Ndaro na Steve kma mnaona hii comment tafadhal nawaomba hii combination yenu iendelee hivi,km ikivunjika sio mm tu nitakuwa disappointed bali na wengne pia itawaathiri.🙏 Kma unaona comb ni fire gonga like 🔥👍
Ila wew ndaro daaah mungu akupe maisha marefu mungu aliumba mapenzi yana waumiza vijana wengi ka amua kutuletea kipaji chako ili kiwatoe watu stress mungu akupganie kwenye kaz yako kama 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🤣🤣🤣 Kope jike
Kama wamkubali ndaro nipe like basi
Jaman huyo mgang
Nawakubari sana
@@AminaJuma-eo8tvyou want me tow😊
Collabo ya Ndaro na Steve ni hatari
Ndaro na Steve kma mnaona hii comment tafadhal nawaomba hii combination yenu iendelee hivi,km ikivunjika sio mm tu nitakuwa disappointed bali na wengne pia itawaathiri.🙏
Kma unaona comb ni fire gonga like 🔥👍
Hao jamaa wanaweza
Wa kwanza leo wapi like zangu kwa ndaro na Steve 😅😅
Aki nyinyi nikiwafwatilia siku yangu inaishaka bila stress 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤🇧🇮
😂😂😂😂kutowana kafara imekua ngumu sana😂😂love from 🇧🇮
Jamani wanaomkubali ndaro mjeshi like hapa
❤❤❤
Tunao mkubali stive like zesu apa👍👍
Ila wew ndaro daaah mungu akupe maisha marefu mungu aliumba mapenzi yana waumiza vijana wengi ka amua kutuletea kipaji chako ili kiwatoe watu stress mungu akupganie kwenye kaz yako kama 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🤣🤣🤣 Kope jike
Sitivu mungu akupe maisha malefu
Hiv kwann makampuni makubwa Dstv na Azam tv hawaoni madini haya hii combination ya ndaro na steve ni moto sana
Sana
Cjawahi kuomb like kwenu ila naomb like 150 t kwaleo
namba 1 trending on u tube na hii ndaro imeenda❤❤🎉🎉
Daaaah kama unawakubali Hawa jamaaa gonga like hapaaa za kutoshaa
Wakwanza mimi Leo like zangu jamani please Ata mbili Nita furahi Sana
Mbon nadallo ai dallodiki
Ndaro na steve jamani wanachekesha🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mtatuuwa kwa kicheko
Hahaha Steve yuko very seriously 😂😂😂
Yaani ndaro ime nipasuwa na cheko kwa leo mwanangu i follow you from congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
ila ndaro ndy uchezee kibuyu cha mganga😅😅😂
Atageuzwa kuku🤣🤣🤣
mimi ni Congo courage ndaro n'a Steve 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩💪💪💪💪♥️
mimi ni mu Congo courage ndaro n'a Steve 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩💪💪💪💪💪💪
Soldier I am among the first people today🎉🎉
I came from the Congo❤
HUU MZIGO NIMEUELEWA SANA BIG UP 🤣🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥👍
ila hawa machizi wakikutana huwa nacheka kabla sijaiyona hata movie yenyewe😂😂😂
Kazi zuriiiii stive kam kenya
Ndaro bila ya stevu hawezi kunoga
Ndani ya sekunde 30 tu za mwanzo nishacheka balaaa😂
Mimi nae😅😅😅😅😅
Kama mnawakubar ndaro na stive gonga rike apo❤
❤❤❤❤😂
Patric
Namba 1 hapaaa
Ndaro hem tupishe kidogo 😅😅😅😅😅😅😅🎉🎉❤❤
From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲
Mwene wachu umeua bro
Gute
😅😅😅😅😅😅 Sema hawa wasenge wanakimbiza san kibongo bongo hakuna😅😅😅😅 mamaee!
