819 2 ปีที่แล้ว +16

    Dah!!!!!!!!!!! Nawahuni wangeisha kweliiiiii Ila yote tumshukuru Mungu kwa kila jamboo atuna namna

  • @rumb5876
    @rumb5876 2 ปีที่แล้ว +4

    Usije ukachukua kasentensi kamoja usije ukazama nako baharini🗣 . Polepole Nakukubali sana Mungu akupe maisha marefu .

  • @adolphmaige4249
    @adolphmaige4249 2 ปีที่แล้ว +17

    Asante Sana polepole

  • @nyembomajidi3027
    @nyembomajidi3027 2 ปีที่แล้ว +12

    ndio pole pole upinzani wa ubwege hauna faida sisi raia inabidi tuwe makini na hawa wampinzani wafrica from drc🇨🇩🇨🇩🇹🇿🇰🇪🇺🇬

  • @JMMM686
    @JMMM686 2 ปีที่แล้ว +16

    Polepole🇹🇿🇹🇿 wakati muhimu na sahihi unakuja kwako ili Tz uitumikie kwa nafasi ya juu

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 2 ปีที่แล้ว +18

    Polepole wewe ni very intelligent 👌

  • @awadhichimbunga2009
    @awadhichimbunga2009 2 ปีที่แล้ว +21

    Natamani siku moja uje kuongoza taifa letu kaka

  • @avitusleonard6728
    @avitusleonard6728 2 ปีที่แล้ว +17

    Pole pole you are blessings to our country. May continue to flourish you; fear not my brother. One day, our people will understand your wisdoms.

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 2 ปีที่แล้ว +14

    Tzd tatizo kubwa sana wapigaji kila kikona na tabu sana kuwaponya mola amlaze pahali pema Magu kwa kweli

  • @florameza9529
    @florameza9529 2 ปีที่แล้ว +14

    Wana ccm 2025 tuleteeni polepole anafaa kufata nyayo za magufuli

  • @malolelamayoka7491
    @malolelamayoka7491 2 ปีที่แล้ว +17

    Mungu akubariki sana!

  • @lucykristensen7145
    @lucykristensen7145 2 ปีที่แล้ว +19

    Una utu na uzalendo kwenye damu yako wa hali ya juu sana. Nadhani kwenye utoto wako ulikuwa unawagawia wadogo zako mkate kwa upendo na wewe unashiba kiroho.

  • @sleymansleyman9511
    @sleymansleyman9511 2 ปีที่แล้ว +6

    Comrade polepole nimtu yupo street sn hanaga konakona ukimuuliza swali anakujibu swali lako mpaka unashiba na anatengeneze hoja zenye mashiko kwa faida ya wananchi hongera kwake kwa kazi nzuri.

  • @khalfanmlala5093
    @khalfanmlala5093 2 ปีที่แล้ว +12

    Safi sana

  • @michaeldady1767
    @michaeldady1767 2 ปีที่แล้ว +36

    Huyu jamaa ana akili mingi sanaaa...God bless you comrade

    • @alhaminyangusi8035
      @alhaminyangusi8035 2 ปีที่แล้ว

      Inaonekana ww una akili ndogo

    • @stevemwandambo587
      @stevemwandambo587 2 ปีที่แล้ว

      kwa kawaida binadamu akili huwa tunatofautiana kn watu wana akili xn, wengine kdg so ndio iko hvo

  • @lispafulgence9983
    @lispafulgence9983 2 ปีที่แล้ว +15

    Polepole pamoja sana

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 2 ปีที่แล้ว +10

    Uko vizuri polepole

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 2 ปีที่แล้ว +20

    SAFI SANA MH.POLEPOLE.

  • @geopolitics94
    @geopolitics94 2 ปีที่แล้ว +5

    Interview nzuri sana, both Mhojiwa na wanaohoji 👊🏾

  • @yohanamagele3633
    @yohanamagele3633 2 ปีที่แล้ว +6

    Huyu ndio Mwanafunzi bora baada ya JPM KUFA Naamini Atashika hatam one day

  • @josephsaghana1056
    @josephsaghana1056 2 ปีที่แล้ว +10

    Asante naiona nuru ya Taifa inainuka Taratibuuu!!

  • @fredrickshantiwa9710
    @fredrickshantiwa9710 2 ปีที่แล้ว +18

    Pole pole ni kiongozi mwema Sana

    • @antonyshayo7569
      @antonyshayo7569 2 ปีที่แล้ว

      Kaka were una hekima sana naomba uendelee kutuelimisha kwani wewe in kiongozi kweli

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 2 ปีที่แล้ว +15

    Mpe salaam sana rafiki yangu huyo mola amjaalie kila la kheiry

    • @adamsonkyando682
      @adamsonkyando682 2 ปีที่แล้ว +1

      Huyu jamaa anauwezo mkubwa sana wa kuwa kiongozi

  • @Butondo
    @Butondo 2 ปีที่แล้ว +7

    Kaka upo vizuri. Ninaingia kitandani kulala na Amani. Unajua unaongea nini na unajua kubaransi na kujibu hoja bila kupindisha swali lolote.

