I love u dearly mtumishi wa Mungu, I love ur voice, upole, upako and everything kwenye huduma yako. Uko tofauti sana, ur my favourite male singer. Mungu akutunze na kukuinua zaidi
Hakika huyu ndugu ameteulia kwa ajiri ya ibada ya Bwana wetu Yesu Kristo. Endelea vivyo hivyo ndugu, mpaka tumwone Bwana wetu uso kwa uso kwenye karamu kuu la Mwanakondoo. Endelea na kazi njema. Mimi ni mwimbaji pia kutoka Kenya and you are my mentor
Hakika Ambwene Mwasongwe ( Mwamlenga) ubarikiwe sana kwa kuwa chombo kiteule cha Mungu katika ukombozi kupitia nyimbo zako za Injili. Nazidi kumwomba Mungu azidi kukubariki mtumishi pamoja na wenzako. Umemaliza kazi uliyotumwa kilichobaki ni kuomba Mungu afungue macho na masikio yetu kutujaza uelewa wa maneno mazuri ya wako. Barikiwa mtumishi wa Mungu. Amani ya Bwana iwe nawe na Mungu akuzidishie hekima, busara, maarifa na ujuzi katika kazi yake. Amina
Ambwene katika maisha kila mtu hupewa karama yake na Mungu kwa makusudi ili aitumie vile Mungu alivyomtuma. Hakika karama yako inaonekana. Kila nisikiapo nyimbo zako napata faraja tena zote hakuna iliyo mbovu. Mungu awe nawe katika kazi yako. Mziki wa injili inatakiwa uwe na vitu vifuatavyo ili utimize lengo lake ( Wokovu) 1. Melody 🎶 nzuri ili mtu avutiwe kusikiliza😘😘 2. Mashairi yaliyo pangiliwa vizuri ili mtu aelewe na siyo mwanza mwisho mtu anaimba Yesu ni bwana ........Yesu ni bwana na step. Yes we know we need a message 😚😚 3. Feelings. unaimba kwa hisia mtu anaamini unachoimba siyo wengine wanaimba tuuuuu...... Mengi sana ila kwa hayo inatosha Barikiwa sana kaka .🙏
Am totally crushed in tears of repentance kwa sababu ya ujumbe uliopo kwenye wimbo huu. Mungu alizozifanya mbingu na nchi akulinde na kukutunza kaka. Umenibariki na kunitia changamoto Kupitia kwa wimbo huu. Baraka ni fungu lako
Yaani kaka Ambwene sina cha kukwambia, ila tu kama Mungu aishivyo naomba ubarikiwe kuliko Baraka nyingi zaidi ya mchanga wa bahari, Nyimbo zako znaungana na wale wenye uhai wane kumtukuza Mungu.
nabarikiwa Kwa nyimbo,zako.nakumbuka mbali Kama isingekuwa maisha,nikihangaika huku nahuko.leo hii ningekuwa Mumbaji Kama ww.maana Kama kumwimbia mungu nimeimba sana inze za watoto kwenye kwaya.
brother umebarikiwa sana... I can't imagine kipaji ulichopewa na Mungu,nyimbo zako unatumia akili sana...i appreciate your too talented brother be blessed....
mungu akuinue kwajili ya taifa letu na mataifa mbalimbali maana kwa nyimbo zako sisi tuliyopitia katika mateso mbalilimbali tumefarijiwa na nyimbo.zako barikiwa na familia yako
You are a heavenly singer, because you're talent is great and always you look spiritual gospel singer. This bro is one of my favorite song in my life time. I spend a lot of time to listen this song
Asante sana Mungu akubariki sana unanipa nguvu mana nazulumiwa mno na kazi nyingi bila kiasi mwisho wa mwezi inakuwa tabu kulipwa jasho yamwagika lkn naamini wanajizulumu nafs zao namwachia Mungu
💫 feel blessed..... God bless you. I love you so much brother Ambwene.. "Patana haraka na mshitaki wako, kabla hajakufikisha pabaya"its true. God help me
ambwene kwa hakika unaimba huku ukimshirikisha Mungu ...nawasikilizaji kutuunganisha ...neno moja tu kwako ni ...UBARIKIWE
usipoongozwa na Roho Mtakatifu kuelewa wimbo huu ni kazi kama kazi nyingine. barikiwe mtumishi
Mwenyenz akupe hekima mtu wa mungu akupe nyimbo za kufundisha n kukomboa nimebarikiwa san
Yaani wimbo huu umenibariki sana ni wimbo wa kinabii, nimekuwa naurudia kila mara. Barikiwa sana mtumishi wa Mungu.