😂😂😂😂 mganga bhn et mnautaka 😂😂😂😂🙌🙌
😅😅😅😅😅😅
😂😂😂😂😂😂
kaka ndaro ehh na steve mnauwaaaah ile mbayaa
😂😂😂😂😂 nampenda ndaro ananifurahisha😂😂
Tukampekenyue kobe😁😁😁😙 steve🙌🙌
Ndaro anachezea vibuyu dah😂😂😂
Ndaro na Steve na wakubali sana tu nimecheka mupaka base 😂😂😂
Nawakubali sn
Great content
Nakukubali xan Steve umalaya 2 kuoga anhaaa
Sina mbavu mwendo wa kucheka
Daro mimi kutoka Congo nakupenda ❤❤
Mbona mnaarasi mnganga Bana
Big director from Congo Germain M
❤😂🎉😢😮😅😊 umetisha mwambaaaas ndaroooooooooooo
Wewe Mganga usichoelewa ni Nini?🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Haiswiiii😂😂😂😂nyota ya kuvulia dagaaaa😅😊😂😂😂
Mganga umetusha sio kwa m@shrti ayo 😂😂😅😅😂😢😢
Ndaro tupishe kidogo tuongeee 😂😂😂😂😂🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Hatari Sana 😅😅😅
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ndaro ingefaa saana ungetumia ngoma yangu ya mganga 02 ❤❤❤
😂😂😂😂😂hawa jamaa wanatisha saan
Nimecheka 😂😂😂 mko na raha ndaro na Steve
😂😂😂😂😂😂😂 ndaro huoni kama hajasoma yupo kilingeni
Roho ngumu kweli kweli amekopwa 😂😂😂😂
Hii tunaweza fika moja😂🙌
Mko bomba nawakubali nawapenda kaz NZuri
Yaaaaaani nimecheka kipumbafu 😂😂😂😂😂
Hahahahahahah...eti ndaro tupishe kidogo
Eti jaivaa❤❤❤
Gud from englandro
Nomaaaa sana ndaro by Steve mweus
Nwapenda sana
Hahaha namba Moja leo❤
Ila ndaro na stive mnafurasha unajinyoosha kwa mganga
Hizo like mnapata hela kwani😂
😅😅😅😅
Ndaro na Steve NI noma wazee nimecheka sana
Ila hawa watu😂😂😂😂😂😂😂jamn nawapendaaaaaa
Karibu nicheke 😂😂😂😂😂😅
Ndaro weye 😂😂😂😂😂😂
Tuliokuja kuangalia kutoka Instagram tujuane kwa like❤
Nawakubali sana timu Steve na ndaro
namba umo like zang jamani
😅😂😂😂😂😂😂 nimeipenda
Ndaro de best 🎉
Ndaro na Steve ni combination nyengne hatari sana kwa comedy😂😂😂
Acheni ushamba huo wa kulomba like😢😢, Steve nakuona
Nice kaz
😂😂😂 eti unaweza kumpekenyua Kobe
Wana acheni ushamba wa kuomba like
Kumpekenyua kobe ndaro anaweza😂😂😂munautaka semeni MDIO😂😂😂ndaro tupishe kdg tuongee na mganga 😂😂😂😂ila Steve bhana ssa mbn unampiga mganga kibao🤣🤣🤣🤣
Steve noma sana anataka utajiri sharti la kuua mwenzake limekuwa rahisi😂😂😂😂
Mganga jiongeze siumeshawaona 😂😂😂😂
Et tukampenyue😅😅
Noma sanaaaaa
CLAM KIVU DRCongo 🇨🇩 daro msamehe
Stevu anataka kumtoa mwenzie 😂😂
Unyama sana ndaro mjeshi kikofia😂😂
vilimushinda ndomana yupo hapa stev ni moto like za stev hapa
Ndaro forever
😂😂😂 nzur sana jamani hongereni
😂😂😂 ndaro na stive utajiri 😂
Hi
@@KelvinOpicho-kd8xc hi too kelvine
🔥🔥🔥 TRENDING 4
Daaaah nimeipenda 😂yaan hawaaa 😊
Nampenda sana stivu jmn😂😂😂😂😂😂
Ninachoamini otrendng ya bongo ni ya mchongo na upuuzi tu😢😢😢😢😢😢
Noma sana familia
Steve akili hana kabisa😂😂
Ndaro saiv akamatiki kunako ma trends🔥🔥🔥🔥👐
Jamaa mnajua sana mazeee
😀Mganga mwenyewe anakuja kufanyia kazi kwenu
Hahaha inavunja mbavu kwa kweli 😂😂😂😂
Ndaro unanimaliza na hiyo ongea yko...napenda