  • @shabaniabdu1312
    @shabaniabdu1312 2 ปีที่แล้ว +15

    Upinzani wa tz mara nyingi hujitetea wao wenyewe Sio kutetea umma! Ndio maana hawa kupata kura. Matatizo yao wana tegemea taasisi za nje! Badala ya kutegemea ummma. Hawaja tambua kama kuishi kwao ni lazima kutegemea umma!!!! Ndio wapiga kura.

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 2 ปีที่แล้ว +14

    Nashukuru kulifahamu jambo la bandari ya bagamoyo huyu waziri mwambe hajielewi kweli kama jewellery la msingi liliwekwa mkataba utakosekanaje ajabu kubwa na ni aibu kwa mwAmbe tena ni muongo mzandiki mkubwa hata mkataba atatudanganya ttu

  • @magwinahimself7316
    @magwinahimself7316 2 ปีที่แล้ว +12

    Allah akupe umri mrefu kaka polepole

  • @silverman6930
    @silverman6930 2 ปีที่แล้ว +5

    This Guy is a Genius I live in the Uk and my guy will be a MP here in a Parliament for sure very intelligent… I’m so impressed listening to you Pole pole .. very articulate and knowledgeable in analysing matters . Incredible stuff 🇬🇧🇬🇧❤️❤️🔥🔥

  • @sentaramonty7830
    @sentaramonty7830 2 ปีที่แล้ว +6

    Ccm ikipata vichwa kama hivi kumiitadumu milele bro big up sana

  • @fredrickshantiwa9710
    @fredrickshantiwa9710 2 ปีที่แล้ว +15

    Nakupenda Sana ww jamaaa

  • @nicolausclement8408
    @nicolausclement8408 2 ปีที่แล้ว +13

    Kwangu mm maoni yangu ningependa kuja kukuona huko mbeleni ukiwa raisi wainchi hii unauzarendo wakweli moyoni mwako kwa inchi yako tanzania nakikumbuka kile kipindi chako cha papo kwa hapo kilitatua kero nyingi sana kwa wanainchi mungu akusimamie msemakweli

  • @barakaephraim5481
    @barakaephraim5481 2 ปีที่แล้ว +11

    Mh Mungu awe mlinzi wako daimaa unafanya makubwa , ila Sasa tukuombee tu watz

  • @kaayakitomary1233
    @kaayakitomary1233 2 ปีที่แล้ว +20

    Kweli kabisa. Yaaaan sasa hv wanatumia nguvu sana

    • @angelinankuji7660
      @angelinankuji7660 2 ปีที่แล้ว

      Nakupenda sana m2 wa mungu una mcmamo na imani kweli usigeuke nyuma ukawa nguzo ya chumvi

  • @wilsonkaseha2034
    @wilsonkaseha2034 2 ปีที่แล้ว +3

    Perfect! Thumb up comred

  • @manp.....7694
    @manp.....7694 2 ปีที่แล้ว +1

    Humphrey you're the GREAT. Nimekuelewa sana mkuu.

  • @mickdadyronaldo4113
    @mickdadyronaldo4113 2 ปีที่แล้ว +3

    Polepole sauti safi kabisa umeongea vizuri sana kiongozi mzalendo uliebaki Tunakupenda sana

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 2 ปีที่แล้ว +26

    Kiongoz wetu polepole allah akulinde

  • @mohammedmdangwe2056
    @mohammedmdangwe2056 2 ปีที่แล้ว +9

    Kwa mbali polepole utakuwa kiongozi mkubwa sana

  • @d.e.o8296
    @d.e.o8296 2 ปีที่แล้ว +8

    Why wasikupatie Nchi ndg

  • @ommimg2467
    @ommimg2467 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akusaidie ndugu dah! Akulinde sana uje kutumikia Watz kwa ngazi ya juu sana

  • @kpmagothtv8620
    @kpmagothtv8620 2 ปีที่แล้ว +12

    Polepole we una akili sana 👏👏

  • @sarllemmtunze405
    @sarllemmtunze405 2 ปีที่แล้ว +11

    Waziri mwamba ni miongoni mwa wahuni watakaokuja kuighsrimu CCM na Tanzania kwa ujumla 😕

  • @danieljs4285
    @danieljs4285 2 ปีที่แล้ว +10

    Polepole mtu Makin Sana hongeren wasafi kwa kipindi kizuri

  • @jastinestanley6484
    @jastinestanley6484 2 ปีที่แล้ว +10

    Kweli sema ukweli nguli WA Tanzania Kwa sasa

  • @vicentmichael8424
    @vicentmichael8424 2 ปีที่แล้ว +14

    Just imagine mtu anatokea sjui wap anaanza kusema mradi wetu ni hasara sjui katumwa na nani , kwanza bwawa lile sio uharibifu wa mazingira kwa sababu maji pia huleta mvua by evaporations process . I wish haya maoni yangu ayasome rais wetu ili atunusuru maana mipango ya nchi zilizoendelea hawataki tuwe na umeme ili tujiokoe na umaskni.

