MAKALA YA JINSI YA KUFANYA HIJJA - Na Sheikh Nurdin Kishk , 2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 92

  • @SafiaSaidi-s7b
    @SafiaSaidi-s7b 7 หลายเดือนก่อน +9

    Yaa Allah tujalie na SS tuwez kufika kweny ibadahiy Amin Amin

  • @asahi3619
    @asahi3619 7 หลายเดือนก่อน +5

    Mashaallah, Allah awajaliye hija njema na mrudi salama inshaalla

  • @Raissaabdoul
    @Raissaabdoul 7 หลายเดือนก่อน +16

    Yaa Allah tujaliye mwaka wa 2025 nasi utuite kwa uruma wako tunakuomba Allah nikubaliye dua yangu

  • @ashashaban6484
    @ashashaban6484 7 หลายเดือนก่อน +1

    MASHALLAH MASHALLAH ALLAH AWAJAALIE WOTE MAHUJAJI WETU MUWE NI WENYE KUSAMEHEWA MAKOSA YENU WOTE PAMOJA NA SS TUSIO ENDA INSHALLAH

  • @iddyiddy1282
    @iddyiddy1282 7 หลายเดือนก่อน +5

    Saluti kwa fundi mitambo ✊👊.
    Mashallah tabaraka allah nimepata funzo alhamdulillah.

  • @FatimaFatima-uo5of
    @FatimaFatima-uo5of 7 หลายเดือนก่อน

    Mashallah Mashallah mashallah❤Allah takabal Dua yaarab❤nasi Allah atuwezeshe tuweze kufika kwa Rehma zake 🤲🤲

  • @HdhdYdyd-k2i
    @HdhdYdyd-k2i 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah ,Dua Zenu zikawe makbuul msitusahau na ss tusio na uwezo ,one day Allah atujaalie tufike mji mtukufu kwa ajili ya ibada inshaallah

  • @ashrafissa778
    @ashrafissa778 7 หลายเดือนก่อน +3

    Mashallah Shekha wetu Allah akuifaz

  • @grealishteam5247
    @grealishteam5247 7 หลายเดือนก่อน +2

    Allah azidi kuku hifadhi sheikh wangu kishki akupe umri mrefu wenye manufaa

  • @ZuberiNahoche
    @ZuberiNahoche 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ya Allah Hadi machozi yananilenga mola nijaalie na Mimi nikahiji Kwa ajili ya utukufu wako

  • @FatmaJ-v7f
    @FatmaJ-v7f 7 หลายเดือนก่อน +1

    MashaaAllah, Allah awapHijja mabruuruu

  • @rajaburamadhani6612
    @rajaburamadhani6612 7 หลายเดือนก่อน +3

    Allah atupe uwezo wakufika na atufanye miongoni mwa wenye kudiriki Hajj

    • @duatvtz
      @duatvtz  7 หลายเดือนก่อน

      Takaballahu Minna wa Minkhum

  • @sabihasalim942
    @sabihasalim942 7 หลายเดือนก่อน +2

    BarakaAllahu feek 🙏🏾🇬🇧

  • @HadijaSilimu
    @HadijaSilimu 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah mashaallah mashaallah❤❤❤❤❤❤❤ masahaallah🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Abdully_10
    @Abdully_10 7 หลายเดือนก่อน

    ALLAH nijaalie uniweshe kufika uko insha allah

  • @jamillahmussa3775
    @jamillahmussa3775 7 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah, mtuombe nasi, nawaombea safari njema

  • @mohammedAlly-e3p
    @mohammedAlly-e3p 7 หลายเดือนก่อน

    Ya rabii nijalie namm unifanyie wepes wa kwenda kuhiji makkaa

  • @MwanaHamis-y4e
    @MwanaHamis-y4e 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah mashaallah

  • @rehemahamadi3382
    @rehemahamadi3382 7 หลายเดือนก่อน

    Mashallah M.Mungu atukubalie msamaha

  • @FaidhathKhamis-ml7ok
    @FaidhathKhamis-ml7ok 7 หลายเดือนก่อน

    Allah tujalie nasi afya n uzima

  • @LeilaWilfred-zc7gn
    @LeilaWilfred-zc7gn 6 หลายเดือนก่อน

    Asante Shekh wetu kwa elimu ya Makkc

  • @AmishkaUrmi-pl4xg
    @AmishkaUrmi-pl4xg 7 หลายเดือนก่อน +1

    Yarabi tujalie na familia ytu nasi tuende tukahiji😢 yarab

  • @ramazaniradjabu1862
    @ramazaniradjabu1862 7 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah tabaraka llah yashaikhana hayakallah waramatullah waakramaka llah

  • @AshaHassan-fl8tw
    @AshaHassan-fl8tw 7 หลายเดือนก่อน

    Allaah awafanyie wepesi na sisi pia ALLAAH,atufanyie wepesi na sisi pia tuweze kufika na vizazi vyetu 🤲🏼🤲🏼🤲🏼