I love u dearly mtumishi wa Mungu, I love ur voice, upole, upako and everything kwenye huduma yako. Uko tofauti sana, ur my favourite male singer. Mungu akutunze na kukuinua zaidi
Nyimbo zko huwa zinabalki na kunitoa machozi mungu akubalki snaa ambwene
Kweli yesu yuaja ! Tuondoe kila aina yauadua ndani yetu ! Tutengeneze na bwana ! Barikiwa sana abwene mtu wa mungu !
Daaa ! hongera kwa kuinjilisha neno la Mungu kwa njia ya nyimbo Ubarikiwe sana.
mungu akuinue zaidi umtukuze kwa sauti yako nzuri
Hakika wimbo huu umenitoa machoz Sana kaka
Hallelujah Mungu hakubariki sna kiongozi wangu Ambwene mwasongwe Mungu hakuzidishiye kwli Natamani sna kujuwa karama yangu Eee Mungu wangu 😤
Unarikiwe mkubwa Ambwene napenda sana kusikiliza nyimbo zako
amina
barikwia sana kwa huduma hii]
zaidi ya yote JINA LIPITALO MAJINA YOTE LIINULIWE NA LITUKUZWE> AMINA
Nimeipenda tena,injili nzuri patana na mshitaki wako.....Barikiwa sana,Mungu akuzidishie katika kipawa chako.
Eeeeh Mungu turehemu sisi wadaiwa, utusamehe makosa yetu..dhambi ndiyo deni kubwa...eeeh Mungu utusamehe
I was blessed by your song endelea kumwinua uyu mungu kwa uimbaje
'ole', tujifunze kutenda haki na kumtanguliza Mungu katika kila jambo. Ahsante Ambwene
Nabarikiwa sana na nyimbo zangu, Mungu azidi kukuongoza
Tunabarikiwa sana na nyimbo zako kaka, ubarikiwe sana
Nice brother nakukuelewa Sana
Nabarikiwa sana nyimbo zako zina ujumbe mzito sanaa,Mungu azidi kukutumia kwa kadri ya neema yake.
Ubarikiwe na Bwana Yesu kaka Ambwene.
Barikiwa Mtumishi kwa kutufikishia ujumbe kutoka kwa Bwana, Hakika yatupasa kutubu. OLE!!
kila mara nikisikiza nyimbo zako huwa zinaniacha kwa dibwi la machozi na kumwovu Mungu zaidi.
Hakika huyu ndugu ameteulia kwa ajiri ya ibada ya Bwana wetu Yesu Kristo. Endelea vivyo hivyo ndugu, mpaka tumwone Bwana wetu uso kwa uso kwenye karamu kuu la Mwanakondoo.
Endelea na kazi njema.
Mimi ni mwimbaji pia kutoka Kenya and you are my mentor
ole,,,, wako,,,, Mondays ghadhabu,,,,, ole nchi isiyo haki....... oooooh barikiwa xan
Kaka uko vzr nakuombea san mung akuzidishie iwe zaid ya hapo ulipo
more than a song! wimbo wa unabii! ni zaidi ya kuimba na kufurahisha!
Mtumishi Bwana awe nawe...hata ukamilifu Wa dahari....wimbo wako unampa Yesu utukufu...yani hata hao walio stejini....
Mtumish upo vizur san ila chunga san kwenda kwa akili zako mshikilie san huyo Roho wa Yesu uliyenaye
Hakika Ambwene Mwasongwe ( Mwamlenga) ubarikiwe sana kwa kuwa chombo kiteule cha Mungu katika ukombozi kupitia nyimbo zako za Injili. Nazidi kumwomba Mungu azidi kukubariki mtumishi pamoja na wenzako. Umemaliza kazi uliyotumwa kilichobaki ni kuomba Mungu afungue macho na masikio yetu kutujaza uelewa wa maneno mazuri ya wako.
Barikiwa mtumishi wa Mungu.
Amani ya Bwana iwe nawe na Mungu akuzidishie hekima, busara, maarifa na ujuzi katika kazi yake.