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 2 ปีที่แล้ว +14

    Huyu polepole muwekeni karibu na viongozi wakuu awashauri jamani,wekeni watu ambao jamii inawaamini

  • @margarethsolomon9823
    @margarethsolomon9823 2 ปีที่แล้ว +4

    Humphrey Polepole 💪💪💯💯 kuna wasaliti humo CCM wasio na HAYA. Umewajibu vizuri sana sana. Huyo mwambe Mwambe anapaswa kujihudhuru.

    • @selector728
      @selector728 2 ปีที่แล้ว

      Kujihudhulu sio kujihudhuru🚮

  • @benjaminekimanuka6240
    @benjaminekimanuka6240 2 ปีที่แล้ว +8

    Asante mzalendo wa afrika

  • @enockmakombe9219
    @enockmakombe9219 2 ปีที่แล้ว +6

    Daaah sitamani kuandika sana ila polepole tuonyeshe unachokizungumza tunaimani na ww

  • @raphaelonyango703
    @raphaelonyango703 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa yangu kweli shule ya uongozi unaiweza na majibu mubashara hongera sana no any one can stop you.big up for your answers.

  • @pauloqaymo8925
    @pauloqaymo8925 2 ปีที่แล้ว +4

    Polepole uko vizuri sana . Interview ilinoga saana

  • @noahyavinmlela859
    @noahyavinmlela859 2 ปีที่แล้ว +10

    "Tuko pamoja kiongozi #polepole

  • @dansonkasala1784
    @dansonkasala1784 2 ปีที่แล้ว +2

    Nakufuatilia sana na kujifunza mengi mazuri kutoka kwako Mh. Polepole

  • @sendimbwega1645
    @sendimbwega1645 2 ปีที่แล้ว +5

    Kweli pole pole,🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓

  • @davidlinus6940
    @davidlinus6940 2 ปีที่แล้ว +7

    Akilini nyingi bro mungu awe nawe

  • @vicentmichael8424
    @vicentmichael8424 2 ปีที่แล้ว +37

    Maoni yangu: tukiwa na umeme wa kutosha tutaweza kutunza mazingira maana watu wataacha kutumia kuni na mkaa. Pia tutavutia watu wengi kuwa na viwanda hapo ndo nchi yetu itakuwa kiuchumi. Tunaambiwa mazingira huku kwenye nchi zao wao hawatunzi mazingira nadhani lengo ni kutufanya tusiwe na umeme ili tuwe masoko yao ya bidhaa. Tafadhali viongozi wetu Mungu awaidia usiuze nchi yetu tunaipenda sana

    • @joshemman520
      @joshemman520 2 ปีที่แล้ว

      Pitia nyumba kumi hapo kwenu alaf unipe wangapi wanatumia umeme kupikia . Labda gesi !! Toa mapungufu ili kujenga hoja yenye nguvu! Watu wameumbwa kuona kasoro kwa wingi., Sipingi hoja fuata .

    • @petercat7417
      @petercat7417 2 ปีที่แล้ว

      Ni kweli ila kupata umeme wa uhakika nilazima uharibu mazingira

  • @barakandola3185
    @barakandola3185 2 ปีที่แล้ว +3

    Daa natamani km ungekua Raisi wetu,upo vizuri

  • @patelmpene3650
    @patelmpene3650 2 ปีที่แล้ว +2

    Duuuuh kwel huu n msumari wa Moto mpo fire 🔥 naangalia huku nikiwa naogopa

  • @furahamsabaha4238
    @furahamsabaha4238 2 ปีที่แล้ว +11

    Hongera sana comredi kutusomesha,kuhusu bandari yabagamoyo,si rahisi hivyo rais akaweka jiwe la msingi wewe ukasema hakuna mkataba, ! Kusema ukweli jambo jema tusilewe madaraka tukafitinisha watu!

  • @laurentsamilah5001
    @laurentsamilah5001 2 ปีที่แล้ว +2

    maswali safi....
    majibu safi sana....
    hongereni wasafi

  • @saidimalunda6487
    @saidimalunda6487 2 ปีที่แล้ว +5

    What a speech HONGERA sana

  • @rassimbaengswahili6191
    @rassimbaengswahili6191 2 ปีที่แล้ว +7

    Nimekupenda Sana Polepole hakika wewe ni taa ya mamilion ya watanzania

  • @abelmhongole6728
    @abelmhongole6728 2 ปีที่แล้ว +2

    Mh. Polepole uko sahihi sana, Mungu akupe hekima ili darasa lieleweke na kila mtu

  • @farajastudioandstationery5798
    @farajastudioandstationery5798 2 ปีที่แล้ว +4

    Mhe. Pole pole We ni mtu kwelikweli nakukubali, waswahili walaji wa Nchi achana nao....

  • @mmlove9127
    @mmlove9127 2 ปีที่แล้ว +3

    Polepole namkubali sana...Mama ampe majukumu ya ku deal na raia moja kwa moja

  • @binbaya923
    @binbaya923 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongereni kaka Zungu na mwenzio kwa maswali (mmetulia sana) pamoja na Mh. Polepole kwa majibu mazuri bila skip. God bless you all

  • @simontv5012
    @simontv5012 2 ปีที่แล้ว +12

    Akil ipo mahali panapo sitahil