  • @SiriNkya-z9m
    @SiriNkya-z9m 7 หลายเดือนก่อน

    Maashallah Maashallah Maashallah shukrani shekh kwa elimu hii tuombeeni nasi tupate hii nafasi adhwim kwa uwezo wa Allahsw na Nuru YA Mtume Muhammad (saw )amiin

  • @kamarhelo
    @kamarhelo 7 หลายเดือนก่อน

    Waleykum msalam wallahu matullah wabarakatu sheighe nurdin kishki allah akupe kila la kheri hapa duniani na kesho akhra

  • @MariyamAboubakar
    @MariyamAboubakar 6 หลายเดือนก่อน

    Labayka Allahuma labaika labayka lasharika Lakka labaika inalhamda waliniimata lakka walmulku lasharika lakka

  • @GaluAbdallah
    @GaluAbdallah 7 หลายเดือนก่อน

    Allah atujaalie na sisi pia tufike kwenye nyumba tukufu inshallah

  • @ashanibigira5898
    @ashanibigira5898 7 หลายเดือนก่อน +1

    Allah awafinye wepesi

  • @Maryam-o3i6j
    @Maryam-o3i6j 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ya Allah tujalie na ss

  • @youngtomuller-vh2pu
    @youngtomuller-vh2pu 7 หลายเดือนก่อน

    Obrigado irmão apartir de hoje vou aprender essas duas!

  • @AmaNa-if2vs
    @AmaNa-if2vs 7 หลายเดือนก่อน

    Alhamdullah, mashaallah

  • @AshaHassan-fl8tw
    @AshaHassan-fl8tw 7 หลายเดือนก่อน

    Allaahumma Ammina yaarabbi🤲🏼🤲🏼🤲🏼

  • @mwantumushamsi4400
    @mwantumushamsi4400 7 หลายเดือนก่อน

    Yaarab tujaalie nasisi uwezo tuitike muito wako inshallah

  • @seifsuleiman5151
    @seifsuleiman5151 7 หลายเดือนก่อน +1

    جزاك الله خير

  • @AlimanuroAli-sv3os
    @AlimanuroAli-sv3os 7 หลายเดือนก่อน

    Yaa Allah nijahaliye na mm nisipate umati, adi niende kuhiji Amin.

  • @qwerqasd8597
    @qwerqasd8597 7 หลายเดือนก่อน +1

    Shukran wa jazzakallahu khayran sheikh watu kwa kutuelimisha

  • @KadeejaKadeeja-ej4bu
    @KadeejaKadeeja-ej4bu 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah Allah anijalie namm niweze kufikia inshaallah 😊

  • @ShabanKuziwa
    @ShabanKuziwa 7 หลายเดือนก่อน

    Allah Akbar subhanah

  • @JabuMwasha
    @JabuMwasha 7 หลายเดือนก่อน +1

    Amiin

  • @hashazinkaaisha7361
    @hashazinkaaisha7361 7 หลายเดือนก่อน

    Allah Akbar Allah anijaliwe n'a Mimi nijaliwe kuwa miongoni watakayo fika Maaka kufanya ibada

  • @salimabdallah5176
    @salimabdallah5176 7 หลายเดือนก่อน

    DHIKRI FIKRI SHUKRI SUBRI

  • @fatmafatu1128
    @fatmafatu1128 7 หลายเดือนก่อน

    Mashallah Allah tujalie nasi tufike hajji

  • @aishamaita2178
    @aishamaita2178 7 หลายเดือนก่อน

    Ya Allah tukumbuke sisi wajaa wako kila penye na uzito utufanyie wepesi

  • @mulkseif5497
    @mulkseif5497 7 หลายเดือนก่อน

    Yaa Allah nijaalie nami niende

  • @Antonycarmendhino
    @Antonycarmendhino 7 หลายเดือนก่อน

    Amina ishala

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 7 หลายเดือนก่อน

    Maashaallah raha jamani kwenda kuhiji Allah niitenami nawaislam wenzangu kwenye mjimtukufu nasi tukahiji kabra hatujafa. Amyn

  • @taharayassin6528
    @taharayassin6528 7 หลายเดือนก่อน

    Ameen Ameen thumma Ameen Masha'Allah

  • @IdyFatna
    @IdyFatna 7 หลายเดือนก่อน

    Allahu akbaru

  • @AliGonga-p2l
    @AliGonga-p2l 7 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah

  • @arafayunis
    @arafayunis 7 หลายเดือนก่อน

    Jazak Allah Khair for this ilmu maasha Allah

  • @ZainabOmar-z5w
    @ZainabOmar-z5w 7 หลายเดือนก่อน

    MASHALLAH

  • @CemileHassan
    @CemileHassan 7 หลายเดือนก่อน

    Aamin

  • @oparetionmaalum9030
    @oparetionmaalum9030 7 หลายเดือนก่อน +1

    Amin amin amin kwakweli Leo nimejiskia kama. Niko makkah

  • @shankshankarcade2123
    @shankshankarcade2123 7 หลายเดือนก่อน

    Aamiin ya Allah

  • @ashrafissa778
    @ashrafissa778 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nasi Allah atuafikishe tufike mji mtukufu