Amina
Mungu wa mbinguni akuongoze daima na kukulinda daima
Ambwene katika maisha kila mtu hupewa karama yake na Mungu kwa makusudi ili aitumie vile Mungu alivyomtuma. Hakika karama yako inaonekana. Kila nisikiapo nyimbo zako napata faraja tena zote hakuna iliyo mbovu. Mungu awe nawe katika kazi yako.
Mziki wa injili inatakiwa uwe na vitu vifuatavyo ili utimize lengo lake ( Wokovu)
1. Melody 🎶 nzuri ili mtu avutiwe kusikiliza😘😘
2. Mashairi yaliyo pangiliwa vizuri ili mtu aelewe na siyo mwanza mwisho mtu anaimba Yesu ni bwana ........Yesu ni bwana na step. Yes we know we need a message 😚😚
3. Feelings. unaimba kwa hisia mtu anaamini unachoimba siyo wengine wanaimba tuuuuu......
Mengi sana ila kwa hayo inatosha Barikiwa sana kaka .🙏
alamoka semako karama ako ni ipi
Asante Kwa ushaur wako namm ntautendea kaz
alamoka semako hakika mungu nimwema mungu akuzidishie kuvu katika kaziyako ya injili
mungu akutangulie kak abwene kwenye kaz hii ya mikono yako
Nyimbo zako zimetulia sana aiseee hata km unasikiliza unajisikia furaha.. big up
Am totally crushed in tears of repentance kwa sababu ya ujumbe uliopo kwenye wimbo huu. Mungu alizozifanya mbingu na nchi akulinde na kukutunza kaka. Umenibariki na kunitia changamoto Kupitia kwa wimbo huu. Baraka ni fungu lako
kazi njema kaka angu Mungu akutunze katika utumishi wako ambwene
Hata uimbaji wako unaonkana Mungu yuko ndani ya moyo wako jitahdi pia Muombe sana Mungu. Mungu akubariki kaka
Yaani kaka Ambwene sina cha kukwambia, ila tu kama Mungu aishivyo naomba ubarikiwe kuliko Baraka nyingi zaidi ya mchanga wa bahari, Nyimbo zako znaungana na wale wenye uhai wane kumtukuza Mungu.
Hakika nyimbo zako zinanibariki sana, Mungu azidi kukuongoza....
kaka Mungu awe nawewe milele daima kaka yangu God bless you
Mungu akubarik Mtumishi wa Mungu, huu ni wimbo uliobeba ujumbe mzuri sana
nabarikiwa Kwa nyimbo,zako.nakumbuka mbali Kama isingekuwa maisha,nikihangaika huku nahuko.leo hii ningekuwa Mumbaji Kama ww.maana Kama kumwimbia mungu nimeimba sana inze za watoto kwenye kwaya.
ubarikiwe sanaaaa mtumishi MUNGU awe nawe daima uzidi kufanya lililo kusudi lake
Iko poa sana Mungu azidi kukuangazia ubunifu zaidi na zaidi.
Huu wimbo huwa unanibariki na kunionya sana aipiti siku sijauskiza Barikiwa sana Abwene Mungu akupandishe juu zaidi!!
barikiwa brother ang.. .unaniaminisha unalo neno la kweli ndan yako...Endelea kumtumikia Yesu yeye ni Mungu asiye n.a. mashaka ndani yake
brother umebarikiwa sana... I can't imagine kipaji ulichopewa na Mungu,nyimbo zako unatumia akili sana...i appreciate your too talented brother be blessed....
Mungu azidi kukutumiyaa zaidi kwa utukufuu wakee.
MUNGU akukumbuke pastor kaz yako ni njema..choz la haki
wonderful song. Ambwene u are a blessing to many people. God bless you abundantly
ubarikiwe sana Mtumish wa Mungu nazipenda sana nyimbo zako
Mmmmmmmh mungu amuongoze
Mungu akujazie uwelewa mkubwa ujue zaidi ya hapo
mtumishi WA mungu embwene mungu WA mbinguni aendelee kukupigania,nyimbo zako zinashongeza mbele katika maisha ya imani,barikiwa Sana Bwana.
