Namshukuru Mungu Kwa jinsi alivyomtumia mtumishi wake. Nilikuwa sijui hili kabisa. Mungu akubariki sana pastor wewe na familia,kanisa na huduma yako.Akupe mbingu wazi na mipenyo isiyo ya kawaida.
Tangu nimjue pastor George mkabwa Maisha yangu ya kiroho yamebadilika Sana barikiwa mtumishi Wa Mungu pamoja Na jamii yako Na akupe maisha marefu Kwa ajili yetu 🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏
Ahsante sana pastor kwa mafundisho haya Mungu akubarki sana
Asante Sana pastor Kwa haya mafundisho, yananifaa Sana nakuombea mungu akubariki na akuongezee hekima zaidi Kwa hii huduma.
Amen ahsante baba angu
Ameeeen!!Barikiwa Pastor.
Asante pastor nimebarikiwa
Amen and amen,be blessed pastor
Mungu akubariki sana pastor George maana umenifundisha mambo ambayo sijawahi kufundishwa.
I receive it in the mighty name of Jesus
Be blessed man of God more Grace
Asnte kwa huduma nzuri
Following from Saudi Arabia hakika nimepokea chakula Cha kiroho huu mwezi sitakua na jaa 🙏🙏🙏🙏❤️ ASANTII YESU
God bless you pastor I know one day nitafika Tanzania from🇰🇪🇰🇪
Ameen mtumishi
Asante kwa mafundisho na neno. God bless you Abundantly.
Mimi n Ann kutoka Kenya,, thank you pastor kwa kunifudisha vitu sijawai fundishwa mungu akubariki unapo endelea kuwa mwalimu wangu
Amen napokeya izo Baraka zote Baba yangu
Asante sana mchungaji mahubiri mazuri sana Ila yanakwama katikati hausikiki Tunaomba mtusaidie tuyapate yote
Amen Amen nimepokea mwezi wa viwango vingine
Asante mkabwa nimekuelewa mno nimelisikia kukabidhi kea mungusiku mwezi mwaka sitasahau maisha yangu yote
Amina Baba nipe mupenyo,nipe mulango Jesus
Amen Amen, 🙏🙏
Namshukuru Mungu Kwa jinsi alivyomtumia mtumishi wake. Nilikuwa sijui hili kabisa. Mungu akubariki sana pastor wewe na familia,kanisa na huduma yako.Akupe mbingu wazi na mipenyo isiyo ya kawaida.
Mungu azidi kukutunza pastor George Mukabwa...
Amen 🙌🙌 love this mungu atupinganie Kwa chochote kile juu bila yye hatuwez ak
God protect this pastor for the sake of your people, He's opening people's eyes 🙏🙏
Asante mungu kwa kuona huu mwezi wa nane nikiwa mzima na familia yangu
Amen 🙏🏻
Pastor Mungu akubariki her nko muranga Kenya na umekuwa baraka kwangu
Iam a great follower from Kenya...you're a blessing to my life
Mungu akubariki Mchungaji kwa kutumiwa na Mungu, kwa maisha yangu.
Following from Thika.
Amen barikiwa posters George Mungu akutunze
barikiwa kabisa mtumishi wa mungu
Amen..
Amine
Matukio yakijirudia Kuna uzembe Mungu ANAHITAJI nifanye jambo I get it
Asante sana kwa ufunuo huu
Imekuwa kwangu nimepokea Asante yesu
Ameen
😮
@@rehemamseno6408 kabisaa yaaan mungu amenijibu
Amen
Amen pastor
AMEEN
Nashukuru sana Mungu kwaajiri ya Pastor George mukabwa,naomba Mungu umtunze .Amefanyika baraka kubwa sana knye maisha yangu na familia yangu.🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Amen
Jamani sauti ipo chini Sana twasikiza kwa simu taphadhali naomba mlishughulikie ili la sauti
Asanti kwa ushauri wa kuingia mwezi mpya.
Isaya 28:6
Mdo 3:1
Zaburi 118:24
Tangu nimjue pastor George mkabwa Maisha yangu ya kiroho yamebadilika Sana barikiwa mtumishi Wa Mungu pamoja Na jamii yako Na akupe maisha marefu Kwa ajili yetu 🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏
Amen amen and amen 🙏
Amen Amen, 🙏🙏
Amina Amina
Amen 🙏💖
Amen
AMENI
Jamani sauti ipo chini Sana twasikiza kwa simu taphadhali naomba mlishughulikie ili la sauti
Amen