  • @SalmaJuma-vl3dr
    @SalmaJuma-vl3dr 7 หลายเดือนก่อน

    Yaa allah tujaalie nasi tuweze fika

  • @mohammedrajabumwamba1322
    @mohammedrajabumwamba1322 7 หลายเดือนก่อน

    Yaa Allah tujaalie na sisi sikumoja tufike hapo

  • @brutzuberi
    @brutzuberi 7 หลายเดือนก่อน

    Allah atawalipa mahujaji

  • @ArafaSaalum
    @ArafaSaalum 7 หลายเดือนก่อน

    Allahumma jaal'naa.

  • @nyasosaid3407
    @nyasosaid3407 6 หลายเดือนก่อน +1

    NAOMBA KUFAHAMU GHARAMA ZA KWENDA HIJJA@SHEKH KISHKI.

  • @balkissMuhammad-sk1ic
    @balkissMuhammad-sk1ic 7 หลายเดือนก่อน

    Bismillah

  • @MariamMbaruk-rk3vj
    @MariamMbaruk-rk3vj 7 หลายเดือนก่อน

    Yaa Allah tupe uwezo na atujalie tuwe wenye miongoni wa kudirik hajji 🤲🤲

  • @ashanibigira5898
    @ashanibigira5898 7 หลายเดือนก่อน

    Mashaal alaah atufanyi wepesi

  • @rahmahasan32
    @rahmahasan32 7 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah tabarak Allah

  • @rahmahasan32
    @rahmahasan32 7 หลายเดือนก่อน

    Wallahi shukrani Jazzak Allahu feeq

  • @HawahHajih
    @HawahHajih 7 หลายเดือนก่อน

    Eemwenyez Mungu tujaalie nasi Afya njema tuwe miongon mwawenye kuhudhuria Ibadan hii inshallah

  • @feisalal-hassan9748
    @feisalal-hassan9748 7 หลายเดือนก่อน

    MaaShaaAllaah

  • @noot-oe2mw
    @noot-oe2mw 7 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah Mashaallah

  • @salmajabiry884
    @salmajabiry884 7 หลายเดือนก่อน

    Alhamdulillah

  • @nyasosaid3407
    @nyasosaid3407 6 หลายเดือนก่อน

    Naomba kufahamu gharama za kwenda hijja.

  • @umuumukhtar6786
    @umuumukhtar6786 7 หลายเดือนก่อน

    allaha atujaalie nasie tuwe miongoni mwakani inshaallah

  • @habasJafar
    @habasJafar 7 หลายเดือนก่อน

    Ewee ALLAH na Mimi nijaalie nifike na nifanye ibada

  • @qwerqasd8597
    @qwerqasd8597 7 หลายเดือนก่อน

    Mashallah tabarakallah napenda sana hii chanel inatuelimisha kila kitu

  • @HadijaSilimu
    @HadijaSilimu 7 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @Reyla255
    @Reyla255 7 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah,naomba kuuliza kwa wanawake je ikitokea umefik viwanja vya hijja alaf ukakutwa na adayako yamwezi je inafaa kuendelea na ibada ya hijja??

  • @Shukri-v3s
    @Shukri-v3s 3 หลายเดือนก่อน

    Hi 0:09

  • @NuruJuma-zv3yz
    @NuruJuma-zv3yz 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona bwana Kamera hauko mzalendo hata kidogo si ungetuonyesha shirikagani La ndege lililo wapeleka?

  • @oparetionmaalum9030
    @oparetionmaalum9030 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hii ni Air Tanzanizia jamani eee

  • @aliakrabi8321
    @aliakrabi8321 7 หลายเดือนก่อน

    ni wakati gani ihram unaiweka shingoni na wakati gani unawacha bega moja wazi?

  • @aishamakiya486
    @aishamakiya486 7 หลายเดือนก่อน

    Tunamuomba ALLAAH atujaalie nasi tukafika ktkmiji vitukufu viwanja vitukufu kama alivyo wajaalia waja wake haw
    Tunamuomba ALLAAH atukubalie dua zetu kwa sote

  • @ahmedmbarouk3463
    @ahmedmbarouk3463 7 หลายเดือนก่อน

    Unapokua ktk viwanja vya arafa hakuna kusali ama inakuaje

  • @IddiHasani-vq4rd
    @IddiHasani-vq4rd 7 หลายเดือนก่อน

    Hiv nishingapi jamni

  • @umsoud3306
    @umsoud3306 7 หลายเดือนก่อน

    حاج مبرور وذنب مغفور

  • @hassanmakame
    @hassanmakame 7 หลายเดือนก่อน

    Maashallah