Mungu Akubariki san
Hongera mtumishi wa MUNGU ubarikiwe sana ..nyimbo nzuri zina ujumbe mzuri sana .. barikiwa sana
Mungu Akuinue Utukufu Hadi utukufu
Ubarikiwe ndugu napenda kazi uifanyayo katika huduma
Huu wimbo unakuaka na nibariki sana .
Mungu azidi kumtendea mema mtungaji Ambwene!
My best song for 2020 and it talk more what we are going through in Kenya. Love this song, I got it from my wife..
Namkubali sn Ambwene Mungu amjalie maisha marefu
ilike your songs brother I pray that the god may continue to prosper your talent be blessed brother
Good
Hongera sana mtumishi wa Bwana, Mungu akutie nguvu uendelee kuifanya kazi yake kwa bidii Nyimbo zako zinanibariki sana
ubarikiwe sana Ambwene,nyimbo zako zinanibariki mnoo
what a talented God servant ,you real bless us with your songs,Mungu akubariki na akulinde usije ukabadili uimbaji wako huu ukawa kama wao
amina
Naupenda Sana'a ❤huu wimbo still watching July 2019
Bwana ambariki Kaka ambwene
hongeřa kaka kwauduma nzuri ubalikiwe na mungu azidi kukutia nguvu
nafarijika San na nymbo za ambwene MUNGU ambark
Nabarikiwa pia na nyimbo zako ,namuomba mungu wambinguni akutunze
Yaani nisiposikiliza nyimbo zako sina raha Uinuliwe kama tai uzidi kutupa ujumbe.
mungu akuinue kwajili ya taifa letu na mataifa mbalimbali maana kwa nyimbo zako sisi tuliyopitia katika mateso mbalilimbali tumefarijiwa na nyimbo.zako barikiwa na familia yako
Mungu akubariki kaka...ninaposikiliza nyimbo zako nabubujikwa na machozi. Mungu akubariki
Hivi huu wimbo upo kitabu gan na mstar gan kwenye bible! Naomben msaada
wimbo mtamu sana wa kumtukuza Mungu 🙏
mtumishi ubarikiwe sana unanibariki sana hats mm
Barikiwa mtumishi.....hakika MUNGU ananena kupitia mtumishi wake. Asante sana.
amen ubarikiwe na bwana ukongi vzr wew ni mfano was kuingwa
oh this song. God bless u brother
nice one bro
Good message for all nations . be blessed a man of god.
ubarikiwe kk MUNGU akujalie maisha marefu
nyimbo zako zuri cn zinajumbe mzuri cn zimetulia kakaang mungu akubariki cn
napenda nyimbo zako Ambwene zinanibariki sana .Mungu akubariki👏
You are a heavenly singer, because you're talent is great and always you look spiritual gospel singer. This bro is one of my favorite song in my life time. I spend a lot of time to listen this song
upo making sana kiongoz Mungu akujalie katika huduma yako.Amen.
Hongera mtumishi Ambwene wimbo mzuri sana
Ahsante ambwene"Mungu awasameh wale watuumizayo mioyo yetu
nice song keep in moving foward ambwene god is good
Wimbo unanibariki sana... Ahsante Jehovah
wimbo mzuri sana nabarikiwa sana... wewe ni mfano wa kuigwa...
Good my role model ambwene, napenda sana kukusikiliza.
hakika kaka kalama yako unaitumia vizuri kaza buti mungu akusimamie ktk kila ufanyalo
Amina. Ubarikiwe sana Mtumishi kwa huduma yako ya wokovu.
Mungu awe pomoja nawe mtumishi wa mungu maana unanibariki sana na kunitia nguvu
2020 still hits amen mtumishi
ooh what a wonderful song you have blessed my heart.
Nyc song barikiwa sana
Asante sana Mungu akubariki sana unanipa nguvu mana nazulumiwa mno na kazi nyingi bila kiasi mwisho wa mwezi inakuwa tabu kulipwa jasho yamwagika lkn naamini wanajizulumu nafs zao namwachia Mungu
be blessed mtumishi
wewe ni wakuigwa mungu aseme na wewe kwasababu unatutia moyo sana.....
mbalikiwa cn abwene.
Oooh my motherland Kenya let Justice prevail
mungu azd kukupatia ufunuo mtumish
💫 feel blessed..... God bless you. I love you so much brother Ambwene.. "Patana haraka na mshitaki wako, kabla hajakufikisha pabaya"its true. God help me