Ufugaji wa NGURUWE | Mafanikio na jifunze Jinsi ya kuwa MILIONEA| Uchaguzi wa MBEGU BORA!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • Tunawafungua macho wafugaji wanaoanza na wadogo

ความคิดเห็น • 9

  • @PrinceMuro-xr9ei
    @PrinceMuro-xr9ei 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nakupata ndugu yangu kutoka South Africa,but your face is familiar hakuja soma kizuka

  • @felisternicholaus3281
    @felisternicholaus3281 3 หลายเดือนก่อน +1

    Jaman ninaomba kufahamu je mazingira bora KWA usitawi na ukuaji mzuri wa nguruwe mazingira ya namna gani . Je yenye joto au baridi au nguruwe anafugika mazingira yoyote tu

  • @FidiusKalekezi-hz4zm
    @FidiusKalekezi-hz4zm 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzr kaka

    • @mulapfarm9664
      @mulapfarm9664  5 หลายเดือนก่อน

      tunashukuru sana

  • @laurencekagoma9998
    @laurencekagoma9998 หลายเดือนก่อน

    Wewe haupo kuwasaidia watanzania wenye kipato cha kati . Tsh. 1,000,000/=. Kwa Nguruwe pyuwa .

  • @claudjohn
    @claudjohn 5 หลายเดือนก่อน

    Akiwa na mwezi mmoja dume pure ni shingapi

    • @mulapfarm9664
      @mulapfarm9664  5 หลายเดือนก่อน

      Hatuuzi akiwa na mwezi mmoja

  • @claudjohn
    @claudjohn 5 หลายเดือนก่อน

    Dume pure wa mwezi mmoja ni shingapi

    • @mulapfarm9664
      @mulapfarm9664  5 หลายเดือนก่อน

      Tupigie kwa biashara